Makamu wa Rais wa Zanzibar akutana na uongozi wa Kanisa Katoliki Kigoma

  Рет қаралды 2,887

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, leo Mei 07, 2024 amekutana na kufanya Mazungumzo na Askofu wa Jimbo Katoliki Kigoma, Mchungaji Joseph Mlola.
Mkutano huo uliobeba Dhamira ya Kujitambulisha na Kukuza Mahusiano Mema kati ya Pande Mbili hizo, ambao umejikita katika kubadilishana mawazo juu ya mambo mbali mbali ya Kiserikali, Siasa na Kijamii, umefanyika Ofisini kwa Askofu huyo, huko katika Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Mkoa wa Kigoma.
Viongozi mbali mbali wa ACT Wazalendo wameambatana na Mheshimiwa Othman katika Mkutano huo, wakiwemo; Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Tanzania Bara, Ndg. Is-haka Mchinjita; Katibu Mkuu, Ado Shaib Ado; na Kiongozi wa Chama Mstaafu, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe.
Kitengo cha Habari
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mei 07, 2024

Пікірлер: 2
@SaidIssa-tq3yv
@SaidIssa-tq3yv 5 ай бұрын
Safi sana askof.
@YohanaMbano
@YohanaMbano 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 322 М.
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
Hoja za Zitto Kabwe alipochangia bungeni kuhusu reli ya Dar - Kigoma
7:56
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН