YESU ALINIPA SIRI KWANINI WATU HUFA MAPEMA SIKU HIZI•ESTA MASANJA KATIKA SEMINA DSM TZ•

  Рет қаралды 45,086

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 134
@patiencemkanyika2848
@patiencemkanyika2848 2 жыл бұрын
M niko Kenya nmebarikiwa sana na mafundisho yako Mungu azidi kukubariki na injili hii ienee dunia nzima
@ShukuruDaudi-ue6in
@ShukuruDaudi-ue6in Ай бұрын
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏 😭🧎‍♀️🧎‍♀️
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
Yaani mafundisho ya huyu mama hunibariki sana.......abarikiwe sana mungu na amuinue zaidi akazidi kutubariki na kutufunza neno safi lakuishi ndani ya roho zetu.
@jackswat
@jackswat Жыл бұрын
Ahsante mtumishi na nabii wa bwana Mdo 2:17, Mimi leo nimeokoka tena, MUNGU ANISAIDIE. Amina
@bernadettekosani9465
@bernadettekosani9465 2 жыл бұрын
Injili takatifu ya BWANA YESU KRISTO itangazwe opte duniani. Asante mama kwa ushuhuda. Mungu akubariki sana
@ElizabethMelaisho
@ElizabethMelaisho 4 ай бұрын
Kwa Jina la Yesu na Neema ya Msalaba, naomba toba kwa ajili yangu, mume wangu, wanangu, wazazi wangu, ndugu zangu na wenzi wao na watoto wao na wote ndugu na wazazi wa mwenzi wangu! Roho Mtakatifu tusaidie!
@desderykarugaba1826
@desderykarugaba1826 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kujitolea kufundisha injili ya kweli.
@PreciousZawadi-w8z
@PreciousZawadi-w8z Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN MUNGU awabariki wateule wa mungu mwanibariki sana
@BonifaceKyando-f5x
@BonifaceKyando-f5x Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu aliye kuonyesha hayo Ili utuambie tuweze kupona
@judithlibombolo3975
@judithlibombolo3975 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu ninabarikiwa kitoka kenya.ikumbuke ndoa yangu
@quintavitalis926
@quintavitalis926 2 жыл бұрын
Ibada nzuri mno mpaka mwili umenisismka , Mungu yupo kati yenu ,
@janetisaac1084
@janetisaac1084 2 жыл бұрын
Ameeeen Mungu awabariki wateule wa Yesu mbarikiwe sana nawapenda sana ibada hizi nazihitaji sana pia ninazipenda
@Josphine-x4p
@Josphine-x4p 10 ай бұрын
Niko Kenya mum,nimebarikiw sana maiisha yangu y wokofu wangu umebatilika God bless you
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
AMEN AND AMEN hakika hiii injili inabariki sana Asante sana promover TV be blessed
@ResparGirbert
@ResparGirbert 3 ай бұрын
Amen hakuna kama wewe Bwana Asante Yesu
@BestKindole
@BestKindole 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama kwa kufikisha ujumbe
@janetisaac1084
@janetisaac1084 2 жыл бұрын
Ameeeen,ubarikiwe sana mama,nimejifunza vitu vikubwa sana,Naomba Mungu aisaidie niweze kushinda mambo yadunia
@bellingtonlyimo6467
@bellingtonlyimo6467 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana. Kinachotakiwa upate uwanja mpana kadri iwezekanavyo ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi na ikiwezekana mikutano ya wazi ifanyike.
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 2 жыл бұрын
Yesu wa mbinguni hahusike
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
NDIO tunaambiwa habari ya KUWA NA magari majumba NDOA na kujipamba waume zetu wasituache na kumbe tumemuacha MUNGU NA SASA NDOA ZIMEKUWA CHANZO CHA KIFO BILA KUMULUDIA MUNGU HAKUNA KITU KINAWEZA KUWA SALAMA BILA KUWA NA YESU NDANI YETU
@anethswilla7563
@anethswilla7563 2 жыл бұрын
Ahahahaaa Yani Kuna watu wanapoteza watu Yani unaweza jipamba na mume akachepuka vizuri tu maana tunayaona mie nishapona my
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Hakika mpendwa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@anethswilla7563 fpct ilianzisha hizo semina miaka ya 2005 na bado wanaume waliyeyuka makanisani
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 2 жыл бұрын
Amina, Bwana Yesu tupe pumzi ya uhai tupe nyama na mshipa tuwe hai. Ee Yesu tuokoe amina
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Umenigusa sana asante sana YESU KRISTO kwakututimia mtumishi wako asante sana, niokoe nai dunia
@bentesha
@bentesha 2 жыл бұрын
Bwana Yesu alisaidie kanisa la sasa
@itangishakacecile3081
@itangishakacecile3081 2 жыл бұрын
Hapa ni wapi ndugu zangu Panaitwaje? Jinsi munavaa binanivutia. Mungu awabariki sana
@imeldanyarotsa3636
@imeldanyarotsa3636 Жыл бұрын
I really love when people are worshiping God from the bottom of their hearts,thanks be to God
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Amen kama ni Mungu ameshuka jaman abarikiwe sana mama Mchungaji pia mtumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaaa 🔥🔥🔥🔥
@sirilekwiseka419
@sirilekwiseka419 2 жыл бұрын
Asante Mungu awabariki sana
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Dada Mungu akuinue zaidi
@merryluca1844
@merryluca1844 2 жыл бұрын
Barikiwe sana,kelele za watoto zinatukosesha kusikia vizuri,ujumbe mzuri
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah barikiwen sana watumishi wa BWANA
@RosaManuelCasimiro
@RosaManuelCasimiro 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana mama.nataka kujua hababari ya kufunika kitshua
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mungu akubariki dada Ester aminaaa
@mbalukatv
@mbalukatv 2 жыл бұрын
Revival is here in this church! 1. Women dressed decently 2. People worshiping in truth and spirit 3. Order in the church 4. Sober word of truth and holiness
@julianawanjala6495
@julianawanjala6495 2 жыл бұрын
Amen barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu
@stellagabriel117
@stellagabriel117 2 жыл бұрын
amina
@tumaininzunda7206
@tumaininzunda7206 2 жыл бұрын
Hii ndy ibada ambayo Mungu anakuwepo mahali kama hapo
@Ma86na
@Ma86na 2 жыл бұрын
Amen amen amen Asante Yesu
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
I can feel the anointing
@MageSamwel-bp6od
@MageSamwel-bp6od 2 ай бұрын
Ee Mungu nisamehe kuna kitu nimejifunza hapa
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 2 жыл бұрын
Ndiyo matamanio yangu kuona injili ya kweli inahubiriwa kila mahali na watu tunamwelekea Yesu aliye Njia, Ukweli na Uzima
@bettyadhiambo9557
@bettyadhiambo9557 2 жыл бұрын
Yani ni Raha kuwa ndani ya Yesu 🔥
@aaSs-yf8oq
@aaSs-yf8oq 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@beatricemwamini2044
@beatricemwamini2044 7 ай бұрын
Amin.
@aliciaallyson4678
@aliciaallyson4678 2 жыл бұрын
Hallelujah,,Jesus Reign King of Kings
@generosakinemo5490
@generosakinemo5490 2 жыл бұрын
Asante Yesu sifa kwa Yesu. Injili ya Yesu Kristo isonge mbele Aminaaaa
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 2 жыл бұрын
Ameen 🙏 injili isonge mbele inapendeza kwauhakika mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU wambinguni 🙏🙏
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu kukaa pamoja na kwa umoja ... Psalms 133:1
@Utanziwaministry-e8n
@Utanziwaministry-e8n Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho
@rahabusalum215
@rahabusalum215 2 жыл бұрын
Amina
@Collette77663
@Collette77663 3 ай бұрын
Ubarikiwe
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub Жыл бұрын
Eeeh, YESU nisamehe dhambi zangu, mimi nimtenda maovu nisamehe
@paulokiwango21
@paulokiwango21 Жыл бұрын
Umegusa kote asante Yesu atuokoe
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
AMEEN barikiwa sana mtumishi wa Mungu, tunaendelea kujifunza tukirekebisha Kule tunakosea Eeh Bwana tusamehe
@miriammuller2845
@miriammuller2845 2 жыл бұрын
Hallelujah God 🙏 bless
@margaretmuoti4449
@margaretmuoti4449 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@bilalikisembe5012
@bilalikisembe5012 2 жыл бұрын
Asante
@aishaidrissa6133
@aishaidrissa6133 2 жыл бұрын
Ndungu,Jacktani, washauri Hawa wahubiri wasihubiri ndani TU,watoke nje pia,
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Nje ni mpaka kuwezeshwa
@Collette77663
@Collette77663 3 ай бұрын
Amenaaaa
@ezekielphilemon7343
@ezekielphilemon7343 2 жыл бұрын
Aminaaaa
@paulojohn2580
@paulojohn2580 2 жыл бұрын
Mungu nisamehe sana
@euphemiachaochao3171
@euphemiachaochao3171 2 жыл бұрын
Watching from Jordan
@edinakibani8725
@edinakibani8725 2 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Mmmmh nimetiwa wivu jinsi wamama mlivovaa KWA heshima
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Barikiwa
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Yes 🔥🔥🔥
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
Yesu ni mwema.Atupe mwisho .mwema . Tumtumikie KWA uaminifu.
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@aswilejoseph502
@aswilejoseph502 2 жыл бұрын
Muda ukiwa mrefu,ujumbe unapotea sana na mm huwa siwezi kuelewa ujumbe ulioubeba ingawa naamini umebeba ujumbe mzuri kwenye hizi video zako!!
@iamdivineimage
@iamdivineimage 2 жыл бұрын
Mungu akikupa ujumbe haijalishi ni wa urefu gani aliyekusudiwa ataupata tu
@sulemaan8798
@sulemaan8798 5 ай бұрын
Napokea.
@bilalikisembe5012
@bilalikisembe5012 2 жыл бұрын
Naisi kama naanza kupokea woke wokovu ndani ya moyo wangu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Mungu nakuhitaji saana Maishani Mwangu nishike Neno lako kama nilivyokuwa nashika masomo nikiwa mdogo na Zaidi maana Neno lako ni la Milele
@victoriaaman
@victoriaaman 2 жыл бұрын
Amen samahan eti kanisa lipo wap wapendwa
@flm1530
@flm1530 2 жыл бұрын
Yan unakuta mtu anasikiliza haya yote kuhus uzaz wa mpango na kujichua na kujiremb af anaendelea kufany hajui kuw anajiongezea adhabu maan ameijua kweli na kuikataa ni heri ambae hajasikia kbs
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Jamn hapo kwenye kujichua hapo patam Sana maana kuacha ni neema unakuta mtu mzma lkn umeathilika na kbaya Zaid umeokoka hapo ndo patam me nilipataga shida Sana ilinichukua mda snaa
@rubefabi8366
@rubefabi8366 2 жыл бұрын
Hakuna lisilowezekana kwake aaminiye.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Anaweza kuendelea maana Kasililiza tu lakini Moyo haukupokea ,Neno ni mpaka moyo upokee ndipo ufuate Mafundisho
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 kumbe wapo watu wanaojichua??mie nilifikiri ni hadithi,Hee Mungu akusaidie nilifundishwa shuleni ila sikuwahi kukutana na Mtu anauefanya hivyo
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Had raha 🔥🔥🔥🔥🔥
@evangelicalgrouptv8617
@evangelicalgrouptv8617 2 жыл бұрын
Mama Esther ,asante sana kwa ujumbe huu, Lakini nina swali, KWA NINI MAMA ESTHER UNGALI UNAPAKA RANGI ZA MAKUCHA? Itatujenga tena sana ukiondowa hicho kitu. Bwana akubariki.
@iamdivineimage
@iamdivineimage 2 жыл бұрын
Kupaka rangi kucha nani kasema ni dhambi? Mbn unarejesha Kanisa kipindi cha sheria bila sababu?
@Share_theGospel
@Share_theGospel 2 жыл бұрын
Mungu hakika ni Mwaminifu 😥😥😥🙏🙏🙏
@bilalikisembe5012
@bilalikisembe5012 2 жыл бұрын
Hivi hili knsa linapatikana wapi
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 2 жыл бұрын
Yesu nisamehe sikujua kwamba kutumia uzazi was mpango nidhambi
@paulojohn2580
@paulojohn2580 2 жыл бұрын
Hallelujah
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 ай бұрын
Nitapataje number za mtumishi Esta Masanja??????
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
Sauti ya watoto iko juu jameni
@iamdivineimage
@iamdivineimage 2 жыл бұрын
Kwa kweli
@rachelsoi4796
@rachelsoi4796 2 жыл бұрын
Kwa Yesu kuzuri jamani laaa!
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
WW DADA UTUELEZE JUU YA KUSUKA JUU MBONE MM SIJA ELEWA JAMENI PIA WA MAMA HAPO KANISANI MBONE MWASUKA INA. MAANA NINYI BIBILIA YENU YASOMA KUA. USUKE AMA NN WANAWAKE HAKI MUNGU ATUSAMEHE MM NA LIA SANA JUU YA SS WANAWAKE SIJUI NN 😭😭😭😭😭😭😭YESU YESU WANGU TUSAIDIE TUSHINDE ANASA ZA DUNIA LAZIMA TUTENGENEZE NA MUNGU NDIPO UFALME WA MBINGUNI TUTA UONA EEE YESU YESU WANGU TUSAIDIE TUSIMAME KATIKA UTAKATIFU WAKO TUTENDE YALIYO MAPENZI YAKO AMEN AMEN
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Mwenye amesuka huenda akawa ni mgeni...iwapo ulisuka tayari na nywele ni ndefu waeza chana lakin usiendlee kusuka kama waona shida kuchana punguza kiasi wokovu ni kujikana
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Kusuka Nywele zako halisi si dhambi,isipokuwa kuongeza ,Msikilize kwenye shuhuda za Maanga 7 kuna masali huko
@mercywasai6104
@mercywasai6104 2 жыл бұрын
no bora kutii ,wewe usiangalie chenye mwingine anafanya fuata neno la Mungu tu
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
@@trophywilson7211 ww nipe kifungu kwenye bibilia inayo Sema zakwetu tusuke lakini tusiongezee marasita acheni kujichanganya maandiko iko wazi wamama tuache kupingana na neno LA MUNGU MWENYE KUFUNDISHA PIA ASOMA MAANDIKO WW PIA SOMA MAANDIKO MAANA MUNGU HUNENA MARA MOJA NA HATO RUDIA NENO LAKE NIKWELI NA LIKO WAZI WAMAMA WAAAA WAAA MUNGU ATUSAIDIE TUSIMAME KATIKA UTAKATIFU WAKE TUTENDE YALIYO MAPENZI YAKE AMEN AMEN
@ObediMacumbe-g5t
@ObediMacumbe-g5t 6 ай бұрын
Nikwa nini ninyi Mnao tu hubiri eti mapambo ni dhambi ;mbona mwajipamba kwa kuvaa mavazi? 1petro 3:3 inasema kujipamba kwenu kusiwe kwa nje; yaani : kusuka nywele, kujitia dhahabu , na kuvalia mavazi mbona hamsemi mavazi? Je Mungu anakusudia watu wake wawe uchi?
@aishaidrissa6133
@aishaidrissa6133 2 жыл бұрын
Sasa ivi, mikutano kama hii,ifanyeni hadharani nje kama ni uwanjani Ili Watu WOTE Kila mahali wawe huru,MKIfanya ndani ya makanisa yenu tuu bado,baadaye fanyeni na kwa nje.msiwe na ubinafsi
@rubefabi8366
@rubefabi8366 2 жыл бұрын
Umezungumza jambo muhimu sana. Nakuunga mkono %
@jessemach4459
@jessemach4459 2 жыл бұрын
Ata ndani tu wagonjwa sana...kwanza ndani tupone alafu watoke nje.
@rehemaminja2843
@rehemaminja2843 2 жыл бұрын
Watumishi kama hawa wanafuata maelekezo ya Roho Mtakatifu... yamkini bado hajaambiwa aende viwanjani akiambiwa naamini atatii. Pia hii platform ya promover inafika mbali sana ambapo yeye asingekaa afike!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@rehemaminja2843 hapo umegusa niko nje na Ujumbe unanifikia kwa Nguvu
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 2 жыл бұрын
Mambo mengi natamani ningefunzwa nikiwa kijana. Wakati tunafaa kufundisha mambo haya wanafundisha jinsi ya kuwa tajiri ili wapate fungu la kumi kubwa
@musabarnabas7628
@musabarnabas7628 2 жыл бұрын
Ni wapi hapa? Wananikumvusha ulokole wa zamani. Watu mnasifu mkipiga makofi na kucheza, hadi raha. Naumisi ulokole wa zamani!
@alfredmwangi9640
@alfredmwangi9640 2 жыл бұрын
Uamsho kweli, nimeipenda sana hiyo sifa
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
Mbone Jana. Nilisikia twaeza suka zakwetu hapo mnanuacha njia panda mm
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Rudia vzr kuskiliza klip ilopta, alionya Sana kwa maongozo ya bwana YESU akasema unasuka ili iweje? Si kutaka ziwe ndefu nywele? Ili uwe km mzungu? Alafu ww NI mwafrika? Ili umvutie nan mmeo? Bilashaka utavutia weng na kuzn nao pia maana hata kwa kutaman ushazn hata kwa kutzama tu tyr so akasstza kilemba funika kichwa mama me MKE WANGU nshamweleza
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 lakini wa mama wengi tumekua na mioyo migumu kuhusu mapambo na kusuka hata saa hii hapo wengine walikuja tangu juzi ila bado hamwaachi kusuka na pia hata ukishuka ifinike ujue waficha mwanadamu ila MUNGU HUWEZI MFICHA NA PIA WAO DANGANYA NAFSI NA KUJIPOTEZEA MDA JAMANI WA MAMA TUGEUKE KUZIMU INA TISHA MBONE ROHO NGUMU MUNGU ATU FUNGUE VIFUNGO HIZO KWA JINA LA YESU AMEN
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
nyelefup vaa kilemba
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 aliruhusu kusuka za kwako,Ila yeye tu alikatazwa avae kilemba
@iamdivineimage
@iamdivineimage 2 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 Dah! Watu wengi ni Wakristo lakini hamjui neno la MUNGU
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Kwa uzazi warundi tu na Wanyarwanda ndio wanaofuata maana wanazaa mpaka Watoto wanaisha tumboni
@elvisambundo9040
@elvisambundo9040 11 ай бұрын
Kama vile unavyoidaiwa kuwa huyu hatokani kwa Mungu basi promover TV mnafaa mtoe hizi video zake ili asiendelee kupotosha kanisa la BWANA
@zukramlula1153
@zukramlula1153 2 жыл бұрын
Jamani YESU tusaidie. Injili ya kweli ya kutupeleka mbinguni imepotea makanisani. Kumbuka rehema Bwana. Rehemu eeh BWANA. Ni nani atakaetuokoa na mitego ya mwovu, no WEWE YESU ulieshinda kifo, kaburi na mauti. Tushindie eeh YESU.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yes tumebaki na MAWIGI na nguo fupi na KUJICHUBUA na uongo usengenyaji na kuniona na wizi wa WAUME za watu na UCHAWI na MUNGU ATUSAIDIE KUMUTAFUTA YY
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
@@geitandelwa299 Kwakweri Kabisaa
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
MUNGU NIMWINGI wa REHEMA atusamehe ZAMBI ZETYU
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@geitandelwa299 tukiviacha hivyo ni rahisi vingine kila leo tulihubiriwa kila wakati
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@geitandelwa299 mfuatilie saana huyo Mama utajifunza mengi mno si mawigi tu kama unapenda mawigi ,Anafundisha hadi kinachozuia maombi yako Yasifike mbinguni,Maanga 7 utajifunza kitu na kitakuinua Kiroho,pole saana kama umejeruhiwa
@nuruulomi5769
@nuruulomi5769 2 жыл бұрын
Tutapaje kupona jamani na hii mitego ya shetani
@bintibatuli4872
@bintibatuli4872 2 жыл бұрын
Naitaji vilevitabu vinavyo uzwa
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Pokea sifa Bwana, heshima utukufu twakupa ww
@amina4822
@amina4822 2 жыл бұрын
Kanisa gani ilooo jamaniii
@Susan-cl3fd
@Susan-cl3fd 8 ай бұрын
Bwana asifiwe hio mahubiri inagusa kweli nilidhani dhambi kubwa ni usherati na masengenyo ndio inapereka watu jahanam kumbe ni dhambi nyingi sana imejificha itafanya watu wengi waende kuzimu
@aswilejoseph502
@aswilejoseph502 2 жыл бұрын
Punguza urefu wa video mtumishi ili watu tuone kwa ufanisi mkubwa!!
@Utanziwaministry-e8n
@Utanziwaministry-e8n Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho
@kelsamtv5529
@kelsamtv5529 2 жыл бұрын
Amina
@Utanziwaministry-e8n
@Utanziwaministry-e8n Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho
@DenisChacky
@DenisChacky Жыл бұрын
Amina
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
KWANINI MAFARAKANO HAYAHISHI KATIKA NDOA NYINGI |NABII ESTHER MASANJA
1:21:29
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 10 М.
KIPESILE | 44 |
22:10
Adery Masta
Рет қаралды 10 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 13 М.
MWABUKUSI ASHUSHA NONDO MBELE YA RAIS SAMIA MAADHIMISHO SIKU YA SHERIA
23:10
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН