Zanzibar Prime Minister at UN in December 1963 when Zanzibar accepted as member of the United Nation by the general council.
Пікірлер
@omyguy30284 жыл бұрын
Zanzibar island is the best and beautiful island in the world Jamani tanganyika wao wamejiunga lini ? Nauliza
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Imekula kwenu!!
@NasirAmeir10 ай бұрын
Laana za Mungu hazitawaacha
@mwigaali88003 жыл бұрын
Mungu ibarhki zanzibar na watu wake
@zahorrashid54594 жыл бұрын
Allah awalaani waliotuuzia Zanzibar yetu kwawatanganyika nawale waliokufa Allah awafanyie moto iwemakazazi yao.
@jameszanzibar36893 жыл бұрын
Ameen🙏🙏
@jumakapilima56743 жыл бұрын
Bahati mbaya sana Mungu hayuko hivyo!
@chhaganlalnagani81634 жыл бұрын
Very good event ZANZIBAR IS GREAT LITTLE IRELAND.
@timrooneyphotography.8 жыл бұрын
Aya Asante.
@isibingotv220610 ай бұрын
Tazama raman utaona nchi nzuri ya Tanzania.
@jameszanzibar36893 жыл бұрын
Dah! Zanzibar inasikitisha sana
@kassimmohd14 күн бұрын
Tuweni Pole kwa kilicho mkuta baada ya siku aliyorudi hapo
@adamyussuf1678 Жыл бұрын
Hakuna lisilo na mwisho ipo siku Zanzibar itarejesha mamlaka kamili inshaallah
@maqwaybaran99053 ай бұрын
Tanganyika pia tunataka nchi yetu
@kassimmohdАй бұрын
😂 bado miaka kumi mzanzibar kutawl Tangyika , alaf ikimlza tunamuek mzenji mwengne
@yussufjuma46238 жыл бұрын
It is narrow bridge to reach our demands and re back representatives in the UN
@maqwaybaran99053 ай бұрын
Walimpindua Mohammed Shamte waziri mkuu mu Africa ni wala sio mwarabu sultani
@sayidabdillah85054 жыл бұрын
Huyo ndiye waziri mkuu wa mwanzo Zanzibar ambye tunatakiw kumfahamu na kumuenzi sana alikuwa mzalendo wa nchi licha kuwa alipinduliwa na wale waliona kuwa tulikuwa na utawala mdogo but km wangekua na subra hawo waliopinduwa basi Zanzibar tungekuwa mbali bcoz tungekuwa na maamuzi yetu