Nafatilia zamaradi tv nikiwa Burundi Bujumbura 🇧🇮pole da esma,watu wanaongea wasiyo yajuwa.njo maana katika dini yetu ya kiislam,tunashauriwa ukipata mwanaume anataka kukuowa,sali kwanza sala ya istikhara,njo ukubali kuolewa,ukishapewa majibu na Allah,proud to be Muslim.
@ghulamjuma28834 жыл бұрын
Hapana sala apo yupo mbali na sala
@saalm21054 жыл бұрын
🇧🇮
@sissykhadija53434 жыл бұрын
Komeraaaaa👊🤝
@elizalwakatare80704 жыл бұрын
Wanawake hasa wenye vipato kuweni makini Sana 💗💗hili ni somo, hongera esma kwa kusimama imara 💪
@jacquelinepallanjo29884 жыл бұрын
Yaani nimejifunza kitu
@zaitunmtinange34533 жыл бұрын
Mh... kweli usilolijua Ni sawa na usiku wa Giza!! Hongera kwa msimamo esma!! Hongera Zamararad....una hekima, Allah akulinde
@hbabe53204 жыл бұрын
Pole sana Esma kwa matatizoo. Pia tunashukuru kwa story, hiyi ni fundisho kwa sisi wanawakee. Asante Da Zama❤️❤️❤️ that why we love ur Tv💥💥💥🥰. Esma mungu atakusahidiyaaa 🙏🏽
@vailetjulius47824 жыл бұрын
Wengi tunaangamia
@mirarajabu30994 жыл бұрын
Nimenifunza sana jamani
@tracyjoseph20754 жыл бұрын
Dah! Esma kwa Sasa I love unyang'anyang'a maana nimekuelewa mpaka nimekuelewa tenaaa♥️♥️♥️♥️😘😘😘
@kautharmkali39574 жыл бұрын
Tunajifunza hapa kuwa, mzazi unaruhusiwa kumshauri mtoto wako juu ya machaguzi yake ya maisha ila sio kumlazimisha mtoto wako kuolewa kwa sababu ya uwezo wa kifedha,, kwa msizwa amefake life ila wapo ambao hawajafake na wananyanyasa na kudharau wake zao kwasababu ya pesa zao Ladies: tusigeuke watumwa wa pesa za waume, na kuona aibu kutoka matesoni kisa jamii itakuchukulia wewe si mwanamke uliyefunzwa na wazazi wako kabla ya ndoa. It's okay kuitwa jeuri ama kiburi kwasababu ya kuwa sahihi na kutafuta furaha
Duh! Esma umejua kufumbua madada wengi macho..hiki kisa kimenikumbusha mengi..ila Mungu mkubwa🙏🙏
@deboraibrahim33684 жыл бұрын
👏
@mutwalesylvie74433 жыл бұрын
Wengine ndo kwanza wanadanganywa
@lizakoth24 жыл бұрын
Zamaradi is such a host👏.... Love from Kenya❤️
@bizimanasal3 жыл бұрын
Kabisa esmas apo niko sahihi ukija tajiri inabidi nijishushe niwe maskini 🥳
@xbdbdgdgsbdbbxx42544 жыл бұрын
Esma ni mkweli. Big up Esma. Bora umeongea 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@hismahseid89924 жыл бұрын
Me binafsi kama mwanamke nimekuelewa esma 🙌
@upendokimario89884 жыл бұрын
Nmekuelewa sana afu ww n mkwel
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Wanaume wasumbufu
@washwash67234 жыл бұрын
@@veronicadaniel1122 llpl
@hellokittylover76414 жыл бұрын
Kweli ninavo elewa na izo surprise zake mpaka kuowa unashindwa kumwambia muhusika unamwambia mama yake alihofia wasijui mabaya yake na ndo mana alikua anapitia kwa mama
@naimanaima47154 жыл бұрын
Ata me
@njerigithara36934 жыл бұрын
I LOVE YOUR COURAGE TO WALK AWAY ESMA, ALOT OF WOMEN ARE SUFFERING WITH SUCH NARCISSISTIC MEN AND THEY KEEP PROTECTING THEM, YOU ARE SO BEAUTIFUL GOD WILL BE WITH YOU ❤️
@slayingtee60444 жыл бұрын
I agree
@jacklinengozi11224 жыл бұрын
Come down esma is a lier, I don't believe anything she says. She's nothing but a joke.
@ladysalimkabora99524 жыл бұрын
@@jacklinengozi1122 you won't believe something that you haven't experience. People who have been through this do believe her
@lovvy8544 жыл бұрын
All in all but abortion is a Crime
@narindwashaidi35284 жыл бұрын
📌💯💯
@tabithanjeri58064 жыл бұрын
Pole Esma.....I have a feeling that they planned it all with his South African wife.....I said it on your wedding day live chat that Msizwa ni mkora wa Tanzania wakani attack....Am happy that you left that devil
@morineakinyi11164 жыл бұрын
Very true
@maryaida94173 жыл бұрын
That man he's a big evil
@sarafinapeter31634 жыл бұрын
Wanawake tujifunze wallah 🙌 pole Esma
@veronicascottmollel78974 жыл бұрын
Kabisaa
@finamustafa64594 жыл бұрын
Atari sana
@salomewandya72574 жыл бұрын
Kabisaaa hili ni funzo kwetu
@salomewandya72574 жыл бұрын
Duh hakuwa na amani kwenye ndoa,wanawake wengi wanapata mateso lkn kutoka haiwezekani😥😥😥
@maloomaalmnsj51114 жыл бұрын
@@salomewandya7257 inawezekana sana ukijitambua
@evarnyanduku7934 жыл бұрын
Ambao tunamuombea esma mema like
@fatumadaudponecadaaah18864 жыл бұрын
Pole Esma
@vickynyanda97484 жыл бұрын
LOVE YOU ESMA. BORA UENDELEE KUWA KIBURI HIVO HIVO. KWELI DIAMOND AMEPATA DADA MWENYE AKILI. NDIO MAANA DIAMOND ANAKUPENDA.
@mariamfaith99144 жыл бұрын
Wah never judge book by its cover. I learn something from you girl🤔
@annamitumba39814 жыл бұрын
Esma pole sana nduguu.nimekuelewa sana bora ulivyoondoka zako mwaya.
@zahrathomary18054 жыл бұрын
Zamaradi your so cleverrr, I like you so much! Your the real meaning of being a presenter, ❤️💕 nimeenjoy na nimejifunzaaa mengi! Big respect
@daimavlog4 жыл бұрын
Yaani Me nikionaga mtu amehojiwa na Zama nateganga muda wangu kabisa nifahidi.
@abdallahhenku5574 жыл бұрын
Thank you so much my daughter; Zamaradi. This was a fantastic interview. Kudooos. I am proud of you my "daughter" Student. Keep the Star shinning. The Sky is the limit!!
@zenamohamedi9004 жыл бұрын
Msizwa mtoto wa mjini bora ulivongundua mapema angekubebesha sembe ungeozea jera ila mama enu ndo chanzo cha aya yotee
@sadamrisho88104 жыл бұрын
Mmmh! Wazazi nao jaman changamoto
@rehemamsambila68204 жыл бұрын
Mamake ndo chanzo sawa kwani alimtuma msizwa amfanyie hayo matatizo
@chayogasperi97834 жыл бұрын
@@rehemamsambila6820 Swali zuri .
@nshonabdll93634 жыл бұрын
Ht mama pia hn kosa ni kuto kujuwa tu
@yasinyahaya90044 жыл бұрын
Thanks
@fridambwiliza1904 жыл бұрын
Unaongea vizuri sana una akili sana fanya mambo yako mungu atakujalia
@annamakalo43454 жыл бұрын
Ahsante
@mjney20214 жыл бұрын
Interview nzuri sana. Esma nimekuelewa sana
@shaaqlassique66444 жыл бұрын
I love your interviews zamaradi...... If you could also get esmas husband it could be much bettter
@hokororoflora56394 жыл бұрын
Umesema ukweli umejifunza nini? Jinsi umetoa funzo kwa Wanawake wengne ata kwa wasichana wengne
@arafambaruku38024 жыл бұрын
Kweli huyo Msizwa ni jipu Wallah Wabillah duuh Esma ujeuri wako ndio umekuokoa 😂😂😂 endelea kuwa kiburi tu
@fatmasaid94004 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Wewe atukuwezi akya mungu😂😂
@remmyfadhil18094 жыл бұрын
Nimtumiaji sana.... good that you Did whatever you did!!!! Mbona me nakuelewa sana Esma
@khalossalim2134 жыл бұрын
Nasibu akikumbuka alivyomchamba petii siku ya harus ya dada ake, mwili wote wacheza jeje
@liliankidahyap72574 жыл бұрын
😃😃😃 hapo anawaza atamface vipi, coz anajua lazma esma atamrudia petit
@salamagat47844 жыл бұрын
😂😂😂😂umejua kunifurahisha snaa eti mwili wote unacheza jeje jamani
@ngoshaachaula71524 жыл бұрын
Hahahaha
@pamelapesce84454 жыл бұрын
Khalos Salim 😂😂😂😂
@faridaabdallah39134 жыл бұрын
😅😅😅
@annymunezero55644 жыл бұрын
Daaah interview tamu afu yenye mafunzo asante da Zama
@mwanaidrashid87524 жыл бұрын
Asima nimekupenda sana mdogoangu wanaume niwajanja sana
@annymunezero55644 жыл бұрын
Nikuwa makini nao maana mwanzo atajifanya anakupnd San akuwek ndani ssa utayaona makucha yake Heee Mwenyezi Mungu tusaidiy sis wanawake
@salomewandya72574 жыл бұрын
Tamu mnooo
@maryswai6254 жыл бұрын
Nimejifunza jambo Haya mambo yanatokea kwenu ili sisi tujifunze Pole na asante kwa kutufunza my dada Keep going 💪 👊
@annakattoa75024 жыл бұрын
Sikuzote Mwanamke katika Afrika akionyesha ujasiri, na ukakamavu, na kujua thamani yake bila kuteteleka, na kufanya maamuzi magumu katika wakati jamii haitarajii ,HUITWA JEURI NA KIBURI😊🤣🤣. WEAK MEN IN AFRIKA ARE INTIMIDATED WITH INDEPENDENT WOMEN. ESMA YO A REALL WOMEN. ENJOY YO LIFE BBY♥️♥️♥️♥️
@marryjames17844 жыл бұрын
Apriciate u🙌🙌
@rebekantiha41314 жыл бұрын
Kabsa mamy ukiw na msimam unaoksn yamekushinda yaan mm namsif maan ndan tunamatatz makubwa ila huf ya kipat ndo inatufany tynavumilia ujinga my dear 🥰😍
@mariamramadhani38604 жыл бұрын
@@rebekantiha4131 hakika kipato mamii tunavumilia basi tu
@mercyndujilo53634 жыл бұрын
My ex told me that buh i knew i was his competition
@queenwesthilson60094 жыл бұрын
Zama unajuw unahoji vzr wey na millard ayo Allah awabariki😍😍
@samirahassan28344 жыл бұрын
Kama unaipenda zamaradiTv like hap👇
@ab3ab3134 жыл бұрын
asat zamaradi
@theceefamily77644 жыл бұрын
Zamaradi ni kioo Cha wengi sio kwa wanawake tu mbali pia kwa wanaume.Mungu akuzindishie maisha marefu na kazi yako iinuke sky iwe the limit na familia yako kwa jumla🔥🔥🔥❤️🌞🙏 @Kenya.
@ndaturujoseph25054 жыл бұрын
@@ab3ab313 j
@ramaaisha8874 жыл бұрын
I always advice ladies don't rush into another relationship afta a breakup wait for atlct 2-4 minutes He jct wanted to use you to promote his business xory Esma
@carolynembithi66294 жыл бұрын
Rama Aisha..you mean 2-4minutes🤣🤣
@asinahalimoja88944 жыл бұрын
Ni kweli
@mrthreesix2804 жыл бұрын
They should wait for what?😂😂😂
@hellokittylover76414 жыл бұрын
Fact
@dianathomas35184 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@chollogangstar31834 жыл бұрын
Gonga like kama unaamin peti anakula mzigo mpaka now
@firstdanah84094 жыл бұрын
Sasa nimejua esma ni mwanamke mwelewa sanaaaa big up esma❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@gudagladys73834 жыл бұрын
Awesome interview good job Esma you answered all well
@maryamkijida55844 жыл бұрын
Diamond ndiyo amuelewe mama yake hana ushauri mzuri ktk mahusiano ndiyo maana kakupoteza wewe kwa tamaa zake,na Diamond naye hatokuja kua na furaha na mahusiano yoyote anayoyabariki mama yake.
@lidiachinkokwa32254 жыл бұрын
Wanaume mh
@adijaniyonkuru97314 жыл бұрын
Msimlaumu mama, akujua juu msizwa alikuja kama mtu mwema
@nishaabias56944 жыл бұрын
Fact
@maireshsaid16284 жыл бұрын
Ml 200 kisa ushemej???? Msizwa nomaa🤣🤣🤣alikuwa na hesabu kali sana bora Esmah ulivyojitoa kwake....begi tena kampe mpakistani??😳😳😳😳
@neemakella4374 жыл бұрын
😂😂😂🙌
@hanifaally46944 жыл бұрын
😂😂😂
@hellenmwangi54144 жыл бұрын
Hapo kwenye begi Esma kaamua kufunika kombe,ingekua mwingine angefanya waaaaah
@aidahtimothy90524 жыл бұрын
Yaan alikuw ametegemea ishu imetiki na beg nao ulikuw mtego kama ni madaw yakulevya angempa then angemcholesha akikamatwa yy angepata hela coz diamond asingekubali dadaake aende jela dah,msizwa co mtu mzr aliingia cha kike eee wah!!🤣🤣🤣
@lissamsalu123454 жыл бұрын
Hahahahhaahah tapeli msizwa hahahhaha
@winniegloriance81074 жыл бұрын
This a very good lesson and I trust Esma kuna most men that think life is easy like ABC God saved you.pole sana
@polinahkilunju65294 жыл бұрын
Siku zote tusiwe haraka ku judge. Pole Esma i feel you as a woman. You made the right decision. The society will always talk about you no matter what you do. Live your life sweetheart. Thanx Zamaradi
@vailethseth90364 жыл бұрын
Hongera esma kwa maamuz magumu wanawake tunapitia mengi magumu sana hongera kwa ushindi bigup
@sarahwangari81964 жыл бұрын
Basi nipeeni likes ni zipeleke sokoni😄
@bintimrope4 жыл бұрын
Mngoje shemeji msizwa atakuja kukupa like nyingi😂😂😂
@hanslii12964 жыл бұрын
Asma umesema wewe ndie ulienda kumuomba mamaake aje harusini kisha baada ya saba yako akakupigia dadaake kuhusu mama yake,kwaiyo mwanzo ulisema hujawahi kumuona mamaake kisha akakupigia dadaake wacha uwongo dadaangu.
@saidamshana79744 жыл бұрын
@@bintimrope kj Jppnpnppppn
@waheedatmohamed9094 жыл бұрын
Ukimuona mwanaume anamponda mke wake kwa mwanamke wake kuwa Makin nae saana Ana matatizo
@aminasuleiman64024 жыл бұрын
@@hanslii1296 huyu muongo bana💃💃💃
@arafaally28954 жыл бұрын
Leo nimemuelewa Esma kweli aliolewa na taperi
@asnathmwaipopo68774 жыл бұрын
Pole sana dear esmar MUNGU amekunusuru. Heri uwolewe na lijanaume baya ila listarabu. Na linaupendo pia. Ila hawa wanao jiita h.b wanajifanyaga smart kumbe mterezo. Kwanza lina laana hilo likaka ajui mzazi ndiyo MUNGU wa pili wa dunia
@marynduta77584 жыл бұрын
I love your courage esma am a mother of 2 gals na siezi kumbali kuingisha watoi wangu kwa shinda juu ya fame'God will give you the Wright man who will love you n your kids n accept you for whom you are
@seriejessy88784 жыл бұрын
What happened to her marriage? I don't understand swahili yet am eager to know this story. I remember she had a nice wedding some months ago.
@economistsarafina80854 жыл бұрын
Esma nimekuelewa Sana Ila usirudie tena makosa, it seems ulikuwa desperate pia na ndoa, unaolewaje while you were not ready, jamani ndoa sio majaribio ni agano, na hii iwe fundisho kwa wanawake wengine ogopa Sana mwanaume anayekuja na ndoa mkononi na hakupi hata nafasi ya kumfahamu, wengi wao ni vichomi, alafu mwanaume mwenye kujitambua hawezi kusema mapungufu ya wanawake zake hadharani, eti ooh huyu mwanamke hana akili, hana akili lakini talaka hawapi, so mwanaume akija na hizo gia usije ukajiona special Sana ni tamaa tu zinawasumbua, Yani Msizwa alicheza tu na akili yako, alitaka fame na kashaipata, anyways hakuna jipya chini ya jua
@balqismwezi34974 жыл бұрын
Ila
@marrysiphaeli84824 жыл бұрын
Baada ya kuangalia ii video kama umerejea kwenye harusi ya Esma tafadhali gonga like apa.
@dotnatajoseph26204 жыл бұрын
Esma wanaume wengi kwa Sasa wapo hivyo hivyo hata ungekaa one week inatosha miezi yote hiyo umevumilia mama bola single mama kuliko ndoa ya mawazo
@habibamarambue81294 жыл бұрын
Nimekuelewa
@miriamkashaija66404 жыл бұрын
This is so painful jamani, pole sana @Esmaplatnumz. No woman deserves this. Yaani unamfanya hivi mtoto wa mtu.
@beatricemollel62654 жыл бұрын
Kuna wakati unaweza kufikiri mume wako nimbaya ukikutana na kama hayo sasa ndo unamkumbuka e-husband.
@batulimakame79474 жыл бұрын
Kabisa
@josephmanyama4354 жыл бұрын
Jamani mapenzi yqko na mambo mengi sana aiseee
@thureyaseif71434 жыл бұрын
Zamaradi I like the way you speak you are too smart nakupongeza sana
@ceciliakibangali70574 жыл бұрын
Zamaradi maji na tissue kwenye kipindi chako kwani are they that expensive
@Nessa14_4 жыл бұрын
Sure
@bettymassanja8814 жыл бұрын
Aliyesikia "....TV za kuiba South Africa...." agonge "like". Hahaaaa.
@luciesheriya76354 жыл бұрын
Pole Esma ❤❤
@safiasaleh6694 жыл бұрын
Nampenda Esma akiongea kama mzungu anaejifunza Kiswahili 😁😁
@salmanyitu23794 жыл бұрын
ila me kiukweli napenda anavoongea kama hawezi hivi ila inampendezea
@salamamohammed54464 жыл бұрын
Mapoz meng sanwhy
@rachelmukazayire82934 жыл бұрын
Asante sana kwa hii show, kiukweli wasichana tuweni makeni kabla ya kufanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa.
@peterernest10384 жыл бұрын
Kama umeelewa kaka jambazi ngonga like twende!!!
@sarafinaoscar13604 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mgenimohammed6084 жыл бұрын
Mna drama nyinyi wenzetu wa tz 🤣🤣🤣🤣 gari la ku kodi ili utunze mtu uonekane jmn
@naomimassawe56254 жыл бұрын
Nimekupenda, maisha ya sasa ni kujipenda na kujali furaha yako, haijalishi watu wanasema nini, kuishi ni bahati usitumie vibaya bahati yako, Kwan tunaishi mara moja
@kipipakipipa50504 жыл бұрын
Being free and happy ni kitu cha msingi ambacho kina Naomi tunazingatia mno😀
@advocatekarama49174 жыл бұрын
Word 🥂”kuishi ni bahati “
@evajonathan26234 жыл бұрын
Big point my dada naomi
@naomimassawe56254 жыл бұрын
@@kipipakipipa5050 sanaaa yani
@fatmaalhabs69394 жыл бұрын
Alikuja kwenu kwa masilahi tuu
@Nene-v8g4 жыл бұрын
Esma unaongeaga ukweli sana hujui kuficha, hata kwa hili umeongea na ukaeleweka kabisa. Si wanaume wengi wa kwaminika. Utapatapa yule wako wa ukweli na mwaminifu, endelea kuwa hardworking as you are na mungu atakubariki. Msizwa alikua anataka kukutumia tu na pia juu ya Diamond, uzuri mungu alikuonyesha tabia zake mapema ukatoka. For that you are a strong woman and i love how you moved on fast from that user and NARCISSIST 👏👏👏
@sammyahaji35414 жыл бұрын
Story ya Esma inafanana na yangu jamani😂😂 some wanaume ni matapeli kila kitu kama mimi ila mimi huyo wangu alishawapiga ndugu zangu ndoa ilidumu miezi minne tu halafu hawataki kuwaonyesha familia zao loooohhhh🙌🙌 nimekuelewa sana Esma hiyo situation yako😭😭
@thomasmangenya52784 жыл бұрын
Pole Dada Leo ndo kwanza nimekuelewa😀😀Hujawai Kukutana na wtt Mjini wanapo taka lao🙌Me nilishangaa we Dada Yake Dangote una olewaje mke 3💯Hela si Mnazo
@rukiamohammed54944 жыл бұрын
hata mie leo ndio ni mekuelewa
@bettymassanja8814 жыл бұрын
Kuhusu kutozaa hovyo hovyo na kila mwanaume, UMEONGEA POINT YENYE AKILI SANA. SIYO NZURI KWA WATOTO.
@yasminmustafa22824 жыл бұрын
Great interview, Poor lighting kindly improve on that... Everything else..kudos👏👏👏👏👏also get some nice wall paper and cosy couches your setting look is so basic
@veldaonyango58564 жыл бұрын
Jamani ndio
@martinmakobz62254 жыл бұрын
Very true,at first i thought my settings were in night mode
@lidilid44034 жыл бұрын
@@veldaonyango5856 àaaaààaaasa
@josephinekajugusi98294 жыл бұрын
yaaa
@munnoglam4 жыл бұрын
Kipindi kirefu,I suggest muwekee wageni maji wasuuze koo kidg jamani!!
@salumabdu11914 жыл бұрын
NI HERI UWE MDOGO MBELE ZA WATU KULIKO KUTAKA SIFA HATIMA YAKE NI MADENI
@lesusi78724 жыл бұрын
Kabisa
@faridaally12804 жыл бұрын
Aisee esma nimekupenda sana kwa hili aisee,sku zote mwanamke akikataa ujinga ujinga wa mwanaume huonekana jeuri
@aidahtimothy90524 жыл бұрын
Esma ni yuda ila huwa si muongo anaongea ukweli
@moniesimeo10524 жыл бұрын
Ukimsikiliza unaona kabisa anaongea ukweli
@glorymboya61724 жыл бұрын
Ni kwel Esma huwa ni mkweli sema tu kwavle ni yuda mtu unaweza sema anachoongea ni uongo ila nimtu poa sana
@happychitemo67614 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Hahahaha eti yuda
@rukiarashid40194 жыл бұрын
Mi mwenyewe nampendaga sana yani hata kama kitu ni cha kumuhusu yeye anasemaga tu ukweli mtupu....hahaha baya Esma wetu
@khadijawangara78604 жыл бұрын
Sio kila anaevaa koto jeupe ni daktari wengine ni wauzaji nyama butcher upo!
@josephinenyamziga70544 жыл бұрын
Wengine mama ntilie
@zaerajuma91594 жыл бұрын
Kwel kabisa
@paskalinaagstuno49674 жыл бұрын
Duuuh!
@leahkalekwa75924 жыл бұрын
😂😂🤣🤭🤭
@dorothyronald24454 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@hamedabashir94 жыл бұрын
Ko esima uliingia choo cha kike🤣🤣🤣😂pole ila nimejifunza
@hadithikingdomtz4 жыл бұрын
Aliingia kwa kaka jambazi 😂😂
@sekelamwangosi32894 жыл бұрын
Ewaaaaaah cha kike🤣🤣🤣🤣
@hanifaally46944 жыл бұрын
Yaan bora alivyotoka wacha watu waseme tu lol 😂😂😂
@atotaalbalushi79434 жыл бұрын
Pole sn ila esma ulishawai kuwambiwa Instagram uyo mwanaume sio mtu mzuri ukaona km watu wanakuonea wivu sasa umejionea mwenyewe angekubebesha madawa
@hapinesphilimon81274 жыл бұрын
@@sekelamwangosi3289 🤣🤣🤣
@naimanaima47154 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Msizwa anaonesha ni mnyanyasaj Ata uyo mama Melo wa sauzi yupo kma Sukule wallah
@neemaswai41304 жыл бұрын
😂😂
@naimanaima47154 жыл бұрын
@@neemaswai4130 wallah
@juliusfelister8944 жыл бұрын
Hata sura yake tu inaonekana ni muigizaji tu 😂😂
@blasidajulius22404 жыл бұрын
Hahahahahaha
@pendojeremiah91114 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@thefarahatlifestyle4 жыл бұрын
Sasa nimeelewa maana ya vurugu iyo yote. Nakupenda Sana Esma. Toxic relation just move out..
@videlialabeka48994 жыл бұрын
Esma ni Yuda ndio lakini sio mwongo
@salmanyitu23794 жыл бұрын
ni kweli kabisa
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Mbona comment nyingi sana kweli watu wanamfatilia dada wa taifa
@mwajumabakari37304 жыл бұрын
Yuda Kama yuda🤣🤣🤣
@jeniphachristian21314 жыл бұрын
kama yeye yuda we nan!? em vaa kiatu chake uone utaixhije ngurue ww, fyuuuh...
@najma32684 жыл бұрын
Asante sana da zama interview zako zimamashiko Na tunajifunza vingi mno
@salmathequeen61404 жыл бұрын
Pole Aisee ambaye hajakuelewa Basiii mi nilikuwa nakudiss nilikuwa sijui chochote Pole Sana Maa
@sakinamarjebi22064 жыл бұрын
Pole Esma kumbe maskini unahuruma sana nawatoto naulikuwa unamshauli msinzwa aijali familia yke pia nakupa hongera kwa ujasili ulikuwa nao m.mungu bado anakupenda naunajitambua vzr tu ludi kwa barafu wa moyo wko P wakuacheeee😃
@marthamangasta23414 жыл бұрын
Huyuu jamaa aliwekeza sanaa akiwa na target zakee anatoaa elaa ilii apatee elaa 😂😂😂😂 daaahhhh ilaa ndo ivoo amnaa kaz isiyoo na hasaraa
@mwanaidimsuya92534 жыл бұрын
Ha ha ha alijipangaa
@maimunamussa914 жыл бұрын
😂😂😂😂
@lucymtallo24904 жыл бұрын
Hahaha kweli
@salomewandya72574 жыл бұрын
Dah yan ni mjanja sana aiseee
@salomewandya72574 жыл бұрын
Ndiyo tupate fundisho aiseee
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Zamaradi mketema ongera kwa inteview nzuri uko wakipeke mashallah
@halima238624 жыл бұрын
Wow Zamaradi ni hodari ya sana kwa kuzungumza huna uchochozi or sides
@florencekaranja87364 жыл бұрын
Kwangu kama.msichana mwenye natarajia kuolewa nimejifunza kitu kwako Esma,,,,
@salomempwage93314 жыл бұрын
Umeona
@lubatikoseme66134 жыл бұрын
Nachompendea Esma ni smart na shupavu.. ameona bora achekwe kuliko kuishi fake life. Anajikubali. Big up Esma 👍👏👏👏
@maryamkijida55844 жыл бұрын
Huyo mama yenu endeleeni kumsikiliza sana ktk issue zenu za mahusiano,kila siku atawaingiza ktk moto coz anatamaa sana na kulazimisha matajiri ndiyo wawe wakwe zake
@shangwekamando25994 жыл бұрын
Wee humpendi mkwe tajiri
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 😂
@nellymatalanga50334 жыл бұрын
Hehe Bi sandra hataki ma in law maskini acha tungoje ile pande ingine ya queen darlin naye hehehehe n BTW kama hakumpenda mbona kabeba mimba mapema !!!
@annedavienyamhanga47384 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 😂😂😂😂
@ubahalfan1054 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 🤣🤣🤣
@mimymimy79454 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nimeamini Esma ndiye anasema ukweli. Yuda mwenzangu kaa single wachana na hawa wanaume
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Msizwa kiboko! Juma alisema mlikuwa na target ya kumchuna Msizwa
@lilianlodric9874 жыл бұрын
Kumbe nae anawamendea awachune😂😂
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
@@lilianlodric987, Msizwa kiboko ya Esma
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Ndio wamechunana sasa
@agathadawson59494 жыл бұрын
Hongera sana Esma Ila ushauri Wang kaa utulie uleee watoto wako ndio faida yako mungu amekutoa kwenye dimbwi
@arthakasiba43604 жыл бұрын
Dah! Dada kaongea vema sana.na Zamaradi that's the best interview..
@yerthmwabusilah6744 жыл бұрын
Maisha ya ndoa bila penzi la kweli ni upuuz mtupu mungu tusaidie sisi ambao tunatarajia ndoa🙏🙏🙏🙏🙏
@zaerajuma91594 жыл бұрын
Unaitaji mume kumbe karibu kwng
@wardaabdala52294 жыл бұрын
Nikweli kabisa Mimi naona nimateso tu dah
@sifamugwaneza87744 жыл бұрын
Wangapi walimuelewa #esmaplatunmz jmn me nimemuelew cz ndoa hizi zina mambo mengi san 🙏
@fatmasaid94004 жыл бұрын
💪
@jossyjosphin25874 жыл бұрын
Bet ilifeli ..he thought by marrying yu you will get money from diamond. Huyo ni kaa mnigeria..tapeli
@tiamo7264 жыл бұрын
Sasa wanigeria wananinglia aje hapa...akili yao ndio hamuiezi ama nini
@alliabaraka58104 жыл бұрын
I'm not buying this story when she got married she was saying different story.
@LIZZIENABISWA4 жыл бұрын
Very true
@aishashabanishabani77534 жыл бұрын
Pole Sana jaman wanawake tujiadhari na wanaume wa dar
@dawoodtekakie40124 жыл бұрын
Cooker and the cooking
@aishagakurya19643 жыл бұрын
@@aishashabanishabani7753 waume wote duniani si dar pekeyke
@veronicabiaka47304 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali Esma daah! Wanaume wa kukupenda kwaajili ya vitu wapo wengi sana... MUNGU ATUNUSURU WANAWAKE
@lisangiadidja3424 жыл бұрын
Mimi sija rizika mpaka ni muskie nae musizwa njo nitowe maon yangu 😉😉
Wengine twatamani ndoa lakino nikisikia hivi .na vunjika moyo, Allah atufanyie wepesi In shaa Allah
@rehemasalim45904 жыл бұрын
Usikurupuke utaharibu dira ya life na furaha yako ukipata mchumba swali istikhara usikurupuke nakuambia hiv tupo wengi tulokurupuka saiv imebaki ya lait
@mwanaidiomarmzee7754 жыл бұрын
Allahumma ameen Inshaallah
@zaerajuma91594 жыл бұрын
Njo kwetu Burundi bora
@nesielias3174 жыл бұрын
Mmmhhhh
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Ushauri wangu usingie kwenye ndo yazaidi namke moja au usikurupuke kwakweli maana utaangukia pua kama esma ama wengine
@theceefamily77644 жыл бұрын
Esmah wen the deal is tooooooo gd think TWICE PLZ🌞🙏@Kenya.
@happinessmalali63824 жыл бұрын
Apa ndo namuelewa mange kimambi. Aiseee lisemwalo lipoo
@salmasaid70584 жыл бұрын
On point Kenya
@ruqayaruqaya42834 жыл бұрын
Msizwa ni muuza madawa huyo mama yako pia ndo chanzo cha ww kuingia kichwa kichwa kwa msizwa kupitia kwa kiben 10 chake
@sarahmsoke23344 жыл бұрын
Apo kuna mama ake
@leticiachunga91184 жыл бұрын
Wakiangalie sana kibenten cha mama yao,huko waendako yule mama atakuja afirisi watoto wake na yeye atabaki uchi
@janesaru93774 жыл бұрын
Kweli kabisa
@abdoman67294 жыл бұрын
Pole jamani mshukuru mungu Kwa kila Jambo wache waseme mpaka watachoka bora uko salama,Kwa uwezo wake Allah atakupa aliye sahihi insha'Allah nakupenda sana
@sumaiyamihrma78524 жыл бұрын
Asante da zama❤️❤️❤️tuna subili part two ya msizwa😊
@uwimanauwimana76924 жыл бұрын
kabisa 🤣🤣
@hawacheche90854 жыл бұрын
Nimekupenda bule mama
@evodiarose47374 жыл бұрын
Nimekupenda sana Esma weni mwanamke kweli
@paulinazacharia84744 жыл бұрын
Esma anaongea huku roho inamuuma
@naimanaima47154 жыл бұрын
Hhhh pel
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Kabisa yaan
@priscamlyuka55314 жыл бұрын
Inaonekn anamengi duuuh jmn Mungu aturehemuu_😘😘
@navokisembo4 жыл бұрын
Duh Msizwa zinga la tapeli, ila alikutana na mtoto wa mjini. Mwanaume mzima hovyooooo. Yaani hata mie ningemtoa fosi huyo asingeamini.
@wangmeili3304 жыл бұрын
Mimi huyu dada nampenda sana kiukwel anapendeza kuwa na baba taraj
@salomewandya72574 жыл бұрын
Pole sana Esma mshukuru Mungu amekuonyesha mapema,na hili ni fundisho kwetu sisi wanawake,Yahya ni tapeli na alitaka kujulikana