Zawadi ya mume wake Gladness kwenye birthday ya mtoto wao Henzo

  Рет қаралды 26,270

Ophoro Tube

Ophoro Tube

Күн бұрын

© 2024 Ophoro Tube. All original content is protected under copyright law. Unauthorized use, reproduction, or distribution of any material is strictly prohibited.

Пікірлер: 107
@mhohomudzo5412
@mhohomudzo5412 2 ай бұрын
Jaman hata watu waseme nn mm pili kiswaswadu😂nakupenda bure dada yangu .team pili kitimtim pitieni hapa😊
@GraceFunga-oz1ck
@GraceFunga-oz1ck 2 ай бұрын
Pili amependeza sanaaa ❤❤❤
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@Deboramartin-z2m
@Deboramartin-z2m 2 ай бұрын
Mimi nasema ivi azae na mme wa mtu au sio mme wa mtu hayatuhusu hayo ndio maisha yake inawahusu nn sasa kama mme wa mtu mm mwenyewe nimezaa na mme wa mtu na natamba nae
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 2 ай бұрын
Haloooo😅😅
@devotha6639
@devotha6639 2 ай бұрын
Nilikua napita 😅😅kuona maski nikavuta break
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@jeskaoscar9423
@jeskaoscar9423 2 ай бұрын
Sàsa uyo baba anaijui iyo nyimbo chaji ikakata 😊😊😊😊😊
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 2 ай бұрын
Bora ata pili kapendeza mashallah ❤❤❤
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@brendazayumba235
@brendazayumba235 2 ай бұрын
Sasa na hilo mask mbona kutishana
@keyla3641
@keyla3641 2 ай бұрын
Pili kapendeza mashaallh
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@SubiraSaleh-xm3wq
@SubiraSaleh-xm3wq 2 ай бұрын
Acheni ujinga hakuna mume wa mtu .hata km ana mke itakuw ni mume wao wote Sheria 4
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@EdnaJohn-c5x
@EdnaJohn-c5x 2 ай бұрын
Kabisa
@brendazayumba235
@brendazayumba235 2 ай бұрын
Nlijua kazaa na mzungu kumbe kuchikuchi
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
Hiyo ndo shida ya kuzaa na waume za watu😂😂😂nikujificha mwanzo mwisho
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@happybalama3591
@happybalama3591 2 ай бұрын
Na ghoroga kajengewa acha ajifiche wasije muiba
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 2 ай бұрын
Mutamuiba ndio maana hataki kumfunua
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 2 ай бұрын
Kwa tamaa ya maokoto😂😂
@nacyfloflo9494
@nacyfloflo9494 2 ай бұрын
Mutu anambie uyu niyule pili amekuwa mwanamke wa yule brother wa mavoko simujui jina
@ChristinaMlolere
@ChristinaMlolere 2 ай бұрын
Mbona birthday imepoa sana
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 2 ай бұрын
Bora asingekuwepo tuu kuliko kuvaa mask😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 ай бұрын
😂😂nanyie kwaumbea kutaka kujua
@SarahJackson-l7w
@SarahJackson-l7w 2 ай бұрын
Mara ana makovu usoni mmekazana ni Mme wa mtu Nyie zingatieni tu kafika kwenye hbd ya mtoto wao tu😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@MonicaMwoka
@MonicaMwoka 2 ай бұрын
Maisha jamani magumu yamempeleka huko
@Emmamuze
@Emmamuze 2 ай бұрын
Wengine hawapendi mitandao kuonekana onekana
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 2 ай бұрын
MUHINDI NJAA
@bernadetageorge6039
@bernadetageorge6039 2 ай бұрын
Ambao hamna waume za watu mnaumiaa eeenh 😂😂😂 maaana mmekazana jmn khaaaaaa
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 2 ай бұрын
Pili yeana dada wakazi kwani
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@hamisaally968
@hamisaally968 2 ай бұрын
Mume wake au hawara yake, bora ata asingekuwepo akawakilishwa na mtu ujingaa mtupuuuu😂😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@SitiMakame
@SitiMakame 2 ай бұрын
Huwezi jua kachizika vp wahindi kwa waswahili hatoki
@Sharifajafari-ys6gx
@Sharifajafari-ys6gx 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mbavu zangu jamani
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@rehemalusindengawa5186
@rehemalusindengawa5186 2 ай бұрын
Waindi walivyo na roho mbaya mhhh aya mwaya labda muindi koko umeokota dada mkubwa ongera sana
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@EMANUELMgaya
@EMANUELMgaya 2 ай бұрын
duuh wanaroho mbaya sana
@EdnerMahambo
@EdnerMahambo 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 ай бұрын
Wana roho mbaya saana tupo nao huku Dubai yaan ni shido
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 2 ай бұрын
We unae huyo Koko weka wako tumuone
@samhasuleiman7673
@samhasuleiman7673 2 ай бұрын
Kwaio ndo mueke wimbo wa khindiii au 😂😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 2 ай бұрын
Wa2 wanajuwa waume zao kwa maumbo wengne mwengo au harufu huyu kajtokeza mwl mzma atajulkana 2😂😂😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Kwan kakwambia hp kajificha kwakuogopa mkewe atamuona au umesikia uyo ni mume wamtu kaa achaumbea uyu kaka uwa apemfi kuonekanaga na kujulikaa
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 2 ай бұрын
@@nishaabdula5015 Soma uelewe Kwanza
@fatmaali4921
@fatmaali4921 2 ай бұрын
Mbona shemej yetu hatumuoni sura jaman
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 ай бұрын
Ataki watu wamjueeeee
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 2 ай бұрын
Kujibana bana basi vuta hewa ya MUNGU ikuingie
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Ujifiche kama unauza bangi jaman 😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 ай бұрын
,,😂😂😂😂😂
@dorahbenard1837
@dorahbenard1837 2 ай бұрын
Nasubili juma lokole na dida wanisaidie kusema jamn khaa😂😂😂😂 vituko vitupu aibu
@Aefee-qf5ui
@Aefee-qf5ui 2 ай бұрын
😂😂😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 ай бұрын
Chagua mtori.
@YasminYasmin-vj5ih
@YasminYasmin-vj5ih 2 ай бұрын
Mume wa mtu huyu muhindi😂😂😂😂haiwezekan afiche sura
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂tutakuona tu kwa mange
@fatmamasafu8606
@fatmamasafu8606 2 ай бұрын
😂😂😂mutamuiba bongo hakuna dogo
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 2 ай бұрын
Mwenye Mume akmuona Mumewe atamjuwa Sema atak songombingo za Dm mie mkono 2 najuwa.
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 ай бұрын
Ndo mlivyo ambiwa mume wamtu kaa wabongo jmn
@noellaalfred8371
@noellaalfred8371 2 ай бұрын
Kwan huyu baba alitaka kumtisha mtoto au nimume wa mtu huko India 🥲🥲
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 2 ай бұрын
Na awe mume wa mtu kwani kuna shida?? kla mtu na maisha yake, muacheni, kwani mume wa mtu sio mwanamme nyie vp?
@hamisaally968
@hamisaally968 2 ай бұрын
Ingekuwa rahaa na amna shida angejibana ivyo bwanaaaa😂😂😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@marthamelle7928
@marthamelle7928 2 ай бұрын
Mara ooooh Bora asingekuwepo sijui waja wanaumia nn😂
@DeboraNgura
@DeboraNgura 2 ай бұрын
Mtoto kafanana na baba😂
@bentyally1991
@bentyally1991 2 ай бұрын
😂😂
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Asante kwa kutazama video hii.
@RehemaMgoba-v4z
@RehemaMgoba-v4z 2 ай бұрын
Sasa nyie wabongo mume was mtu Cha muhimu note Kam we una wa kukupa Ella shauli yako mwenzio kazaaa na bonge la bwana wewe utajua ujui
@OphoroTube
@OphoroTube 2 ай бұрын
Assnte kwa kutazama video hii.
@priscajustine2456
@priscajustine2456 2 ай бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 85 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Big Surprise for @Wapendwamuziki ​⁠ Before The Baby Comes 😍
33:53
THE WAJESUS FAMILY
Рет қаралды 18 М.
Nandy Alivyoimba kwenye Birthday ya Henzo mtoto wa Gladness
9:22
KIKAO CHA WAJAWAZITO WITH GLADNESS KIFALUKA - EPISODE 5
31:53
ZamaradiTV
Рет қаралды 7 М.
THUMU'S KITCHEN PARTY ENTRY (PRE-WEDDING CELEBRATIONS)
18:35
SANDMAN PICTURES
Рет қаралды 54 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 85 МЛН