Kwa nini mnatumikia ubatizo wa johana wa maji na johana mwenyewe asema mmwamini sana atakaje kuja nyuma yangu naye niJesu ambaye alibatiza kwa roho na moto. Swali ilituwe tuwe na ubatizo wa johana ni kuonyesha Jesu hakuja ama?
@Revelation1412.4 ай бұрын
Ukimwamini YESU unalikataa jina lake?? Mitume walipobatiza kwa Jina la YESU walimaanisha Yesu hajaja bado??(Matendo 2:28,8:36-38=>8:12,14-16,10:47-48) Na Paulo aliwabatiza wanafunzi wa Yohana Ubatizo wa Yohana tena? (Matendo 19:1-7) 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 WAKOLOSAI 3:17 Hayo yatoshe kukusaidia Mjoli. UBATIZO KWA JINA LA YESU NDIO UHALISIA, YOHANA ALIPOKUWA AKIBATIZA HATA HAKUWAHI KULIJUA JINA LA YESU HADI WALIPOKUTANA SIKU AKIMBATIZA NDIPO YOHANA ALIFAHAMU JINA LA YESU..LAKINI KABLA ALITAMKA MANENO KAMA YA AKINA ISAYA KUWA WATU WAMWAMINI MASIHI AJAYE AMBAYE JINA HAWAKULIJUA BADO. LAKINI SISI LEO JINA LIMEDHIHIRISHWA KWETU JINA KUU LIPITALO KILA JINA JINA LA YESU KRISTO TUNALOOKOLEWA KWALO (MATENDO 4:12) NA KWA JINA HILO YESU MITUME WALIBATIZA.
@Revelation1412.4 ай бұрын
Jambo JINGINE unalopaswa kujua ni Kwamba; Usipobatiza au Kubatizwa kwa JINA LA YESU KRISTO utakuwa bado kwenye UBATIZO WA YOHANA AMBAYE HAKULIJUA JINA LA YESU NA HAKULITAJA KWENYE UBATIZO. KWAHYO MNAPOKWEPA KULITAJA JINA HILO MNARUDI KWA YOHANA MBATIZAJI. LAKINI UKIBATIZWA KWA JINA LAKE YESU KRISTO UNAKUWA KWENYE UHALISIA WENYEWE WALA SI CHINI YA KIVULI TENA
@Revelation1412.4 ай бұрын
Zingatia, Yohana alitangaza habari za MASIHI ila hakutaja Wala kujua JINA LAKE japokuwa Kumbe MASIHI huyo Alikuwa ni BINAMU YAKE ...ILA HAKUMJUA.
@DanielMucee-hn9tm4 ай бұрын
Unaelewaje juu ya agano la kwanza na la pili unaposoma Gen: 21 ukilinganisha na Gal 4 Elewa hakuna chá kurithi kwenye agano la Kwanza. Swali agano la pii lilianza Lini?
@Revelation1412.4 ай бұрын
Lilianza tu, pindi Yesu alipozaliwa na Mwanamke
@DanielMucee-hn9tm4 ай бұрын
Ni kama haulewi swali: nauliza kipindi chá wanawaisraelj kilikwiza lini ili kupea nafasi agano la pii?