Daah inasikitisha kwa kweli kumbe zanzibar ilikuwa ni nchi kamili yenye kiti chake umoja wa mataifa kwa kweli jicho linatoka machozi nikiskia hii historia ya nchi yetu ila naamini iko siku zanzibar tutapata mamlaka yetu ya kuamua chochote tunachotaka kama zamani bila ya kuingiliwa na yoyote InshaAllah
@MilloWamilonga-ft8ir2 ай бұрын
Utapata kutokea wapi? Wewe uzanzibar wako umekaaje? Huyo Mohamed Shamte ni mndengereko wa Rufiji. Je wewe mzenji wa asili gani? Acha kujikomba kifala.
@allykhamis33783 жыл бұрын
Hasadi ni mbaya sana ona Zanzibar ilivyo fanyiwa hasadi na nyenyerere mpaka akaifikisha hapa tulipo sasa dah masikini mama yangu zanzibar
@MohdIkra-d7s5 ай бұрын
Unachotakiwa kufanya nikumwambia kila unaeweza kumfikia na anaewwza kukusikiliza kuua ccm sasa basii basi basi na kiipigia kura ACT
@OmerSuley-gl7go Жыл бұрын
Eeh Mungu sikia kilio cha Wazanzibari kuwa na nchi yao yenye mamlaka kamili 😢
@saidhamad75044 жыл бұрын
We can't here this voice anymore... but we can surely get back our country again
@zanziboysaid9522 жыл бұрын
It brings tears once when we here such a things like these, let Zanzibar be free from Tanganyika
@kassimhaji11412 жыл бұрын
Waengerza ndo walotutia kwenye matatizo yote hayo Kwa kushirikiana na vibaraka wake
@sadakhamis12612 жыл бұрын
Sidhani huko makaburini km wana amani kwa dhima walobeba
@hamilsaleh-zo3hp8 ай бұрын
Nchi mnapa karume kanaipeleka bara. Sasa onjeni, mtakwa kama libya
@nuramoboy6 жыл бұрын
This was a great speech and great quotation
@gangmore90915 жыл бұрын
Zanzibar ilikua kimataifa inajulikana leo ukisema zanzibar adi ufafanue ilikua n passport n.k rohombaya ya nyerere kuichafua zanzibar
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
Hy ccm ya ,Zbar ndo washenzi kwa sbb ya maslahi yao q
@gangmore9091 Жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 naam ndio mana wapo tayr kutoa roho z watu
@seifabdulwahid4579 Жыл бұрын
@@gangmore9091 Washenzi tena kutwa unawakuta misikitini unasali nn km unawadhumu watu haki zao
@gangmore9091 Жыл бұрын
@@seifabdulwahid4579 ili usionekane mnafiki bc ujitie kwenye dini ndio mana wamewateka Mashekhe kuwa karibu nao
@bennymochiwa48004 жыл бұрын
kiukweli kbs walichokifanya Nyerere na karume kamwe hawatasamehewa na wazanzibar
@hassanally49603 жыл бұрын
Sahihi
@sadakhamis12612 жыл бұрын
Kabisa
@bennymochiwa48002 жыл бұрын
@@sadakhamis1261 umeonaeeh?
@alialamoudi97292 жыл бұрын
Zanzibari imetekwa NA ruhusa ya wangereza NA nyerere
@mwigaadam11792 жыл бұрын
Swadakta
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Huyo sultani ni mwananchi NA ni mzaliwa pemba NA alikua anapendwa NA wananchi NA alisherekea uhuru wa zanzibari kama watu lakini ungereza NA nyerere hawataki dola ya kiislaam kuwa jirani NA tanganika ikafutwa serekali mzima NA kuua watu wasio NA makosa wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wakawazika
@shabanikipongo1431 Жыл бұрын
Dhuruma iliyofanywa na watu kusahau harakati za mzee MOHAMMED SHAMTE, itaigharimu Zanzibar kizazi hadi kizazi na kuungana na vibaraka kuifanya Zanzibar kuwa dora ndogo kuliko Tanganyika wakati history inasema Zanzibar ndio ilikua dora kubwa hata wajerumani walipokuja Tanganyika kuanzisha makoloni yao wali ripoti ktk Dora ya Zanzibar na kupewa kibali cha kuingia bara sehemu kubwa ya pwani ni Dora ya Zanzibar kuanzia ukanda wa bahari ya Hindi yote leo Zanzibar imebaki na kibakuli tu na bado kinatazamwa
@BakarAliy5 ай бұрын
Aaaaa Nyerere kumamayo
@suleimanmohammed53445 ай бұрын
😂😂😂
@mwigaadam90763 жыл бұрын
Ikowapi ile Zanzibar ya ndoto yetu 😬😂
@MilloWamilonga-ft8ir2 ай бұрын
Ya utumwa au zanzibar gani unayoiulizia
@salimharrasy70477 ай бұрын
Let's blem them self's. As Zanzibaris suppose to be no multi party from 1950s.
@amoursaid27006 жыл бұрын
Free zanzibar
@ahmedalbalooshi85188 ай бұрын
Jamani lawama infaa itupiwe kia upande kwa yaliyotekea .Wapi umesikia nchi inapokea uhuru,wakati haina jeshi,ikajikalia tu bila kufanya mipango ya kujihami?
@MohdIkra-d7s5 ай бұрын
Sawa ilo ni kosa sasa nini kifanyike unaaddhani na jeshi ndo sisi vijana wa leo tuwe tayari kuiondoa ccm na ukoloni tuwe tayari kukipigia kura chama cha A CT Wazalendo ili tupate mamlaka kamili
@MuhammadGharib-x5h6 ай бұрын
Nchi ilikuwa kwa Wazanzibari ss imechukuliwa na Wazanzibara