TUMIA KANUNI HII YA OPM KUPATA UTAJIRI MKUBWA | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 3,714

Victor Mwambene

Victor Mwambene

3 ай бұрын

Somo hili litakufundisha kanuni wanayoitumia Mabilionea wengi kujenga Utajiri mkubwa kwa haraka. Jifunze namna ya kutumia fedha za watu wengine ufanikiwe kwa haraka.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 20
@jonasngolyama-xk8fs
@jonasngolyama-xk8fs Ай бұрын
Victor mwambene nimekupata vizuri sana. Mno nashukuru tajili
@ramaahke512
@ramaahke512 3 ай бұрын
👍
@shabaniamadi5319
@shabaniamadi5319 Ай бұрын
Nakufata kutoka Congo
@suzan638
@suzan638 3 ай бұрын
Nakuelewa sana mtaalam
@user-vv6pr4bj8p
@user-vv6pr4bj8p 3 ай бұрын
Nimejifunza kitu ndugu asante, kutoka Kenya🇰🇪
@BusanguloveMasseMasseAmisi
@BusanguloveMasseMasseAmisi 3 ай бұрын
Shukran sana kaka 🙏
@julianalaly2095
@julianalaly2095 2 ай бұрын
Nimekupata
@asadsimba
@asadsimba 3 ай бұрын
Uko smart saana victor mwambene keep it up 👏👏
@victormwambene
@victormwambene 3 ай бұрын
Asante ndugu yangu.
@user-oy6oj1tk8h
@user-oy6oj1tk8h 2 ай бұрын
Asanite ndugu masomo yako nayafatilia aki ubarikiwe unafunza vizuri
@dicksonfranck5938
@dicksonfranck5938 25 күн бұрын
Unatosha......
@zainabuzainabu4160
@zainabuzainabu4160 3 ай бұрын
Shukrani kaka nimekuelewa Allah akubariki.
@victormwambene
@victormwambene 3 ай бұрын
Aminaaa
@venancemsangawale8592
@venancemsangawale8592 3 ай бұрын
Nashukuru kupata elimu hii mapema itanisaidia
@tecoltanzania7246
@tecoltanzania7246 23 күн бұрын
Think like a billionaire be a billionaire
@Boasmwale-on6gt
@Boasmwale-on6gt 3 ай бұрын
Nakuamini kaka yangu kwamalifa unayotupatia🙏
@victormwambene
@victormwambene 3 ай бұрын
Tupo Pamoja Ndugu
@giftmego7580
@giftmego7580 3 ай бұрын
Haya machimbo hayajulikan kabisaa..
@user-ui4nh5vi8t
@user-ui4nh5vi8t 3 ай бұрын
Mungu akubariki❤
@calvinafrican3274
@calvinafrican3274 3 ай бұрын
FANYA MAAMUZI HAYA MATANO ILI UFANIKIWE KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
12:50
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 55 МЛН
Does size matter? BEACH EDITION
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 18 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 52 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 101 МЛН
HATUA 5 ZA KUANZISHA BIASHARA KWA MAFANIKIO MAKUBWA | Victor Mwambene.
10:34
JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO ILI UFANIKIWE KWA HARAKA | Victor Mwambene.
16:15
Huwezi Kufanikiwa Kifedha Bila Kuyajua Haya - Edmund Munyagi
14:27
MAMBO 10 YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUAJIRI MFANYAKAZI - Victor Mwambene.
16:49
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 7 М.
SABABU ZA KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUWEKA AKIBA  | Victor Mwambene
18:47
TOFAUTI KUBWA 6 KATI YA MATAJIRI NA MASIKINI | Victor Mwambene.
16:04
Victor Mwambene
Рет қаралды 3,7 М.
MBINU KUBWA SITA ZA KUPANGA BEI YA BIDHAA/HUDUMA YAKO | Victor Mwambene.
16:38
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 55 МЛН