No video

"YUSUPH MANJI TUMEMKAMATA" MKURUGENZI TAKUKURU

  Рет қаралды 27,386

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imesema bado inaendelea kumshikilia Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji ambae aliwasili hivi karibuni akitokea nje ya Tanzania alikokwenda kwa muda mrefu.

Пікірлер: 51
@salimmgangq6425
@salimmgangq6425 3 жыл бұрын
Huyu jamaa Hana bahati na nchi hii
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Mwachieni manji jamani baba wa watu aliteseka mno kwa mambo hayo kampuni zake alizifunga akaondoka watu walikosa ajira leo tena mnatakafanyajee daa 😭
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Mnatuzuga wananchi nyie uongotupu hii nchi ni ya watu wachache
@mohamedhashimu9923
@mohamedhashimu9923 3 жыл бұрын
Ilo chezo tu mbona jamaa kesha achiwa kitambo
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 3 жыл бұрын
Majaji wanajua kazi zao sheria itachukua mkondo wke msiwapangie kazi
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 3 жыл бұрын
Hawa wanatuchezesha tu hamna kitu hapo, wanatuchezea akili zetu, haingii akilin atoke huko atokako bila kuhakikishiwa usalama wake, Week 1 kubwa yote haya yataisha na hatuta sikia tena
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kiini macho hawawezi kumwita kisha wamkamate tena
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
al hamdulilah samia jitazame sana nahayo majiz yako unayoyaleta kwa kas tanzania
@shinipapaya846
@shinipapaya846 3 жыл бұрын
Nitafanya sherehe akinyongwa yarabi mungu jaaria
@issahsuleyman3704
@issahsuleyman3704 3 жыл бұрын
Km ni baba ako ama mama ako akinyongwa utasikiajee,,usiwe na chuki kiasi hicho hata mnyama hawi km ww,,
@theodoremilenzo9420
@theodoremilenzo9420 3 жыл бұрын
Huo ni mchanga wa macho. Watamwachia na hawatamfanya chochote kile. Ni kitu ambacho wanajua wanachokifanya katika kuendeleza mambo yao ya ufisadi. Hiyo inaitwa public test....ni kutaka kujua public ita react kivipi na isipo react kwa namna wanavyojua ndio itakuwa imetoka hiyo
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
Lakin wakifanya ufisadi na wewe utapata manufaa fyat mdomo wako
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
Lo, majanga. Maisha ya kati yanaunafuu kwa asilimia nyingi tu. Ukiwa na fweza shida, ukiwa maskini utajuta.🙆‍♂️
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 3 жыл бұрын
Manji lipa madeni uendelee na maisha tz
@zenj1986
@zenj1986 3 жыл бұрын
Hao ndio mafisadi na waliifanya serikali ipo katika mifuko yao wakati wa kikwete. Ningekuwa mie ninataifisha mali zote mana amewaibia watanzania.
@binyamina8850
@binyamina8850 3 жыл бұрын
Akili zako kama za baba yako Nyerere, leo hii ndege zetu zinakamatwa kwa kutaifisha mali za watu. Mnavyotaifisha mtaweza kuziendesha, kila mnachokishika mnakiua.
@ayoubabdulrahman1305
@ayoubabdulrahman1305 3 жыл бұрын
@@binyamina8850 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁yaan ndugu yangu ....yule mwendao wa kwanza wala usinikumbushe tumevaa mpaka tair za gari ...
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 3 жыл бұрын
Kila kilichotaifishwa kimekufa
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
Kwanza we mtoto wa haramu Baba yako ni nyange mama yako alichepuka hatushangai🤣🤣🤣
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
Hiyo danganya toto tu, wao ndo wamemwita
@kisalaTV
@kisalaTV 3 жыл бұрын
Warivyo skia jpm ayupo wameenza kurudi. Warijua itakuapoa. No. Kazi ienderee
@tanzaniamagufuli1857
@tanzaniamagufuli1857 3 жыл бұрын
Mtajijuwa wabongo fitina wakubwa nyie? Si mukimdhihaki magufuli nyieeee? Mutamuota eti leo kikwete baloziiiiiiii hahahahahah
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 жыл бұрын
ndi nasikia sasa baloz wa nini ? 😥😥Allah tunakuomba pokea duwa zetu kwa wakti jalia rais kma maghufuli kwa mara ingine tena tunakuomba yaraby 🤲
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 3 жыл бұрын
Jamaanndio akili zetu zilipoishia ngozi iliyo laaniwa MTU anaweza akawa anakuibia 100 na akakulipa 30 ukawa unamshukuru na kumsifu ujinga huo anautaka mwajuma ndala ndefu sio magufuli
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 3 жыл бұрын
Unataka anyongwe anakesi za mauwaji waliokua waliokua wanabaka watoto wadogo na walawiti mbona wanakamatwa na wanatoka hamsemi wanyongwe
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
Huyu manjibanaipenda Tanzania lkn watanzania wanamfatilia mno hadi huruma aisee hakai kwa aman jmn ifike mda tusamehe kila kitu kina mwisho jmn
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 3 жыл бұрын
Sasa unabeabwaja au unakijua unachokiongea?kwa mtazamo wako basi tuwafungulie wafungwa wote na tusiwe na magereza au..wanaotakiwa kufungwa ni vibaka wa mtaani tu?
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
@@mawazoaliselemani umemaliz au una jingine kam lipo ongea mm nipo ktk swaum siez shindana na mtu so ukimaliza kunywa maji kalale wala tafuta wa kujibizana nae ila muacheni roho mbaya wangap waliiba na wapo tu au vile rangi tofauti ndioman wamsakam hata ww kapuku? Mhhh tafuta wa kujibizana nae ila nishaongea hivyo
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 3 жыл бұрын
Mpuuzi huyu usituletee ushabiki wa kipumbavu ,anaipenda Tanzania huku atatuibia rasilimaki zetu? Unaibiwa harafu unajifanya huoni? Usiwenaakili za madada poa tena hata hao wansunafuu. Haokina manji wameihujumu hii nchi wameshiriki biashara za madawa ya kulevya. Kumbukeni mateja walivyokuwa leo mwataka turudi kuletulikotoka? Hao kina manji waliiweka serikali yote Awanu ya nne mfukoni. Jameni hebu zinduka wewe usiwe mpumbavu hivyo
@munaahmed8499
@munaahmed8499 3 жыл бұрын
@@godfreymasele8853 yalishatokea ndio mumfukuze sasa mtatukana mpk kesho lkn yupo hivyo endeleeni tu
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 3 жыл бұрын
@@munaahmed8499 ..unachokiongelea kinanihusu ndio maana nimekuji u,Tanzania yetu sote na wajinga kama wewe ndio mnaotuingiza kwenye huu upumbavu..siwezi kukunyamazia..kama ungekuwa kweli unaijua dini basi ungejua ..kasome kisa vha kushushwa kwa sura ya abasa watawalla...utajua mungu haangalii matajiri peke yake kwa mungu hakunaga maji au kibaoa wa tandale ,wote wanahitaji huruma mnafiki wewe!
@hassanrashid225
@hassanrashid225 3 жыл бұрын
htr
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 3 жыл бұрын
Jizi hilo. Limeona magufuli mtalaa LM wakuwabana wahuni amekufa sasa alirudi kwenye shamba LA bibi .baada ya kujiridhisha mama hana uwezo was magufuli kuwadhibiti wafanyabiaashara wasio waadilifu.(integrity) hats kama tunahitaji wawekezaji lakn wawe ( Values) kama nimwekezaji huna integrity nibora usiwepo. We need someone who has uadilifu to invest in our country. Hakuna nchi duniani inayo entertain wawekezaji mafisad au majizi,hayalipi kodi.
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 3 жыл бұрын
Danganya toto 🤣
@noelmmari8570
@noelmmari8570 3 жыл бұрын
Kesho 2 ataachiwa team Jk ndo itafanya hazi na yule binti hana ujanja
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 жыл бұрын
Hii ji geresha tuu
@mohamedyally9673
@mohamedyally9673 3 жыл бұрын
TUACHE USHABIKI HUYU MANJI AMETUZARAU SN WA TZ KIPINDI CHA JK WACHA YAMKUTE
@mrishoboka3748
@mrishoboka3748 3 жыл бұрын
Kashaachiwa sasa fara wewe
@kassimmurji2872
@kassimmurji2872 3 жыл бұрын
Kakudharau nn ww kajamba nan?huyu nimfanyabiasha aliyejiingiza kwenye siasa zetu za maji taka mpaka yakamkuta yaliomkuta Tanzania inamuhitaji manji kuliko manji anvyoihitaji Tanzania yote na yote nimtanzania na hapa ni nyumbani kwao
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 жыл бұрын
@@kassimmurji2872 alikuwa kwao India
@amosmoses7800
@amosmoses7800 3 жыл бұрын
WaFanyA BiAshaLa waTanZaNiA hAwaTakiWi .eTi mpAkA ajE mZunGu atuzibiE maDini yeTu teNA tuTamLinDa nDivo ccm InaVoTaKa. ChaMa chA MaZeZeTa waLio mAFiSaDi
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 жыл бұрын
We jamaa kwa kujifanya mjinga,shikamooo
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 3 жыл бұрын
@@issackjoseph6436 alaf comment zake linacoment utumbo tu
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 жыл бұрын
@@zinbormdan9813 cjui ni mkimbizi huyu ndg huyu atachunguzwa tu
@zinbormdan9813
@zinbormdan9813 3 жыл бұрын
@@issackjoseph6436 nimemuona mara nyingi san anapend kuandika vitu visivyo na miguu wala mikono wala hata si mkimbizi ni mijitu isiyojielewa tu
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 1,7 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 36 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 43 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 11 МЛН
RIDHIWANI AFUNGUKA: Ni kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji
12:34
Millard Ayo
Рет қаралды 74 М.
Maneno ya Yusuph Manji baada ya kutajwa tuhuma madawa ya kulevya
9:37
"Yusuph Manji akitoka Hospitali aje, tunamuhitaji UHAMIAJI"
7:51
Millard Ayo
Рет қаралды 106 М.
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
BR7 Football
Рет қаралды 1,7 МЛН
#breakingnews BILIONEA YUSUPH MANJI AFARIKI DUNIA NCHINI MAREKANI
1:22
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
Manji Ajisalimisha Polisi Sakata la Madawa ya Kulevya
1:50
Global TV Online
Рет қаралды 28 М.
Yusuph Manji afariki dunia akiwa nchini Marekani
2:07
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 17 М.
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 1,7 МЛН