TUNDU LISSU: SERIKALI ILIYOTAKA KUNIUA HAITAKI KUNILIPA.

  Рет қаралды 1,229

Mwalimu Google TV

Mwalimu Google TV

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 14 күн бұрын
Asante bro kwa ukweli wako
@TwahayusufuMaziku
@TwahayusufuMaziku 9 күн бұрын
Nakukubali mwalimu uko sawa kabisa watu bado wanakiu yakutumikishwa na mabeberu
@PapaaEric
@PapaaEric Ай бұрын
Ww ndo Ume2mwa Fala Mmoja Ww...
@TembeaomaryHassan-bg2de
@TembeaomaryHassan-bg2de Ай бұрын
Wejamaa ukosawa
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Ай бұрын
Lissu ni kibaraka kama vibaraka wengne, bro ubarikiwe
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 Ай бұрын
Huyu ndo asiyejulikana nini?!! 😂
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
😂😂😂 Lissu bwan. Definition ya siasa: Siasa ni Sanaa ambayo mwanasiasa huibuwa tatizo na kujifany linamuuma na yy ndio hujifanya ana solution ya hilo tatizo.
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 Ай бұрын
Lakin pia ni haki yake kwa mujibu wa katiba iliyopo ndugu wananchi kwa sababu hakujitafutia majanga, kwa hili apewe haki yake kwa kua katiba haijabadilishwa ni mwananchi mwenzetu
@fatumajohn703
@fatumajohn703 Ай бұрын
Katiba ya mwingereza inawafundisha kugawana pesa za wananchi na kutetea wazungu (makinikia)
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 Ай бұрын
Tuneup Lissu. Yukohaki Huyumwingine. Ni. Liberals. Wa. Serekari. Sheri’s. Zainchi. Zippo. Wewe. Beans. Ahufai
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 Ай бұрын
Wazungu hawanashida nanchizetu isipokuwa waafrikandiyowenyeshida kwasababu yaunafiki naujinga wakufikili, yaani mawazomgandokabisa
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 Ай бұрын
Lissu haombi zawadi.. Anataka shria ifuatwe alipwe... Na watalipa sasa. Wamejaa kwenye mkono. Ndege zitakamatwa tuuu. Au majengo ya ubalozi kamata kabisa
@fatumajohn703
@fatumajohn703 Ай бұрын
Pi DIDY hafanyi makosa ndio maana unafurahia ndege ya Tanzania kukamatwa au P DIDY amesha kulipia MAHARI kabisa ?
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 Ай бұрын
Huyu ni mwehu unaogopa nini sasa lissu kaenda mahakamani.. Sasa mahakama si nsio itaamua ? Uoga wa nini? ​@@fatumajohn703
@GoodTeck90
@GoodTeck90 Ай бұрын
Kwani wewe unawashwa, sababu ya Lissu kudai haki yake ya matibabu ......utaendelea kuwashwa sana .......nilikwambia siku zile hayo meno yako mbona ni meusi hupigi mswaki !!??
@fatumajohn703
@fatumajohn703 Ай бұрын
Nenda kwa P DIDY akupake MAFUTA
@RichardBituroMakole-l4x
@RichardBituroMakole-l4x Ай бұрын
MTU mwenyewe umechoka uso umekunjika utazani kavelo ya lor kwa ajiri ya maisha. Km ni wewe likikufika utafurahi, Lisu mtu wa haki ,sisi tukifanya kumbe nawewe muuaji, Nchi hii inasheria ya kuuua, Kumbuka hii ich ni ya wtz haijawahi nunuliw, Nyie ndo mnaharbu viongozi kwa upuuz .
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 Ай бұрын
Weee ni lijingaaa
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 Ай бұрын
You are mind less: Makeniikia ipi imenunua madawati? Kumbe tunazungumzia chawa,hili ndilo Lichawa kunguni -linajidai cjui Uganda imekataa kufirana,Hujui Mugabe aluanza hilo,sasa huvi nchi inauza bangi!
@KigodaHamis
@KigodaHamis Ай бұрын
P DIDY amekutumia ticket akakupake mafuta
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa Ай бұрын
Mjinga wewe kwanza umekaa kiuaji uaji ndo maana unaolopoka hayo
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 115 М.
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 805 М.
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 108 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,3 МЛН
The IMPOSSIBLE Puzzle..
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 157 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 130 МЛН
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
🅻🅸🆅🅴 : TUNDU LISSU ANANGURUMA MUDA HUU
2:10:57
JAMBO TV
Рет қаралды 41 М.
JOHN PAMBALU MAVAA RAIS SAMIA KWA KAUNZA NA MSTARI KWENYE BIBLIA
7:02
Chadema Media TV
Рет қаралды 35 М.
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 108 МЛН