Huyu mzee ana hekima sana na hana makuu..nimependa hako kawimbi ka zumari
@zahormohd11 ай бұрын
Pole sana kwa kifo cha dada yako juliana kimiti mimi nimewahi kuwa mpangaji wenu pale mazwi chiluba nyumba ya familia ya kimiti, kwa kweli familia yenu ni watu wema na wapole msiopenda makuu tena mmejaa khofu ya mungu