Kusalitiwa au kugeukwa ni mbaya Sana na inauma Sana..naijua iyo ..nimbaya Sana ukiipitia haswa kwamtu uliempenda nakumuamini...Yani unakuwa na mpenzi au rafiki alafu unamuamin alafu kumbe anakutumia tu baada ya kupata anachokitaka tu anakuacha nimbaya Sana na inauma sana
@jamilanassor58364 ай бұрын
Shukran ALLAH atakulipa naww kwa kazi yako hii
@yusufuheri65242 ай бұрын
Mashaalah ya madam layla
@Ashoora25 ай бұрын
Mashaa'Allah ahsante Jazzakum'llah kheri ❤
@dulasele-ud8cw5 ай бұрын
Tatizo wengi wetu tunawowana aliakua atuna ofu na mwz mungu na atuna elimu na ndoa atuwezi kujikinaisha nafsi zetu
@samiahjmtegeta22705 ай бұрын
Jazzaka Allahu khayra!!
@mrmahmoud12785 ай бұрын
hii umekuja tofauti nimeipenda ❤ ingawa inampa nafasi mtu kukuliza tena
@Shadia5445 ай бұрын
Wlykm mslm madam leila asante kwa ukumbusho kipenzi chetu ❤❤❤tupo pamoja madam ❤❤❤
@a.8565 ай бұрын
Jazakallah khayran
@Muharram-c5n5 ай бұрын
Baaraka llahu fik ukhti
@hamadimwinyi21465 ай бұрын
Kwa mwanaume natural alivy umbwa kumsameh mwanamke msaliti ni ngumu