No video

EXCLUSIVE: SAIDA KAROLI aelezea sababu za kutaka kujiua/Diamond/azaa na wanaume watano tofauti

  Рет қаралды 91,788

ZamaradiTV

ZamaradiTV

4 жыл бұрын

Hii ni interview inayoelezea mambo mengi ya ndani kuhusiana na Saida Karoli, kutokujua kusoma na kuandika kulivyoathiri maisha yake, ndugu zake walivyochinjwa na kuuawa kikatili, sababu za kuzaa na wanaume watano tofauti, mziki wake, haki zake, kuzaa kaaika umri mdogo wa miaka 13 na mengi ambayo hakuwahi kuyaongea
Produced by Zamaradi Mketema
Host: Zamaradi Mketema

Пікірлер: 525
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Thanks sana zamaradi kwani Ni. Mejifunza mengi snaa kupitia saida karoli God bless you 🙏🙏🙏🙏
@allysimai2794
@allysimai2794 4 жыл бұрын
Bi Zamaradi Mketema yaani unavyo muhoji bi saida yaani kwa upole sn sn Masha-Allah Mubarikiwe
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Adi rahaa
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 4 жыл бұрын
Anaitwa zamarad mketema , sio mtetema
@allysimai2794
@allysimai2794 4 жыл бұрын
@@aisharamadhan5257 niliiyandika fast iyo
@jackleenmandary2632
@jackleenmandary2632 4 жыл бұрын
Yani anajua kubembeleza huyo
@mamafatuma138
@mamafatuma138 4 жыл бұрын
Zamaradi uwa napenda sana unavyo uliza watu maswali kwani uko makini sana Allah akuzidishiee in sha Allah
@nasratkibwana9827
@nasratkibwana9827 4 жыл бұрын
Saida umeniliza Sana leo 😭😭 daaaah ,maisha hya acha tu, emwenyez mungu tupe mwisho mwema🙏🙏
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Ameen
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
Ameen
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
Ana akili sana juu ya tabu na majanga yaliompata na kutosoma lkn mungu kmpa hekima
@user-vg2sh8pb3y
@user-vg2sh8pb3y 2 ай бұрын
Nikweli kabisa Mungu amfungulie njia uyu mama😢😢 amepita sana kwa kweli ​@@shifaaal-baity4503
@perfectpeaceandlove4329
@perfectpeaceandlove4329 4 жыл бұрын
Beautiful soul Saida Karoli. Love from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@maureenkhasoa1530
@maureenkhasoa1530 4 жыл бұрын
Shabiki wa saida mkubwa sana ni mm.from Kenya 🥰
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
U.. welcome
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Asante sana Zamaradi hii interview na Saida imenigusa Sana, Pole Saida Kwa hayo Yote.Mungu azidi Kukupa Subra,na Hongera sana.
@aminaomar4073
@aminaomar4073 4 жыл бұрын
True in every strong lady there have been struggle we love u saida you're a heroine😘
@breackychangwe3240
@breackychangwe3240 4 жыл бұрын
Interview ni ndefu lakini kwasababu ni Nzuri nimehakikisha imefika mwisho..Asante sana Dada Zamaradi
@callmesubra5472
@callmesubra5472 4 жыл бұрын
Halafu bado ni mdada tu miaka 39 ni kwa vile tu maisha na kuzaa mbona ni rika la kina mboni ambao twawaita kina dada Mungu akupe umri ulee watoto wako washikane inshaallah
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 4 жыл бұрын
What a story, What a guest, What a host, May God give u the strength n means to meet your day to day needs.
@hurumasilasmwamwezi4351
@hurumasilasmwamwezi4351 4 жыл бұрын
I did watch this interview nimejikuta natoa chozi alipozungumzia mama, imenigusa sana. In this world hakuna awezaye chukua nafasi ya mama katika maisha. God bless you Saida. Na usiache kumtegemea Mungu katika maisha yako.
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 жыл бұрын
Daaah hongera kwa sauti nzr aliokujalia MUNGU,ubarikiwe saida. Karoli
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 4 жыл бұрын
Pole sana saida, lakini wanafaa wakulipe I love your music great voice ❤️💕💗
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Asante kumcelebrate mama yetu. She deserves that respect 💯💪
@noreenkerry7893
@noreenkerry7893 4 жыл бұрын
Pole sana Mungu akusaidie akupe haja ya moyo wako
@josephomuto3240
@josephomuto3240 4 жыл бұрын
Hii narrative ya Saida Karoli, doooh! Amekipitia kweli. Asante sana kwa kukeep hope alive, Mungu akubariki sana. Nawe Zama, ubarikiwe kupindukia for such a talent and intelligence. Interviews zako ni za kipekee.
@sistersade9039
@sistersade9039 4 жыл бұрын
Zama hongera sana kwa uhodari wa iterview zako. na hakika hii ni iterview muhimu na maana kubwa kutuljuulisha uhalisia wa maisha ya mpenzi wetu Saida Karoli. Mimi ni shabiki wake mkubwa tu, tokea ile ngoma chambua kama karanga, nasikiliza ngoma zake ata kama sifahamu, napenda sauti yake ina hisiya na majonzi.such a talented individual. Nasikitika na maisha magumu aloyapitia. inshaala wasanii wasimame nae kwa bidii. namuombea kila kheri.
@joank5550
@joank5550 4 жыл бұрын
Very touching. Mungu aendelee kukusimamia dada Saida. Dunia ina mapito mengi. Ila siku zote Mungu ni mwema. Anatusaidia.
@mariamhamisi6714
@mariamhamisi6714 4 жыл бұрын
Anae angalia huku ana soma comment tujuane....
@sistersade9039
@sistersade9039 4 жыл бұрын
mimi niko katikati ya kusikiliza hii iterview, lakini nashidwa kujizuia kulia. nitaimaliza ikisha nijue niseme nini juu ya mateso aloyapitia Saida Karoli. the Legend wa kweli.
@salmasoso9839
@salmasoso9839 4 жыл бұрын
Tupo wote saada so sad kwakweli
@winnieseme4944
@winnieseme4944 4 жыл бұрын
Cjawahi juta kumaliza Mb zangu ktk interview zako Dada. Unajua sna da Zama Mungu azidi kukupa hekima na busara. Nimejifunza mengi kupitia Interview hii
@hamisimterela45
@hamisimterela45 4 жыл бұрын
Hiyo hata wasomi wamepigwa sana mungu atawaadhibu mameneja
@ladylipasoandfamilylife4693
@ladylipasoandfamilylife4693 4 жыл бұрын
From Kenya, I love you Saida.. mungu akutangulie n akubariki
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Mungu akuwagazie. Mwagaza wake naasimame nawewe kwakila jambo Amen🙏🙏🙏🙏🙏
@kadungulu1
@kadungulu1 4 жыл бұрын
I see her beutiful smile ad she explains her speciality ehich is music.yaani mungu aliona ampe kipsji cha kuimba regardless of her extreme poverty but her voice has taken her placed.Be magnifird ohh Lord.you are the fathet of the fatherless.I blesd you for saida .i pray tbat you see her through.
@ohlalaboutique2481
@ohlalaboutique2481 4 жыл бұрын
Zamaradi you are the no one thank you for bringing Saida I was wondering where she has been with her unique voice, May God make you more strong than before, sad story,
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
huyu dada kabra yakusema wamefiwa na vifo tofauti tofauti nilisema huyu dada kwao kuna mtihani sana pole dada
@nicksonlwiwa144
@nicksonlwiwa144 4 жыл бұрын
Sijawah kumchoka dadaangu saida ,hongera sana
@rosemarykarangwa7921
@rosemarykarangwa7921 4 жыл бұрын
I love her so very, she writes meaningful songs
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Here i am with 3 kids and am thinking i have the whole world haaa ngoja na mimi nianze kuzaa yeyaaaaaa ooo! God.
@callmesubra5472
@callmesubra5472 4 жыл бұрын
Dah , pole sana saida, binadamu wabaya kweli album tano , huo ni zaidi ya unyonyaji. Ila Mungu ana sababu , keep going,
@prof.oduoroduor6471
@prof.oduoroduor6471 4 жыл бұрын
I think you are one of the best best interviewer that i have ever come along.. waaah.. your voice is so encouraging, making a interviewee very comfortable to respond... thanks for interviewing my hero.. am from Kenya..
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 4 жыл бұрын
Daa dada anasauti nzuli sana Mungu akupe nguvu na moyo wa uvumilivu nipo omani nakupenda saida toka kipindi nikiwa mtoto maisha yako ww ata mm nimepitia sema bs tuu
@nadyakisho811
@nadyakisho811 4 жыл бұрын
malieth nyoni pole my
@maliethnyoni2847
@maliethnyoni2847 4 жыл бұрын
Sant.ndo tumeshakuwa tunapambana
@nadyakisho811
@nadyakisho811 4 жыл бұрын
malieth nyoni vizur ndo maisha
@rahmachuji853
@rahmachuji853 4 жыл бұрын
Naji kuta Nalia Kusikia kwamba mamaanngekuwepo😭Ndio Angekuwa mshauriwangu Maisha bilamama Kweri nimagumusana 😭😭😭Jamani kama Bado Upo na mama yako Basi msamini Sana Leo Sisi tuna Lia kilasiku kwakuwapoteza
@jesusmwitila2215
@jesusmwitila2215 4 жыл бұрын
Big up saida ww n mwanamke unaeongea uhalisia wa maisha yako most afu women hawapend kujilet down wao n kujikweza!!
@jacquelinechuwa9902
@jacquelinechuwa9902 4 жыл бұрын
Dada saida, unaweza mmy Mungu akutie nguvu, Zumaradi Mungu akubariki una moyo mwema sana.!!
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 жыл бұрын
We zumarad tena we VP,!
@jacquelinechuwa9902
@jacquelinechuwa9902 4 жыл бұрын
Janeth Kilonzi asante, ila naona hujaelewa, ungesoma kwa utulivu msg yangu usingenishangaa kiajabu, hapo nimemtia Moyo Saida na kumwambia Zuaradi Mungu ambariki kwa moyo wake mwema...
@awezayekyando8137
@awezayekyando8137 4 жыл бұрын
wahaya wasimuache huyu dada anatunza culture yao sana
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Jmn jmn 🤓🤓
@bintysuma199
@bintysuma199 4 жыл бұрын
I felt for her..Nimelia from mwanzo mpka mwisho...nampenda sana huyu dda. Aiseee so sad kwa kweli. Ila mungu ni mwema cku zote. Pambana mama na mungu atakusimamia all the way.....hujafa hujaumbika kweli. Pole sna Saida...na hongera kwa mapambano.dah!!!!! So glad that she is back....We love u. Da Zama...napenda sana unavohoji guest wako....ubarikiwe sana
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 4 жыл бұрын
Itakua vizuri kama Diamond atamfanyia collabo
@MuhammadUmar-rz3vn
@MuhammadUmar-rz3vn 4 жыл бұрын
😥😥😥😥ukiona ww unaunguriwa mwenzi majivu kabisaaa kweli mungu ndo tegemezi
@angelasilayo5770
@angelasilayo5770 4 жыл бұрын
Pole Saida,duniani kunayo dhiki ila Yesu alisema jipeni moyo.Mapito uliyopitia yanaumiza ila yupo Yesu mwenye uwezo wa kuponya jeraha zako ukiamua kumkabidhi maisha yako,hata kuwepo hai mpk leo ni kwa neema ya Mungu mana umenusurika kufa mara 4.Ushauri wangu,mshikilie Mungu na utauona wema wake kwa maana Yeye ni baba wa Yatima na mme wa wajane.
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
The real life of Hustling! Hongera Saida.
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 жыл бұрын
Ila zama msaidie Saida yuko na msongo mkbwa wa mawazo kutokana na changamoto alizopitia ili atakaporudi sokoni ajue ni nn anafanya
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 жыл бұрын
Sad story indeed,saida naomba mwenyenzi mungu akupe maisha marefu ulee wanao,love u.
@buberwaleo
@buberwaleo 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu usimame imara. Big up Saida
@priscamaina9120
@priscamaina9120 4 жыл бұрын
Am happy to hear, and see u l knew u when swa 5year old now am grow up, nafuraha sana leo, am team 254mpo
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Da zama nakupenda sana interview zako, tunampenda pia saida Allah atamsimamia inshaallah
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Saida nakukubali my dear.ila zamarad unarangi nzuri sanaa sanaa💋👌
@winniesarani155
@winniesarani155 4 жыл бұрын
Sauti tamu kweli. Hongera dada saida na mungu akubariki na akuzidishie.🙏🙏🙏
@victorchampion1513
@victorchampion1513 3 жыл бұрын
tangu mwaka 2001nikiwa darasa la kwanza, nasikiliz nyimbo zako, mpaka 2020, hazijachuja, big up Saida, naupenda wimbo wako wa Kereme,, much love kutoka Karagwe, Kagera home town Tz.
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Pole sana Saida Karoli kwa mitihani ilikufika!
@missmannydxb
@missmannydxb 4 жыл бұрын
I wish I could give her a hug 😔😞all this terrible things happened to one person yet she’s very smiley 😓
@andrewntezirizaza3831
@andrewntezirizaza3831 4 жыл бұрын
Inasikitisha kweli. Mungu akupe uepesi dada Saida.
@user-ol5kn3zk7s
@user-ol5kn3zk7s 2 ай бұрын
Binafsi naludia sana kutazam hii interview, hasa hapa anapomkumbuka mama,hasara sana unapompoteza mama,haijalishi una umri gani
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
I love your interviews sister Zama, feeling sorry kwa watu wetu wengi wenye vipaji lakini changamoto ni elimu, kujua haki yao, hata Rose alipotea hivyo hivyo
@evemwende8900
@evemwende8900 4 жыл бұрын
Saida you are strong... I've just shed tears
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 4 жыл бұрын
Mwanamke mstahmilivu sana💪👍(saida kwa kiarabu maana yake ni mwanamke mwenye furaha sana tafauti na hali yake😢)
@mamar2488
@mamar2488 4 жыл бұрын
Jaman huyu dada ana saut. Ningekua mwanamziki nisingemuacha. Daa. Safi sana
@aksantedeborah7913
@aksantedeborah7913 4 жыл бұрын
Alivo imba nimelia kweli mama ni mama
@rithanalukuli3367
@rithanalukuli3367 4 жыл бұрын
Zamaradi thank you for bring this lady love for Kansas city
@neemakawogo7153
@neemakawogo7153 4 жыл бұрын
Asante zamarad, Asante saida umetutia moyo Mungu akubariki sana
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Mashaallah huyu mama sauti bdo ipo vile vile
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 4 жыл бұрын
Dah pole sana dada saida, halafu umefunguka maisha yako vizuri sana, siowasanii wengine akiulizwa kitu uongo au no komenti tu
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Nimeumia sana nahii story pole mamaangu mungu mkubwa kaonekana tena🙏🙏🙏
@mejealij
@mejealij 4 жыл бұрын
Such a lady walai.one of your best interesting interview zama.💔🔥
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 4 жыл бұрын
Inaumaaaaaa sanaaaa dah hongera
@victorwilbard2585
@victorwilbard2585 4 жыл бұрын
Huyu Dada Saida Karoli....ni muwazi sana nimependezwa na ujasiri na ukweli wake. Mliomdhulumu Mungu yupo anawaona.
@user-qz6cz9ht9o
@user-qz6cz9ht9o 4 ай бұрын
Daa pole san nilivyo sikiya iyo Habari moyo unapata shida san Dada yang mungu yup pamoja nawe
@anethbudude72
@anethbudude72 4 жыл бұрын
Naamini Saida alikuwa anamaanisha kuwa watoto wake wamesoma mpaka kidato cha Sita na sio darasa la Sita. I loved her
@husnaomary1120
@husnaomary1120 4 жыл бұрын
😂😂😂mim ap nmrudia Mara 3 cjmuelew kwa kwel
@elizabethkimari6224
@elizabethkimari6224 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😃yan nimeirudia had nachoka😀😀
@annalyamuya3244
@annalyamuya3244 4 жыл бұрын
I think so too
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Mama Happy make up mama. naomba nikupe hongera ni moja kati ya watu wavumilivu kwenye maisha na pesa UKWELI zisingekaa enzi zile na akina Issa balaa.
@upendozahaki304
@upendozahaki304 4 жыл бұрын
Nampenda Sana saida jamani tunamuhitaji
@cdeleo9336
@cdeleo9336 4 жыл бұрын
Ooh jamani polesana mama
@queenwesthilson6009
@queenwesthilson6009 4 жыл бұрын
Mashallah zamaradi nakpnd sn saida karoli mung yup nawe daima umenifunz mengi
@katealias5255
@katealias5255 4 жыл бұрын
exceptional voice..may God see you through..
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 4 жыл бұрын
Usijiue no matter what. Muombe mungu atakusaidia ktk kila kitu . Pole sana.
@KhalfanSeleman
@KhalfanSeleman 2 ай бұрын
Zamarad mungu amekuwezesha kupata kipato kwanini usimsimamie kazi zake kama meneja
@aggyparty2990
@aggyparty2990 4 жыл бұрын
Amejaliwa upendo mkubwa sana huyu dada tukiachana na ukosefu wa elimu kunamambo unaona kabisa bado hayajui ila mungu mkubwa amempa ujasiri na nguvu za ajabu eeh mungu bariki huyu mama
@vionamoraa4220
@vionamoraa4220 Жыл бұрын
13yrs .... i knew nothing 😢we! Saida no one is perfect or has the rught to judge ....may God guide you and bring out the new saida in you and thru him all shall be well,and soon your talent will pay back...never loose hope mama
@MJ-ye7dd
@MJ-ye7dd 4 жыл бұрын
Sauti nyororo,ipendezayo kweli. I can feel pain from her talk. May Good Lord help her way out. Saida, utasimama tena, nina imani. Ole wenu mnaowadhulumu yatima na wasio na elimu, chuma chenu ki motoni, mtalia kwa kusaga meno.
@asnathimazoea880
@asnathimazoea880 4 жыл бұрын
Pole aisee MI Nina watoto 4 mmoja baba ake alikufa, ila wengine Wana baba zao kn sijakata tamaa na sikati tamaa sahizi natafuta maisha Norway uraya ili kuwapa maisha wanangu ivyo tambua hauko peke yako na wala usihuzunike inawezekana ungezaa na mwanaume mmoja ungeteseka na kujuta pole tupambane tu dada
@demimagese8563
@demimagese8563 4 жыл бұрын
Tupo wengiii my dia nipo canada 🇨🇦 kweliiiii tupambane watoto wetu waje wapate riziki
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
Yaani acha tuu niko USA Demi Magese tupambane tuu ili watoto wetu wacje kupitia mitihani km tuliopitia ce kweli tuko wengi sana
@asnathimazoea880
@asnathimazoea880 4 жыл бұрын
Kabisaaaa wapendwa
@priscakaijage6708
@priscakaijage6708 4 жыл бұрын
Ok nataka kuja ok best
@najmamohamed6060
@najmamohamed6060 4 жыл бұрын
Interview nzuri SANA zamaradi nimejifunza mengi itabidi nmm napambane nakumueka mungu mbele.. @hakunakisichowezekanachiniyajua
@neemathomas3163
@neemathomas3163 4 жыл бұрын
Mungu akusimamie dada Saida karoli...ila hiyo ya bodingi hadi drs la sita mmhh😀
@husnaomary1120
@husnaomary1120 4 жыл бұрын
😂😂😂amnshngz
@lisauroble31
@lisauroble31 4 жыл бұрын
Asante da saida pole kwayaliyopita dada angu pigana kiume mpenzi yote utashonda tu mpendwa tunakupenda sana sauti yako mashalaa utawen tuu usilate tamaa hongera mtangazaji big up
@stacydii3324
@stacydii3324 4 жыл бұрын
Touching story..may the lord intervin
@lilney6819
@lilney6819 4 жыл бұрын
Love u Saida Stay Blessed ❤️And keep Fighting
@YoungMan-dx6bz
@YoungMan-dx6bz 2 ай бұрын
Ni vizuri kutafsili nyimbo zako kwa kuandika maneno ya Swahili au English kwenye video ya nyimbo zako Saida Karoli. Wengi tunapenda kusikiliza nyimbo zako, lakini hatuzielewi
@ahlamlssa9470
@ahlamlssa9470 4 жыл бұрын
Daaah story ya huyu mama inatia huzuni😭😭😭 Ila masha Allah kajaaliwa sauti mungu amsimamie
@ashurabakiri8427
@ashurabakiri8427 4 жыл бұрын
Amiin,nampenda saida hadi bc,na kazi zake pia bado tunaziskiza sana
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Ah'lam lssa Amen
@janengowi3011
@janengowi3011 4 жыл бұрын
Jamani huruma mbona binadamu hatuna huruma
@childofgod4412
@childofgod4412 4 жыл бұрын
Jamani kwani hapakuwa na wanasheria ambao wangemsaidia jamani hii dunia usione watu wana pesa mjini wezi wakubwa
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 4 жыл бұрын
Jamani kiukweli mimi si mpenzi wa bongo fleva ila nimekupenda saida kwa kauli moja tu utazaa sana. Safii. Naomba nikushauri usizae tuu sasa ivi funga ndoa mwaya uzae wanao.
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 4 жыл бұрын
Ila story inauma sana pole sana dada saida mungu akupe umri mlefu uwalehe wa toto wako ila sasa ivi pumzika kidogo kizaa mpaka mungu akujaalie mume maana ao ulionao nichangamoto kuwalea pekeyao na maisha ya sasa nimagumu sana kwakuwaleo pekeyako 😭😭🙏
@redemptorbbombo402
@redemptorbbombo402 4 жыл бұрын
Nimependa sana unavyo tumia neno THEN. Safi dada angu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
🤓🤓🤓🤓🤓
@deborahrehema5819
@deborahrehema5819 4 жыл бұрын
Saida my crush 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 4 жыл бұрын
Dah pole aunty Saida
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Zamaradi tunasubir interview ya mama Lao mamaa khadija kopa please ukion hii comment bs ifanyie kazi tumsikie nampenda saan
@matridasambali6432
@matridasambali6432 4 ай бұрын
Duh saida anasauti nzuri sana jamani kwenye uimbaji wampe mkono anemdelee zaidi
@editordominick6485
@editordominick6485 4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭nmelia sana saida history ni sawa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭.
@danishotieno7836
@danishotieno7836 2 жыл бұрын
Hongera saida
@lucysamsonmoza3964
@lucysamsonmoza3964 4 жыл бұрын
Hongera sana mtani wangu Mungu akuinue zaid na zaid maneno yako yananipa nguvu
@admirabiliskalolella4371
@admirabiliskalolella4371 4 жыл бұрын
please invite akothee. It would be a fantastic interview
@lainessmwombeki7919
@lainessmwombeki7919 4 жыл бұрын
Admirabilis Kalolella true
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 4 жыл бұрын
Say it again, so she can give our many young girls education on how the flower between their legs will never ever make them rich,to stop living the Instagram life and so much more, how I wish.I looooove akothee.
@nailengai7057
@nailengai7057 4 жыл бұрын
I wish that too
@Safariking2010
@Safariking2010 4 жыл бұрын
I'm really pleased with what your doing @ZamaradiTV huwa una ibua hisia za ndani sana katika interviews unazofanya! Huyu mama #SAIDA ni mmoja ya binadamu wachache ambao kwao najifunza makubwa sana. Huyu mama natamani ningeweza kumsaidia to be honest namuombea na nakuombea sana na wewe ufanikiwe zaidi maana kwa kuwaibua watu kama hawa unawapa fursa ya kuonekana na kupata Msaada. Mungu mwenye Enzi akubariki sana dada yetu na keep up the good work. Wish to meet up someday niongee na wewe😑
@sallymaicon2588
@sallymaicon2588 4 жыл бұрын
Hongera Sana zamarad❤️
@olivialyatuu5841
@olivialyatuu5841 4 жыл бұрын
Saida umeniliza sana, Mungu azidi kukusimamia, wewe ni shujaa!
@glorianikiza92
@glorianikiza92 4 жыл бұрын
Pole Saïda ulipitiya mengi ila Mungu atakushindiya
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 103 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН
Saida Karoli anaendelea kuweka Historia kwenye Tigo Fiesta.
19:49
NANDY AMLILIA RUGE/ ALIZA WATU ASHINDWA KUIMBA
4:42
Millard Ayo
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mjue Msanii Wako: Saida Karoli
10:15
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 60 М.
BEST VIDEO SONGS OF SAIDA KAROLI 2023 / MIXTAPE 1
39:11
TechDaudi Movieshop
Рет қаралды 34 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
8:03
Millard Ayo
Рет қаралды 1,9 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 103 МЛН