KABLA YA KUWEKEWA SUMU MAKONDA ALITUMIWA WATU WAMUUE | CHANZO NI KUHARIBU MIPANGO YA WAKUBWA

  Рет қаралды 23,181

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
MUNGU TENDA MIUJIZA YAKO WEWE NDY UNAJUA YOTE. KM KUNA WATU WANAKUWAZIA MABAYA BASI YAWAPATE WAO NA FAMILIA ZAO ZIKAKAE KWA MATESO AMINA
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 2 ай бұрын
Mna hila nyingi moyoni mwa binadamu, lakini shauri la bwana ndilo litakalosimama, Amen
@Elizabethmwanga-y5e
@Elizabethmwanga-y5e 2 ай бұрын
Mungu akupinganie
@queenolais2098
@queenolais2098 2 ай бұрын
Jamn makonda wetu mnataka kumuua kama magufuli kisa anawaambia ukweli mungu mponye makonda wetu jaman tunampenda❤ sana kuliko
@chrispinmalongo8868
@chrispinmalongo8868 2 ай бұрын
Mwenyez Mungu akulinde makonda
@msalice4451
@msalice4451 2 ай бұрын
❤❤❤❤ sisi tunamtaka makonda aonekane mbona selikali hamsemi makonda Yuko wapi
@EltonKivuyo-cv2gq
@EltonKivuyo-cv2gq 2 ай бұрын
Makonda kaka nakuelewa sana Mungu akuponye na hayo yote ninayoyasikia
@abdulgwelo7150
@abdulgwelo7150 2 ай бұрын
Pole brother tetea haki bwana atakulinda
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 ай бұрын
Wew ni MTU NA NUSU, BIG UP!
@StevenNyanguye
@StevenNyanguye 2 ай бұрын
Mungu tumalizie utata huu huyu mtu apatikane
@sofiaothman2948
@sofiaothman2948 2 ай бұрын
Yaani mnazidi kutuumiza zaidi
@philoteuslwena3082
@philoteuslwena3082 2 ай бұрын
Hv mnajuwa kweli tunavyoumia?? Pumbavuu tunamtaka MAKONDA. WETU
@MsAggie5
@MsAggie5 2 ай бұрын
Inasikitisha sana. Mungu ingilia kati
@faidiapanja9557
@faidiapanja9557 2 ай бұрын
Mungu,mkono wako haukupunguka hata usiweze kuponya kwa mara hii tu jidhihishe kwa taifa hili ili watu wajuwe kwamba wewe ndiye unayemiliki na kutawala ktk falme zote,Mtetee Makonda kama ulivyomtetea Daniel maana bado tunamhitaji
@GABRIELNGERECHA-jn2fi
@GABRIELNGERECHA-jn2fi 2 ай бұрын
Tusubili wamesema yupo likizo,time will tell
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 2 ай бұрын
Jamani hao majambazi sio watu wazuri mpka makande ya watoto tna wamekula😂
@HaulSidney
@HaulSidney 2 ай бұрын
Nchi hii watetezi wa haki za wananchi wanauwawa,kwa na ninyi hamtakufa!!!
@vedastoerasto
@vedastoerasto 2 ай бұрын
Ukiambiwa jambo litafakari usicheze na mwanadamu
@JumaJoseph-tj5rb
@JumaJoseph-tj5rb 2 ай бұрын
Bila hivyo watu waovu watazidi kuongezeka
@JumaJoseph-tj5rb
@JumaJoseph-tj5rb 2 ай бұрын
Mungu yupo na shetani yupo kikubwa ni umakini wa hali ya juu ndio tunaweza kuishi au kikubwa ni kuwaua watu wabaya kuwafunga tu haitoshi tunatakiwa tuwe na sheria kama za china
@jacquelineswai602
@jacquelineswai602 2 ай бұрын
Kila Silaha itakayoinuka juu yako haitafanikiwa kamwe
@JohnFrancis-h7q
@JohnFrancis-h7q 2 ай бұрын
Duu
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 ай бұрын
Tunaenda KANISANI kusikia maneno MATAKATIFU ya kweli KIIMANI Inaumiza sana habari hizi lakini habari hizi mbona kama hazieleweki ukweli ulipo maana ni kama habari na ni kama masimulizi yasiyoeleweka LENGO hasa ni lipi ?
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 2 ай бұрын
Mfumo wa utawala wa ccm na serikali yake ni mbovu hii ni kazi za kimahakama je bashite ni mwanasheria?
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 2 ай бұрын
Hivi Kwa Nini ninyi mnatuletea crip za zamani
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
alewa dada makonda sasa ivi haonekani mahali hálito ndio mahana wameleta hii clip ili usikie vile alikua anasema kuhusu usalama wake vile anatafutwa na.watu wamwangamize
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 2 ай бұрын
Mh kuwa mpole Kama jpm wamemuweza watashindwa wewe?huu niutawala wa kizalim
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Aliye mrisha ni mtu wa karibu yake
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 2 ай бұрын
ukweli mtu atoki mbali atamfikia aje? kikoracho kiko mwongoni mwako.
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 108 М.
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 14 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,8 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
MAPYA KUHUSU SAKATA LA MAKONDA, DUDU BAYA AWASHA MOTO
9:49
Mbengo Tv
Рет қаралды 83 М.