ZUMARI - AZAM TV | Paul Kimiti, waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu kwenye utawala wa Nyerere

  Рет қаралды 51,203

Azam TV

Azam TV

3 жыл бұрын

Miongoni mwa viongoz wazoefu wa Tanzania aliyewahi kuhudumu wakati wa Mwalimu Nyerere kisha kuhudumu kwenye serikali zilizofuata.
Je, katika kipindi hicho chote alifanya nini? Je, historia yake hadi kufikia kwenye uongozi wa serikalini ni ipi?
Ungana na Jaafar Mponda katika ZUMARI akizungumza na waziri wa zamani Paul Kimiti.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 55
@rahmahersi2116
@rahmahersi2116 3 жыл бұрын
Dhuuuu!! Yaani leo ndugu Mtangazaji umenikumbusha maisha yangu ya shule. Namkumbuka sana Mh. Mzee Kimiti nikiwa shule. God Bless him.
@gabrielmachotta1384
@gabrielmachotta1384 3 жыл бұрын
Mheshimiwa Peter Kimiti pokea salaam zangu nyingi sana. Mungu akulinde. Mimi Gabriel Kige Machotta Katibu wa taxi CCM Uyole wakati huo. Nadhani unanikumbuka.😃😃💖💖
@petersulle9824
@petersulle9824 3 жыл бұрын
Nimefurahishwa na kipindi hiki lakini zaidi namna ambavyo mzee Paul Kimiti alivyolitumikia Taifa letu, ninajua uzalendo wake unyenyekevu na upendo na ucheshi, alikuwa mtu wa watu, nimeandika hivi kwa sababu nimekutana na mzee Kimiti mara kadhaa akiwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, naamini hata tukikutana naye leo atanikumbuka. Mzee wangu Mungu akubariki na akupe maisha mema.
@morrischaula1479
@morrischaula1479 3 жыл бұрын
Ni kweli ulipokua mkuu wa mkoa wa Mbeya tulikupenda sana.hakika mzee Kimiti ni mzalendo wa kweli.mungu akupe maisha marefu
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 жыл бұрын
Hawa ndo wazalendo Original!!natamani wangekuwa madarakani na uzee wao. walijitolea kila kitu kwa ajili ya Taifa lao!! Mungu akuzishie Umli mrefu na Afya njema mzee KImiti
@nkunasuitbert7837
@nkunasuitbert7837 3 жыл бұрын
Namkumbuka sana mzee Paul Kimiti wakati huo akiwa Mkuu wa Chuo MATI Nyegezi. Baba namefurahi sana kukuona ukiwa bado unapeta tena unacharaza na gitaa. Nakutakia kila la kheri baba.
@ndeshukurwakaaya4385
@ndeshukurwakaaya4385 3 жыл бұрын
ASANTE MZEE KIMITI, UMENIJENGA SANA. ELIMU HAINA MWISHO. HATA MTU AKIFA BADI DHAMIRA NDOTO NA MATAMANII HAYAFI BALI YANAANZA NA KUSHAMIRI KAMA MWANZO. ASNTE SANA BABA. 🙏
@gabrielmachotta5193
@gabrielmachotta5193 4 ай бұрын
Nakutakia kila la kheri katka maisha yako kama mstaafu . Mungu akulinde
@samasob8233
@samasob8233 3 жыл бұрын
asante programme safi sana, you are very creative. watafute wanawake waliofika vyeo vya ngazi za juu kabisa jeshini, wapo hapo wanahesabika, na walikwepo jeshini wakati wa vita ya uganda, jaribu kuwatafuta kaka, watakuwa na nafasi na mafunzo mazuri sana kwa kinadada :)
@parma786
@parma786 3 жыл бұрын
Baba natamani nikuone umenifurahisha na utendaji wako wa kazi zote ulizo fanya Allah akubariki Akupe uzima afya bora na maisha marefu inshallah
@ismamabrouk7437
@ismamabrouk7437 3 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana kaka Jaffar. Nakupa kongore
@ancyfridaprosper8633
@ancyfridaprosper8633 3 жыл бұрын
Vipindi kama hivi ni muhimu sana.tunajifunza na kufahamu kwamba kujenga nchi siyo lele mama.Pongezi kwa muandaaji wa kipindi...hivi ndo vipindi haswaa
@zakariakanyeka8024
@zakariakanyeka8024 3 жыл бұрын
U mfano wa kiugwa kwa uzalend, utu nakupenda watu. Tunakukunbuka Baba. Mungu akuongezee maisha zaidi
@machibyamlundwa457
@machibyamlundwa457 3 жыл бұрын
jamani ikiwapendeza nendeni mfanye mahojiano pia nawazee wa wa maisha ya kawaida ukiacha hawa waliohudumu nafasi kubwa, wakulima,wafugaji,wakata mkonge,nk
@charlesbingwa6355
@charlesbingwa6355 3 жыл бұрын
Mungu akulinde
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 3 жыл бұрын
Mashallah
@paulmadinda3990
@paulmadinda3990 3 жыл бұрын
Mwandishi/ mtangazaji Amiri mponda hakuwa articulate kuuliza maswali vizuri ameacha point nyingi muhimu mfano hiyo santuri aliyotunga mzee kimiti ilipata sifa sana ulaya ndo maana walipata pesa nyingi na ilikuwa maarufu sana.kipindi nipo ulaya watu wengi wenye umri mkubwa waliniuzia sana mtunzi vipi bado yupo ?? Lakini mtangazaji hajagusia hilo sana.ingefaa akaweka ile origin play watu wasikie
@mohamedmwikongi8533
@mohamedmwikongi8533 3 жыл бұрын
Kipindi kizuri, maudhui yake yanavutia, mtangazaji amesherehesha vizuri sana akiwemo namna ya uulizaji maswali kulingana na mhojiwa maswali hakika Kipindi na mtangazaji vipo vizuri barabbara, zidi kuongeza bidii fukua viongozi zaidi wa zamani tuzidi kupata tusiyoyafahamu juu yao. Hongera mtangazaji, Hongera Kipindi cha Zumari Hongereni Azam TV.
@mamunote3507
@mamunote3507 3 жыл бұрын
Mungu Ambarik sana
@mwana4599
@mwana4599 3 жыл бұрын
Watu na haki. Safi kabisa ndio JPM alovyozingaria. Hongera Mzee Kimiti.
@jpthe_clerk5521
@jpthe_clerk5521 3 жыл бұрын
Don’t be blind, unaelewa maana ya neno HAKI?
@khadijakhamis5604
@khadijakhamis5604 3 жыл бұрын
Mzee umenikumbusha saana babu zangu wakina chief mhumbi ziota na msisa ziota nahisi umri wenu ulikuwa sawa
@thomassenga2526
@thomassenga2526 3 жыл бұрын
Kweli mzee ni mzalendo wanacho niudhi Mimi hawakai kwenye mikoa Yao waliko toka Kama walivyo Akina msekwa sumaye arecela
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 3 жыл бұрын
Kafunika vjn aloo wengi ni wanamuzk ila hawajui kupiga vyombo vya mzk
@masungamashauri4070
@masungamashauri4070 3 жыл бұрын
Huyu Mzee ni kweli kabisa kiongozi wa kuigwa
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 жыл бұрын
Nimependa hiki kipindi saaafi sana
@khadijakhamis5604
@khadijakhamis5604 3 жыл бұрын
Cha zamani ni dhahabu
@captioncapition2574
@captioncapition2574 3 жыл бұрын
Nimefurahi kukuona babu watoto wetu Safia Z maskn dada yake mama ngalu nae alifariki namama yake safia Paskalia
@emilymngongo5173
@emilymngongo5173 3 жыл бұрын
Huo wimbo nimeupenda,,
@khadijakhamis5604
@khadijakhamis5604 3 жыл бұрын
Old is gord
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 жыл бұрын
Gold
@florakimiti8440
@florakimiti8440 3 жыл бұрын
Safi Sana baba yangu kipenzi wewe ni dira na kioo Cha familia Mungu azidi kukupa maisha marefu 🙏🙏 barikiwa sana 🙏
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
@@shenjamamzingi7950 ulimi tuu
@samuelngogo5572
@samuelngogo5572 3 жыл бұрын
Hakika mkoa Mbeya ulikufaa sana pia mimi binafsi ulinifaa sana sitokusahau nakutakia maisha marefu
@charlesgasper2243
@charlesgasper2243 3 жыл бұрын
Hawa wazee wasingejari uzalendo wao haondio koozaoleo mali tote ya Tanzaniaingekuwa kwao hata wezi leowangeiba nini walijarivizazi vyao wale wezi wangeliona wapi darasa hadi waibe?
@jacksonlugongo4343
@jacksonlugongo4343 3 жыл бұрын
Wow wazee hazina hawa
@maryammeme3203
@maryammeme3203 3 жыл бұрын
Mashallah jamani wazee kama hws Tbc mpo wapi muwe mnatafuta wazee kamahawa
@hamisirashidi3190
@hamisirashidi3190 3 жыл бұрын
@@maryammeme3203 mpaka Leo hayo uyasemayo mzee ndio yanatusaidia wengi mungu akupe umri mrefu
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Big up saana baba Paul kimiti! Moja ya majabari imala yaliobaki, historia nzuri sana
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Uzarendo ndani ya damu duuu!
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 3 жыл бұрын
Ha ha ha ha ha baba umenifurahisha sana eti watu wakikuzoea sana wataanza kukuita shemeji
@gabrielmachotta5193
@gabrielmachotta5193 4 ай бұрын
Kimiti alipata kuwa mwenyekiti wangu wa ccm kule Uyole Mati mimi nikiwa katibu wake wa ccm.
@nicksonmlaypwe480
@nicksonmlaypwe480 3 жыл бұрын
Please mtangazaji Zima background music ili tuweze msikia mgeni badala ya muziki kutuchanganya
@eddiemsongelanzi5395
@eddiemsongelanzi5395 3 жыл бұрын
Huyu Ni mtanzania Hawa waliopo walio wengi Ni kupiga Pesa Na UBINAFUSI ndio MAANA NCHI YETU INA SUA SUA KWANI WENGI NI WALAJI WACHACHE WENYE MIOYO YA KULICHUKUA TAIFA MBELE MZEE KIMITI BADO TUNA MUHITAJI SANA TUSIYAFUMBIE MACHO KWA HAWA WALIO TULIA NA WANAO IJUA NCHI VIZURI ZAIDI TUKIJUA KILIMO NDIO UTI WA MGONGO
@eddydben
@eddydben 3 жыл бұрын
Kabisa
@evermathew1549
@evermathew1549 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba yangu mzee Kimiti karibu Kilimanjaro
@omaryregga5315
@omaryregga5315 3 жыл бұрын
Mwakata mzee ziliningo mwatwima chani
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
da? mzee wewe kweli nimzalendo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Alikuwa member body wetu enzi ya Rais hayati mwl nyerere wa gazeti la nationalist na uhuru mimi nikiwa ps wa marehemu Rais mkapa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Haya maisha yani ndugu 13 wote wame fariki kubaki wawili hii ni bahati
@eddydben
@eddydben 3 жыл бұрын
Huyu ni mtanzania mzalendo anayeijua na kujivunia nchi yake.
@mutazilitesfreethinker6484
@mutazilitesfreethinker6484 3 жыл бұрын
Uzalendo...akili ya kujitegemea...ubunifu... Alipendwa sana Mbeya ingawa yeye ni wa Sumbawanga...
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Alaf zamani watu wana soma tuu ana ajiriwa fasta skuizi degree ni sawa na cheti feki 😂😅😅😀😃
@posterfarjarman967
@posterfarjarman967 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mbeya,,
@rashidimvano1477
@rashidimvano1477 3 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji nakuona BBC, au DW, kongole kwako
TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA
24:03
Global TV Online
Рет қаралды 1 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 105 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 60 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН