Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 288
@Neema929 ай бұрын
No wigi, no makucha ya bandia, no mkorogo. Huyu dada ni true definition ya mwanamke mzuri.
@HosianaUrassa9 ай бұрын
She is really und beautiful
@alexander190778 ай бұрын
I like her😊
@sumayaishengoma45436 ай бұрын
Nampenda sana huyu binti anaishi maisha halısı hana mambo mengi
@cyntermchomvuАй бұрын
Wajina wangu kiukwel uko very naturally sinta ss tuk hivy ukiacha odemba na kukubal aiseee
@jedidahbintidaudi82419 ай бұрын
huyu dada mzuri kwa kweli..she is very beautiful
@stellahlinusi82159 ай бұрын
arafu ata aringi
@jedidahbintidaudi82419 ай бұрын
@@stellahlinusi8215 haswaa very natural
@brightermwailolo34097 ай бұрын
Nimeipenda sanaaaaa kwanza msafiii pili anajiamini Sana ❤❤
@UWASEQuennie9 ай бұрын
Napenda vipindi vyako sanaaa from Burundi 🇧🇮 ♥️ nenda na kwa Wema basi
@rajuxcharity9 ай бұрын
Smart girl yani yupo natural hadi hakili umetisha sana💕🎉🎉🎉💝
@AngelAfric8 ай бұрын
Siyo hakili 😢, toa H ni akili
@rajabdibwa64159 ай бұрын
She has confidence and self composure!
@DerickNgowi-mf5pe9 ай бұрын
Ana masihara mengi na ana upendo sana ...si mchoyo na mkarim
@LovicThomas6 ай бұрын
Kaka Leo umetisha Sana Yani kama washkaji show hii
@JenifaJohn-k5d9 ай бұрын
Huyu demu anajielewa😂😂
@aminmohammed42499 ай бұрын
I like Jasinta❤ She is so natural
@Catherinehaule-iq7yy8 ай бұрын
Nimekupenda mdogo unapambana sana ❤❤❤❤❤
@GfgGgh-v5z9 ай бұрын
Jasinta hongera nyumba yako nzuri
@joyceerick54837 ай бұрын
Akili nyingi sana...❤❤❤❤
@EricUbalijoro-x1l9 ай бұрын
Nimekuwa nikikufatilia sana napenda unaishi maisha ya uhalisia
@SalamaNauthar9 ай бұрын
Mdada mzuri Mashaallah'❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@Mikeys-m9w9 ай бұрын
We love u Jasinta 😊
@tumahai1579 ай бұрын
Wavugishije ukuri wa mwana wa we, umuhayakazi usa nawe wamubonye he
@marleshjimmy19729 ай бұрын
She is beautiful and fan of wasafi 😅 specially……#komasava😻
@BlaiseZihalirwa5 ай бұрын
Nimempenda huyu mdada jamani iko simple sana❤❤
@fiiteamme35389 ай бұрын
Next neenda Kwa rama esthetic nyumba yake ameitengeza vizuri sana alafu ukienda Kwa hizo nyumba tuonyeshe sana nyumba
@agnessntiburella88168 ай бұрын
Nampenda sana huyu dada hana mambo mengi
@MayarashidiMayarashidi5 ай бұрын
Kazi mnzuri mashaailah
@rahymaaa43579 ай бұрын
Yaan wewe Saleh Leo kapatikana😂😂😂😂
@ElishaJoakim-ir2qf5 ай бұрын
Dah 😂😂😂 kam n mpenz wako unatakiwa uwe na roho ngumu sana maan n mchesh san
@FredrickMatiku-xf2uk5 ай бұрын
Demu mnyamwezi sana na uzungu kidogo yuko poa sana mwana mshikaji sana demu nimependa interview kipindi nitamuunga mkono dukani kwake duvet mpambanaji
@twix14049 ай бұрын
Me nilijua mmasali❤
@edinakamba91249 ай бұрын
Kama unampenda like hapa
@atomphoton50009 ай бұрын
@54:50 hapa anaposema Jumapili mtu akitaka mzigo yeye anaibuka gheto kama kawa, waliosoma kuba tumeshamuelewa sasa ndugu mtangazaji usituangushe gawa namba hiyo faster watu tucheze na vidole.
@aboudijaaboudija9 ай бұрын
wew nae matko
@yolo52619 ай бұрын
Punguz umalaya 😂
@KennethFelician5 ай бұрын
imependeza sana🤗
@vinny.morales8 ай бұрын
Dada amenyooka kwa kweli❤
@Chelseaboy_19059 ай бұрын
Jasinta is such a cool girl
@mwadawahussein24949 ай бұрын
Ukisikia twiga ndio huyu sasa❤❤❤❤
@fahadfaraj64749 ай бұрын
Sio kuku kuchi
@EdnaMbowe5 ай бұрын
Umepatikana leo😂 kwa Mzee wa Ngenga nako😅
@Lexerjoh9 ай бұрын
Napenda anavyo ongea 🥺
@SuleimanKhdija9 ай бұрын
Ila swalehe kwanini umvishe viatu 😅😅leo patachimbika
@ZeinabBakar-je4nr2 ай бұрын
Mzuri sana
@AbkaryYondani4 ай бұрын
Kma kuna aliyesikia aleg like hapo
@aishaomary2309 ай бұрын
Salehe mbona kama mnaendana hiv😂
@Mohaa43098 ай бұрын
Et aah kidogo nseme Diamond 😂❤
@bagenihuduma15698 ай бұрын
Hongera kwake
@lilianwaflotina12889 ай бұрын
Nampenda bureeee❤
@latifahkarim97749 ай бұрын
Kwa ss wapambanaji hy ni mwanamke wa shoka sio slay queen kutafuta hela mwenyewe ni raha sana
@happybryce12699 ай бұрын
Nampenda jasinta
@aminahamisi63829 ай бұрын
😢jasinta ummeonja kidogo haki ya mungu nakwambia ,waojua wanajua
@InessKoku9 ай бұрын
Nijasinta lkn sauti ya flaviana matata kbs
@evelynensanga33309 ай бұрын
Murembo jasinta❤❤❤
@albertlema99519 ай бұрын
Hio peefume ndo yenyeww😊
@hawangunge81048 ай бұрын
She's very organized❤😊
@newzon53006 ай бұрын
Uyu demu ata kama una million unatoa😂😂😂
@MagesaJunior9 ай бұрын
Oooh tuliokulia sengerema like zangu mnipe hapa
@SekelaJakson-ls7dd9 ай бұрын
Salehee uwende na kwa hamisaa😂
@faithwambui4079 ай бұрын
Kama mwanajeshii.vile ,chagua apa,weka kule tuondokee😅😅😅real gem
@salomesimba-rp3hd9 ай бұрын
She is so beautiful and kind hata ukikutana nae haringii ❤❤
@RonnieMchatta-pr5bd9 ай бұрын
Uko vizurrí sana my dear
@hellennehemia92699 ай бұрын
Yaan huyu ndo mt bhana..kingereza kakiweka shimoo🤓dada yuko poa sanA
@AffectionateCroissant-yn6ic8 ай бұрын
Mtoto alivooinama nikaona mwana kaangalia tako kidogo nakubali😂😂😂
@sabrinaraphael34747 ай бұрын
Beautiful
@KamaalAli-w2c9 ай бұрын
Saleh Leo umepatikana kwa Modo. Kula hujapewa na Kazi umefanya
@khadjamhozya8 ай бұрын
Umeonae
@AishaBane-e3i3 ай бұрын
Wee sareh unanichekesha eti alivyoondoka anachukuwa mawig yake😅😅
@Mery-st4nu9 ай бұрын
Yani huyu dada Hana Maringo kama zamaradi nakupendeni sanaa nitakuja uniuzie shuka
@nancyg86649 ай бұрын
Zamaradi kaingiaje jaman🤣🤣
@emmakipalula90975 ай бұрын
I like her❤
@missdija49599 ай бұрын
Yuko so real❤
@BlaiseZihalirwa5 ай бұрын
Sijue wanaume wanakuaka wana feli wapi huyu mwanamke wakuowa bana 😂😂😂
@beatricejoseph27849 ай бұрын
Nampenda huyu dada uwiii sijui niseme vp anisikie
@Zainab-qg6xv9 ай бұрын
Ongeza sauti 😂
@beatricejoseph27849 ай бұрын
@@Zainab-qg6xv 🤣🤣🤣
@ClementinaKaranga6 ай бұрын
Nampenda anavyo ongea tyu
@LeylaHamisi-qh3kb9 ай бұрын
Salehe Leo akuna kula apo peupe peee😂😂😂😊
@KhalidNa-bn4gp9 ай бұрын
😂😂😂😂 nakazi kafznya
@chany99508 ай бұрын
Love you mrembo jmn 😘😘😘
@FredrickMatiku-xf2uk5 ай бұрын
Demu peace sana mshikajiiiiii ukiwa nae hauwi boadi mnyamweziiii nimetamani ata kudate nae
@ChristineJohn-hj1ts9 ай бұрын
Saleh et kuna watu wanahongwa bundle la wiki😢
@fathiyahmuzney73679 ай бұрын
Swalehe leo umepatikana no kula kaz kaz😂😂😂
@nancyg86649 ай бұрын
Anasura ya kinyarwanda
@hahmadhabibu20769 ай бұрын
Nimnyarwanda ila wale wameka tz sana
@nancyg86649 ай бұрын
@@hahmadhabibu2076 ni mhaya si unajua wale wanafanana na wanyarwanda.
@timoliiisaya38249 ай бұрын
@@hahmadhabibu2076acha shobo kujifanya unajua watu
@Theraldylaniscool8 ай бұрын
I heard her and her family speaking Kinyarwanda.
@mukizagideons10947 ай бұрын
Mnyarwanda wa Nyakabango Muleba
@NaphySky-oq5sy9 ай бұрын
Nmependa mshikaji sana
@amidafatacky7 ай бұрын
Nime mpende ana uhalisia
@GiftAbduly9 ай бұрын
Swalehe kaz unayo😂😂😂
@esthermachangu49708 ай бұрын
Jasinta mrembo sema kichwani km anavipunye
@elizabethmkini69488 ай бұрын
😅Jmn khaa
@kellynelove38087 ай бұрын
😂😂😂 jmn ww
@shyfettymtunda46199 ай бұрын
Nampenda sana huyu binti.
@aboudijaaboudija9 ай бұрын
😂😂😂😂umepewa na zawadi salehe hiyo ndo malipo lazima ufanye kaz ukome bna
@GfgGgh-v5z9 ай бұрын
😂😂😂😂 Saleh kapatikana jamen
@Juke9959 ай бұрын
Swarovski ni expensive somehow inatengemea uliponunulia lakini bora ukanunue diamond kama unapenda madini sababu swarovski ni chupa crystal glass
@YuniceChuma8 ай бұрын
Yaan apo jikon nimeludia mala 2 kupaangalia palivyo doda yan mimi nnavyopenda kupika na kula mmh siwez kula migahawan kwakwel kwanza sito shiba
@BakariMakame-j5f8 ай бұрын
Alooo mpemba mwezangu sh salehe wavaa.macheni kama 2pc aloo usirudi pemba twakuuwa
@HabibaAmani9 ай бұрын
Yuko vizur ❤
@kimsamir9652 ай бұрын
Jee anamume huyooo ?
@FredrickMatiku-xf2uk5 ай бұрын
Hizo nyumba za kuoanga ziko wapi nikapange karibu na mrembo
@janetdundul38589 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂swalehe,,,demuwako wa karume kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂
@faudhiasalum72799 ай бұрын
Ana tabia mbaya ujuwe Walhalla sijapenda 😂😂🤣🤣🤣
@ngambikomsu649 ай бұрын
Ngoja wadudu wakuibukie waifate hiyo mkufu, utajua hujui