Strong ,,YESUUUUUUUUUUUU AMANI YANGU GONJA LIKE HAPA KAMA YESU FAHARI YAKOOO
@HelenKhumi-r4o3 ай бұрын
Naupenda sasa huu wimbo naomi na ima mbarikiwe sana wimbo wa viwango vya juu sanaa❤❤
@gadielyyoely42474 жыл бұрын
Kila mwenye pumz na amsifu bwana halelujah
@rodgersm.67744 жыл бұрын
Stuck in Traffic along Mombasa road from work feeling exhausted then bam notification... I decide to play the song. I just had to increase the volume ..... I am almost home. Barikiwa. What a good way of closing today
@eudiaorwa81213 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/n4WnZpijhZV9i9E
@virginieshalu4 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 yesu fahari yangu 💥nina Amini. 🙏
@agnessmpogole69364 жыл бұрын
Hakika yesu fahari yangu mbarikiwe Sana
@elizabethnehemiah70813 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI kazini Mwendo
@iweningogoofficial37334 жыл бұрын
Waoo my kaka and Naomi mungu awabariki
@emmanuelmwandumbya86164 жыл бұрын
Nimebarikiwa na wimbo huu , MUNGU awabariki dada na kaka Emma
@girukwishakavenantie4973 жыл бұрын
Njia yangu iwe ndefu, hata mawimbi yakinipiga, nguvu zako YESU nizo nanga
@esthernekesa74914 жыл бұрын
Kazi nzuri
@naomipetro59003 жыл бұрын
Hongera mwayego Naomi na Emanueli
@eunicemuhonja36902 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na hu wimbo mungu awape nguvu nauzima neema yake iwatoshe be blessed 🙌
Yesu ndiye mwanga wetu wasikuzote mubarikiwe waimbaji wote
@lispertonengeti62663 жыл бұрын
Wooow proud to hear this ...nice song aunty God akupee more creativity you release more
@NeemaMgaya-ez9un7 ай бұрын
Yesu fahar yangu wokovu wangu,niende Kwa nan .
@israelnziku55064 жыл бұрын
Hela na upako umenenepa brother,, good song congratulations
@Melisacr11474 жыл бұрын
Hahah kwel ase
@esternkulikiye98933 жыл бұрын
Mungu awanitunzie nyie watu nawapenda atali huuwimbo unanifulahisha sichoki kuusikiza na kuutizama
@esaupanga48143 жыл бұрын
Yesu wokovu Wang nzur San mama mungu akuinue zaid
@jeanmariemuco11324 жыл бұрын
Barikiwa sana nimewapongeza sana From Burundi ila naishi Lusaka zambia
@namsifubwana2152Ай бұрын
Ameen ameen mmenibariki sana
@joiceelimu78184 жыл бұрын
Nasikiliza huku nalia kwahisia mubarikiwe sana
@mariumlorry99592 жыл бұрын
Nimebarikiwa mungu aibarik hudum yen
@jamesdonard20814 жыл бұрын
Amen kubwa Mtumishi
@frankmapesa64134 жыл бұрын
Ameeeen nabalikiwa na nyimbo zako pst Emmanuel mgogo nikiwa bukoba kagera tz Mungu azidi kukutumia kwa huduma hiyo tuzidi kuponywa kupitia uimbaji
@subilagakipesile8453 жыл бұрын
Aminaa wimbo wa kukutoa mahali Fulani kwenda sehemu
@naomipetro59003 жыл бұрын
Tunakupenda kutoka nairobi
@naomipetro59003 жыл бұрын
Mwajina waooooo chezea
@dorkasiasamwel68654 жыл бұрын
Wonderful one🌹♥️. Mungu awabariki sana na kuwapa kila aina baraka katika huduma yenu hiyo. Yesu awatunze, nimebarikiwa sana
@devotahida12482 жыл бұрын
Mgongo nakukubali sanaaa
@christinmulongo84834 жыл бұрын
Kweli kabisaa katika Jina LA yesu cristo Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯👍
@celestendoriyobija954 жыл бұрын
Amen Yesu wewe ni fahari yangu, mubarikiwe sana
@elizabethkyelula24044 жыл бұрын
Barikiwa watumishi
@paulinajohn59112 жыл бұрын
Amen Mungu akuweke juu kwa Utukufu wake .
@derickmelki24504 жыл бұрын
Mtumishi mbarikiwe sana .
@louisejean58464 жыл бұрын
Emanuel mgogo! Dah!mungu ameiwekea sauti yako upako sana! Mungu awabariki sana watumishi wa mungu 🙏🙏🙏✨✨✨
@willemontana30114 жыл бұрын
Congratulation to you brother am blessed
@marthamburu75384 жыл бұрын
Great song . Iam blessed Thank you Naomi and Emmanuel
@sinyatipaulo67253 жыл бұрын
Nyimbo zako ni baraka kwangu since 2014
@julytito38914 жыл бұрын
Barikiwe na Bwna wimbo mzr san
@eliusmnyagwea95194 жыл бұрын
Nami ni mwimbaji elius mnyagwea pongezi sana
@agnesslyatuu80264 жыл бұрын
Umenikung'uta mavumbi umenitoa chini, Yesu niende kwa nani kwako kuna Uzima.Mbarikiwe watumishi wa Mungu sana.
@bedigeneyingu16923 жыл бұрын
The stone the builders rejected has become,my cornerstone. I'm blessed. Wonderful praise and Thanksgiving.
@bensonmafuwe10024 жыл бұрын
You make me a crazy kwa ajili ya Yesu,niende kwa nani jaman kwako Yesu kuna uzima
@esthernjoki89014 жыл бұрын
Wow💋💋 wonderful 🙏🙏
@leonardanzurunipombi24994 жыл бұрын
Amen Amen wimbo mzuri wenye upako mbarikiwe sana
@marryjohn1214 жыл бұрын
Mgogo umebeba nyimbo !
@stephanosteven39624 жыл бұрын
Glory to God 🙏🏿 like below
@RithaKirway7 ай бұрын
I miss you Naomi 🥺
@leontinebinlydi94594 жыл бұрын
Amena sana M🙏🙏ubarikiwe 💃💃
@suzanmasika47944 жыл бұрын
Barikiwaaa sanaaa
@janemwendekavulunze5754 жыл бұрын
Mmmmmmm nabarikiwa hapa Kenya amen
@ezekielaloyce59174 жыл бұрын
Good song bd bleesed
@ibrahimfailo25642 жыл бұрын
Nimebalikiwa na huduma yako.MUngu akubarik
@miliageoffrey24922 жыл бұрын
Mungu awabarki jamani
@eliudhance65824 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kazi nzuri ,
@juliusikamukulu52673 жыл бұрын
Juu ya wimbo huu tunanena kwa lugha,barikiwa mtumishi
@abundancegrace20234 жыл бұрын
22 times i have repeated the very song yet am not getting enough of it collabo safi san Kenya inanyonywa hii be blessed servants of God.
@ruthnaliaka18262 жыл бұрын
Hallelujah Amen 🙏🏾🙏🏾👐🙏🏾
@HellenKahema7 ай бұрын
Jamani ❤❤❤
@lizmass42534 жыл бұрын
Love u pastor Emmanuel nyimbo zako nazimba sana
@kyusakyusa34334 жыл бұрын
Barikiwa sana
@esternkulikiye98934 жыл бұрын
Mungu akubaliki kaka tunabalikiwa na Mungu aendelee kukutumia
@lydiahbarasa49403 жыл бұрын
Barikiweniiiii ....juu wimbo umebeba upako mnooo
@nellyshantel10014 жыл бұрын
Videovixen wameweza😂😂😂
@ruthmwasomola39074 жыл бұрын
Yesu fahali yangu uzima wangu
@lindashadrack74704 жыл бұрын
There we go my mentor Emmanuel mgogo, nitakuja Tanzania to tap that annointing MOG.
@febroniamukandi81502 жыл бұрын
Today I'm blessed by this song 👆
@pendorobert68684 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@kwizerayvonne19504 жыл бұрын
nice song
@eliusmnyagwea95194 жыл бұрын
Thenks kwa wimbo mkali
@kafwimbitv45414 жыл бұрын
Am proudy to be your fan nince sayuni band, you doing well
@nurujacob61814 жыл бұрын
Congratulations sister &brother 4this blessing song
@YOKOBARAKA Жыл бұрын
Ubarikiwe
@pastoreliwkimaroni83324 жыл бұрын
Hapo sawa mummy
@christinmulongo84834 жыл бұрын
Good gospel song
@rachelmapalala58604 жыл бұрын
Pongezi,Yesu mwokozi wanguuu
@morgansiwanzi17914 жыл бұрын
Iam blessed,thank u Naomi and Emmanuel m
@celestinemutesh17063 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥Be blessed you guys
@magdalenaobet85024 жыл бұрын
Haleruyaaaa fahari yangu
@stellamwango69304 жыл бұрын
Wonderful song, May God bless you guys
@jacklinenasimiyu22924 жыл бұрын
Amen amen🙌🙌🙌🙌🙌❤❤
@neemapaulo90334 жыл бұрын
Harmonize
@charlesmojela84422 жыл бұрын
Please add the meaning in english. Love you.
@pasianceturumani62032 жыл бұрын
Amen amen
@bahatimwembe43764 жыл бұрын
Glory Glory
@ReverendPropheteJoshua4 жыл бұрын
Mungu amubariki
@JohanesJester2 ай бұрын
Ameni
@neemakirangu73813 жыл бұрын
Nawapenfa
@jeanclaudeniyiragira54663 жыл бұрын
Nice
@moshanaaman55884 жыл бұрын
HUUWIMBO UMENIGUZA.
@yasintaraphael83343 жыл бұрын
Amina
@hellenkianira82874 жыл бұрын
God bless you Mgogo, your songs are spiritual always I'm be encouraged through your song. We are appreciate you much here in Germany
@mgogosinger4 жыл бұрын
Ameen. Thank you Sister Hellen
@salamafulu21854 жыл бұрын
@@mgogosinger moyo wangu umeinama naitaji kuokolewa ninamzigo mzito wa dhambi uliyonyang,anya Aman ya moyo wangu naomba kuokolewa katika hii dhambi ema Kaka nishike mkono japo kwa maombi ninadhambi nyingi za kushindwa kumjua mungu Kama mtetez wa maisha yangu,magonjwa yananisonga jinamiz linanitesa nashindwa kumutumikia mungu 😭😭😭
@mgogosinger4 жыл бұрын
@@salamafulu2185 Nitumie namba yako
@salamafulu21854 жыл бұрын
@@mgogosinger 0768118249)0675344480
@janejoseph16313 жыл бұрын
Pole sala MUNGU ATAKUSAIDIA NAAMINI MTUMISHI PIA AMEENDELEA KUKUSAIDIA