Zuchu amwaga chozi baada ya kushikana mikono na JPM

  Рет қаралды 7,098

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Baada ya kufanya makubwa kwenye jukwaa mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM waliokutana katika viwanja vya #IkuluChamwino leo, Mwanamuziki chipukizi #Zuchu aliomba kushikana mikono na Rais #JohnMagufuli ili atimize ndoto yake hiyo.
#MkutanoMkuuCCM #MkutanoMkuuCCMTaifa #MkutanoMkuuCCM2020 #WCB #WCBwasafi
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 3
@hildagwamaka2019
@hildagwamaka2019 4 жыл бұрын
🔥🔥
@jumamsaka2049
@jumamsaka2049 4 жыл бұрын
Wasafi ndio chama lawana jamani ndio lebo pekee inajulikana serekalin kwa kuwatoa wtto wenye vipaji😁😁😁Ukiwa unashabikia lebo ambao aijasimamishwa apa kakojowe ukalale
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Tuacheni tujiliye na kunywa vya bure chakula na pombe tu hapo hamna zaid kura kwa (wapinzani) maamaamazao, Utawala gani huu wanatugeuza kuku wa mgeni hapewi malisho mpaka siku ya kukaribia kumchinja,🤣🤣🤣🤣🤣
Zuchu -  Kwikwi (Dance Video)
3:16
Zuchu
Рет қаралды 58 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
Furaha yatawala makabidhiano ya zawadi za STAR AJAYE
52:46
Azam TV
Рет қаралды 2,3 М.
Zuchu - Honey (Official Music Video)
2:21
Zuchu
Рет қаралды 39 МЛН
Ken Gold 0-1 Yanga | Kosakosa za Ken Gold, Yanga
1:49
Azam TV
Рет қаралды 5 М.
Simba yatinga Ikulu Zanzibar
2:40
Azam TV
Рет қаралды 10 М.
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 23/09/2024
51:07
Azam TV
Рет қаралды 9 М.