ZAWADI YA PICHA YATUPONZA

  Рет қаралды 173,525

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Picha Tuliptumwa kuipeleka Kwa huyu binti yaleta bara baada ya kuipokea Tyu

Пікірлер: 552
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 2 ай бұрын
Nakujua wew mambo Yako ya kuzalilishana😂😂😂watu hawajiamin kbs wanaish TU bas kwa kuwa wapo hai😂😂
@SharonTemu
@SharonTemu 2 ай бұрын
Dada anamsimamo hadi raha asnt kwakutuwakilisha🌹
@daudiramadhani8547
@daudiramadhani8547 2 ай бұрын
Wadada wa hivi mi ndy nawaelewa,,, dada yupo seriously spendi mwanamke mrahisi rahisi 😁
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 ай бұрын
Tena ukimkomalia akija kubali asee utainjoi
@FlorenciaAngelico
@FlorenciaAngelico 2 ай бұрын
😅😅
@SalmaMtewele
@SalmaMtewele 2 ай бұрын
Nakupend bule Mr uky mpak wakuue
@GloriaMbenje
@GloriaMbenje 2 ай бұрын
My sister umetuwakilishaa😂❤
@mwajabmsuya
@mwajabmsuya 2 ай бұрын
Sister's hood are proud of you 😅😅🤟
@Sammiebestie
@Sammiebestie 2 ай бұрын
Kabisa❤❤
@ShaelKimaro
@ShaelKimaro 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤anahitaji
@KalundesaidiKalunde
@KalundesaidiKalunde 2 ай бұрын
❤❤❤😂
@flaviafelix4904
@flaviafelix4904 2 ай бұрын
Uyo dada katuwakilisha vyema sana congole😂😂😂
@mrymkubali4017
@mrymkubali4017 2 ай бұрын
Saf sanaa yan urudie matapishi kisa picha saf sana dada❤️😂
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 2 ай бұрын
Achen wivu dem ni mkali ,mzur bwana 😂😂😂Sema kazngua itakua ana watu wengi 😂😂😂😂😂
@JacoboLipenege
@JacoboLipenege 2 ай бұрын
Ww ndoumesema anawatu wengi pia anajikuta
@rechokizumbe7314
@rechokizumbe7314 2 ай бұрын
Hata kama hana sura nzuri kuna mda maisha ysnahitaji msimamo mtu kama humtaki kweli acha kupokea vitu vyake uwa vinaamsha hisia tena unajikuta upo kwenye mahusiano yakukuumiza kila siku
@ZoobieZooby
@ZoobieZooby 2 ай бұрын
Comment hii nd nilikua naitafuta
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 2 ай бұрын
Kusema mtu anasura mbaya unajua kuwa unamchamba Mungu aliyemuumba,kama unaona anamakosa,kila mtu anamakosa yake,hakuna mkamilifu
@ByamunguGentil-su8ox
@ByamunguGentil-su8ox 26 күн бұрын
Nime suburb kwasababu ume tuomba tufanye ivo 😂😂😅😅sema kazi nzuri bro 🕺🏻🕺🏻🤜🏽🤛
@Americabeautifulland
@Americabeautifulland 2 ай бұрын
Uyu demu amepata mtu mwenye pesa kwa iyo mwamba bora akapotezee tu atafute mwingine uyo kaisha kuwa nyoka mzee tafuta pesa kaka malaya kama hawa😂😂😂 ni hatari
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru 2 ай бұрын
Inaonesha mwanaume alimpiga matukio saa iz ndo anabembeleza😂😂
@BetyridaAdriano
@BetyridaAdriano 2 ай бұрын
mm naimba miss buza hapa, Kama dizi za kuchoma😂😂😂
@KidoBanks
@KidoBanks 2 ай бұрын
Mr uky naulivo muoga 😂 tupo pa moja mpka watuvunje miguu❤❤
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 2 ай бұрын
Wamvunje miguu
@MoureenPresiours
@MoureenPresiours 2 ай бұрын
Kweli kwa stail hiyo ni mpaka mvunjwe miguu😅😅😅
@AkissaBecky
@AkissaBecky 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@hajjkiua
@hajjkiua 2 ай бұрын
Mh😂😂😂
@donatilavenancemarandu9888
@donatilavenancemarandu9888 2 ай бұрын
Utoto mwingi, picha ni sura yake😂 kwa hiyo kajiumiza mwenyewe. 😂😂😂, ukomavu angechukua picha, na kubaki katika msimamo wake💪
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 ай бұрын
Hakuna cha utoto huo ndo msimamo mzuri ..
@zainabothman4106
@zainabothman4106 2 ай бұрын
😂😂😂😅kazini kwenu kuna kazi
@MatswelopeleMphela
@MatswelopeleMphela 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AkissaBecky
@AkissaBecky 2 ай бұрын
Wallah 😂😂
@leahjackson2437
@leahjackson2437 2 ай бұрын
Nimemuelewa sana huyu dada huwezi jua aliumizwa kiasi gani
@devociltergoldwyne5651
@devociltergoldwyne5651 2 ай бұрын
Punguza ushamba zawadi sio mpaka birthday 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@officialijang
@officialijang 2 ай бұрын
Hahah wamekaririshwa zawad ni kwe birthdy, pilau ni skukuu na nguo mpy 😀😀
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 2 ай бұрын
Jina TU ni shida
@VelvexRexa
@VelvexRexa 2 ай бұрын
yan mr uky wew na kiredio mungu anawaona
@EmmaMelkiadi
@EmmaMelkiadi 2 ай бұрын
Haaa haaa yaan kafanya kuwaswagisha kama kuku dah😅😅😅
@LilmmyCrazyfficial
@LilmmyCrazyfficial 2 ай бұрын
💚Mmh? Jamani. Kwa Style hii? Walai tutafika Mbinguni Tumechoka sana tu? 😂😂😂😂
@JackLaanyu
@JackLaanyu 2 ай бұрын
😂😂😂
@happymollel4690
@happymollel4690 2 ай бұрын
Kabayaaaa😅
@KIREDIOO
@KIREDIOO 2 ай бұрын
Kidemu chenyewe kibovu😅
@surayammanga8190
@surayammanga8190 2 ай бұрын
😂😂😂 tutajikongoja Hahaha mpaka tufike
@DonaldMtowe
@DonaldMtowe 2 ай бұрын
Hayo manyonyo
@AeshiJuma
@AeshiJuma 2 ай бұрын
Safi sana nimependa msimamo👏👏👏
@NeemaKafumu
@NeemaKafumu 2 ай бұрын
Ahsante sana dada nimeelewa msimamo wako,X harudiwi kwa vizawadi wakati huko nyuma ulimuumiza na kumjeruh moyo.Nimekupenda saana❤
@augustinofifi
@augustinofifi 2 ай бұрын
Mimi sijawah kuona NEEMA anaakili timamu
@elizabethlaurent1185
@elizabethlaurent1185 Ай бұрын
Na komwe lako​@@augustinofifi
@LeonardBadili
@LeonardBadili 12 күн бұрын
​@@augustinofifi😂😂😂 hata mimi
@augustinofifi
@augustinofifi 12 күн бұрын
@@LeonardBadili hilo jina huwaga linashida sana brother.
@LeonardBadili
@LeonardBadili 11 күн бұрын
@@augustinofifi 😂
@NasmaMfinanga
@NasmaMfinanga 2 ай бұрын
😂😂😂 naomba namba uyu dada kumbe dem akivuta embassy click ndo anakuwa mkali ivi naaaaaah uje moshi tumekumis mama wa vita
@ErnestinaA.Fernando
@ErnestinaA.Fernando Ай бұрын
Amei merecem isso irma bravo💪
@BeataRafaeli
@BeataRafaeli 2 ай бұрын
Sema kaka una moyo mgumu 😂😂😂 adi magoti😅😅😅
@isabhatototwin6542
@isabhatototwin6542 2 ай бұрын
😂😂😂 Nimependa kauli ya mwisho..." Eti huyu demu wako bhana😂😂😂 maisha kweli magumu kumbe ndo pesa zinavyotafutwa ivyo😂
@aminrashid991
@aminrashid991 2 ай бұрын
😂😂😂demu mwenyew mbona amechoka hivyo hadi titi limechoka sijawahi kusema mtu lakini hata ni kuzaa sio kuchoka uko
@Sam_me01
@Sam_me01 2 ай бұрын
Mmezidi kuharibu mahusiano ya watu mpaka mnaogopwa😂
@AkissaBecky
@AkissaBecky 2 ай бұрын
😅😅😅
@ChrispinMtitu
@ChrispinMtitu 2 ай бұрын
😅😅😅
@ashampega3061
@ashampega3061 2 ай бұрын
Nyie mnao mlaumu huyu dada mnajua uyo kaka kamfanyia nini ?
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 2 ай бұрын
Nilitaka kuuliza
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 19 күн бұрын
​@@Munayya-g2pndo ushangae,, mimi nimependa sana alichokifanya ety na zawadi yenyewe ni picha thuuuuu
@rehemamkagila4116
@rehemamkagila4116 2 ай бұрын
Yaan watu mna makasiriko na maisha kwahyo ziwa likilala ndo nn mbona mama zenu maxiwa yamelala
@LatifaTifa-bq4me
@LatifaTifa-bq4me Ай бұрын
Makasiriko😂😂😂😂
@lightismail4728
@lightismail4728 2 ай бұрын
Apo sawa Ex harudiw😂😂😂😂
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa 2 ай бұрын
Wà kwanza naombeni like 2
@anitabarnaba
@anitabarnaba 2 ай бұрын
Izu like mnakula au
@AngelChino-v8f
@AngelChino-v8f 2 ай бұрын
Sema mupo kazi musiwe na hasila
@jamilahabibu3527
@jamilahabibu3527 2 ай бұрын
Ziwa lenyewe limelala bhnaaa😂😂😂😂😂😂the hospital and return
@marymlay3364
@marymlay3364 2 ай бұрын
Halija lala limekufa bna 😂
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb 2 ай бұрын
Chuchu saa 6
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 2 ай бұрын
Picha imevunjwa mbaaaah😂😂😂
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 2 ай бұрын
Amewakomesha pumbavu zao😂😂😂😂😂😂
@mariamuhusein4431
@mariamuhusein4431 2 ай бұрын
mbon huyo ni naah mushi😂😂
@EmilyTesha-f6k
@EmilyTesha-f6k 2 ай бұрын
Salio kama kaweka yy mpigie huyoo nyoooooo😂😂
@artistsNews-3
@artistsNews-3 2 ай бұрын
Mwanaume waukweli alazimishi demu 😂 Wanawake wapo wengi kinomaa 🤦
@BabaFarzan-ml4er
@BabaFarzan-ml4er 2 ай бұрын
Hatulazimishi wala nini Mbwa waache tamaa wajifunze kutulia na kujiheshimu na Bwana mmoja ama wafanye kaz kwa bidii waache kutumia KUM@ zao kama mtaji Tamaa mbaya
@LeonardBadili
@LeonardBadili 12 күн бұрын
​@@BabaFarzan-ml4erShida ndo inapoanziaga hapo demu upo nae kwenye mahusiano anataka umhudumie kama vile mke wako kwa kweli wafanye kazi
@OmaryEdward-p2f
@OmaryEdward-p2f 2 ай бұрын
Mr uky nakujua weweee😂😂😂😂😂😂😂😂
@EstherAndrew-y2m
@EstherAndrew-y2m 2 ай бұрын
hiyo ndo maan i don't read my book backwards😂
@sophiaazizingaiwa3857
@sophiaazizingaiwa3857 2 ай бұрын
Nimependa huyu dada the way anavyoongea
@VeredianaRevocatus
@VeredianaRevocatus 2 ай бұрын
😂😂😂 nime mpenda Sana
@NeemaCharles-hj2yi
@NeemaCharles-hj2yi 2 ай бұрын
Camera man were are you??😂😂😂😂😂😂😂😂
@JaneAlvin-gt6dm
@JaneAlvin-gt6dm 2 ай бұрын
Ajitokeze mtu anipe hata zawadi ya piriton jamn 😅😅
@Feynarmursary
@Feynarmursary 2 ай бұрын
ushakufa ww😂😂
@AbiaMajamunda
@AbiaMajamunda 2 ай бұрын
😀😀 yaani Dada umeweza umeweza tenaaa
@DanielGaspel
@DanielGaspel 2 ай бұрын
Mwanamke mwenyewe sasa😅😅😅😅😅 hovyooo
@فيصلالبادي-ح1غ
@فيصلالبادي-ح1غ Ай бұрын
Tatizo ss tunaangalia upande mmoja ila ukiona hivyo huyu mwanaume ndio aliaaza mke kamalizia mm naona sawa tu ukiamua kujitoa kwamtu tokaaaaa mazima
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 ай бұрын
Imeisha hiyoo uyo ndo mwanamke akishachoka 😂😂😂😂🎉❤
@samwelisack99
@samwelisack99 2 ай бұрын
Mtu wa video anakaa wapi
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 2 ай бұрын
Hakunaga thamani ya X safi sana bibie
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 2 ай бұрын
Mr Uk na kiredio popote mlipo nipo mpk muuwawe shenzi😂😂😂
@Dipeson700
@Dipeson700 2 ай бұрын
Ila Zuwena 😂😂😂
@Lovenesseliasmasaba
@Lovenesseliasmasaba 2 ай бұрын
Dada umewakomesha❤ wanakela sana hao watu wanpeleleza mahusiano ya watu mpaka yanavunjika wasenge kweli mkome
@ZuhuraAthumani-bo8yy
@ZuhuraAthumani-bo8yy 2 ай бұрын
Hongera dada kwa msimamo wako
@LovenessCharles-kg2wz
@LovenessCharles-kg2wz 2 ай бұрын
Hahaha hii kichwa inginee mr uk 😂😂
@Gloriarespiki
@Gloriarespiki 2 ай бұрын
Mdada mwenyew mbn amejikoboa ivo😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@aminajuma-rw2rt
@aminajuma-rw2rt 2 ай бұрын
Jmn 😂😂😂
@LeukajaMavika
@LeukajaMavika 2 ай бұрын
Wadad munaongoza kwa kuchiti jamni😂😂ukiona to anagoma ujue kinachiti😂😂😂😂
@Jacklinammasi
@Jacklinammasi 2 ай бұрын
yani kwa kweli
@EmilyKabwe
@EmilyKabwe 2 ай бұрын
Kwashepu gani ..mwantumu yakuvunja hadi picha yako ..😂 Shep yenyew kibanio
@felicianboss6953
@felicianboss6953 2 ай бұрын
Kwani lazima kupokea zawadi ya ex°°😂😂😂😂😂😂😂
@IsihakaPatrick
@IsihakaPatrick Ай бұрын
Duuuuuh nomaha msimamo vizuri
@QueenterCharles
@QueenterCharles 2 ай бұрын
Nimependa msimamo wake ila hapo kwenye kufukuza watu sio vizuri
@juniormvungi2502
@juniormvungi2502 2 ай бұрын
Mademu wemekua siyo waaminifu mpaka hawajiamini...😂😂😂😂😂😂
@eddymwanyanje3957
@eddymwanyanje3957 2 ай бұрын
kibaya afu kinalinga, mbn kimekaa kama kichawi kichawi hviiii😂😂
@DayanaPeter-pd9yf
@DayanaPeter-pd9yf 2 ай бұрын
Mr uky unapiga magoti😂😂😂😂
@najmamontero-jz5fs
@najmamontero-jz5fs 2 ай бұрын
Mbona uyo dada ana makasiriko jmn au bado anampenda😅😂
@Jacklinejohn7
@Jacklinejohn7 2 ай бұрын
Dada ana mashauzi huyu ange kuwa mzuri tungekoma baya halina ata mvuto
@JackLaanyu
@JackLaanyu 2 ай бұрын
😂😂
@Allymzaki
@Allymzaki 2 ай бұрын
Yaan.
@magrethwambura131
@magrethwambura131 2 ай бұрын
Yan balaaa
@ThaBroski
@ThaBroski 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@hafsaTutupa
@hafsaTutupa 2 ай бұрын
😂😂😂Ila ww
@ModestaMatayo
@ModestaMatayo 2 ай бұрын
Kazi nzr dada angu
@Anna-g7d9m
@Anna-g7d9m 2 ай бұрын
Kumbe Annah 😂
@MeshackKasanga
@MeshackKasanga 2 ай бұрын
Et linasema Mr uky wew nakujua wewew😂😂
@black_queen_vibe
@black_queen_vibe 2 ай бұрын
Miguu yebyewe ya kukataa zawadi....hadi nacheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@linahmlay8512
@linahmlay8512 2 ай бұрын
Miguu inahusiana nn na kilichopo
@SuzyIvan-ih2zp
@SuzyIvan-ih2zp 2 ай бұрын
Mbn mdad mzr mnaomtus khaa
@SuzyIvan-ih2zp
@SuzyIvan-ih2zp 2 ай бұрын
N mzr jmn ila binadam buan
@RoseJames-z5s
@RoseJames-z5s 2 ай бұрын
Sura mbaaaya halafu unajikuta bonge la mrembo nyoooooo
@UpendoMtunguja
@UpendoMtunguja 2 ай бұрын
Msichana mwenyewe mbayaa sura ngumuuu minguu myeusiii myembambaaaa😂
@EmmyMbore-yv8cb
@EmmyMbore-yv8cb 2 ай бұрын
Dada anamdomoooo😂
@kevookavishe2573
@kevookavishe2573 2 ай бұрын
Kidem kibayaaaa kmmke😀😀😅
@maisarabakari578
@maisarabakari578 2 ай бұрын
Huu msimamo ndo tunahitaji wanawake wote💃
@ElizabethKembe-q1j
@ElizabethKembe-q1j 2 ай бұрын
Nimempenda huyu dada jaman😂
@SalmaMarselino
@SalmaMarselino 2 ай бұрын
Huyo dada miguu kama chochoritoo😢😂😂😂
@stanleyfrank1294
@stanleyfrank1294 2 ай бұрын
Hahahhah demu baya ...sauti km guta bovuu
@SalmaMarselino
@SalmaMarselino 2 ай бұрын
@@stanleyfrank1294 🤣🤣🤣🤣
@bushbabytz
@bushbabytz 2 ай бұрын
huyo mwanaume fala mno😂😂 eti picha inavunjwa na dem yeye anasema kwenye simu "eeh kuna nini!?"😂😂😂...fala wewe kuwa mwanaume penzi halililiwi wanawake wa bongo hawajui haya mapenzi ya picha kadi na maua...wale wazamani tu ndo walikua wanathamini, kudos kwa mademu zangu wa machame girls, weruweru, kibosho girls, Ashira na kwingineko enzi hizo zakuandikiana barua makadi na picha tukiwa shuleni!!😂 mna special seat in heaven😂
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 2 ай бұрын
Matapishi hayarudiwi Kwa kweli😊😊😊
@magiekinda9685
@magiekinda9685 2 ай бұрын
Libaya na kimbamba kabaya 😅😅😅😅😅
@nizcomorian1650
@nizcomorian1650 Ай бұрын
Huyu dada ni mrembo. Mnaokataa kuwa sio mrembo ni unaroho mbaya
@RUKAIYAABDALLAH-m6n
@RUKAIYAABDALLAH-m6n 2 ай бұрын
Nmependaa ufukuzajii tuu😂😂
@erickashindi2666
@erickashindi2666 Ай бұрын
Ww demu😂
@RUKAIYAABDALLAH-m6n
@RUKAIYAABDALLAH-m6n Ай бұрын
@@erickashindi2666 Naam 😂😂
@andrewpeter4321
@andrewpeter4321 2 ай бұрын
Kwenye kazi kuna kazi 😂😂😂
@hemedymohamedy437
@hemedymohamedy437 2 ай бұрын
mwana anatafute pisi ,Anabembeleza vp pis yenyew uja hiyo🤣
@AbduliSuleiman-o9l
@AbduliSuleiman-o9l 2 ай бұрын
Kazi imempata mwenye kazi, kazi imezaa kazi nyingine 😷
@VEREDIANAMUMBA
@VEREDIANAMUMBA 2 ай бұрын
Hamjuu huyu mwanaume alimtenda nn msichn 😂😂😂
@Sharifa_Fashion_21
@Sharifa_Fashion_21 2 ай бұрын
Kweli kabisa hata Mimi sitaki navunja
@CatherineSamson-p6l
@CatherineSamson-p6l 2 ай бұрын
Et shwi shwii shwiii kama kuku😂😂😂😂😂😂😂
@nicodemmbughi3731
@nicodemmbughi3731 2 ай бұрын
Mtaonge mbele kwa mbele zima Camera piga ngumi😂😂😂😂
@jacobmvanga4564
@jacobmvanga4564 2 ай бұрын
😂😂😂 mbona anajisikia vile au kisa ngeti😢
@SleepyAnt-uw6kj
@SleepyAnt-uw6kj 2 ай бұрын
Mbna simuon. M2 anae leta zalau apo duuh 2kipata wa kutu stil 2na linga 😅😅😅
@KatotooKavishe-bw6tq
@KatotooKavishe-bw6tq 2 ай бұрын
Nyie angekuwa mzuri ingekuaje 😂😂mbaya kama nini
@Ezraloyibobo10
@Ezraloyibobo10 2 ай бұрын
Sikwakuvunjwa uko jamani 😢😂😂😂😂
@Muheramaneva
@Muheramaneva 2 ай бұрын
Nakujuwa wewe 😂😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 ай бұрын
Kwani hii trend ya content tanzania sasa😂😂😂mmmh kazi ipo kweli,
@AhmadiNgaiwa
@AhmadiNgaiwa 2 ай бұрын
Siku moj mtaagizwa Hadi kwa madem wenu😂
@therealdullahtz
@therealdullahtz 2 ай бұрын
Ila hii kaz ngumuuuu😂😂😂
@MaryClement-gq3se
@MaryClement-gq3se 2 ай бұрын
Sasa picha imekosa nn jmn Alf nzr kweli
@JescaTenga
@JescaTenga 2 ай бұрын
Iiii kuna nini 😂😂njoo nipe bungo tu mi nashukuru
@linahmlay8512
@linahmlay8512 2 ай бұрын
Safi sana uyu mmi kabisa kwa kweli
@SarahShalua-ij8qg
@SarahShalua-ij8qg 2 ай бұрын
😂😂😂😂 ety nakujua wewe
HAKUNA LAFIKI WAKWELI ANGALIA HI
17:23
Mr Uky
Рет қаралды 48 М.
CAKE YENYE SCREENSHOT ZA MCHEPUKO YAPELEKWA TABATA PART 1
19:23
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Mr Uky
Рет қаралды 106 М.
PLAN B _ Episode 21
1:00:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 52 М.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 227 М.
AIBU! FIRST YEAR AKATALIWA MBELE YA WENZAKE, A NDO NANI???
4:47
MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA
8:52
Mr Uky
Рет қаралды 88 М.
MISSION IMPOSSIBLE [55]
23:58
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 10 М.
SHEM NJOO KWANGU TU LALE
15:36
Mr Uky
Рет қаралды 124 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26