Magufuli aliiaminisha dunia kuwa Tanzania siyo masikini, alikuwa Raisi jasir kupita maelezo.
@JAHSEED0017 күн бұрын
Na kuget vizuri sana hama kama Mimi tukae Tanzania I love that country Tanzania loves Kenyans nashukuru Tanzania en that's why I stay in Tanzania with my family I respect Tanzania
@MohammedHimba7 күн бұрын
Kaka nimeshidwa kuvumilia Leo nakupa 100%
@mustafakimalio91297 күн бұрын
Mama kakamilisha ya magufuli Hana baya
@GivenTobago6 күн бұрын
HEKO KWA MAMA WATU WAJINGA WANACRITISISE KWA VILE NI MWANAMKE WAKATI SISI WOTE TUMELELEWA NA MAMA ZETU KWA SAPOTI ZA BABA ZETU
@GeradinaJohn-xh8pw7 күн бұрын
Ujumbe mzuri sana huwa napenda kukusikiliza, usiache kabisa kazi nzur hii mie nakuombea ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@SarhaSaid7 күн бұрын
Asante kaka 🎉🎉🎉🎉 nakukubali sana kutoka Oman 🇴🇲
@ramdanmbara85007 күн бұрын
Ee ndugu Mwalim Google Tv, MUNGU akupe maisha marefu na yenye heri, ayaongoze mapito yako na aubariki Uzao wako...Amina
@eng.makolal13676 күн бұрын
1. Tanzania ndiyo nchi pekee ambapo serikali inateka na kuua watu wake na wananchi wajing kama nyinyi hata hamna habari mnasifia tu ujinga. 2. Tanzania pekee ndiyo nchi ambapo uchawa umegeuzwa kuwa taaluma (profession). 3. Tanzania ndiyo nchi pekee ambapo mpaka sasa uchaguzi ni kati ya pande mbili (CCM na wapinzani) ila upande mmoja (CCM) unakuwa kama muamuzi na mshindani kwa wakati mmoja. Matokeo yake ndiyo kama haya: 90% ya wapinzani wameenguliwa. 4. Tanzania ndiyo nchi pekee iliyojengwa kwenye msingi wa uongo na utapeli. Hata muungano uliundwa na matapeli wawili kwa kuchanganya mchanga badala ya ridhaa ya wananchi. Matokeo yake ni kuwa wananchi wa pande zote hawautaki muungano ila tabaka la watawala ndilo linalonufaika na muungano huu feki. 5. Mtanzania akionekana popote duniani watu wanapata picha ya mtu muongo, tapeli, mnafki na chawa.
@MaryamAbubakar-c2d7 күн бұрын
Asante kaka Yani madini unayotupa tunashukuru tunaenda speed kubwa milima na mdini yetu sasa tunalinda lakini ulinzi uzidiswe
@BraysonMalongoza7 күн бұрын
Kaka nimekupenda mno! Mungu akuongoze kwa kuifungua jamii nzima ya Kitanzania vile tunatakiwa kujiona tuko juu na tunaweza kufanya chochote kwa ajili ya maendeleo yetu. Tuachane na propaganda za kitambo kuwa majirani wako juu kiuchumi. Jah bless! HAPA KAZI TU!!
@eng.makolal13676 күн бұрын
1. Tanzania ndiyo nchi pekee ambapo serikali inateka na kuua watu wake na wananchi wajing kama nyinyi hata hamna habari mnasifia tu ujinga. 2. Tanzania pekee ndiyo nchi ambapo uchawa umegeuzwa kuwa taaluma (profession). 3. Tanzania ndiyo nchi pekee ambapo mpaka sasa uchaguzi ni kati ya pande mbili (CCM na wapinzani) ila upande mmoja (CCM) unakuwa kama muamuzi na mshindani kwa wakati mmoja. Matokeo yake ndiyo kama haya: 90% ya wapinzani wameenguliwa. 4. Tanzania ndiyo nchi pekee iliyojengwa kwenye msingi wa uongo na utapeli. Hata muungano uliundwa na matapeli wawili kwa kuchanganya mchanga badala ya ridhaa ya wananchi. Matokeo yake ni kuwa wananchi wa pande zote hawautaki muungano ila tabaka la watawala ndilo linalonufaika na muungano huu feki. 5. Mtanzania akionekana popote duniani watu wanapata picha ya mtu muongo, tapeli, mnafki na chawa.
@SarhaSaid7 күн бұрын
Mwenyezi Mungu atakulinda kaka🎉🎉
@fredyjunior69617 күн бұрын
Mama anastahili pongezi hasa. Kwanza hizi project walizianza wote na Ankal Magu. Kama haitoshi hata baada ya Magu kufariki hakupwaya, aliendelea kutekeleza kama kawa. Mitano tano tafadhali. Tz is here we go.
@Moranotz7 күн бұрын
Mama anatembelea viatu vya mzee baba R I P pombe
@tanzanite99447 күн бұрын
Amefanya kazi kubwa kuliko Magufuli na Ushukuru kuwa naye, kwani Magu alianzisha ila haikufika hata nusu akafariki na isingekuwa Huyu Mama kusingejuwa na Reli wala Treni mpaka leo.
@Brilliant-k2k7 күн бұрын
Mama anastahili kupewa maua yake@@tanzanite9944
@GivenTobago6 күн бұрын
@@tanzanite9944 MAMA ANAKAMUA KUVAA VIATU VYA JPM SIO MCHEZO MAMA LA MAMA TUKO NAE
@RamadhanMiyimbaСағат бұрын
Mimi nawashangaa mnao mbeza huyu mama kwa madaraka aliyo nayo kama angekua Hana uchungu wa maendeleo ya nchi yake si ange telekeza hii miradi ?hebu tuache chuki za kijinga magufuli alianza mama kwa moyo mmoja anaendeleza yalivyo achwa na mta ngulizi wake na engine mengi ya kwake anafanya ,HONGERA MAMA SAMIA MITANO TENA ili uendelee kutu nunulia mbolea
@fidelfidel-jz4iw6 күн бұрын
Asante kaka 🎉🎉🎉🎉nakukubali sanaa upo juu huo ndio ukweli.
@haggaiwandera966 күн бұрын
Bana Kenya has so many good things that is bigger that your railway network,,, msitupigie kelele
@DeodatusRenatus4 күн бұрын
Bado hamjasema, sasahiv tunaanza kuwauzia umeme
@selemanshaban749611 сағат бұрын
KAKA ULISOMA CHUO GANI WEWE AKILI YAKO NI KUBWA SANA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Habertkesi51175 күн бұрын
Kama hamjawahi jua ni kua Kenya inapenda Tanzania sana hata kuliko nchi yeyote hapa duniani
@modenasayi5 күн бұрын
Uongo
@BakariImran-q6lКүн бұрын
🥸uongo
@denismugisha27 күн бұрын
Do not forget that we had already build the biggest ship in lake Victoria in oder we can connect to Uganda easier Ili ufe kabisa na kiroho chako
@MamuMichael7 күн бұрын
Bado hajaona daraja la Busisi 😂😂😂
@AsiaHamis-b4o7 күн бұрын
@@MamuMichaelhajaliona na meli ambayo inaundwa ni bonge Moja la meli ya kisasa Bado ipo kwenye matengenezo
@GabrielMwoya3 күн бұрын
Kenya tuna vita vyetu haviwahusu Tanzania, tunafaa kuondoa uchafu kwanza ndo nchi ya Kenya ikuwe safi. Huezi niambia inchi inaeza endelea ukiwa na wabunge na Raisi mfisadi mpaka uondoe uchafu kwanza ndo uangalie mbele.
@Brilliant-k2k7 күн бұрын
Channel nzuri sana hii nimesubscribe
@FredyVincent95175385245623 сағат бұрын
Wakenya ,Watanzania na Waganda nadhani umefika wakati wa kuachana na hii biashara ya nani mwenye uchumi Imara. Hii hali ipo hadi kwa viongozi wetu. Mwalimu Nyerere alikua anautazama ukanda huu kwa namna tofauti kabisa. Ukubwa wetu na uchumi na kua dola yenye nguvu ni endapo nchi zetu zitaungana. Tuondokane na fikra za utengano kwa kua "Umoja ni nguvu na Utengano ni udhaifu"🇹🇿 ,🇰🇪🇺🇬
@NuruMfaume7 күн бұрын
My brother your a good tanzanian (the true son of the soil)
@eliangowi57433 күн бұрын
Big up, Brother!
@amlikejames6467 күн бұрын
Kenya&TZ we are brothers
@jesuspower2390Күн бұрын
wakenya wengi mko kama mazuzu mko busy TICKTOK mnaota kama mtapewa Lion za bure mmezoea vitu vya kupewa pewa kujiongeza maarifa hamuwezi ndio maana wengi wenu watumwa wa waarabu GULF COUNTRIES. mnasugua sugua tu mavi za Waarabu...
@lucaskashangaki79867 күн бұрын
Kwanza sisi hatuwezi kushindana na nchi yenye ukabibira maendeleo sio ya nchi na Majengo tu watu wa Kenya ta kumiliki ardhi ni changamoto watanzania tunaishi kila mahari tunapotaka wala hatuna ubaguzi na ndio maana hatuna Habari na wanasiasa wala mambo wanayoyafanya kwani kila mtu atajibu aluchokifanya hajalishi alikuwa nani....
@africanmandetraveler28477 күн бұрын
Sawa sawa ndio maana mnatekana juu ya siasa safi 😂😂😂😂
@lucaskashangaki79867 күн бұрын
@africanmandetraveler2847 uhakika hatuna kwani utekaji sasa hivi ni karibu kila mahari hata kuko 🇰🇪 mnauwa wanawake na mabinti tuseme hiyo ni siasa safi kwenu..
@africanmandetraveler28477 күн бұрын
Ndio siasa safi kwenu pia juu siasa za Africa ni zile zile mnavyo jifariji kupiga hatua ndo wafrica wote wanavyo jifariji hamna jipya. @@lucaskashangaki7986
@SA-xj8hc6 күн бұрын
Magufuli left while all his projects were under 20% of completion with no money on sight for the completion . That was a huge mountain for mama Samia to climb. Usiseme mama hajafanya kitu japo humpendi hatujui angekuepo makufuli ingekuaje .
@fatumajohn7036 күн бұрын
Mama Yako nini ? Kama video hukuielewa kaitazame Tena video
@ColestMakolo7 күн бұрын
❤❤❤❤❤tupe somo kk
@aboudasilver65417 күн бұрын
Wezee unapomkosoa mama unskosea Alivyo viacha magu mama anavimslizia
@Brilliant-k2k7 күн бұрын
Si ndo hapo je asingemalizia angesemaje?
@BakariImran-q6lКүн бұрын
🫡👆🏻
@kanoleausi42047 күн бұрын
unaachaje kumsifia mtu ambaye hajaacha kukamilisha waliyoanzisha na mtangulizi wake? tujenge tabia ya kuwasifia watu wanaofanya vizuri wakiwa hai. asingemalizia unadhani asingelaumiwa? Mama Yuko vizuri sana
@vanny-m5o7 күн бұрын
Tutamsifia akitoka tukaona vya kwake nayeye atasifiwa lakini kama hamna tuseme tu ukweli hamna mradi wowote aliofanya mama.
@issaramadhan6 күн бұрын
Mama apewe sifa zake anakamilisha miradi alioachiwa na mzee lkn pia kaanzisha miradi yake mingi tu. Kama mama asingekuwa kiongozi shupavu basi miradi mingi ingekufa @@vanny-m5o
@Jambo-w5b10 сағат бұрын
@@vanny-m5oVya kwake!? Hakuna Vya Magufuli Wala Vya Samia hapa. Vyote ni Vya nchi yetu ya Tanzania. Kwahiyo tunachotaka ni kuona miradi inakamilika na sio kuambiwa eti miradi ni ya mtu Fulani.
@HappyAlbatross-us3bg6 күн бұрын
Kaktika maisha yangu yote ya mtandaoni sijawahi ona channel nzuri xaaaana kama yako mwalimu unaongea madini saaaaan
@vinny.morales20 сағат бұрын
Lets be honest, Kenya is doing much better than Tanzania. Tuache kujipa moyo.
@imanuelnguya92777 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏
@abdallahibrahim2807 күн бұрын
Jitahidi sana kaka kukielimisha kizazi hiki, hakiijui historia sahihi na harakati za nchi hii thid ya wakoloni lkn wapotoshaji wana juhudi kubwa
@CharlesMafwimbo7 күн бұрын
Usikasirike kaka mkenya tusaidiane afrika mashariki Tanzanate ya watanzania don't hate uhuru fantasy kazi
@Brunn-mh2bq7 күн бұрын
It is Tanzanite friend not Tanzanate.
@vanny-m5o7 күн бұрын
Tena kuna tabia ya siku hizi wakenya wana coment kwenye page za Tanzania kujibu majibu ya ajabuu.Nimegundua pia watanznia sisi hatujui kama tuna nchi imepiga hatua kubwa kuliko hata nchi za west africa huko ukisafiri ndio utajua sisi ni matajiri tuna maisha mazuri mnoo mfano tu nchi za jirani yani watu wanateseka nyiee hutoamini .
Daktari samia suluhu hassan wewe ni rais shupavu sana chapa kazi futa viongozi wa dini uchwara wanao tumika kuvuruga amani na wapinzani uchwara wote fukuza nchini
@corrolesscps7 күн бұрын
Bila Magufuri haya unayoyaona ungeyasikia tu, Mpka ameondoka ameacha miradi yote %75 sio Mchezo yule ni Jemedali wa Africa na Dunia nzima, Mataifa ya Mangaribi walishaanza kumuogopa
@ImmaJulius-rg4yf6 күн бұрын
Safi sana kijana magufuli alizuia ufisadi na makampuni yali lipa kodi na kulikua na makampuni hewa alzibiti
@MshamAli-o4e10 сағат бұрын
Watanganyika wamesahau jina lao tanzania ni mungano tu tafuteni jina lenu la tanganyika
@richardjuma16237 күн бұрын
Yaani mm naona kwa uwezo wetu watanzania haya maendeleo bado tukipata kiongozi kama Magufuli
@KarimHusseinGau7 күн бұрын
Mjomba MAGU kiboko yao/Mamá hoyyyyyyeeeeeeee
@sebmalunde59456 күн бұрын
RIP MAGU
@stellanyamuhogota18327 күн бұрын
Waache makasiliko hao wakenya😂😂 kutesa kwa zamu
@benedictmrisho18007 күн бұрын
Jifurahisheni tu shs yao mara ngapi ya yakwako? Demokrasia yao utalinganisha na ya kwako? Bandari ya Mombasa utalinganisha na Dar? Uchumi wa blue ? Carbon credit vipi mwarabu afaidi wakati misitu yakwetu? Tuachane na hayo kila mtu apambane na hali yake. Hakuna kinyanganyiro cha domination we are brothers tuheshimiane EA.
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
Tanzania never compare itself to Kenya. SHIDA NI KENYA WENYEWE WANA TUKANA MARAISI WAO.BY THE WAY TANS
@simonmmbaga6787 күн бұрын
Its long, electrified, it can carry up to 25tons per each axle
@miltonjohn97796 күн бұрын
Ni kweli kabisa kaka Huyuama hajafanya lolote Miradi ya maendeleo no magufuli.hakuna hata mradi moja aliyonuni.labda kizimkazi
@bingorolly4 күн бұрын
Kama mkenya hongera Tanzania fanyeni maendeleo muwe mfano bora Afrika mashariki na sana sana kwetu wakenya 😄 Kusema ukweli pesa za maendeleo hapa kenya zipo pia mioangilio zipo ila siasa ndo kitu muhimu kuliko maendeleo pili ufisadi bila uajibikaji iko level ingine. Kama wakenye tuendelee kulala tutaenda tanzania kujione maendeleo wanao lia lieni 😂
@HajiKlein-so1rk7 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿💯
@rogerabdallah4397 күн бұрын
Kweli wanaongea kingereza mingi wakenya😂😂😂😂😂
@IssahAlen7 күн бұрын
Mama Yuko vizuri Sana Hana mfano mpe sifa yake kama rais wa nchi.hujui kama Kuna wapumbavu Fulani baadhi ya miradi iachwe Ati Ina gharama kubwa!
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
Mama maua yake anapews a ILA "MACHAWA" WANA MSIFIA TOO MUCH
@noelwilliam3446 күн бұрын
Big mistake Kenyan do is to compete all EAn' .... thinking that they are bosses and all should adhere to them. TZn' are not competing any one ... they are just humble and nice.
@jeffchurum14315 күн бұрын
Hizi ni pang'ang'a za Abunwasi. Shideni hapo na Nyerere alisema, angesema au hakusema.
@zully7567 күн бұрын
Professor wolf
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
Ndio PROFESSOR RICHARD WOLF AMERICAN ECONOMIST.MTEMBELEE HUYU MZEE ANA "MADINI" SANA
@zully7567 күн бұрын
@@mwalimugoogletv3738 namfuatila anakosoa mfumo wa uchumi wa Marekani.
@KabetaHabib6 күн бұрын
We'll miss you dk mgufuki 😢😢
@simonmalegesi4145 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EmanuelWawa6 күн бұрын
Nimekuelewa Sana mkuuu wewe ni mzalendo haswa na unachokiongea nikweli kabisa witokwa,viongozi walioko madarakani kwa hiki kama wamekusikia bc wanapaswa kuwasha taa ya kijani na kuongeza speed zaid ya maendeleo,anschokisema huyo mkenya nikweli kabisa sisi tulikua wasindikizaji tu lakini maono ya marehem MAGUFULI da! ndonaanza kumwelewa huyu rais kwaalichokua anakiwaza kwa Tanzania ya kesho.bigup Sana ndugu yangu endele kutufungua macho.
@NassorMuyugumbi-p9q6 күн бұрын
😂😂😂 jamaa ana hasiira, itamsaidia nn sasa, na bado wakiendelea kufatafata wamagaribi wataendelea kutusubiri kwa muda😂😂😂😂 Shukran sana kaka
@bingorolly4 күн бұрын
Ni mkikuyu na analakamika ujitaka kuleta maendeleo hua wanalalamika eti itaathiri biashara yao acha aendelee kulalamika mimi ni mkenya 😂
@NassorMuyugumbi-p9q4 күн бұрын
@bingorolly pamoja ndugu
@eaglecrown11017 күн бұрын
Point 🎉
@godmbise-gj9ug4 күн бұрын
Ngoja tufanye researches nyingi zaidi na zaidi kabla hatujatoa comments.....
@roberttarimo49567 күн бұрын
Wamejaa ukabila sasa utaifa si ndo hatari
@wilfredemayot69695 күн бұрын
This is claut chasing. What i know every country they come a time when the country struggles every thing collaspes doesn't mean the country scrambling down .itakua poa
@Cheffhood7 күн бұрын
Jamani Tanzania sisi tulianzia sifuri kuanzia sekta ya elimu ndugu zangu tumetoka mbali na bado
@anoldishengoma42297 күн бұрын
Nilichelewa sana kuijua hii channel jamani, kila video inanifungua kabisa
@mohdali24087 күн бұрын
Mimi nakubaliana na ww Tanzania ni bara na Zanzibar, kwakweli Tanzania haina sehemu ambayo haina neema , ingekua si rohombaya ya baadhi ya watu Tanzania ingekuwa taifa zaidi ya uingereza Shida inakuja kua maendeleo si majumba na miundombinu tu bali ni hali za watu bila ubaguzi Firauni alikua na dola kubwa sana na maendeleo makubwa ila alifanya ubaguzi kwa kuwatukuza baadhi ya raia na kuwadogosha wengine,kiufupi ni ukabila yule mzee alikua na ukanda mwingi ambalo ni jambo baya sana kwa Taifa, keki ya taifa inaenda upande fulani na nyengine zinasahaulika,nivizuri Afrika kupitia mifumo yetu na kuto watenga watufulani na kufocus kwenye mafundi na teknolojia na sio kuwapotezea watu muda kwa mashule na vyuo vya muda mrefu vinavyofanya mtu kuwa tegemezi
@mwalimumstaafu85297 күн бұрын
Kaka jikite kwenye mada. Hacha kumponda Magufuli. Magufuli pamoja na mabaya yake lakini amekuwa chachu ya maendeleo. Mimi ni mtu mzima nimeona marais wote lakini kasi ya Magu haina mfano. Ni kiongozi aliyekuwa na uthubutu. Mama kwa sasa anahitimisha maono ya Magu. RIP Magu.
@omaryngitu24436 күн бұрын
Kaka usiongee sana,ukawapa Siri ya mafanikio,Tanzania ni kimyakimya...
@esem1356 күн бұрын
Kama vile port ya Dar iliuzwa kimyakimya.. Siyo?? 😂😂
@josephevaristi89233 күн бұрын
@@esem135ww unashangaa port kuuzwa Tz,,Kenya nchi nzima imeuzwa 😆😆😆
@bajagihaji89237 күн бұрын
Ahsante brother kubishana ni kupoteza mda
@UnitedAfrica-uw9ct7 күн бұрын
Mama anastahili pongezi kwa kukaa kwenye njia waliyokubaliana na Magufuli tumshukuru MUNGU kwamba miradi anamalizia (Umeme , SGR, BARABARA n.k)....Lakini JPM kwa kuwa jasiri na kusema liwalo na liwe....ukisikilza hotuba zake anasema yeye amejitolea maisha yake kwa ajili ya kuipeleka Tanzania mbele..sijawahi kusikia Rais hivi karibuni akiweka maisha yake rehani hadharani kama yeye kwa ajili ya Tanzania
@stevensanane6 күн бұрын
Mama amefanya ninn Kwa nchi wewe
@UnitedAfrica-uw9ct3 күн бұрын
@@stevensanane you have no idea...wewe unafikiri vitu vinaenda TU
@ContentSmartphone-rq6po7 күн бұрын
😂😂kweli kabisa
@othumanomari15897 күн бұрын
Nabado hatachakura tutazuia kisikuje Kenya
@hassnsalim51565 күн бұрын
MAGUFULI MATUNDA YAKO YANAONEKANE LALA SALAMA MZEE BABA ALISEMA MTAMKUMBUKA KWA MAZURI SIO KWA MABAYA
@annaniasbyarugaba57885 күн бұрын
Ukiwa na kitu kizuri huwezi kujuwa mapaka pale utakapokipoteza
@stevenobunde93457 күн бұрын
Na bado treni ya putia bahari kwenda zanzibar, zanzibar to Mombasa and Comoros 😂😂😂
@IssaBacar-i2i7 күн бұрын
Ongezea sauti kaka tatizo ni hii yani bila kutumia earplugs uwezi kusikia chichote
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
Napambana kupata vifaa NDUGU YANGU. NAELEWA
@rithlaam58297 күн бұрын
Wakenya wana deni la sgr kwa kuchelewa kurudisha mkopo wa sgr muitikio wao ni mdgo deni kubwa
@fredyjunior69617 күн бұрын
Washapigwa na kitu kizito tatari. Penalt ya kufa mtu kwa kuchelewa kulipa deni😅😅😅. GEN Z wasipoingia tena barabarani sijui. Maana hii penalt ni zaidi ya ile kodi ya iliyoongezeka kwenye mkate😂😂. Wataongea hadi kifaransa safari😢
@esem1356 күн бұрын
Wajinga nyinyi!! Manfiliri Tanzania haina deni? Absolute fools!
@LuckymusyokiMueni7 күн бұрын
Kweli kaka huyo mkenya analia sana na anachuki,na bado tutawapiga sana ,hadi uganda wameanza watawapita soon ,mko na wivu wakenya ,tz si ile ya kitambo vile mnajua
@dr.chaplickobaraka13986 күн бұрын
R. I. P MAGUFULI
@vanny-m5o7 күн бұрын
Yani nikiona wakenya wanavyotudharau na sisi tunawaonyesha hatuna muda nao tuna muda wa maendeleo tuu.sio kujibishana ndivyo wachina walivyofanya kwa wamarekani kimya kimya mpaka china ikatajirika kiuchumi.
@ndaimtambo88456 күн бұрын
Mama ni janga la taifa
@SinaHafidhi7 күн бұрын
Bakieni nakizungu chenu Nasisi tunabaki nakiswahili chetu chenye maendeleo
@enocksitta63507 күн бұрын
💯💪 safi
@ababibabzee77587 күн бұрын
So huyo mkenya anapata wazimu baada ya kuona SGR? Ataumwa baada ya kuona tumeconnect rwanda burundi congo na uganda. Kenya mmekwisha
@fredyjunior69617 күн бұрын
Sio wazimu tu, anateseka vibaya😂. Anapitia mateso makali ya Goligota😅😅
@Paulo-c9z5 күн бұрын
Magufuli alishusha deni lika fika tilion 3 deni la taifa la Tanzania hivi sasa ni tilion 96 fikilia kuusu hilo
@beldina.hezrontv58817 күн бұрын
Piga haooo bado wanatikisika 😂😂😂😂
@harithwhite5897 күн бұрын
Lakini kaka unaposema mama amefanya nini unakosea kwasababu makufuli amekufa kaacha miradi yake haikumalizika,sasa nani leo anaendeleza?
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
My Point is SIFA ZIMEKUWA NYINGI SANA.
@RojasZebanga7 күн бұрын
Sifa nyingi ziende kwa Magufuri halafu nyingine ziende kwa mama Samia kwa kuendeleza maono ya mwamba Magufuri.
@JomoKilawe7 күн бұрын
🙏🙏
@mohdmohd84287 күн бұрын
Baba ulikuwa wapi miaka yote iyo🎉
@goblessjrtz54647 күн бұрын
This is too much hatreds and jealous most of kenyans have.
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
They're furious that TANZANIA HAVE NARROWED THE GAP
@stevensanane6 күн бұрын
Hakuna kitu mama amefanya akwende huko
@alawihamis55867 күн бұрын
Ulimskiliza vizur hutuba ya rais siku alioapishwa alisema Kua hatokubali pesa zote zilizo fukiwa ktk mirad zikapotea bure ilikua upige tathimin anaendeleza kweli au so kwel .Samahani Bora mama alivyokamilisha miradi ndo anzishe Yake au alikua aachane nayo anzishe Yake Kwa sababu yeye ni rais vyote anaweza uchambuzi wako mzuri lkni msifu mama japo hata kwa aslimia 6 basi na uone mchango wake bas
@joycelinelyimo-fenske87457 күн бұрын
Asilimia 80. Kwani Magu ndie amemalizia!!!!!????
@mwalimugoogletv37387 күн бұрын
Ungejua jeopolitcs kidogo ugeelewa kwa nini MAMA anasifiwa kuliko MAREHEMU . NIkwamba hizo media zakumsifia MAMA ndio hizo hizo zilitumika kumchafua MAREHEMU.Maana "SYSTEM"inayomiliki hizo media ndio MAREHEMU HAKWENDA NAYO SAWA. AFRICA MANDELA ANA HESHIMA KULIKO NYERERE.WAKATI HAKUNA JAMBO LA KUIGUSA AFRICA MANDELA ALIFANYA ILEHALI NYERERE ALI SACRIFICE WATANZANI KIBAO NJE YA TANZANIA.ILA KWA SABABU NYERERE ALIKATAA KUNYONywa na "WALIMWENGU" ndio maana Hana sifa za MANDELA.ELIMIKA USIWE MSOMI
@kevinochieng64585 күн бұрын
Ni nini wa Tanzania wako nayo yenye sisi wakenya hatuna,Hawa majirani wanapaswa kuelewa Kenya ni nchi iliyo endelea.Sgr yetu ni karibu miaka kumi ilhali Yao hata haijamaliza mwaka.
@shedadiabdul6543 сағат бұрын
Kenya ni Nchi Ndogo Saaana kwa Tz.Tz tuna Chakula sisi UNGA hapa kwetu Tz Wanakula Nguruwe 🐖😅Mengine tuache😅😅😅
@kwisa48997 күн бұрын
Leo umeongea ukweli kuhusu JPM
@twaibutwabibu880910 сағат бұрын
Nondo tupu
@hassannuru73997 күн бұрын
hongera sana rais Samia,unachapa kazi na inaonekana,keep it up.Tunakupenda na tutaendelea kukuunga mkono.
@sauka96226 күн бұрын
Wakenya ni watu Wa waajabu sana
@esem1356 күн бұрын
Kuliko Watanzania???
@mohdali24087 күн бұрын
Wabunge wanapewa magari ya 300 Milioni ambazo pesa hizo ukienda Pakistan kuna machine ndogo ndogo zenye uwezo wa kuajiri watu 100 , jambo linalopelekea kutokua na watu vijiweni kupoteza muda kwa kukosa ajira
@our10picks186 күн бұрын
Huyu mkenya mwezangu anafaa awache kupayuka bure! 🗣️Haswa amesahau kuwa hilo treni ya Tanzania inatumia umeme pamoja na diesel Kama backup! Na isitoshe, ata wakifaulu kuunganisha na nchi Kama Uganda, Rwanda na DRC, Hizo ni nchi ambazo hazina umeme imeumarika! Treni ya Tz itakuwa inafika border Kisha inawabidi wajaze diesel kwa treni ili waweze kuendelea na safari kwa hizo nchi sababu hawana umeme wakutegemewa! 😏
@omaryboman662919 сағат бұрын
But still it's a game changer ukatae ukubalo
@MercyNyaga-y5h7 күн бұрын
Izo n kelele za chura,kila mtu apambane na ya kwao..😂😂😂.......Kenya is forever our home having brts and electric trains doesn't make you better than us alot has to be done ..
@rayisadesigns26465 күн бұрын
Wewe mkunya unaumia ukiwa wapi?! 😂😂😂
@josephevaristi89233 күн бұрын
Hebu Kanye uko bhna
@MercyNyaga-y5h3 күн бұрын
@@rayisadesigns2646 😂😂funny thing kazi yangu naifanyia hapa mwanza,shida zote za wabongo nazifahamu so I have done a very good comparison