Mhe Jussa ni kweli tushaamua Zanzibar Kwanzatuuweni sote lkn nchi yetu tunataka tujiendeshe wenyewe
@salyali78077 ай бұрын
Mh Jussa tupo pamoja
@jaysullman36977 ай бұрын
Zanzibar haina tofauti na Palestinian people!😢 Kiukweli inatia Uchungu Sana!
@MohdIkra-d7s7 ай бұрын
Iko siku inshaallahu tutaipata nchi na kuirejesha furaha tena kwa mara ya pili
@jaysullman36977 ай бұрын
@@MohdIkra-d7s Aamin Yaarab 🤲
@hajihassan54337 ай бұрын
@@MohdIkra-d7s Ya kwanza ilikuwa ipi?
@kassidpandu8667 ай бұрын
sio kweli hiyo Hiyo Nafasi kila mmoja wenu alikuwa anaitaka na kuitamani
@harithmohd63187 ай бұрын
From Oman 🇴🇲 allah awalinde na shari vitimbwi vya ccm na serekali yak ya kiharamu tupo pamoj mm na zanzibar na zanzibar namm PBE and UGJ iloveyou
@eddynaeem67087 ай бұрын
mjomba baloteli Seif Ali Liddy pesa zetu za mapinduzi 2 utazitapika kama unajidai kufanyia birthday ya mkeo pesa zetu sisi tunalala njaa t a
@abdillahmohd43177 ай бұрын
MH JUSSU miongoni mwa hazina ya Zanzibar
@MohdIkra-d7s7 ай бұрын
Nikweli kweli kabbisaa huyu mtu ni muhimu sana hajawahii kusimama na kusimania popote ikawa hajaacha alama juu ya kuitetea zanzibar na sio kuitetea t balu hata kuilinda ili ibaki salama na manlska yakee
@binmasoud41507 ай бұрын
Unajua ukiiskia tu saut ya Jusa unajua kuwa kuna mtetea wanyonge tena mzalendo anaongea sio wale wasaka tonge walotumwa.
@salyali78077 ай бұрын
Kabisa kabisa.. May Allah amhifadhi.. Allahumma ameen
@Khatib-xp6fp7 ай бұрын
Ni ngumu sana mtu kuwa muadilifu kwenye mambo hayo
@MohdIkra-d7s7 ай бұрын
Nikweli
@saidabdala49807 ай бұрын
Nyerere aliifisidi ZANZIBAR. WAENGEREZA ndio wahusika wakubwa. A.C.T mkichukuwa nchi. Fanyeni Sultan jemshid aje kuishi ZANZIBAR kama vile HISTORIYA na kupata BARKA. Za ZANZIBAR.
@hajiali77 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@richardnganya23117 ай бұрын
Ile CUF ya Maalim Seif imerudi katika ubora wake !!
@jaysullman36977 ай бұрын
A.C.T Wazalendo Kweli CUF ni Mhariifu Professor Ibrahim Lipumba what's ever you called 💯 maana hainyanyuki tena imepigwa na Maradhi laaana!!!
@jaysullman36977 ай бұрын
M/Mungu amlaze mahala pema peponi Maalim Seif 🤲 Aamin Yaarab!!! Hao ni watoto wa Maalim Washapikika Hio Kambi ni Moto 🔥🔥 Vijana nguvu Kazi 💪 Moto Moto twende Kazi 💪💪💯
@jaysullman36977 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤
@khatibabass31067 ай бұрын
Jusa ni mtaalamu wa kupika taarifa za uongo. Ni wapi mafuta yapo chini KULIKO Zanzibar ENEO hili la Africa mashariki?
@MohdIkra-d7s7 ай бұрын
Kamueleze ili akisema aseme ukweli
@kassim12627 ай бұрын
Hkuna wtu waongo km ccm nandio maana tngu enzi za mabibi namababu mpk leo hii bdo znzb hii unguja na pemb bdo tunajengew barabra na itaendelea mpk kiama maana ccm hwpo kwaniaba yznzbar wpo kujinufaisha ss jussa kakudanganya nini
@jaysullman36977 ай бұрын
Ukweli hamna namna yakujitetea Ukweli utabaki Ukweli tu!!!😜 Na Uongo ni wale Wanafik waliozoea Utumwa ya Hewallah Bwana!!!😜😂😂
@saidrashid59727 ай бұрын
Haya maneno tumeshayazoea sana kwa sisi wenye maono tunajua kua hmn kitu just munatafuta kula tu
@saidsleiman70436 ай бұрын
Gh
@hajihassan54337 ай бұрын
Kuna tofauti kubwa sana ya siasa za Tanganyika na Zanzibar kwamba viongozi wa vyama vya upinzani Zanzibar ni viongozi wa Serikali kwa awamu tofauti huwa najiuliza sana Serikali inayotafutwa ili iwe je.
@jumamohamed31687 ай бұрын
Haji Hassan wakati mwingine unachekesha sana,hawa akina jussa na wenzake hawajawahi kuongoza Zanzibar kupitia tiketi ya chama chao iwe CUF au kw sasa Act wazalendo,usiwape lawama sana hawa hata wakitaka Zanzibar ile iendeshwe kwa namna hii au ile hawawezi kufanya hivyo kwa sababu hawawezi kufanya mabadiliko kwa sababu wao sio chama tawala mfano ,Zanzibar kupiga kura siku mbili ( 2),haiingiliki akilini watu laki tano kupiga kura siku mbili wakati Tanganyika kupiga kura siku moja wapiga kura milioni 20.yote hayo ni mazingira ya kuleta vurugu tu na wizi katika chaguzi .kama ni uwezo wao wangebadilisha huo upuuzi wa kupiga kura siku mbili watu laki tano.na mambo mengine juu ya masilahi ya Zanzibar hasa katika mambo ya Muungano .