AMUA KUISHINDA DHAMBI
47:17
12 сағат бұрын
INJILI NI NINI??
27:09
14 күн бұрын
UZIMA WA MILELE NI NINI AU NI NANI?
1:41:30
MILIMA MIWILI/THE TWO MOUNTAINS.
2:20:32
SAUTI YA MWISHO WA ULIMWENGU GEITA
34:09
PT2, BAADA YA UBATIZO GEITA.
5:42
KINACHOMTETEMESHA SHETANI.
37:26
3 ай бұрын
Пікірлер
@desderiakinalilo-xe7vw
@desderiakinalilo-xe7vw 19 сағат бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa mafundisho mazurii
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 2 күн бұрын
Amen mtumishi
@themessage3508
@themessage3508 2 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@emanuel4148
@emanuel4148 8 күн бұрын
Nakupata mjoli
@user-fy9zl1oq7x
@user-fy9zl1oq7x 10 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi Kwa ushuhuda mzuri sana
@themessage3508
@themessage3508 10 күн бұрын
Ndugu ubarikiwe sana kwasomo Suri ila Kuna mahali.umekosea kidogo. HIZO ROHO SABA NI UKAMILIFU WA MALAIKA WOTE WALIOPO MBINGINI AU YAANI MBELE ZA BABA. UFUNUO 4:5 UFUNUO 8:2 ZEAKARIA. 4:10 MATHAYO.18:10 WAEBRANIA 1:7.14
@Revelation1412.
@Revelation1412. 10 күн бұрын
Fuatilia vizuri hiyo Video ya PEMBE SABA NA MACHO SABA IPO HAPO KWAAJILI YA UFAFANUZI ZAIDI. UBARIKIWE SANA KWA KUFATILIA UJUMBE HUO 🙏🏾
@pauljoackim2786
@pauljoackim2786 11 күн бұрын
NATAMANI KRISTO AWAUNGANISHE WW MTUMISHI, JAFF MASAWE, FRANSIS NDACHA, ONYANGO, PASTOR MBANGA: NASHAUKU KWELI;
@pauljoackim2786
@pauljoackim2786 11 күн бұрын
SASA NIMEAMIN, HAKIKA UKWELI HAUWEZI KUFUNIKWA HATA SK MOJA:
@pauljoackim2786
@pauljoackim2786 11 күн бұрын
NATAMANI MTUELEKEZE PA KWENDA KUSALI WAPENDWA KTK KRISTO.
@jeanefelix70
@jeanefelix70 14 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtoto wa Mungu Baba.
@user-df1wz5xu2i
@user-df1wz5xu2i 15 күн бұрын
God bless you ila unaposoma usimsungumzie elen wait soma biblia kama ivo tuelewe sabbato ni mari ya mungu mwenyewe siku sita fanya kazi siku ya saba ambayo kiuhalisia ni jumamosi ni sabbato ya bwana huruhusiwi kufanya kazi yoyote sasa wale sun day amken mrudieni mungu zamani zile mungu alikuwa kama hazioni lakini sasahivi mungu anasema tubuni rudini kwenye maandiko
@user-rf3fg4xn4n
@user-rf3fg4xn4n 17 күн бұрын
Naomba mawasiliano yako brother
@Revelation1412.
@Revelation1412. 17 күн бұрын
0753465959
@jeanefelix70
@jeanefelix70 18 күн бұрын
Amen
@user-rf3fg4xn4n
@user-rf3fg4xn4n 18 күн бұрын
Amen sana sasa nimeelewa maana ilikuwa inanisumbua sana ,Mungu baba wa Bwana wetu Yesu kristo akubariki
@abellyezra2558
@abellyezra2558 19 күн бұрын
Ujumbe mzuri ila hizo picha unazozitumia unaziona ziko poa mtumishi?
@EVangelisteGLOiRE
@EVangelisteGLOiRE 19 күн бұрын
ubarikiwe
@elishafelesiano
@elishafelesiano Ай бұрын
Hakika umenena kweli tu ya mwenyezi Mungu Nimebarikiw a sana lakini mjoli nisaidie Nina swali nifanye nini Mimi ambaye nilibatizwe kwenye viapo tofauti na Imani ya mitume??
@Revelation1412.
@Revelation1412. 18 күн бұрын
Soma hapa kisha Fanya uamzi uliosahihi; Matendo 8:37-38. Matendo 9:1-5 Matendo 2:37-38. Mungu akusaidie ufanye uamzi bora 🙏🏾
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 Ай бұрын
Nimejifunza kitu mpya, Mhuri wa kwanza ni jina la Baba na Mwanawe katika mawaxo yetu. Nayo ishara ni Sabato ya kweli. Mhuri wa pili ni mungu wa utatu na ishara yake ni ibanda ya jua, Sunday
@KeffaKarithi-ly4zp
@KeffaKarithi-ly4zp 2 ай бұрын
Nawatafuta sana kwanza mnibatize haraka hiwezekanavyo si mnipe angalau namba cha mawasiliano wapedwaa nawapenda sana na ukweli wanamna hii naupenda lo laiti ningewapata ningekua nimewapata ndugu changu halisi
@Revelation1412.
@Revelation1412. 2 ай бұрын
Uko upande Gani ikiwezekana tuje kuhubiri huko?? Contacts:0753465859.
@KeffaKarithi-ly4zp
@KeffaKarithi-ly4zp 2 ай бұрын
Mnapatikana aje au wapi
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 2 ай бұрын
Je, kwa hao wisilam ijumaa yao takuwa jumapili
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 2 ай бұрын
Mungu atusaidie tusimame ktk kweli yake yaan mpaka naogopa
@elizabethsidi5574
@elizabethsidi5574 2 ай бұрын
Amen unaeleza vizuri sana ubarikiwe
@Revelation1412.
@Revelation1412. 2 ай бұрын
WAKATI SANAMU YA NEBUKADREZA ILIPOKUWA IKIJENGWA ..WATU WA MUNGU WALIKUWA NA MFANO WA KIPINDI CHETU LEO..WALIIONA SANAMU IKIJENGWA KWA UMAHIRI MKUBWA SANA NA MADINI YA DHAHABU JUU YAKE, NA WALIPOITAZAMA SANAMU HIYO IKITENGENEZWA WALIONA IBADA YA UONGO ITASIMAMA MUDA KITAMBO, WALIKUWA WAMEJIWEKA TAYARI HADI SANAMU ITAKAPOKAMILIKA KUJENGWA WAKIMWABUDU MUNGU WA KWELI NA HADI TANGAZO LA KUISUJUDIA SANAMU LILIPOTANGAZWA RASMI...NDIPO WALIPOSIMAMA NA IBADA YA KWELI PASIPO KUTETELEKA. HII INAFANANA SANA NA ZAMA ZETU ZA MWISHO AMBAPO MPAKA SASA HARAKATI ZA UJENZI WA SANAMU YA ROMA UMOJA WA MAKANISA WCC NA IBADA YA MUNGU WA ROMA UTATU MTAKATIFU ZINAENDELEA KWA HARAKA IKIWEMO TUKIO LITAKALOFANYIKA MWAKA KESHO 2025 KATIKA MJI WA NICEA, TUNAZIONA HARAKATI HIZI ZIKIENDELEA NAAM TUNATAZAMIA TANGAZO KAMA LILILOTANGAZWA WAKATI WA NEBKADREZA KUISUJUDIA SANAMU NA MUNGU WAKE... TUNAPASWA KUWA TAYARI MAANA MAMBO YANAENDA KASI SANA... TUTAZAME MWOKOZI ATUPATANISHE NA BABA ILI TUWE TUMESTAHILI WOKOVU KWA DAMU YAKE. FUATILIA SOMO HILI MWANZO HADI MWISHO NA MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏
@themessage3508
@themessage3508 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@jeanefelix70
@jeanefelix70 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana, unapatiikana wapi ndugu yangu?
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 2 ай бұрын
Naomba namba yako mtumishi
@Revelation1412.
@Revelation1412. 2 ай бұрын
0753465859.
@jeanefelix70
@jeanefelix70 2 ай бұрын
Amina
@davidfelix927
@davidfelix927 2 ай бұрын
Amina, ukweli uweka mtu huru
@themessage3508
@themessage3508 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu
@themessage3508
@themessage3508 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu
@jeanefelix70
@jeanefelix70 2 ай бұрын
Amina
@abellyezra2558
@abellyezra2558 2 ай бұрын
Mungu atusaidie sana amina
@PresentTruth-Tz
@PresentTruth-Tz 3 ай бұрын
Barikiwa Sana mtu wa MUNGU
@deussasi9285
@deussasi9285 3 ай бұрын
Amina
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 3 ай бұрын
Ameni mchungaji Mungu akubariki 🙏🏻
@luciashabo8948
@luciashabo8948 3 ай бұрын
Ubarikiweeeeeeee mtumishi Mungu akusaidie ili Siri hizi ziwafikie wengi na ulimwengu hasa
@DanielMucee-hn9tm
@DanielMucee-hn9tm 3 ай бұрын
Unaelewaje juu ya agano la kwanza na la pili unaposoma Gen: 21 ukilinganisha na Gal 4 Elewa hakuna chá kurithi kwenye agano la Kwanza. Swali agano la pii lilianza Lini?
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
Lilianza tu, pindi Yesu alipozaliwa na Mwanamke
@DanielMucee-hn9tm
@DanielMucee-hn9tm 3 ай бұрын
Ni kama haulewi swali: nauliza kipindi chá wanawaisraelj kilikwiza lini ili kupea nafasi agano la pii?
@DanielMucee-hn9tm
@DanielMucee-hn9tm 3 ай бұрын
Kwa nini mnatumikia ubatizo wa johana wa maji na johana mwenyewe asema mmwamini sana atakaje kuja nyuma yangu naye niJesu ambaye alibatiza kwa roho na moto. Swali ilituwe tuwe na ubatizo wa johana ni kuonyesha Jesu hakuja ama?
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
Ukimwamini YESU unalikataa jina lake?? Mitume walipobatiza kwa Jina la YESU walimaanisha Yesu hajaja bado??(Matendo 2:28,8:36-38=>8:12,14-16,10:47-48) Na Paulo aliwabatiza wanafunzi wa Yohana Ubatizo wa Yohana tena? (Matendo 19:1-7) 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 WAKOLOSAI 3:17 Hayo yatoshe kukusaidia Mjoli. UBATIZO KWA JINA LA YESU NDIO UHALISIA, YOHANA ALIPOKUWA AKIBATIZA HATA HAKUWAHI KULIJUA JINA LA YESU HADI WALIPOKUTANA SIKU AKIMBATIZA NDIPO YOHANA ALIFAHAMU JINA LA YESU..LAKINI KABLA ALITAMKA MANENO KAMA YA AKINA ISAYA KUWA WATU WAMWAMINI MASIHI AJAYE AMBAYE JINA HAWAKULIJUA BADO. LAKINI SISI LEO JINA LIMEDHIHIRISHWA KWETU JINA KUU LIPITALO KILA JINA JINA LA YESU KRISTO TUNALOOKOLEWA KWALO (MATENDO 4:12) NA KWA JINA HILO YESU MITUME WALIBATIZA.
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
Jambo JINGINE unalopaswa kujua ni Kwamba; Usipobatiza au Kubatizwa kwa JINA LA YESU KRISTO utakuwa bado kwenye UBATIZO WA YOHANA AMBAYE HAKULIJUA JINA LA YESU NA HAKULITAJA KWENYE UBATIZO. KWAHYO MNAPOKWEPA KULITAJA JINA HILO MNARUDI KWA YOHANA MBATIZAJI. LAKINI UKIBATIZWA KWA JINA LAKE YESU KRISTO UNAKUWA KWENYE UHALISIA WENYEWE WALA SI CHINI YA KIVULI TENA
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
Zingatia, Yohana alitangaza habari za MASIHI ila hakutaja Wala kujua JINA LAKE japokuwa Kumbe MASIHI huyo Alikuwa ni BINAMU YAKE ...ILA HAKUMJUA.
@yahsavechassala1037
@yahsavechassala1037 3 ай бұрын
NINYI MNAHUBIRI MAMBO YA DINI LAKINI SIYO MAMBO YA UFALME KWANI UFALME NI NI MÀMBO YA SERKALI YA MYNGU NA UTAWALA WAKE ULIO KINYUME NA DINI NA SERIKALI ZA WANADAMU BADO HATUJAONA HABARI NJEMA YA UFALME HUO IKITANGAZWA KWANI IKITANGAZWA HIYO VITA VITATOKE BAINA YAKE NA SERIKALI AU FALME ZILIZOPO
@williamtamson1347
@williamtamson1347 3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 3 ай бұрын
Sauti iko chini sana
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
ONGEZA SAUTI YA SIMU YAKO KUNA SEHEMU SAUTI ILIKUWA CHINI KIDOGO 🙏
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 3 ай бұрын
Mtumishi Mungu akubariki.masomo yako ni mazuri Lakini video zako nyingi sauti inakuwa chini sana.
@Revelation1412.
@Revelation1412. 3 ай бұрын
Tuvumiliane Wapendwa hatuna Maiki na Vifaa vingine ila Mungu atasidia Video zijazo zitakuwa Vizuri, Barikiwa Sana kwa kufatilia Ujumbe.. USIKOSE SOMO LIJALO 🙏
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 4 ай бұрын
Hatufaidiki kwa sababu ya lugha
@Revelation1412.
@Revelation1412. 4 ай бұрын
Tutazifasiri Mjoli kuwa na Amani
@DanielMucee-hn9tm
@DanielMucee-hn9tm 4 ай бұрын
Mnaweza peana No. Ya simu
@Revelation1412.
@Revelation1412. 4 ай бұрын
0753465859
@Revelation1412.
@Revelation1412. 5 ай бұрын
Usisahau KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE!! MUNGU AKUTIE NGUVU KATIKA USHUHUDA HUU.!
@BroGershom-AdenTV
@BroGershom-AdenTV 5 ай бұрын
Mtumishi kumbe huamini Kuwa YESU ni MUNGU !!!!😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@BroGershom-AdenTV
@BroGershom-AdenTV 5 ай бұрын
Kusema kwamba Trinity ndiyo alama ya Mnyama huu ni Uongo na ni tofauti na Biblia na Roho ya Unabii
@Revelation1412.
@Revelation1412. 5 ай бұрын
Kwanza nikushauri usitazame Video yoyote inayohusu Neno la Mungu bila Kuomba, nakushauri pia usipinge kitu kabla ya kufatilia Somo Zima ,pia nakushauri ANZA KUTAZAMA VIDEO HII PART 1 ILI UIELEWE PART 2 , LAKINI KWA MAOMBI NA MUNGU AKUSAIDIE KUPAMBANUA UKWELI. BARIKIWA SANA MJOLI 🙏
@deussasi9285
@deussasi9285 5 ай бұрын
Amina
@bibletruthprophecyminister2329
@bibletruthprophecyminister2329 5 ай бұрын
Amen
@joephmaukilo
@joephmaukilo 5 ай бұрын
Mungu awabariki mnapatkana wapi
@Revelation1412.
@Revelation1412. 5 ай бұрын
Barikiwa pia tupo mkoa wa Geita.