Mchungaji mmojawapo wa Tawi la Mchungaji Moses Magembe afunguka
Пікірлер: 474
@byesigwafabian9255Ай бұрын
Mchg. Moses Magembe ana Mungu wala usijilingnishe naye kabisa! Mambo ya stories hayasadii achana na Moses Magembe alisha jitoa kwenu achaneni naye kamwe hana madhara na mtu yeyote mwache atwange injili isiyo na makunyanzi❤
@GeraldMakalala-z2cАй бұрын
Magembe ni mtumishi wa Mungu aliyehai
@JeremiahMwalukosyaАй бұрын
Wewe unasubiri Nini kutwanga injili ndo ninyi mnawaonyeshea vidole eti imekufa huku vingine vikiwaonyoshea ninyi
@melanianyabwinyo9480Ай бұрын
Mch Magembe baba yetu Mungu akutunze. Hakuna aliyepita kwenye madhabahu yako akajuta. Binafsi umenisaidia sana na kunivusha kiroho na kimwili. Mungu akutunze baba yetu. Kazi iendelee ya kumtangaza Kristo
@BrightnessLyimo-t9yАй бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu hubirini injili acheni maneno.maghembe ni mtumishi wa Mungu kweli kweli acheni vita naye jmn
@ChristinaKembeАй бұрын
KWA MAGHEMBE hamuwezi kutuambia KITU/.. TUNAMPENDA Baba yetu MPENDWA MCHUNGAJI MAGHEMBE
@NeemaElisante-zd2dtАй бұрын
Mch. Maghembe ni Mtumishi wa Mungu mwacheni aende akamtumikie Mungu
@eneamalamla484Ай бұрын
Nampongeza sana Baba Magembe anasimamia kweli ya Neno la Mungu, Mungu akulinde sana Mtumishi Magembe
@sojipaul5021Ай бұрын
Hatuangalii dini ..tunamtazama Yesu na injili ya kweli..we baki na T.A.G sisi tunabaki na Yesu.Mungu haangalii dini.
@EricTrillzАй бұрын
KILA MWENYE YESU MOYONI NA AKILI TIMAMU ANAJUA MCH MAGHEMBE NI MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU .Mungu ampiganie ktk huduma yake mpya.
@noelmarapachi1808Ай бұрын
Amina
@lusekelowilliam2068Ай бұрын
Yes ofcourse mawe yamezidi kuwa mengi,
@ej4409Ай бұрын
Ni kweli tupu, waache tu na maneno yao ya kujiinua.
@jacksonmbena5410Ай бұрын
zambi inawatafuna
@ambassadorkatemeambassador2840Ай бұрын
Mungu n mwema, Mzee maghembe ana Mungu
@simonjnrmabula3785Ай бұрын
Nikisikiliza Mahubiri ya Mch. Magembe naona utofauti mkubwa mno... Kwa Mchungaji Magembe Mungu yupo.
@GoPGMАй бұрын
Sisikii sauti ya Mungu kwenye maneno yako. Nasikia sauti ya mwili na kiburi cha dini. T.A. G imepishana na shamba la Mungu.
@edwardasumwisye3010Ай бұрын
Tony Kabuta.... Jamaa alisaidia sana maisha yangu ya kiroho kipindi nasoma pale Mabibo Hostel
@mabondolawrence1812Ай бұрын
Wote ni watumishi wa Mungu, ila kuna kitu cha ziada anacho Magembe na mtu kumfuata si kwamba anarudi nyuma.
@mangashajunior242Ай бұрын
Twendeni kwa magembe kuna yesu hapo😂😂😂😂
@noelmarapachi1808Ай бұрын
😂😂😂
@ThereciaPatrickАй бұрын
Ameeen
@donathamallya28 күн бұрын
Safi sana
@WABELOYAАй бұрын
Pole sana kijana, unajidhalilisha huna hekima kijana ukiona jambo kama hili jipe siku utaelewa.
@josephbonday8510Ай бұрын
MIMI NAVYOJUA,YEHOVA MWENYEWE NDIYO HAKIMU WA HAKI.ILA BINAFSI MOSES MAGEMBE KUNA VITU VINGI SANA VYA KIROHO NIMEJIFUNZA KUPITIA YEYE KWENYE MIKUTANO YAKE HAPO MAJ6 TANGU 1997.HE IS REALLY A MAN OF THE ALMIGHTY GOD😢😢
@oscanyakungaАй бұрын
AMEN TUSIJIDANGANYE MCHUNGAJI MAGEMBE AMEFANIKIWA
@VeloMahengeАй бұрын
Najifunza mengu humu ila mimi maoni yangu ni kuwa tujifunze neno la kristo tu sio kanisa zuri mara nini ukweli uko kwenye neno la MUNGU sio majengo nakadhalika tupime mandiko yanavyo sema sio kuwa watu wamapokeo tu tutapotea tukifuata mapokeo ya kidhehe yote yamenenwa vibaya tumtafute YESU sio majengo na kuwashabikia watu❤
@KundaelGeorge-tv8mzАй бұрын
Wana TAG tuwe na hekima yakunyamaza kwenye hili jamani, jinsi navyo endelea kulisema hili ndivyo mnavyo endelea kuliharibu kanisa. Mfano tunavyosema habari ya misingi mizuri. Kuna makanisa yana misingi bora zaidi. Tumuache mtumishi wa Mungu Magembe akaifanye kazi na tumuombee. Tukizidi kuongea tunazidi kujichafua kanisa.
@JoelchalaleАй бұрын
Yesu ndie njia acheni kuhubiri dini.. Magembe ndie mchungaji pee anaekemea dhambi. Nyie mnapaka dhambi twende zetu kwa magembe atufundishe njia sahihi yakimfikia yesu
@emanuelngowi7290Ай бұрын
Mungu kajisazia wachungaji wengi sanaaa wanaokemea dhambi kweli kweli siyo magembe pekee Bado wapo wengi tuu. Magembe anafanya kwa nafasi yake Kila mtu anawajibika kwa nafasi yake
@wemamwaikambo2848Ай бұрын
@@emanuelngowi7290 najua wapo wengi ila wakiendelea kukaa ndani ya mwamvuli wa T.A.G hawawezi kwani katiba yao hajakaa vizuri, kuna wakati wanaacha kumwabudu Mungu wanaabudu katiba.
@AsumntaAmosАй бұрын
Magembe amejitoa sadaka kwa Yesu kristo tumuunge mkono wapendwa titamwona Yesu kwa mafundisho ya kweli
@BeatriceElias-n1c29 күн бұрын
Mmmh kwl kanisa linahitaji uamsho na matengenezo ya kanisa, huu ni mda wa kuhubiri injili co maneno mengi kwakweli mch. Maghembe Mungu amtunze na azid kumtumia ili kanisa lipone kwa jina la Yesu,
@mosesmligo9614Ай бұрын
Izo cv zitakusaidia Sana parapanda itakapolia mtumish kip it up.
@asunigohagi5177Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SifaMtasha26 күн бұрын
Duh 😂
@JoyceFrancis-u8gАй бұрын
Me nilikuwa najua unaongea jambo la msingi kumbe umeleta porojo mkuu😅😅😅
@MiriamkivikeMichaelkivikeАй бұрын
Mungu asimame na wote magembe na kanemba nawapenda sana hawa watumishi wa Mungu🙏
@mathewpaul629Ай бұрын
Mimi nilifikiri tukio hili limeisha nashangaa mnatumia nguvu kubwa sana kuyeyusha haya mambo. Mbona mzee magembe yupo kimya sana?
@pastorjoyceseme873022 күн бұрын
Classmate church plants Mungu akutunze
@burchardbejumula6028Ай бұрын
Ubarikiwe na BWANA YESU, Ila Mzee Magembe utamkubuka na tulikuchangia vitu, tunamtaka Bwana na Nguvu zake
@RasherySoiАй бұрын
Mch maghembe ni chanda cha Mungu
@basilisamsaka8469Ай бұрын
Magembe kama Magembe ni mtumishi wa Mungu aliye hai,na sio mtieiji(T A G)
@SmilingCityMap-xb9mdАй бұрын
Jamani huu mji una maelfu ya watu sasa iweje mnatafuta huluma kwa vikomdoo vya magembe kwani ugumu ni nini kuwahubilia wanaokufa dhambini kama alivyotaabika mangembe f
@SaidKaloloАй бұрын
Mangembe anawito wa mungu anaye mfuata ajapotea ila wengi wanaabudu jina lakanisa siyo mungu wakweli
@johnlightmkose472327 күн бұрын
Poleni sana TAG mmepoteza chuma MAGEMBE
@barakalechilema7755Ай бұрын
Kumbe unahubiri dhehebu.pole ndugu.Magembe anamuhubiri yesu na injili halisi ndo maana hamuwezani
@ShukuruSamson-qc9mqАй бұрын
Ukimwabudu Mungu katika Roho na kweli hata ukiwa na mshirika mmoja wa kumtii Mungu utaona bora sana kuliko kushawish quantify coz Mungu anaweza kuiponya Dunia kwa mtakatifu mmoja tu aliye duniani .. Ukiifuata kweli Mungu atakupa vyote & vice versa is not true
@FrahaTituАй бұрын
NIHERI KUWA NAMUUMINI MUMOJA ANAEMJUA MUNGU KULIKO KUWA NA MAELF YA WATU WASIYO NA HOFU YA MUNGU WAMBIE WATU KWELI YA MUNGU HATA KAMA ITAKUUMIZA LAZIMA TUJUE NENO LA MUNGU NI UPANGA NI NYUNDO NI MOTO ULAO
@kibajadaniel9887Ай бұрын
Penye usalama ni palipo na YESU KRISTO siyo tasisi kama mnavyojichapulia hapo Mzee Magembe kaondoka anapiga injili na nyinyi pigeni injili
@dastunluswaga518220 күн бұрын
Mbona mnashindana nae sana kwan ameondoka na kitu chenu..😂😂😂
@VailethKivikeАй бұрын
Mungu tembea na mtumishi magembe
@ZakayoSanga-ge4jrАй бұрын
Kanisa linaitaji matengenezo tumuombe mungu atusaidie
@GERALDHAMBAGELEАй бұрын
Sisitiza kumtafuta YESU , na siyo kusisitiza kubaki na taasis , maana hatutaenda mbinguni Kwa kuwa na taasis/ dini . YESU hajaleta dini kaleta wokovu.
@AnnaBituroАй бұрын
Mimi nimewaambia kwa upendo kabisa acheni kuongea kwenye vyombo vya habari. Tutazidi kujichafua.
@SaraMathew-xd2vpАй бұрын
Kwani ni lazima warecord kila ibada ndio kilipoteza kanisa uko , sasa ivyo ni kama wanabishana hv
@marcedeskaigarulaАй бұрын
Sure, kwanini msiongee off Mike? Hayo ni mambo ya ndani .
@omuze1290Ай бұрын
@@AnnaBituro Wanaochafuka ni wafia dini na walafi wa mali kwa kutumia katiba dhalimu. Hatutachoka kuwasema!
Wacha wee! Ukweli mnao mioyoni kwamba mnaogopa kuondoka bila kitu kama alivyoondoka mch. Maghembe. 😅😅😅😅
@BennymwangazaАй бұрын
Well spoken 🎉
@MCNgakungaJuniorАй бұрын
Hilo jambo linawachanganya sana wachungaji kwenye hizo taasisi.
@edisonbayona-rz9edАй бұрын
Nimekuelewa
@nuhumanoni7815Ай бұрын
Kutulia ni hekima kubwa sana. Kwa nini muendelee kunyukana kwenye madhabahu ya Bwana. Tulieni fanyeni kazi mliyoitiwa hilo jambo lilishapita.
@ChristinaKembeАй бұрын
KAA NA TAASISI sisi TUNAKAA NA MUNGU
@sautikuu212Ай бұрын
Tumia akili basi ndugu
@ChristinaKembeАй бұрын
We kaa na TAASISI sisi tuko na MUNGU
@omuze1290Ай бұрын
@@ChristinaKembe Tanzania Assemblies of Wapigadili
@pendosailo1989Ай бұрын
Hakuna dhehebu ambalo sio taasisi
@pendosailo1989Ай бұрын
Isingekuwa hivyo yasingesajiliwa kisheria...kila dhehebu ni taasisi...someni mpate ufahamu msikurupuke...
@magogelameck1501Ай бұрын
Mungu wa kweli ajidhihilishe ndani yenu kwa Jina na Damu ya Yesu kristu Amina
@oscarsinavangi3305Ай бұрын
Mchungaji wangu Magembe ❤
@AnnaBituroАй бұрын
Mimi naomba uelewe watumishi wa Mungu .shida ni sheria zilizotungwa na viongozi wa kanisa ngazi za juu zinaua watumishi wa ngazi za chini na washirika kwaujumla kubalini kutengeneza.tusipige debe jamani.
@Amosbenard6321Ай бұрын
Magembe ni Mashine hakuna wa kumshushaa hata iweje Mungu alishamuinua na kwa kuwa yeye ndo amempatia Maono ya PCC tumuombee tu hata nani amchafue hawezi kuchafuka. Kamweeeeeeee kwa Jina la Yesu by PST, AMOS BENARD ONLINE TV. KZbin.
@shilohgideon_wisdomАй бұрын
Si kwamba huwezi kuachilia hizo mali ambazo umewekeza kwa nguvu kubwa? Kama alivyofanya maghembe, sikiliza Maghembe is matured than you think brother, you better stay quiet scholar.
@emmanuelmwakibolwa735Ай бұрын
Mungu anataka watu wamfuate yeye. Mungu hajasema tufuate taasisi. Taasisi mara nyingi hugeuka mwishoni kuwa kazi ya binadamu na si ya Mungu. Fikilieni pia jinsi Assemblies if God ilivyoanza na mtu mmoja. Sio taasisi.
@pendosailo1989Ай бұрын
Hakuna kanisa lisilo taasisi...mbona hamuelewi...ndio mana yanasajiliwa kwenye wizara ya mambo ya ndani ingekuwa sio taasisi yasingekuwa yanasajiliwa kikatiba na kisheria...
@pendosailo1989Ай бұрын
Nakushauri hata hapo ulipo anza kuchunguza ni taasisi au sio...
@IsaacLameck-nz8yrАй бұрын
Mtu amefungua kanisa jipya Tyr ana washirika mia Saba Halafu ibada yake Ina fwatiliwa na watu zaidi ya elfu 55 au si chini ya elfu 3 KZbin MAGHEMBE ANA MOTO AMBAO MAKANISA MENGI YA TAG HAYANA
@KundaelGeorge-tv8mzАй бұрын
Tunyamaze jamani na tumwombee Mchungaji Magembe. Acheni Mungu Mungu atusemehe mwenyewe
@kanisalatecjcusofficialАй бұрын
Amen,kijana amenibariki
@AndrewMagwilaАй бұрын
Mambo ya mungu kuyaelewa ni kazi sana ni bora mngekaa kimya sbb Mungu ana njia nyingi sana kufanya na watu wake Naona hapo mnapugia debe taasisi .hata baba magembe hajaasi ameaga vzr kbs waambieni watu ukweli ishu ya msingi sio kubaki kwenye taasisi bali ni kubaki na yesu ktk utakatifu ili wamuone Mungu mnatakiwa kuelewa kuwa baba magembe bado ni mtumishi wa Mungu na bado ana Mungu chungeni vinywa maana Mungu hafanyi kazo kwa mazoea anaweza kuwatokea nyinyi na akawatuma mahali kwa kazi nje ya TAG mtamgomea Mungu?
@dianajohn8520Ай бұрын
Mungu atusaidie
@Yusuphrevocatus-g3vАй бұрын
hata hao wa magomeni wameenda kwa mzee magembe
@PhilipPhanuelАй бұрын
Mmmmm
@MatildaJohn-y1zАй бұрын
Mwalimu wangu Tony
@FrahaTituАй бұрын
Kaaa kwa yesu ndie mwenye misingi mizuri siyo t a g
@mangashajunior242Ай бұрын
Karibu huku kumenoga😂😂😂😂😂
@OscarLucarsАй бұрын
Kumbe unajua pia sio rahisi Kwa baadhi ya waumini wa majumba 6 kumpoteza mchugaji wao magembe acha roho wa MUNGU azungumze na watu wake msiji tetee sana
@RozaliaSanka-kv5dyАй бұрын
Unahistoria ndefu hongera ila muulize Mungu kuhusu hii dini Mungu atakufunulia tu
@fastonsambo-du4rdАй бұрын
Sisitiza watu waache dhambi na mtakieni heri Magembe kuhamia dhehebu ambalo msingi ni mmoja na Imani ni Moja Wala Hilo si tatizo beba msalaba wako.
@SaraMathew-xd2vpАй бұрын
Hapo kwenye kuhubili kuiacha zambi ndio kumefifia maana wachungaji wengi wanaubili uponyaji na mafanikio ad tunashindwa kuwatogautisha na wanasaikolojia . Ndio maana mch magembe alisema TAG yazamani imepotea
@emmanuelmwandu.3126Ай бұрын
Kanisa liendelee, na MAGEMBE aendelee na kazi ya Mungu.
@agnessbulegu996Ай бұрын
MMMMHHH !!!!! KAZI KWELI KWELI,, MUNGU MKUU TU ATUSAIDIE..,,
@BlandinaLukoleАй бұрын
Zamu kwa Zamu, usimsemee wala kushabikia yaliyomkuta Mchungaji mwenzako
@emmanuelsmihulu725Ай бұрын
Siongei mengi, ila hili limewauma sana sana, Mwacheni Pasteur Maghembe, ... Msitumie hii kuwa kiki....
@mathewpaul629Ай бұрын
Ninona mnatafuta huruma kwa washirika. Muacheni Mungu aamue na atende
@omuze1290Ай бұрын
@@mathewpaul629 Hakuna anayetafuta huruma hapa bali tunausema udhalimu wa maaskofu wenu. Imagine mtu anatumikia kanisa kwa miaka 56 halafu anaondoka mikono mitupu? Halafu wakahalalisha udhalimu wao kwa katiba yao? Hivi, katiba yenu iko juu ya Biblia inayoagiza usilipe baya kwa baya if at all mch. Magembe kakosea? Maaskofu wameshindwa kuiga mfano wa Rabani kwa Yakobo.
@EzekielngalamaАй бұрын
Amina mchungaji wangu
@AlcherausMalinziАй бұрын
Meseji nyingi zinaonesha ukweli.Maghembe ni mtu wa Mungu.
@neemamasimba2981Ай бұрын
Mngenyamaza tu , maana watu wanamuelewa sana Magembe maana watu wanataka kuambiwa ukweli na sio kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Magembe ni mtumishi anayesimama kwenye kweli .
@liberatusmathias211Ай бұрын
Mungu hakai kwenye tasisi Kama Mungu alikwambia ukamwone Mozesi Magembe
@godfreynaisikyelaizer176029 күн бұрын
Makonda Mungu akulinde
@dicksondkaganga1290Ай бұрын
NAANDIKA NAFUTA. NGOJA NIONGEE KWA KUNYAMAZA 😢
@r.m.a7570Ай бұрын
Huu ujinga utaisha ln kusikia kutoka kwa mungu wakat wanao skia maneno ya mungu n wachache n nyny mupo weng saiv
@esronyuba2575Ай бұрын
Mungu awatangulie ila mitandao haita saidia bali mwombeni Mungu.
@SaraMathew-xd2vpАй бұрын
Na hii mitandao ndio inapoteza imani ya kweli, maana saivi kila kanisa linamavidio ko kunamuda Ibada zinakuwa kama maonyesho
@joelinajohn5853Ай бұрын
My self Tony kabuta umenisaidia sana kiroho
@AishaSeleman-b1nАй бұрын
Ombeni sana, Magembe hakubahatisha
@edsonkilatu5211Ай бұрын
Poleni sana wapendwa. Bwana atawavusha
@petromihambo1405Ай бұрын
Mchungaji naona unajisifia tu wew na ELIMU yako... Unatuchosha😊
@eneamalamla484Ай бұрын
Halafu anayewagusa watumishi wa Mungu wa kweli atapondwa
Mimi ni m TAG jidai mwema sana sasa hivi ila watakushangaza hao na tuta hifadhi hii clip kama ushuhuda utakapo pigwa na kupolwa kanisa utalia saana lakini unafiki wa kumnafikia baba yako ndio kitakuwa kitanzi chako kiukweli sikujui ila utalia saana bila msaada wowote
@sylvestercharles3585Ай бұрын
Magembe ni namba nyingine, ukweli lazima usemwe.
@revivalchurchkimarastopove6755Ай бұрын
Bakiza maneno kijana hujakua
@praygodkanyikarirayoАй бұрын
Fanya kama unavyonia moyoni mwako,lakini hakuna Kama Magembe TAG.
@saimonseleka8792Ай бұрын
Acha upumbavu kaka hakuna kama magembe? Kwamba Yesu hana nafasi mbona mnapenda kuamini watu hadi mnamkosea na Mungu kwa iyo magembe ameondoka na Yesu TAG
@DeusdeditMichaelАй бұрын
HAKUNA KAMA BWANA YESU.
@omuze1290Ай бұрын
@@saimonseleka8792 Yesu msiyemtii?
@marymremi1051Ай бұрын
acheni maneno hubirini injili Yesu anarudi
@EmmanuelDutuАй бұрын
Mungu ataamua ugomvi huo ss hatujui kirefu
@lumpogigeАй бұрын
YESU alisema waacheni viongozi vipofu wa watu vipofu hao wote njia ni moja shimoni
@ChristinaKembeАй бұрын
TUNAMPENDA MAGHEMBE
@OdiloMwemeziАй бұрын
Nenda kwani shida iko wapi
@ChristinaRubakaАй бұрын
Pole mchungaji
@benjaminechachaАй бұрын
Magembe ndiye mchungaji Tanzania nzima
@musashadrack1164Ай бұрын
Nilizan chawa ni watu wasiomjua Mumgu kumbe na kwa Kristo Yesu wapo machawaaaaaaaa
@matildadondo2643Ай бұрын
Amina mtumishi wa Bwana
@GeorgeChitemo-kt8swАй бұрын
Hata katoloki ni taasisi nzuri lakin haina Mungu . mchungajii Moses Magembe kokote atakwenda mimi niko nae
@gregorymwinami5507Ай бұрын
unauthibitisho Gani unaoonyesha katoliki hakuna Mungu? Acha uchanga na utoto wa kiroho think before you comment. Wenzako waliongezeka kiroho walishaacha kucomment vitu kama hivyo komaa na Mungu wako acha majungu.
@FrankNzombo-k3jАй бұрын
Uongozi siyo hoja mbele za mungu ukweli ni njia pekee ukahaba uliopo TAG ya leo magembe alikuwa sawa
@ObedMwankinaАй бұрын
Jamani 😂😂😂Hizi cv zote ingekuwa ndo una Yesu kweli basi shetani asingetawala kanisa kwa Dhambi
@pendosailo1989Ай бұрын
Yesu alikuwa na wanafunzi 12 na mmoja alikuwa ni shetani...hope umenielewa..
@LameckMwakilembweАй бұрын
KUNAMAMBO MENGI YAMEFICHWA MACHONI PAKO MTUMISHI HUYAJUI KUHUSU VIONGOZI WAKO WA TAG muombe Mungu akuonyeshe,
@getrudeegervas6694Ай бұрын
Wewe ambae unayajua kwann usimuambie
@MtengelabmkАй бұрын
Sio hayajui anajua Ila yupo kazin, Mwache aendelee na Kaz aliyotumwa na TAG
@LameckMwakilembweАй бұрын
@getrudeegervas6694 Haya mambo huwezi kumwambia mtu akakuelewa, Mungu ndie anaweza ukiufungua moyo na ukitaka kujua
@mboneamalaki5674Ай бұрын
Taasisi iliyosalama 😂😂😂😂 ,Cheza na mali zao ndo utajua ni salama au siyo salama
@asubisye16Ай бұрын
Huyu analinda mali yake maana anajua gharama ya kuondoka. Haya ya taasisi na blaah blaah zingine fix tu😂
@pendosailo1989Ай бұрын
Mali ni za taasisi...eleweni wadau. Mimi sio wa TAG ila naomba muelewe Kanisa ni taasisi na mtu akiondoka hawezi ondoka na mali za taasisi... eleweni hivyo.
@asubisye16Ай бұрын
@@pendosailo1989 Tunaelewa. Mfano huyu anadai alikopa 50 Mil akanunua kiwanja. Hapo kiwanja baadae kinaitwa cha taasisi. Kwa mantiki hiyo hata kama dogo atajua taasisi inazingua hawezi kuondoka na kumfuata Magembe. Maana yake 50 Mil yake inakuwa imekwapuliwa na kinachoitwa taaasisi. Kwa mazingira hayo lazima apambanie taasisi ili mali yake iwe salama.
@neemamarisamarisa-rd7cqАй бұрын
Mnajua Boss wetu ni Mungu. Hunaudhuru wewe kumuhukumu mwingine. Kila mtu ameitwa kwa wakati wake. Haya maneno yenu hayasaidii.
@FrolaMhagama-tt4ezАй бұрын
Unatazama msingi poleni sana jitieni moyo hivyo hivyo hukumnapotea
@samuelelias6542Ай бұрын
Wacheni Vita na mtu wa MUNGU Magembe ni mtumishi halisi wa Mungu