Zanzibar watu wote ni Wanasiasa. Suluhisho ni kugawana visiwa kimamlaka.
@harithmohd63187 ай бұрын
Inshaallah wataondoka t wahoo maharamia wakiccm tuipaganie Nch wanzanzibar PBE and UGJ
@aliabdalla92977 ай бұрын
Umetisha sana OMO
@mchagagaspar66497 ай бұрын
WANA CCM KUMBUKENI UTU NAMJIPE UBINAADAMU ACHENI DHULMA HIO NIINCHIYENU NYOTE MSIWE MFANO WAWA KURDI NA WA PALESTINA ( ABBAS ) ANAKULA MADIMBI NDUGUZE WANAUWAWA KWELI ,NCHI INAKWENDA KWELI HIVYOOOOOO.
@SalminTenga-fx6wi7 ай бұрын
Watu wote walio serikali ni watu wa siasa .kwa kua wanaongozwa na chama tawala .iyo ni kauli tu mh
@lusakaone77827 ай бұрын
Mimi naamini bado tupo wengi sana na Wapo CCM wengi wanatuunga mkono Wallah uchaguzi huu utakaokuja ni mtamu sana
@AhmedAli-gh1lm7 ай бұрын
Uchaguzi hautakuwa na lolote, ni vile vile ilivyozoeleka. Zinapigwa kura ambazo kimsingi hazina maana yoyote. Tume inaamua nani kashinda na sio idadi ya kura inavyoamua. Kwa mujibu wa Sheria za Uchaguzi zilivyo sasa, tayari CCM ishashinda hata kabla ya uchaguzi. Nchi kama hizi chaguzi ni geresha tu kuwadanganya wajinga kuwa kuna uchaguzi wa kidemkrasia.
@ahmedalbalooshi85187 ай бұрын
Ni mwendelezo wa siasa chafu zilizoanzishwa kwa makurdi toka miaka 50 ya nyuma.
@msabahaali7587 ай бұрын
dhulma ni nying sana na maneno ya miskitini yoote yale kua akidhukumiwa mtu mmoja tu ana dhima yako wapi leo
@KassimAlly-xp4dz7 ай бұрын
Mwinyi sio m2 mwema kwa wazanzibar
@SalminTenga-fx6wi7 ай бұрын
Iv rais mwny kwa nn Hawa wananch hawapat hik kitambulisho .kwa rais ww huendani na iyo kauli Kama haki yao wapeni .sio Kuna baaz ya watu kukuchafulia
@awatifalghanim11067 ай бұрын
Jamani ni kweli Nchi za njee wanaletewa ID card mpaka nyumbani. Inategemiye wewe vipi unataka. Zanzibar wako nyuma sana bado.
@hajihassan54336 ай бұрын
Ni UONGO, utaratibu wa duniani nzima kitambulisho na passport huombwa hata kama baadae utaletewa nyumbani. Tatizo la Zanzibar mtu nyumbani kwao Muyuni amehamia Mahonda bila kufuata utaratibu anapoomba Kitambulisho Mahonda atapata tabu hebu na akaombee Muyuni kwao.
@AbdallahSalim-is3db7 ай бұрын
Kakaangu wewe kisuwahili wakifahamu ... lakn nakusihini lugha nyepesi ni mtihani kwenu.
@cath-ef7wd7 ай бұрын
Mpeleke mama yako matako wewe akazungumze kiswahili
@SalminTenga-fx6wi7 ай бұрын
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa Baraza la taifa na mkoa kwa nn asiwe mwanasiasa