MKE WA KIBOKO YA WACHAWI AFUNGUKA UGUMU WA MAISHA AOMBA MUMEWE ARUDI WALEE WATOTO

  Рет қаралды 6,428

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@MagrethShao-v4s
@MagrethShao-v4s 2 ай бұрын
Unamwomba mkuu wa nchi wale aliowapiga pesa mbona usiwaombe msamaha nenda huko congo ukamfuste yaanii alitska kidsbabisha u unjifu wa amani kuhusu kuus wa chawi
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 2 ай бұрын
Mama Yetu Samia tulilizwa sana huko Buza kwa Lulenge,hata zile shuhuda na cm za Capital Mf. Walikuwa wanatenezwa sio kweli,hatutaki Uongo Tanzania,we mpare mfuate mumeo kongo,alivuna pesa nyingi sana
@mamachris6811
@mamachris6811 2 ай бұрын
Anajifanya analia,amfuate hoko ye si kaolewa,
@elizamasangula2935
@elizamasangula2935 2 ай бұрын
Hiv kumbe vita vyetu ni juu ya damu na nyama,kama ninyi ni watumishi wa Mungu kwa Nini msimwombe Mungu wenu awasaidie,mnadharirisha Imani, Mungu Huwa haitaj wasaidiz,mnanishangaza
@sizaexavery6704
@sizaexavery6704 2 ай бұрын
Mtegemee Mungu. acha kumsumbua Mama yetu
@enizetv5196
@enizetv5196 2 ай бұрын
😂😂😂 mjiga wewe umeolewa umeoa mhmh mfwate huko hatutaki sisi mama wewe kwenda mbizi wewe chefu matapeli nyia RAISI WANGU WA TANZANIAN 🎉🎉🎉❤❤❤USIKUBLI MAMA amfwate yeye Congo nenda haaaa
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx 2 ай бұрын
Yaani wewe badala ya kumtegemea Yesu unamtegemea kiboko ya wachawi!unafeli kweli,tafuta bwana mwingine tz.kama hutaki kwenda Congo.
@nuruosward8161
@nuruosward8161 2 ай бұрын
Kufanya kazi Ahaaaaaaaa kazi kusema Mume wangu ndo kila kitu kwangu mtapata tabu sanaaaaa acha kuwa tegemez
@AUGUSTINEKIBARU
@AUGUSTINEKIBARU 2 ай бұрын
Huo utapeli akafanyie congo huko
@AUGUSTINEKIBARU
@AUGUSTINEKIBARU 2 ай бұрын
Huyo kiboko ya wachawi alikuwa tapeli. Inatakiwa asirruhusiwe tena kufanya kazi hiyo au afanye kazi hiyo lkn asiruhusiwe kufanya miujiza ya uongo.
@Linaeugeni
@Linaeugeni 2 ай бұрын
Mume wako ndo Kila kitu kwako mh poleee sanaaaa .
@theophilluoga3717
@theophilluoga3717 2 ай бұрын
Hajakuachia mikoba endeleza ujanja wa mumeo km pana Mungu wa kweli hapo
@fransiscondyanabo9154
@fransiscondyanabo9154 2 ай бұрын
Nyie wezi watupu
@JoshuaMziho
@JoshuaMziho 2 ай бұрын
Mungu atafanya mama mungu wa baba yetu anajibu kwa wakati
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
😂😂😂😂 mungu yupi.
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
Amekimbilia congo akaiacha family yake. kuen macho mungu akupe ufaham kwa jina la yesu
@alexvenas2699
@alexvenas2699 2 ай бұрын
Hatuhitaji ombi lako ,hatumhitaji na akija haruhisiwi kujihusisha na kanisa
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 2 ай бұрын
Huyo ni wa kufungwa Jela km hajuwi amewaibia WaTanzania amedharau sana Uongozi wa Tanzania mpka amesababisha tuone Tanzania hatuna Uongozi kwa Wizi wa huyo mtu, ni Mwizi wa kufungwa jela hana hata aibu kujiongelesha mtandaoni ni kuendelea kuidharau Nchi yetu hawafwatilii kujuwa matendo yake.
@JacklineJames-g9p
@JacklineJames-g9p 2 ай бұрын
Kwani congo hamuwez kufungua kanisa mpka Mje tz afungue huko kanisani
@MonicaKaskaz
@MonicaKaskaz 2 ай бұрын
Matapeli wakubwa😊
@julianaclavery
@julianaclavery 2 ай бұрын
Usingle maather umetokea wapi tena,si umfate mumeo na mkaendeleze huduma huko Congo na watoto wataendelea kupata haki zao kwa baba yao
@EMMAMEDIA-h1c
@EMMAMEDIA-h1c 2 ай бұрын
Jamani tumchangie mama pesa aende kwa mumewe huko congo
@RamaBnice
@RamaBnice 2 ай бұрын
Na mini mama Samia Hana loho
@suzanambatta1126
@suzanambatta1126 2 ай бұрын
Ugumu wa maisha vipi si alikuwa anatuambia tutafute hela, mfuate mume wako congo sisi hatumtaki
@lethisiapatrice2481
@lethisiapatrice2481 2 ай бұрын
MTUMISHI Dominic ni tapeli hayo na mke atamwacha mzazi kisha atamfuata mumewe kisha enda Congo ukaishi huko👎unajitia unahuzuni wakati ni matapeli😡
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 2 ай бұрын
Amfuate mumewe kongo
@HildaMacharia
@HildaMacharia 2 ай бұрын
Mama ana binti yake
@HuseniMsumba
@HuseniMsumba 2 ай бұрын
HUYO TAPELI ASIRUDI TENA PUMBAF😮😮😮
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Ni Uchonganishi na Wivu tuuu wawachache wana wivu na huma ya Kijana iko juu acheni wivuu mupambane na majukumu yenu Watu wa Munguu Acheni ka.peni kwenye kazi ya Munhu
@JoyceShafii-u5l
@JoyceShafii-u5l 2 ай бұрын
Kama kweli anakupenda angekuchukua pole ulichatapeliwa na wewe acha kumsumbua mama ana mambo mengi mumetapeli vyakutosha na bado mtalipa kwa Mungu kila sent uliokula
@mengiiblahim4215
@mengiiblahim4215 2 ай бұрын
😂😂😂😂mumeo anatuhusu nni
@winnerlucas5924
@winnerlucas5924 2 ай бұрын
Si uende kongo nyooooo
@isabelaakaro2090
@isabelaakaro2090 2 ай бұрын
Arudishe pesa zet Kwanza afu asirudi tenaaaa kaishi huko congo
@rmimy
@rmimy 2 ай бұрын
Si umfuate huko Congo kwanini uwe singo maza, hata huduma anaweza fanya huko congo kwao
@mamachris6811
@mamachris6811 2 ай бұрын
Mfuate mumeo Mmenogewa na pesa za wizi ☹️
@Glatis0523
@Glatis0523 2 ай бұрын
Amfwate mumewe kongooooo sheria ipo wazi mwanamke ndio anapaswa kumfwata mumewe 😢
@boniphasjoseph3902
@boniphasjoseph3902 2 ай бұрын
Mlizo iba miaka yote hazikutoshi mfwate huko kwao yani unanikela mtu anadhalilisha jamani
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 ай бұрын
Jamani hata mwezi haujaisha ugumu wa maisha mamilioni yote ya pesa mmepeleka wapi mbona yeye mwenyewe kasema sisi tuendelee na maneno lakini maneno yetu hayafiki kwenye V8
@georgedeo3726
@georgedeo3726 2 ай бұрын
Mumewako anamtumikiashetani mwambie aokoke
@stevenhassan269
@stevenhassan269 2 ай бұрын
Kwendraaaaaaaa huko kwa tapeli mwenzio Congo
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 2 ай бұрын
Jamaa hatulitaki tapel tz lisije
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Mtu wa Mungu Nabii Domminic! kama unasoma sms zangu!! Mwanangu Naipenda huduma yako Mungu Akutetee sana na usitoe msaada tena waO langu . Fanya tu Kama Mungu alivyokuita Mungu akusaidie
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
Et mungu alivyo kuita daaah achen upuuz
@EdwardMkude-p3e
@EdwardMkude-p3e Ай бұрын
We nae umeshadanganywa naomba utulie alaaah!
@JamesJonas-it8hc
@JamesJonas-it8hc 2 ай бұрын
Ukiona Ivo hakupendi angekupenda angeondoka na wew
@WilliamNyanginywa
@WilliamNyanginywa 2 ай бұрын
MAMA YETU ANATAKA WATU WENYE MAADIRI 'NA HIYO MISAADA ALIYOKUWA ANATOA ALIJIPATIA KWA NJIA YA UTAPERI ' AENDE CONGO KWAO HUYO
@fatumaahamad6759
@fatumaahamad6759 2 ай бұрын
Wewe nenda Kwa mume kongo ukalee watoto waki
@LucyMbaga-f7n
@LucyMbaga-f7n 2 ай бұрын
Tapeli mkubwa huyo,atalipa hela za watu alixokula ma mtalipa kizazi cha kwanza mpk cha nne
@StellaPaul-et9df
@StellaPaul-et9df 2 ай бұрын
Kwa hiyo kiboko ndo amekupanga na maneno ya kuongea
@edgarmwaiteleke4572
@edgarmwaiteleke4572 2 ай бұрын
Aje kuchungulia chupi za washirika? Daaah siiamini
@farajangwema4663
@farajangwema4663 2 ай бұрын
Dada yangu mfuate memeo kongo, kwanini akuache Tanzania wakati yeye ni raiya wa kongo shida yako unataka mumeo aendelee kutapeli watanzania hata kongo anaweza kuanzisha kanisa sio lazima Tanzania
@fredyjohn9217
@fredyjohn9217 2 ай бұрын
Namimi alichukua pesa zangu 470000 mniludishie pesa zangu maana kaondoka hajalipa deni,,,we uliebaki nipe pesa zangu
@jafetzani8568
@jafetzani8568 2 ай бұрын
Mwizi ni mwizi tu kama mwizi mwingine.
@AzizaALSHIBLI
@AzizaALSHIBLI 2 ай бұрын
Nanda congo
@getrudekaniki5540
@getrudekaniki5540 2 ай бұрын
Jamani ...we ndo unatakiwa umfuate Mume wako ...yeye ndo kakuoa
@omanmobile5746
@omanmobile5746 2 ай бұрын
Wewe mama acha ushenzi mbwa wewe si uende Congo mkaombee vita iishe watu wanakufa huko mbwa wewe mama yako si samia😏😏😏😏😏
@julianaclavery
@julianaclavery 2 ай бұрын
Alikua wapi mda wote huo ambao mumewe anawadhalilisha wa Tanzania wenzae hd ajitokeze ss iv,huyu mama anataka kutuchumia dhambi tu..😊😊
@BaruaHassani-vt7lc
@BaruaHassani-vt7lc 2 ай бұрын
Sawa kwaiyo asamehewe ili aje apige mama zetu mateke ya jetilii
@farajapeasonmagota8226
@farajapeasonmagota8226 2 ай бұрын
Wewe wakati anawafanyia wengine ulikuwa huoni
@salustiamahushi5136
@salustiamahushi5136 2 ай бұрын
Kama kweli ni Mumeo si umfate alipo why tz
@AllanKabuga-k2d
@AllanKabuga-k2d 2 ай бұрын
Congo ndoo kwenu tz sio kwenu mkaanzishe congo kuna wachawi pia au huko wote kashaa waua? 😂😂😂😂
@PascalHermas-gg5dx
@PascalHermas-gg5dx 2 ай бұрын
Mbwa ww kafie mbele,,mlivyo watapeli watanzania mliona vzr,,mpumbavu ww unajiliza kinafiki,,kafie mbele
@rosesilayo53
@rosesilayo53 2 ай бұрын
Huyo ni mwezi nilifika kanisani nikatoa ladies kumwona nimeunga foleni nikafika muda wa kumwona akaniambia nitoe milioni moja aniombee nimeenda Bank kuchukuwa hela ya mtaji wangu nafika ananiambia ninatakiwa ninunue chumvi aketi moja lali mbili nikaoge jamani Mungu amlaani niliia sana na sikupona nikampigia simu akawa hapokei tena
@PriscaKaweka-ih8jp
@PriscaKaweka-ih8jp 2 ай бұрын
Mfuate congo si amekuoa au ulimuoa
@salustiamahushi5136
@salustiamahushi5136 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe tunawasi wasi sizani kama ni mtz
@RamiaMavengu
@RamiaMavengu 2 ай бұрын
Kabra ya kumuomba mama ebu jifanye wewe ndio yule mama aliekuwa akimpiga mateke au mchukue mama yako alale pale chini alafu ampige mateke jieshimu wewe dada njoo mm nitalea hao watoto sisi wanaume wa kitanzania uwa atuna makuu tunalea watot hata kama sio wa kutoka kwenye viuno vyetu
@abigaeljohn1742
@abigaeljohn1742 2 ай бұрын
toka zako apaa kama vipi mfate hukohuko kwao siumeolewa ww yani mtu mchafu arudi achafue jina la Mungu kwa masilahi yenu halafu uachwe tu kisa unamuhitaji nenda mfate huko aliko ss hatumtaki tapeli yulee
@AgnesRugoye
@AgnesRugoye 2 ай бұрын
S uende congo mwanamke anaamfata mume kwani mumeo Hana kwao?
@paulmnyanyi7039
@paulmnyanyi7039 2 ай бұрын
Yaan kwa jumbe zote hizi za lawama za watu. Yaan bora umfate congo na kingine unachokosea unaifundisha serikali Cha kusema. Kwahiyo serikali ilivyopeleka ujumbe unataka kusema HAIKU NA HEKIMA.??????!!!!... na congo wachaw wapo nendeni mkafanye biashara huko huwezi ingia mtaan upambane uhudumie familia.
@bahatimosha2235
@bahatimosha2235 2 ай бұрын
kwan ww ndo umemuoa au siumfate congo huku atumtaki tapeli huyo
@MarthaMilaj
@MarthaMilaj 2 ай бұрын
Pole mfate congo
@annaTemu-wx2rc
@annaTemu-wx2rc 2 ай бұрын
Zile.laki tano 500,000/= za kumwuna kisha ukiingia ndani kwake bado wanatumwa mamilioni,we unaona ni sawa ? Bonge mweusi alitutapeli wa crown msaidizi wake alitujibu jeuri sana na kutufungia vioo vya gari akiswa kashapokea hela na kututapeli,mfuate mumeo huko kongo
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx 2 ай бұрын
TOA UJINGA WEWE KWA KUWA ULITAPELIWA UNATAKA NA WENGINE WAENDELEE KUTAPELIWA!!MFUATE CONGO,PUMBAVU WEE, USIMSUMBUE MAMA SAMIA ANAMAJUKUMU MENGI.
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 2 ай бұрын
Sasa siumfuate mumeo jamani
@GodMziray
@GodMziray 2 ай бұрын
Hajafungiwa kanisa.kanisa linalomwabudu MUNGU wa kwel hakuna anaeweza kulifunga,amepata kinachostail.
@MhubiriIsrael
@MhubiriIsrael Ай бұрын
Sasa shemeji Yetu tukiangalia picha na clip za mumeo mbona anakuwa anaongea kwa jeuli sana, unaonekana una hekima sana na mstalabu ila mumeo anajialibia kwenyewe
@kassimmkangata
@kassimmkangata 2 ай бұрын
Yaan wewehushukulu kaludishwakwao je angefungwa kwa utapeli unge semaje? Yaan mamayetu msitarabusana aysey kwingine ange tupwajela
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 2 ай бұрын
Huyu mwanamke hajitambuwi huyo Mume wake ni wa kufungwa jela kabisaaa !!!! Akirudi Tanzania Polisi wamuweke pingu moja kwa moja mahakamani safari Segerea au Ukonga !!!!! Amedharau sana Nchi yetu huyo Mwizi.
@evamhufu7698
@evamhufu7698 2 ай бұрын
Kama umeolewa mfuate mumeo. Yaani wamuombe ajirekebishe na wizi huo. We nenda tu
@MiriamKimboi
@MiriamKimboi 2 ай бұрын
Mwambie mmeo akutumie nauli uende kongo mmeo nitapeli anatumia kivuli cha dini na injili nyuma yake anatapeli watu ungekuwa mke mwema ungemwambia achee kutapeli na hiyo mwiujiza ya mchongo serekali sio jinga hata ikamfungia huyo mmeo mbona wakina mwamposa na yule wangomeni na wengine hawajafungiwa tambua mmeo ni tapeli tu
@abigaeljohn1742
@abigaeljohn1742 2 ай бұрын
ulivo hunaakili uani ww badala yaMungu kua kilakitu kwako unasema mumewako ndio kilakitu kwako unaona ulivo kua huna akili nenda mfate huko aliko ss hatumtaki
@EMMAMEDIA-h1c
@EMMAMEDIA-h1c 2 ай бұрын
Sio mtanzania ni mkongo mbona unatulazimisha
@julianaclavery
@julianaclavery 2 ай бұрын
Mbona kipindi anadhalilisha watu hukutokea
@Glatis0523
@Glatis0523 2 ай бұрын
Ambao tulikua hatun izo 10k za sadak ndio hatuombewiii hahaha mfwate mkatoe huduma kongooo
@MdaluLipanda
@MdaluLipanda 2 ай бұрын
mfwate congo
@GodfreyMagembe-yw9or
@GodfreyMagembe-yw9or 2 ай бұрын
Nyie matapeli acha kuomba msamaha kinafik wewe
@OchuuKilimba
@OchuuKilimba 2 ай бұрын
Mlivyotutapeli inatosha. Mfate Congo matapel nyieee
@RamaBnice
@RamaBnice 2 ай бұрын
Mana hakuna hasiyee Koseya mama tunakuombaa mama
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 2 ай бұрын
Kwenda zako wewe hata YESU hujuwi hufahamu kabisa habari zake hujitambuwi kuwa wewe ni Mpumbavu sana.
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Ni fitina Wala Mamsetu sio Mbaya ni baazi ya wachonganishi
@ElishaMasele-q6c
@ElishaMasele-q6c 2 ай бұрын
Kwa hiyo hao wanao ndiyo mwamvuli wa kutapelia watanzania? Hata hivyo biblia inaeleza wazi kuwa mwanamke atamwacha babayake na mama yake name ataambatana na mumewe, nenda Kongo na watoto wako.
@SebastianNgimba
@SebastianNgimba 2 ай бұрын
toka hapa nyie ni matapeli,wewe kwasehemu kubwa inaonyesha wewe ndio mshaur wake,nenda huko kongo aliko mataper kwa injili mnawanyanyasa watu wenye shda
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
Congo ndio ndio kwako enda uko wewe.
@Shija-g4m
@Shija-g4m 2 ай бұрын
Mumeo abadilishe kaz .. Tanzania haina roho mbaya hy.
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 2 ай бұрын
Uso wake ataweka wapi huyo pesa za watu alizochukuwa !!!???? Mbona mnachukulia kirahisi rahisi pesa za watu anawarudishiaje !!!???
@GeorgeSagumo
@GeorgeSagumo 2 ай бұрын
Ameliza sana watu alikua anamwaga feza hajakuachia pesa
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 2 ай бұрын
He is a thief. Mwizi siyo mtii We don’t want thieves Tapeli ni tapeli na mwizi ni mwizi Amekuja toka Congo kuja kuiba, hatutaki arudi Acheni wivu na Wewe ni mwizi
@WilliamNyanginywa
@WilliamNyanginywa 2 ай бұрын
Ukiona congo huwezi kwenda kumfuata mmeo basi uolewe tu hapahapa tu utalelewa vizri pesa halali zipo kama unafanya kazi
@cutealaufy9508
@cutealaufy9508 2 ай бұрын
Wewe mwanamke kama mume wako kakuowa simulate kongo kwani lazima uishi nae hapo tanzania mtu akiolewa humfata mume so wewe mfate kwao konga sio lazima arudi Tz kwani lazima Tanzania? Sihata congo watu wapo wanaohitaji msaada akasaidie kwao huko
@RamaBnice
@RamaBnice 2 ай бұрын
Mama Samia yeye ni mamayetu hata msamehee
@lydiadaudi4076
@lydiadaudi4076 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@JesusJesus-ny1sm
@JesusJesus-ny1sm 2 ай бұрын
Amsamehe Mwizi !!!? Hizo pesa zote alizowachukulia wa Tanzania Mama Samia akamchekeee !!!!!? Hujachukuliwa pesa wewe unalopoka tu !!! Wewe na huyo Mchungaji wako mkafungwe Jela pumbavu sana !!!! Hujielewi upo wapi na humjuwi YESU yukoje !!!!
@clemensialuziga
@clemensialuziga 2 ай бұрын
Umfate huko, wewe si umeolewa na sheria tulizokuta ni mke kumfata mume!
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
Mfuate uko uko kwao ndio kwako uliolewa wewe cio mtanzania tena mama
@NoelKomba-s9d
@NoelKomba-s9d 2 ай бұрын
Usitete upuuzi wewe mama
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 2 ай бұрын
Hauna akili wewe!unamuomba Mh amrudishe tapeli?nenda huko alipo mkaendelee kutapel
@omanmobile5746
@omanmobile5746 2 ай бұрын
Anaheshima gani kutukana watu nenda kongo mshenzi wewe na huyo tapeli mpaka mikorogo😏😏😏😏
@lewismpangala927
@lewismpangala927 2 ай бұрын
Get out of here
@angelmalima6091
@angelmalima6091 2 ай бұрын
Acha uongo wewe dada mfate kongo mkahuburi kule hatuwatakiiiiii Tz
@marymwaya9685
@marymwaya9685 2 ай бұрын
Yaaani wewe unamtuhumu Rais amemfukuza mumeo. Alafu tune yako ya kikongo na pia mmfuate mumeo kwa mumeo kwako sio lazima uishi naye tanzania. Mpelekee watoto wake kongo.
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v Ай бұрын
Mfuate congo hatuwataki matapeli wakubwa nyie
@MwadawaSaidi
@MwadawaSaidi 2 ай бұрын
Wewe mfate kule kwao Congo , kama unampenda kweli 😂😂😂embu acheni utapeli nyie nendeni Congo we si umeolewa au umeoa 😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
Mbwa nn mfate bwana Yako
@EdithaEmma
@EdithaEmma 2 ай бұрын
Ww fata mme wako hatutaki vibaka
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 88 М.