Tra wanabambika kodi za uongo kwa raia ! Kwa kweli watanzania tunateseka na hao tra kwa dhuluma zao za wazi na hatuna pa kwenda kulalamika
@fidel7im7 ай бұрын
Waandae na ripoti ya Rushwa wanazo waomba wafanyabiashara kwa kuwatengenezea matatizo. Feki na endelevu.
@omaryswalehe10462 жыл бұрын
😅😅😅
@joachimsamwel8126 ай бұрын
Yani tax system ni wizi mtupu .ulio halalishwa .. ...yani hata ukiuza nyumba yako mwenyewe bado unatakiwa ulipie kodi.. ...na uliinunua kwa hela ambayo ulishaa ilipia kodi .....duuu hawa nimajambazi kabisa
@magokola2376 Жыл бұрын
Sasa kama kila kitu ni kodi kuna shida gani kupunguza asilimia za kodi