Naitisha roho ya nguvu ya maombi kutoka mbinguni zikuje hapa duniani siniondolee madhabahu ya shetani wapotelee mbali kutoka kwangu nifanikiwe kila Jambo maishani mwangu milele amen
@janethkashumba15869 күн бұрын
Mungu naomba nieleqe maelekezo ya ndoto nakupenda Mungu nipe macho ya Rohoni
@marymaria65449 күн бұрын
Mungu tusaidie tuondolee kila vuzuizi ili tuvuke salama❤🙌🙏
@SIMONM.U.S8 күн бұрын
Asanté mungu Naomba unishindiye,unipiganiye kwa yote ndani ya MAISHA yangu amin
@margretpendo-tq3zw8 күн бұрын
Eeewe mwenyezi mungu baba naomba neema yako juu yangu ....kulishwa vyakula ndotoni nakataa kwa jina yesu magonjwa sio sehemu yangu amen😢
@MaseaKerry9 күн бұрын
Asante Jehovah kwa haya yote naomba neema na kibali na unuondolee vizuizi zote kwa maisha yangu in Jesus Name Amen Amen 🙌🙌🙏🙏
@Joycependopendo-dv2tb9 күн бұрын
Amen Mungu niondelee vivuizi maishani Na unifanikishe
@LiddyDeHustler9 күн бұрын
AMEN ...liko lango moja wazi ni lango la binguni 😢😊
@NellyKombe9 күн бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
@RamadhaniLuhizo-lw5ge9 күн бұрын
Mungu nipiganie katika biashara yangu pamoja na ndoa yangu mungu adui wangu wako wengi sana naitaji msada wako mungu jibu maitaji yangu
@NeemaMeshaki-qm4ew8 күн бұрын
Asante sana mtumishi Mungu akubariki sana kwa huduma hii tunafunguliwa sana
@SarahKilemelimbwa9 күн бұрын
Mungu akusimamie mtumishi wa Mungu ili uendelee kutufundisha na kutufungua tuliokua tunapuuza ndoto Leo tumebaki na maumivu ila kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo ninashinda
@emilypatrick55099 күн бұрын
Ameen ameen 🙏🙏
@Marianamariana1819 күн бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏
@JolleetNiaze9 күн бұрын
Ameeeeen❤❤❤❤❤❤❤
@SevAl-p9k9 күн бұрын
Nakataa sauti za shetani na kuzifunga kwa jina la yesu, 🙏 baba natamani kusikia maelekezo yako na kuyafatia ili nipone❤ mungu nisaidie nakupenda❤ ❤
@amisakiza15389 күн бұрын
Mungu naomba neemaya kujuwa ujumbe aho maelekezo yandoto katikajinala YESU
@SevAl-p9k9 күн бұрын
Asante mungu kwa maana wewe umuweza wa yote,baba naomba unisaidie ondoa Kila vizuizi vyote adui alixo weke katika maisha yangu,
@SalomeMangale-m8i8 күн бұрын
Mungu naomba unsaidie unitenganishe na ndoto zinazo nrudisha nyuma
@RamadhaniLuhizo-lw5ge9 күн бұрын
Ndio bwana amen
@Victoria-bv6xu9 күн бұрын
AMina 👏
@JumaDaniel-fe6yx9 күн бұрын
Halleluyah 🙏
@SerahMagie9 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@Loice-c9o9 күн бұрын
Ee Mungu niondolee kila vizuizi😢
@SaitotiSakita8 күн бұрын
Mungu atubariki saidi my brother
@SarahKilemelimbwa9 күн бұрын
Mungu anisaidie na anirehemu kwani Kuna ndoto niliota Leo hii kupitia neno hili ilikua ni maelekezo ila sikuchukua hatua hatimaye hata mwezi sikumaliza nikaona matokeo ya ndoto yangu
@alicemwaka37629 күн бұрын
Emeeen
@NEEMAEMMANUEL-rz7lo9 күн бұрын
Amen
@sylivakahyoza939 күн бұрын
Amina
@emilypatrick55099 күн бұрын
Nakataa ndoto zoote z sizo za MUNGU in JESUS MIGHT NAME
@Mpolya-u3x9 күн бұрын
Asante nisaidie
@RosetteNakajambi8 күн бұрын
Eeej mwenyezi mungu niondoleye vizuwizi zooote kuanzia sasa n'a unisaidiye malengo yangu itimilike . Amen.
@GeorgeNdalawa9 күн бұрын
Kweli
@jacklinejuma-bo7zj8 күн бұрын
Nakataa ndoto zote mbaya zamauti kwenye familiar yngu nakukwamisha rizk yngu
@SalomeMangale-m8i8 күн бұрын
Ndoto za watu waliokufa nakataa kuota nao ndoto za kurudishwa vijijini nazikataa kwa jina la yesu kristo wa nazareti