No video

Yesu Golo Kwong' Duto

  Рет қаралды 9,607

SHIRATI CENTRAL SDA CHOIR

SHIRATI CENTRAL SDA CHOIR

Күн бұрын

MTUNZI; Gerald wagumba
Mwalimu wa sauti;Geofrey tukiko
ujumbe wa wimbo
yesu anaondoa dhambi na laana zote zilizokwetu
kabla ya kumjua yesu tuliishi katika utumwa wa dhambi na sasa baada ya kumjua anafanya ondoleo la dhambi kwetu
kwa mawasiliano na kupata nyimbo zaidi usiache kubonyeza kengele hapo juu na kusubscribe
mawasiliano ya kanisa
shirati central sda inapatikana SHIRATI RORYA MARA TZ
SLP 198 RORYA
mwl o688074255
mawasiliano 0759109864

Пікірлер: 41
@denisjoseph943
@denisjoseph943 11 ай бұрын
damu ya YESU imeondoa laana zote!! SHIRATI MBARIKIWE SANAA
@KelvinShadrach-v3l
@KelvinShadrach-v3l 6 күн бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi ya injili mnayofanya,kwa kweli nabarikiwa sana kupitia huu wimbo imenigusa sana.❤
@jamesouma407
@jamesouma407 Ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa maana mnafanyakazi nzuri katika jina la YESU KRISTO.
@bwaitv1271
@bwaitv1271 10 ай бұрын
Mbarikiwe sana rafiki zangu hapo mmenigusa na kunikumbusha sana. Karibu sana Bwai Paris central kwenye effort Nov
@user-yh1ir3mh9u
@user-yh1ir3mh9u 11 ай бұрын
Mungu ni mwema kwakweli wimbo umewabariki waliouelewa japo kuna wengine wameomba utafsiriwe kijaluo.kwa ufupi ni kwamba Yesu anaondoa laana na dhambi zote---
@derick19962
@derick19962 11 ай бұрын
Mungu azidi kuwa upande wenu Tumikeni na Bwana atawaheshimu
@user-dt6xv4bc9o
@user-dt6xv4bc9o 11 ай бұрын
Mbarikiwe jaman Mungu awe upande wenu muende mbali
@GilbertKivawira
@GilbertKivawira 11 ай бұрын
Marafiki zetu...nimeukumbuka wimbo huu kwa machozi ya furaha...mwalimu Gilbert KIVAWIRA kutoka Drc kwaya Nouvelle jerusalem Goma
@japhetkarogo3299
@japhetkarogo3299 11 ай бұрын
Asante sana mwalimu tupo pamoja
@user-cq3em3mu2h
@user-cq3em3mu2h 11 ай бұрын
Wow. 🙏🙏🙏🙏Mubarikiwe sana. Mungu aongezee nguvu. ili mufikie mwisho
@SagandaSita
@SagandaSita 8 ай бұрын
Asante, nazidi kubarikiwa,one day takuwa mshiriki wenu piah, by nawapenda Sanaa bwana awabariki
@DEOGRATIUS.745
@DEOGRATIUS.745 8 ай бұрын
Barikiwa sana shirati central❤
@FELIXKIPKIRUI-bm1no
@FELIXKIPKIRUI-bm1no 8 ай бұрын
Kalenjin but am blessed though sielewi lugha
@latifajohn7506
@latifajohn7506 11 ай бұрын
Barikiweni Kwa kazi nzr
@shiraticentralsdachoir
@shiraticentralsdachoir 11 ай бұрын
Karibu tubarikiwe pamoja share na watu wengine pia wapate mibaraka hii
@thenewstv9342
@thenewstv9342 11 ай бұрын
Amen amen,,, barikiweni sana
@shiraticentralsdachoir
@shiraticentralsdachoir 11 ай бұрын
Amen
@jamesouma407
@jamesouma407 Ай бұрын
Actually for him who accepts Christ Jesus all the unthinkable things are possible for Christ has washed all my sins away
@richardongoro5630
@richardongoro5630 9 ай бұрын
Yesu golo Kuong duto, What great message, God bless this choir to bless others
@user-cq3em3mu2h
@user-cq3em3mu2h 11 ай бұрын
Drc tuko pamoja. 🙏🙏
@elishaandrew2965
@elishaandrew2965 11 ай бұрын
Ameen, tunatambua mchango na ushirikiano wenu
@fredricomondi9935
@fredricomondi9935 8 ай бұрын
Aee!! Kaneya Nyasaye ogwedhu.
@japhetkarogo3299
@japhetkarogo3299 11 ай бұрын
Ameen mbarikiwe sana
@elishaandrew2965
@elishaandrew2965 11 ай бұрын
Endeleen kubarikiwa
@bernardodhiambo9297
@bernardodhiambo9297 11 ай бұрын
On point!
@mashakapaulo7721
@mashakapaulo7721 11 ай бұрын
Waooooo
@havieralphonce7620
@havieralphonce7620 11 ай бұрын
Amen
@lawirose-yn7xq
@lawirose-yn7xq 11 ай бұрын
Mbarikiwe sana wana wa Mungu. Mama yangu Eunice kateti kazi isonge mbeleee❤❤
@magemage6439
@magemage6439 11 ай бұрын
nice song amen
@AustineJulius-or5eq
@AustineJulius-or5eq 11 ай бұрын
Leo ndo mara ya kwanz kucomment wimbo wa shirati central soon after release mmbarikiwe sana
@shiraticentralsdachoir
@shiraticentralsdachoir 11 ай бұрын
Barikiwa
@danokangi8014
@danokangi8014 11 ай бұрын
Be blessed
@shiraticentralsdachoir
@shiraticentralsdachoir 11 ай бұрын
Blessed too
@user-pg2fi5kb3n
@user-pg2fi5kb3n 10 ай бұрын
Erokamano
@janedraba5949
@janedraba5949 11 ай бұрын
It sounds wonderful but binafsi sielewi hata kidogo. Ingekua vyema mukatafsiri jamanii😊
@denisjoseph943
@denisjoseph943 11 ай бұрын
emeen wana mara conference
@williammustdo
@williammustdo 11 ай бұрын
Amen, God doesn't call the Qualified but he makes them Qualified for his Gospel. May God bless you all, A very powerful song with great message. be blessed. 🙏🙏🙏🙏💯💯
@shiraticentralsdachoir
@shiraticentralsdachoir 11 ай бұрын
Amen
@NicholasMwenda-kq2bv
@NicholasMwenda-kq2bv 11 ай бұрын
Shirati do a swahili version of this song
@shiraticentralsdachoir
@shiraticentralsdachoir 11 ай бұрын
Received thanks and continue to be blessed
@denisjoseph943
@denisjoseph943 11 ай бұрын
emeen wana wa mara! conferenc
Bartimayo -  Shirati Central choir
7:11
SHIRATI CENTRAL SDA CHOIR
Рет қаралды 61 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 75 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 9 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 28 МЛН
SHIRATI CENTRAL CHOIR-NINAO WIMBO  SHIRATI
6:21
SHIRATI CENTRAL SDA CHOIR
Рет қаралды 31 М.
Obwere SDA Choir (Kaniinua YESU)
6:16
OBWERE SDA CHOIR
Рет қаралды 2,6 М.
NYAHANGA SDA CHOIR-ROJOROJO
5:17
MISANA GEORGE CHRISS
Рет қаралды 270 М.
MATENGANO TUMAINI CHOIR Official Video HD
9:40
MARGIZO MELODY PRODUCTION
Рет қаралды 221 М.
Sioni Aibu By Modern Herps Ministers Kisumu
6:25
Jommo records
Рет қаралды 4,7 М.
( Sio Hasara )BY SHIRATI CENTRAL SDA CHURCH CHOIR -TANZANIA
6:30
SHIRATI CENTRAL SDA CHOIR
Рет қаралды 47 М.
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 524 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 75 МЛН