Anaerudia kuangalia hii mechi kama mimi gonga like yako tujuane wanayanga wenzangu💚💛💚💛💚💛
@augustinemakoba5622 Жыл бұрын
Tarehe 25.06.2023
@wildgazesafarisltd1513 Жыл бұрын
Noomaa xan
@scolabulemo Жыл бұрын
nami pia ni mwanainchi mwenzako
@scolabulemo Жыл бұрын
nami pia ni mwanainchi mwenzako0l
@abdulimagar Жыл бұрын
Mimi ap p nmeipend kwakwel💚💚💚💚💚
@mohammedsalahosman69222 жыл бұрын
From Sudan, congratulations to the African Yanga Team
@chameleoncorpesprit29862 жыл бұрын
Thank you , God bless you sir
@mohammedsalahosman69222 жыл бұрын
Azzam TV is very good. I am watching from Sudan
@magrethshishwa54812 жыл бұрын
Gonga like km unarudia rudia tn kuitazama hii mechi km mimi💚💛💚💛💚
@shadyasalum1922 жыл бұрын
Anaeirudia hii mechi kama mimi like hapa tujuanee vipenzi vya Yanga 🥰💚💚💛💛
@lowasakitwiyan77582 жыл бұрын
Sure
@siprianmtei7522 жыл бұрын
V
@julietilryaruu94992 жыл бұрын
Tupo pamojaaa
@salumudaimu40932 жыл бұрын
Mechi aishi kuiangalia hii inakautamu wake
@siraibrahim29252 жыл бұрын
Niko hapa
@MandrivaShinnyFirstMedia2 жыл бұрын
More appreciation azam media for ur contribution in tz football,always flying high
@fatmahussein60852 жыл бұрын
What a match🙌🏾🙌🏾utasema walikuaa wanacheza finally,, Pira popcorn 🍿lipo pale pale 💛💚💛💚bravo young Africans 👏🏽👏🏽
@tumaramadhani33812 жыл бұрын
Sisi ndio yanga like zangu jamn kwa wana yanga 💚🧡
@mjukuubujaga32302 жыл бұрын
Fun wa nyanga safi sana kwa kupata point tatu💚💚💚💚💚,Azam Wana wachezaji Bora zaidi,imecheza vizuri sana,mna team
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Tukisema Dabi Ni Yanga na Azam Muwe Mnaelewa Jamn Bonge La Mech🔥🔥💛💚💛💚💛💚
@enockabumba75132 жыл бұрын
Kabisa
@hamidayanga82242 жыл бұрын
@@enockabumba7513 😍😍😍
@suzancharles16392 жыл бұрын
Waliomba kuvaa hizo kaniki zao lakini wapi😂😂😂😂😂 Hongera my team 💚💚💚💚
@esthercharles59452 жыл бұрын
Sijakosea kuwa na mapenzi ya yanga nakupenda sana yanga 🥰💚💚💚🧡
@christopherkigoda4952 жыл бұрын
Nimerudi apa kumuona akamiko na kpre...💚💚
@suzancharles16392 жыл бұрын
Tuisila sahizi anaanza kuja kuja big up
@barakakaduma4395 Жыл бұрын
Match nzuri mtangazaji anatangaza vizuri sana Yanga 💚💛💪
@dotodizo53542 жыл бұрын
Wakwanza nipe like zenu wana yanga
@official_phay11742 жыл бұрын
Afu iz0 like uzfanyie nn😏🤣
@lowasakitwiyan77582 жыл бұрын
Sure
@aishaahmed91022 жыл бұрын
Kikubwa nasema Alhamdulillah 🤲🏻💚💛💚💛💚💛💚💛
@Tiwiniankid2 жыл бұрын
Jmniiiii tujuane tanaoendelea kuburudika na hii video kw kurudiarudia😆😆💚💛💚💛💚💛yangaaaaa thamuuuuu nyieeeee
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@lowasakitwiyan77582 жыл бұрын
Exactly
@bonifacesinkala67452 жыл бұрын
Tupo p1
@floodboytz2 жыл бұрын
@@bonifacesinkala6745 nakuomba subscribe
@shaurikihuru50152 жыл бұрын
Yaan naicheki kwa mala ya sitin sasa😂😂
@naliakafatuma98702 жыл бұрын
Hongera Sana Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga Mwenyezi awadangulie awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nyote nawapenda shalom shalom
@ednapulugu30502 жыл бұрын
2023 of Njanuary still watching the game ki was on fire
@aishabakari8040 Жыл бұрын
I love you yangaaaa
@lovenesskalenge26832 жыл бұрын
Azam mkikutana na Simba msivae jezi nyeus mtanishukuru baadaye🤣🤣 alaf Aziz Ki nahis mishti yake ya Moto makipa wanateseka Sanaa 💚💛💚💛💪
@robinabomola80302 жыл бұрын
Usikalili wafungaji wa yanga mana hawaeleweki yeyote anaweza kufunga 🤣🤣🤣💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
@marisirogamaris10172 жыл бұрын
Yanga timu kubwa💚💚💚💚💚💚💚
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@rashidimkongewa39272 жыл бұрын
@@floodboytz tumekuchoks
@floodboytz2 жыл бұрын
@@rashidimkongewa3927 hahahahaha
@nestorymapunda39882 жыл бұрын
Wana nch lek kwa azzk leo💚💚🤟🏻
@majaliwaeliasi93872 жыл бұрын
jamani sijachelewa sana hata like 10 zinatosha🙏🙏🙏
@allexmathias3593 Жыл бұрын
TUJUANE AMBAE SAA HII YUKO LIVE ANACHEKI HII GAME 🎯
@LillyAdrian Жыл бұрын
Naipenda sana yanga
@winfridantandu28702 жыл бұрын
Ila Key m2 na nusu kwa Upande wangu man of the match👌
@alicenice17112 жыл бұрын
Daah Ahsante MUNGU kwa ushindi maana hivi vicha vingetufunga sijuwi ingekuaje
@joycezacharia29882 жыл бұрын
Nakupenda Sana yanga daima mbele nyuma mwiko
@aishabakari8040 Жыл бұрын
Katika mechi ninayoipenda ni hii 🤣🤣🤣💚💛💚💛🔥🔥🔥🔥
@ramalida2547 Жыл бұрын
Hii mechii kila nikiweka bando nailudia 😁yanga 🙌🥰
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
🤣🤣
@asfiwemkumbwa55202 жыл бұрын
Jaman Mungu atupe nini wanayamga haya mashuti ya ki azizi tutakuja kuta magolkipa wamezimiaa haki hakuna anaweza daka shut lile💚💚💚💚💚💚
@ssaa74952 жыл бұрын
Sisi ndio wababe wao itabaki kuwa hivyo 💚💛⚽️⚽️⚽️😂😂 Yanga Africa
@ndimyakejacob37932 жыл бұрын
♥️ YANGA
@abdymmanga63382 жыл бұрын
Yanga ni kubwa kuliko team yoyote hapa Bongo 🔥, kama unabisha karambe ukwaju 😂😂
@assumedprivacy39402 жыл бұрын
Yanga, green jerseys. Let’s go Wananchi!
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
Hongera sana Benchi la ufundi Hongera sana management nzima Na Hongera mnooo mnooooo wachezaji wetu kwa kupigania bendera ya YANGA Aziz Ki Ahsante sana Na mayele kwa ushangiliaji wa goli lako hakika ni message tosha kwa Azam na benchi lake Bravo Dar young African
@mussahassan50202 жыл бұрын
Ukibishana na Yanga tufunge nawe ufunge hiki ndokitafata hatubishani kwa maneno tunaenda kwa vitendo 💪💪💪💪
@julianashani94082 жыл бұрын
point 3 zmetimia Asante sana Mungu wa watu wote
@muddymuzungu43572 жыл бұрын
Msimlaumu Ahmada Muulizeni Manula atawahadithia vizuri shuti la Mwamba kutoka WAGADUGU
@jacklineboniphace843910 ай бұрын
Wana nchi noma
@jumakassim87182 жыл бұрын
Asikwambie mtu yanga tamu 💛💚💚💛
@joshuajulius18072 жыл бұрын
Yanga. Yetu💚💚💪💪
@bwijamatebe50332 жыл бұрын
Kiukweli azam fc inacheza vizuri sana kbs hata kama niko fan wa yanga ...kutoka Africa kusini
@ramadhanindauka10442 жыл бұрын
Kaka ni sahihi wanacheza vzr kwa mechi za Simba na yanga ila zingine inakua ya kawaida sana sasa mpira hauko hivyo
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
Nmekuja kuangalia tena 🖤💛💚😋😋💪
@abdulimagar2 жыл бұрын
Mechi nomaaa love yanga...🍏
@salimramadhani52372 жыл бұрын
Shangilia ya mayele dah nzuri eeh
@manaxelukama29266 күн бұрын
Hiii game ilikua🔥🔥🔥Christmas hiyo
@fatumasaleh60 Жыл бұрын
The king🎉 miss you
@erickmasumbuko38412 жыл бұрын
Jamn tujuane tunaoludialudia gonga lak
@halimahamis73702 жыл бұрын
Yanga punguza raha nakuwa kibonge nanenepa💚💛
@perfectkadewele3122 жыл бұрын
MECHI KALI YA LIGI KUU YA NBC PL KWA MWAKA 2022
@filemonkwaja61812 жыл бұрын
Tutamfunga yoyote atakaemfunga simba,Mayele,Morison ,Aziz,Farid,Timu nzima ya yanga inacheza kibingwa sana.Kocha Nab anajua kusoma mchezo.Azam Kipre junior, ni hatare sana
@kapessachristopher90062 жыл бұрын
Imeisha hiyooo kombe la simba musimu huu ni kuona fei Toto akisajiliwa azam,hongereni wanasimbaaaa
@azizambise Жыл бұрын
Navyoipenda hii game
@Kinungatv10 ай бұрын
Yaan jumapili hii tunailamba ice cream😊😊😊😊💚💚💚💛💛💛💛
@sokisigrace68362 жыл бұрын
hongera sana jigijiara
@stewartlaurent74902 жыл бұрын
yanga we're the home of 🏆 🥇 champions 🏆 🥇 🏅
@rehemadeus61902 жыл бұрын
💚💚💛💛
@abdallahomar58682 жыл бұрын
Yanga tamuuuuuuuuuuu
@augustinemakoba5622 Жыл бұрын
Ilikuaga mechi moja kubwaa sana Ua nikitaka kumkumbuka fei toto awekaga hii mechi najiliwaza.....leo tareh 25.06.2023
@emmanuelmalima5939 Жыл бұрын
Nipo hapa tarehe 28.06.2023
@chandukotz-fe8oy Жыл бұрын
Hii fei hakuwepo alikuwa tayar kashaiacha yanga
@augustinemakoba5622 Жыл бұрын
@@chandukotz-fe8oy sindo nasema nikitak kumkumbuka ...maan walitaka watutoe kweny mchezo ili tuharibu na tukawakanda
@joellylewis32462 жыл бұрын
Amani sana nimeelwa show hii
@mashalaclement2174 Жыл бұрын
III ni Zayd ya fraha kwangu💛💚💛💚💛💚
@uthmanmaluja70052 жыл бұрын
Nimecheka Sanaa nyonyo mmoja jirani yangu amesikika akisema hajalala kabisaaa Kila usingizi ukitaka kumpitia anashtua anaona Kama shuti la azizi ki linamjia usoni...
@deonisileonard90442 жыл бұрын
🤣🤣
@mjukuubujaga32302 жыл бұрын
😅😅😅😅
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@halimakawambwa77752 жыл бұрын
Yanga ni kubwa kuliko mtu yoyote no Feisal no problem 😁💚💛🔰
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@dinermafuru4433 Жыл бұрын
Bonge la gemu ilikua 💚💚
@rechosarivatory1662 Жыл бұрын
love young forever 💚💚💚💛💚💛
@hassanmzaa9572 жыл бұрын
Yani kuna watu roho zao zinawauma sana kwa ushindi wa point 3.
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
Nan amekuja kuangalia tena
@JosephAntony-ec7vs8 ай бұрын
Ujuane
@sarafinajohn7517 Жыл бұрын
Baada ya kuchek mechi ya Simba a unarud kuchek mechi ya yanga na Azam ili kujua mshind atakuwa Nan nawaza 2 kombe linaenda yanga
@andersonjacob94472 жыл бұрын
tunaoangalia 22/1/2023 tujuane
@makobaathumani64732 жыл бұрын
22 January 2023 ...Yanga
@elyydevie47632 жыл бұрын
Yangaaaa💚💚💚💚
@JohnsonGalus-w9e Жыл бұрын
💚💚💚💛💚💛💚💛💚100%
@koteimbamai67932 жыл бұрын
Mnatufunga afu mna chum camera 📸 zetu jinga nyie 🤣🤣🤣
@lidyachuma27452 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@slimmuhabesh24002 жыл бұрын
Aziz man of the match
@FatmaHussein-x8j Жыл бұрын
Nzuli. Sanaiyo
@lievinntaganda17152 жыл бұрын
Watching a football match is good but think Jesus Christ the son of the living God is the way, the truth and the life ,the day of repentance is today. stay blessed
@doramangesho1572 жыл бұрын
Mm mwenzio narudia Kira md
@neemamwasomola86632 жыл бұрын
Yanga bila Fei inawezekana
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu
@rafaelamrosso2622 жыл бұрын
💚💛💚💛🖤🖤
@haroonmtewele56652 жыл бұрын
Yanga nikubwa kuliko
@winniembotwa91302 жыл бұрын
Yanga ndo sisiii
@elizabethmwasi79302 жыл бұрын
💛🖤💚🔥
@mchabonde3702 жыл бұрын
Amazing
@budodianthony80942 жыл бұрын
🤣🤣🤣💝💝💝♥️♥️mechi Kali sana
@VaiEliass-l9i Жыл бұрын
Kitu kinachonipa furaha ni timu yangu naipenda sana yanga yangu
@sheysarahnjeno52072 жыл бұрын
Daima mbele nyuma Mwiko...yanga viva
@guccij62362 жыл бұрын
Moja ya kipengele kinacho mbana Azizi Ki kwenye mkataba wake ni haruhusiwi kufunga ndani ya box
@malataogtz20802 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaaa
@emmanuelwizzy46292 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🤣
@emmanuelwizzy46292 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🤣
@nitymdolo72002 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mjukuubujaga32302 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@happyngwada Жыл бұрын
Naludia kila wakat jaman
@rajabrwambow96602 жыл бұрын
Ukisikia mwaka wa kuugua kisukari ndo yanga tamu jaman
@hassanparamana22152 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 na kesho kutwa mtibwa ndio wanazidi kutuongezea kisukari 🤣🤣🤣🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
@ecostats512 жыл бұрын
@@hassanparamana2215 🤣🤣🤣🙌🙌,na hivi wanalima miwa!
@hassanparamana22152 жыл бұрын
@@ecostats51 🤣🤣🤣🤣
@CareenAkida3 ай бұрын
2024 mwezi 10 tujuane apa
@FransiscoSikapili-e5d2 ай бұрын
Uwakika
@wardaluambano21772 жыл бұрын
💚💚💚💚💚💚
@chacha-2552 жыл бұрын
Yanga ina kikosi kipana, walisema bila feitoto atutoboi ila tumejibu kwa vitendo. Feisal mdogo wetu tunakupenda sana, huenda umekwazika kwa kudhani Yanga imekubania kwenda azam ila ndivyo sivyo. Yanga umetupa msaada mkubwa na hatuna sababu ya kukubania mafanikio, tunakulinda usiingizwe chaka na hao mawakala wanaoogopa kukaa meza moja na yanga, wamekufata wewe maksudi kwasababu wanajua huna elimu ya mikataba. Kwanini wakwepe utaratibu sahihi na wakufate wewe kwa njia za mkato ? Jibu ni kwamba kuna ulaghai wanaotaka kuuficha ili wafaidike wao, wale kwa jasho lako na kukubana zaidi wewe, Hio milioni 16 ni mtego tu kama nyama iliyotegwa kwenye mtego wa panya, kwa haraka haraka utadhani ni mshahara humbe kwenye vifungu vya mkataba hali ni tofauti kabisa na ndio maana hawataki kwenda kukaa meza moja na Yanga maana wanajua wataumbuka. Ushauri wetu fata utaratibu wa kuhama waambie timu inayokutaka wakae mezani na Yanga,
@davidibrahim91382 жыл бұрын
Anahamishwa na mashabaki wa simba kwa maneno ya kurahisisha
@mohamedkutwambi2 жыл бұрын
Safari yake ni ya kwenda Msimbazi kule Chamazi anapitia tu, ni suala la muda tu utakuja amini maneno yangu,.
@kapessachristopher90062 жыл бұрын
Yanga ni kubwa kuliko Feisal,mmeona hakuna pengo lolote hapo
@binwasiumbanga92562 жыл бұрын
Hii ndio Yanga
@ezekieljonas64772 жыл бұрын
Tupo sawa
@shedadiabdul6542 жыл бұрын
Yanga ya Rahaa saana....Hivi ushagundua mafiringi yanapokuja yanga ikifunga?💛💚🔰
@floodboytz2 жыл бұрын
unaesoma hii kama unaipenda YANGA naunaamini mwaka 2023 nimwaka wako wa mafanikio kwa imani hautatoka bila kusubscribe account yangu