Shk Mohammad ISSA unaeleweka, crystal clear barakallah fik
@user-em3ye6el6z5 ай бұрын
Shekhee ALLAH akulipe kheri nyingi kwa ufafanuzi ĥuu .
@user-bt8wh8cd3g4 ай бұрын
Wambie waislamu ukwel ikhtilafu ya maswahaba ilikua ipi je hio yenu inafanana ya maswahaba ao walkua wanatafautiana nch kwa nch na wala sio mji moja au nch moja kukhtalafiana hio haikutokea wakat wamaswahaba kua mji mmoja wengne wamefunga nawengne wamekula hii imeanza kwenu nyny.
@johariabdalla33195 ай бұрын
Shukran Sheikh,unaeleweka vizuri ufafanuzi wako,labda wale wanaojitowa ufahamu kwa maslahi yao
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Hakuna maslahi yoyote hapo huu msimamo wenu ni bidaa
@HamadaZubeirTahir4 ай бұрын
Juzi hamukuswali kwa mwandamo wa Nigeria nyinyii
@mohdkhatib2233 ай бұрын
Wewe una uhakika uliandama?
@abubakarisakini40804 ай бұрын
Maa Shaa ALLAH elmu mujarrabu
@user-ug8hc4yh5k5 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu Wambie watu wa bakwata, Waislamu wa Tanzania walitambuwa uwongo wa Muhammad iddi ni mwongo zaidi, Sheikh Muhammad iddi Anaumbuka kwa uwongo wake
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Acha ushabiki wewe na huyo sheikh wenu Muhammad issa hamuna ukweli wowote kuhusu masaala ya muandamo wa mwezi Muhammad idd hojja zake ni nzito na hamuezi kuzijibu mume Baki na matusi dhidi yake na chuki kwani ukweli unauma
@MasudiAthumani-kx7ye4 ай бұрын
Tufafanulie hapo usifunikefunike quraib wameona usiku wa ijumaa bni abbasi usiku wa jumaa mosi yupi yupo sahihiiii
@noorululaatv89734 ай бұрын
Kwanza hata ibara unazisoma hovyo na kufasiri hovyohovyo
@bagalucha5 ай бұрын
Barakallahu feek,Tanzania walipe wanadaiwa
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Nenda ukasome ndugu wewe ni jahil murakkab endeleza kufuata fitna na farakano za huyo Muhammad issa Ambae hana hojja hojja zake zote hazina mashiko kabisa nihojja dhaifu sana
@bagalucha4 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k Nani akasome?,mimi au wewe?Hujitambui masikini
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Haya Nita jie huo mwezi wakimataifa ulianza mwaka Gani wa kislamu
@bagalucha4 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k Hayo uliyokuwa nayo wewe,ni mambo ya kitoto,yaliyokosa kujifahamu na elimu,hivyo wewe inaingia akilini tuelimishane humu kwa text,hilo suala lako,Lina jibu fupi tu,mwezi wa kimataifa upo kabla ya Nabii Adam hajaumbwa,sasa wewe unapinga hilo??
@bagalucha4 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k Mambo ya kitoto,tukishandana humu mtandaoni,au tukiulizana Mambo ya kuelimishana,sio kwa text bwana mdogo,kwa Ufuk’u mwezi ulianza kabla ya Nabii Adam Alayh Salaam hajaumbwa.wakati huo,wakati huo ummah ulikuwa mmoja,kabla ya kuja hizi fitna za utaifa za sasa hivi.
@alifaki87415 ай бұрын
مشاء الله
@isaliisu34084 ай бұрын
Mbona juwa lilipopatwa Amerika mbona hatukusikiya Adhana kwenye misikiti ya Tz au juwa halifungamani na mwezi?
@MasudiAthumani-kx7ye4 ай бұрын
Hapo umefeli mzee huna dalili
@HassanSalim-hl8qs4 ай бұрын
Shekh Muhammad Issa Allah akulipe kwa ukweli wako wewe huburuzwi buruzwi na majitu ya Dunia Masufi wanataka Dunia wala hawana lengo na Akhera na huwazushia watu wa Sunna majina mabaya mabaya Masufi ukiwaangalia upande wa Akhera hawapo hawa ni watu wa Dunia ndio maana shekh wao anataka watu wa Sunna wakitangaza mwezi wakamatwe Hii ni chuki ya wazi kwani mbona watu wanatangaza mabaya wala hamtoi kauli kama hizo
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Munao taka Dunia ni nyinyi munaojiita answer Sunna na misimamo yenu potofu isiyo tekelezeka na kama yatekelezeka tutajie mwaka moja wa kiislamu kua mwezi uliandama Australia ulimwengu mzima ukafunga na kufunga kupitia mwezi kwa karne14 huu msimamo wenu ni bidaa
@KassimSalum-jv2lr4 ай бұрын
Ukiandama irani hamfuati mnasema ooh mashia
@MuhammadRajabu-rd3fm5 ай бұрын
Shekh kwahio abdallah bin abbaasi nawenzie walifunga siku ya edi
@AliSalim-yu4mo5 ай бұрын
Elezea Lisa chenyewe ili tukifahamu tuone ni vipi wewe umekifahamu na wengine
@rashidjuma91695 ай бұрын
Subuhana Allah hata nyinyi mko hivyo .
@mattarmohd66174 ай бұрын
Hapa mayahudi wamefanikiwa kutugawa hapa afrika mashariki kwakisingizio cha ikhtilafu za muandamo eti kuna muandamo wa kimataifa. Hoja jee saudia anafuata muandamo wa kimataifa? Jawabu please.
@abubakarimussa91314 ай бұрын
Acheni upumbavu mnayaingilia mamlaka ndio maana kuna mamlaka katika uma hivyo unataka mamlaka tokea zamani
@r.m.a75705 ай бұрын
Mbona ukionekana kenya wanafunga au Kenya n Tanzanian
@AliSalim-yu4mo5 ай бұрын
Hawa hawana nguvu za hoja Bali Wana hoja za nguvu ndio maana Mufti wao anataka mabavu ya Serikali wathibiti huu ujinga wao!
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Ndugu yangu kasome Kenya Tanzania bara na Zanzibar matlai Yao ni mamoja kwa hivyo mwezi ukiandama moja katika nchi nizozitaja aghlabu wate wanakubali muandamo huo kwa lugha ya usomi inaitwa itifaqi matalii
@AliSalim-yu4mo4 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k huku ndiko kuruka najisi ndogo na ukakanyaga kubwa!Ni wapi ktk maandiko tumeambiwa mambo hayo ya matlai?na nini hasa hayo matlai?
@mzeemwinyihassan97745 ай бұрын
Nyinyi wanafiki hamufungi Wala hamufungii ukiandama popote museme TU msimamo wenu ukiandama Saudi Arabia na ujinga wenu wa kutoka elimu Jana nchi za Africa ya magharbi wameswali eddi mbona nyinyi hamkuswali na walitangaza
@MB-yq3ty4 ай бұрын
Tunahaqi ya kujua hiyo nchi pia kama ina umakini katika jambo la mwezi. Kama tuna iamini kamati ya Saudi Arabia wewe Shida yako nn?. Pia Tanzania bara hamna aliyouona mwezi kwanini mlisali?
@user-sm1ux6nj7b4 ай бұрын
@@MB-yq3ty Saudi walishawakataa kitambo, wanasema Kila mtu afunge na mwezi wake, Ila mawahabi ni vibaraka wa mayahudi, mnaendeleza farka kw waislaam
@MB-yq3ty4 ай бұрын
@@user-sm1ux6nj7b Huelewi hayo ndio maana. Laiti ungekuwa unayaelewa ungekaa kimya. Nikuulize wewe mjuaji Ibn Uthymiin aliposema fungeni kwa kufuata nchi zenu ndo anakauli hiyo tu hana kauli nyingine?. Mbona mnaelezea kauli moja nyingine mnakaa kimya kasemaje?. Pia wameelezea sana suala la kufunga na nchi ki katika kuepusha migogoro pia hasa kwa nchi yenye Qadhi wa kutambuliwa na Mamlaka.wombe Sheikh wako akielezee kuhusu msimamo mwingine wanasemaje? Mnachagua pale panapowafaa tu?
@user-sm1ux6nj7b4 ай бұрын
@@MB-yq3ty Mfuate Mtume (saw) kwanza, hlf maswahaba na taabiina, na wote Hao hakuna aliefuata mwezi wa kimataifa, Sasa kuwaacha Mtume na maswahaba walichofanya ukaanza kufuata rai za mashekhe huo ni ujinga mkubwa,
@user-sm1ux6nj7b4 ай бұрын
@@MB-yq3ty NA ktk nchi zisizokuwa na umakini wa mwezi Saudia inaongoza, imeshawatangazia watu kilipa swaumu na kutoa fidia mara kibao, labda km ww bado ulikuwa mdogo na hujaanza ushabiki wa kiwahabi
@salemaliy19635 ай бұрын
Mohd issa hatuezi kufata pumba . Msituchanganye. Tuwacheni tufanye kma alivofanya mtume na maswahaba zake .. Miaka 100 . iliyopita ndio inakua hii mwezi 1 tu .. acheni tuwacheni ... Mohd issa elimu ako jitosholeze ww ufahamu wako ni mdogo na ww .. basi ata fikra huna acheni kutuletea kitu kipya wakati WAISLAMU zaid ya 1300 iliyopita wanafata miez tofauti hao msimamo je walifunga mwezi huu WA kimataifa...
@rajababdallah92394 ай бұрын
Hakuna aliyekulazimisha.fata popote ambapo wewe unaona sawa. Lakini tofauti zetu zisitupelekee kujenga uadui na uhasama,waislamu sote ni ndugu.tupendane tuheshimiane.
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Waloleta chuki na farakano ni hao kina Muhammad issa na wenzake na huo mwezi wa kimataifa
@saidishekalaghe34964 ай бұрын
Sheikh unachanganya watu, kwan wapi tumeambiwa tufunge Dunia Nzima siku Moja? Mnajiridhisha kutoka wapi? Jiografia yako umeisoma wapi? Wewe na Mtume mjuzi zaidi ni nani? Na huo ni unafiki kusema kwanza mnategemea Katiba ya NCHI huko ni kupotoka kabisaaa!
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Swadaktaya sheikh wameacha maelekezo ya sheria na kufuata katiba ya nchi Kisha wajita ahlusunaa wal jamaa
@mohdkhatib2233 ай бұрын
Kwahiyo kila mji uwe na muandamo, Dar na muandamo wake, Tanga na muandamo wake, Kigoma na muandamo wake?
@mohdkhatib2233 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3kmaelezo ya sheria yepi hayo?
@alhajnur16125 ай бұрын
Kumbe hizo karary ni kama vile agano la kale na agano jipya hapo sikukubali hata kdg
@mohamedhamismagoraonlinetv4594 ай бұрын
BARAHIYAN NI HATARI KWA UMOJA NA MSHIKAMANO WA WAISLAMU kzbin.info/www/bejne/eJ-1mpWQac5-hKMsi=pgMhUUvEIAYACLTT
Nenda ukasome maimamu wakubwa walio sahihisha wanasema ni Hadith kama lmam Muslim al imam Al tirmidhi an nasai na wengineo na wewe wasema hizo ni simulizi loo kumbe una ilmu kuliko muhadithin hao nilio wataka huu ni msiba inalillahi wa ina ilayhi rajiun
@khamishassan685 ай бұрын
Watu wanavyo ichukia saudia huenda kunaciku watu watagoma hata kwenda hija.
@HanifaOman-oo4pl5 ай бұрын
Kazikwao wakigoma Allah yupo nae atawalipa nachukizao zakijinga
@saidishekalaghe34964 ай бұрын
Kamati ya Mwezi umeongea nini KUHUSU muandamo wa mwezi Nchini kwao? Usiwe bendera fata upepo.
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Kwani kina hadithi isemayo fungeni ama fungueni kwa mwandamo wa Saudi Arabia kama ipo basi tupeni ibada ya swaum lmefunganishwa na mwandamo mwezi wala si mwezi wa popote na hijja ibada yakeiko makka kwa dalil ya quraan kwa hivyo hizo ni ibada mbili tofauti hijja ni kwa mwenye uwezo na ilhali swaum kila mtu nenda ukasome
@zafarmohamed94135 ай бұрын
kwahiyo sheikh unasema wewe umeelewa haduthi ya mtume zaidi kuhusu muandamo kuliko swahaba ibn abbas mpaka unasema ukubwa wa swahaba hyo sio hoja. acheni kukufuru ssi hatuwapati maswahaba hata ukucha wao kwa kumfata mtume MUHAMMAD S.A.W
@Aboodjan4-5 ай бұрын
Nenda ukaangalie mpira huku huna unacho jua. جاهل مركب.
@nchiyangutanzaniatv93935 ай бұрын
Hiyo ni kauli ya imam Nawawi,,,Shkh kanukuu tu acha taasub
@user-sm1ux6nj7b4 ай бұрын
@@nchiyangutanzaniatv9393 Sasa ww kw ujinga wako unaona imamu nawawi kapatia kuliko ibn Abass
@abuuzakariyalibumba63035 ай бұрын
Shida ya watu hawataki haki
@muhammedaloufy40865 ай бұрын
kwakujidanganya hamjambo!
@ramadhanitwahili68374 ай бұрын
Mm nataka nisaidiwe jambo hapa saudi imeshawai kufunga kwa mwandamo uliandama sehem yoyote duniani, ilo la kwanza la pili nisaidiwe kitu kingine Allah ametuelekeza tufunge kwa kufuata saudia au mtume amesema ivyo mana mimi nawaona hao wasaudia wenyewe wabaguzi tu kama kweli kauli ndio izo za kuona mwezi popote mbona atuwafuti waoman libia, marecani au Australia ama china, kila miaka iwe saudia tu mmmmh hpo tunafuata wazamini wetu dunia mzima.
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Haki Gani hiyo unayo zungumza huyo sheikh Muhammad issa anajia haki kuliko salafi Swaleh waliotangulia kwani wao walifunga na kufunga kwa mwezi wa kimataifa na mawasilano wakati hakuna ina maana funga zao naidd zao ni makosa ila hivi sasa nyie ndio muko sawa mcheni mola hii ni dini kesho mutakwenda ulizwa mbele ya mola juu ya huu upotoshaji wenu
@muhammedaloufy40864 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k linapofika suala la mwezi hawa majamaa huwasahau Salaf saalih! Ukija ktk maulid na dua baada ya Sala hurudi kwa Salaf Saalih! yaani yale wanayoyataka wao huwa si bid’a ni jaaiz Ibn Uthaimin kansema!
@mahadhikawia36105 ай бұрын
Sheikh kesho wataswali kwa wakati mmoja na saudi Arabia ,wamesalim amri wale waliosema HAIWEZEKANI
@user-sm1ux6nj7b5 ай бұрын
Hatimae mawahabi wa swali na muandamo wa Bakwata hawakufuata wa kimataifa
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Huyu maskini hata hajui asemalo wakati wa majira ya joto huko Saudi Arabia wanaswali idd saakumi na moja alfajiri ilhali huku kwetu tunaswali saa mbili asubuhi
@mahadhikawia36104 ай бұрын
@@user-qm2of7vd3k hata kigoma tumetofautiana saa Moja. Kinachojadiliwa hapa ni Ile kukataa kabisa kwa kusema HAIWEZEKANI , HAIKUBALIKI HAITEKELEZEKI kuswali Idi Siku Moja ! Je Imewezekana au Laa ?
@selemankishema57805 ай бұрын
Hakuna ikhtilafu suala la mwezi ni suala la madhehebu,majazba na upumbavu wa siasa za kidunia
@ImanSaid-ox3po5 ай бұрын
Maasha'allah uko sahihi ndugu yangu
@twahambowe4405 ай бұрын
Ingia darasani usitoe maneno machafu mbele ya wasomi, huo ni utomvu wa nidhamu wa kielimu. Usuhukumu majambo kimuhemko.
eti ukionekana IRANI? Irani si waislam wala hatuwezi kufuata kwa lolote ktk sheria ya dini ya uislam!!
@alhajnur16125 ай бұрын
Sheikh Muhammad Issa mbona Mwezi wa kimataifa ni Saudia peke yake sijawahi sikia mwezi umeonekana Ujerumani au Pakistan au China kila siku Saudia na vile vile mbona mbona wao hawaamini mwezi unaondama nchi nyingine?
@twaibumikidadi73775 ай бұрын
Hata huku UTuruki Afghanistan Seria wote wana muandamo mmoja sawa na Saudia Hii ya kila mtu na mwez wake ni cv tu Afrika mashariki , sjui kwann tunakuwa wagumu kuelewa!!?
@mohamedswaleh67785 ай бұрын
Acha unafiki ww
@mohamedswaleh67785 ай бұрын
Muogope mungu
@seifseif15725 ай бұрын
Allah akulipe kila lenye kheri Sheikh wangu
@jumafaki28915 ай бұрын
tatizo musilifiche ni kua saudia haukuandama mwezi wameeleza waangalizi wa mwezi pale makka na Madina saudia anatekeleza kalenda yake basi sio kuona mwezi mwaka huu mumeaibika semeni ukweli ati hitilafu za kuonekana mwezi wacheni uongo watu wazima nyinyi
@user-tw4nf6bv8b5 ай бұрын
Mijishekhe yote ya msimamo wa mwezi wa ndani hata siku moja hawasemi wala kutoa msimamo wa upande wa msimamo wa mwezi wa popote ili waislam wasijue haki iko wapi
@AhmadMbarouk5 ай бұрын
Maashaalah
@saidishekalaghe34964 ай бұрын
Tupe Hadith inayosema mwezi ukiandama popote fungueni au fungueni. Watu wa Sunna sikuhizi wanategemea vyombo vya habari KUFUNGA na kufungua, si mfuate suna mfunge kwa kuuona na kufungua kwa kuuona? Pili nyinyi ndio mlikuwa wa kwanza kukataa Tv, Simu za mkononi, Kuwa na Taasisi, Leo mmegeuka kuvifanya vitu vyote ni halali, mbona hamueleweki? Ndio nyinyi MLIOKUWA mnalazimisha watu kuingia msikitin na Viatu baada ya kula VIBOKO mkaachana na fatwa hizo, kuweni makin Basi. Mwezi muandamo kule SAUDIA Kamati ya Mwezi imesema wazi kuwa hukuonekana jiulize wewe Amri ya KUFUNGA ilitolewa na nanai? Vilevile acheni kujenga chuki na kiongozi wa kidin Kila Nchi ina utaratibu wa viongozi kutangaza mwezi baada ya kufikiwa na Taarifa KUTOKA vyanzo madhubuti za muandamo wa mwezi, na wala si Kila mtu ana MAMLAKA ya kutangaza mwezi. Mkumbuke kuwa hiyo ni ibada.
@MasudiAthumani-kx7ye4 ай бұрын
Bilali aliwatangazia watu wa duniamzima ebu tuweke sawa sio unabuluza tu
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Mwanzo hio hadithi ya mbedui nidhaifu moja ya walio dhoovisha hadithi ni mpokezi wa hadithi hiyo ni al imam anasai
@jumanneomary29975 ай бұрын
Sheikh mbona mishipa imekusimama hivyo mpaka unawatolea watu maneno yakuwakaliisha wenzako kwani ukisema kistaarabu mbona watakuelewa tu Je nao wakijibu kwakukariisha utajisikiaje
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Huyo sheikh amepandwa na hasira kwa sababu ukweli siku zote unauma
@husseinshaibu52395 ай бұрын
Leo wamekuja na Hoja kuwa Nigeria leo wameswali Eid kitu ambacho si kweli.. hivyo kwanini sisi hatujaswali leo.
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Si Nigeria bali ni Mali na niger wametangaza mwezi umeandama kwenye nchi hizo sasa kioja chaja hapa nyinyi munafuata mwezi wa kimataifa ama mwezi wa popote mbona hamukuwafuata kwani wao siwaislamu illa Saudi Arabia na nchi za warabu haraka haraka kuwafuata bila kupambanua ni habari za kweli au la
@user-qm2of7vd3k4 ай бұрын
Si Nigeria bali ni Mali na niger wametangaza mwezi umeandama kwenye nchi hizo sasa kioja chaja hapa nyinyi munafuata mwezi wa kimataifa au mwezi wa popote mbona hamukuwafuata kwani wao siwaislamu illa Saudi Arabia na nchi za arabuni walitangaza haraka haraka kuwafuata bila kupambanua habari hizo ni kweli ama la
@user-sm1ux6nj7b5 ай бұрын
Na hapo hakuna ubabe, ni kujaribu kuwaokoa na uzushi wenu, kwn uzushi ni upotevu na upotevu fin naaar
@nchiyangutanzaniatv93935 ай бұрын
Kwahiyo Imam Nawawi ni Mzushi?
@user-sm1ux6nj7b5 ай бұрын
@@nchiyangutanzaniatv9393 wazushi ni mawahabi
@AllyMandunda-tj9jc5 ай бұрын
Upo sawa sana sheikh. Saudia ndionchi Mamaya dini ya kiislam
@AllyMandunda-tj9jc5 ай бұрын
Mwaka huu mungu amewatia aibu. Wajinga wa dini ninyi
@AllyMandunda-tj9jc5 ай бұрын
Mtazidi kuaibika mpaka basi. Fuatenimaelekezo ya makafiri hao