1 - NEEMA YA MUNGU INAVYOKUJULISHA NA KUKUONDOLEA KILICHOKUKWAMISHA || Mwl Christopher Mwakasege.

  Рет қаралды 70,820

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 98
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 2 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏 Mungu wambinguni afungue fahamu zetu tuelewe namaandiko natutembee katika Neema ya Kristo Yesu.
@angelsinkara7786
@angelsinkara7786 9 ай бұрын
Mungu wa mbinguni, ninakushukuru kwa kunipa nafasi ya kushiriki katika baraka hii, ninakurudishia sifa na utukufu, Mungu naomba kibali katika biashara ninayoifanya, Mungu ninaomba kufunguliwa na kupata kibali machoni pa wateja, Mungu ninaomba uongoze wewe na mimi nikufuate, Mungu ninaomba baraka zisinipungukie, Mungu ninaomba unifungulie milango ya mafanikio, katika jina la Yesu ninaomba nisikie maelekezo yako ili nifanikiwe, Mungu ninaomba unibariki na unifungulie katika njia niipitayo katika jina la Yesu, Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@crispinankya3843
@crispinankya3843 9 ай бұрын
Waandaji muweke fan au ile moveable AC madhabahuni mwalimu anateseka na joto, Mungu awabariki
@janemtoma1082
@janemtoma1082 9 ай бұрын
Ni wazo zuri ila inakausha sauti haifai
@marryhebron6185
@marryhebron6185 9 ай бұрын
Maoni mzuri mpendwa naunga mkono
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 9 ай бұрын
Mwl huwa hataki hivyo vitu vya baridi
@RhapsodyofRealities12
@RhapsodyofRealities12 9 ай бұрын
Pia unaweza ukatoa kama sadaka mbele za Mungu
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 8 ай бұрын
Asante YESU kwa neema hii niliyo ipata kupitia mtumishi wako mwalim Christopher Mwakasege najifunza mengi kupitia yeye,Mungu umtunze kwaajili yetu na yako.🙏🙏
@benadethamlay3395
@benadethamlay3395 3 ай бұрын
Wewe ni Mungu unaeishii Baba pita na nguvu zako Bwana pita kwenye usahihishwaji wa mitihani yangu
@benadethamlay3395
@benadethamlay3395 3 ай бұрын
Eeh Mungu naomba Neema yako kwenye Elimu yangu eeeh Baba Neema yako inikumbuke 2024
@DINAIBRAHIMU
@DINAIBRAHIMU 7 ай бұрын
Nakushukuru Mungu kwa kibali hichi na nafasi ,nakuomba Mungu ukumbuke maisha yangu na familia yangu
@jakylinedeogratias7597
@jakylinedeogratias7597 8 ай бұрын
Asante Mungu kwa uamsho huu kwenye maisha yangu 🙏
@MenasNdunguru
@MenasNdunguru 8 ай бұрын
naomba neema ya Mungu iniondolee kila kilichokwamisha maisha yangu kwa jina la Yesu
@DaudiGutta
@DaudiGutta 9 ай бұрын
Mungu atusimamie tuishie mwisho mwema.
@kiangoneema2979
@kiangoneema2979 9 ай бұрын
Neema ya Mungu ni kuu mno
@VickyPaul-ej5tm
@VickyPaul-ej5tm 8 ай бұрын
Ubarikiw sana mwalimu
@marygemela8076
@marygemela8076 9 ай бұрын
Neema ya Mungu iniondloe kila roho za urithi mbaya kwa jina la Yesu
@DeboraNgwavi
@DeboraNgwavi 8 ай бұрын
Mungu azidi kuinua huduma yako na watenda kazi pamoja nawe.pia uendelee kulindwa na Mungu.
@josephjoseph8595
@josephjoseph8595 8 ай бұрын
ansante mungu azidi kumwinua
@KastoKivamba
@KastoKivamba 9 ай бұрын
Mungu aendelee kukutunza mtumishi na kukupa neema ya kunyenyekea kulitumikia kusudi lake hapa duniani.
@selemanjames8190
@selemanjames8190 9 ай бұрын
Mungu aendelee kuwatunza neema yake iendelee kuwafunika siku kwa siku,Mungu atukumbuke shy amen
@rachelmasaju3434
@rachelmasaju3434 9 ай бұрын
Mungu namuweka Brayden kwny madhabahu hii awe kuongea kiurahis awe kuniita hata mama fungua kinywa chake baba mfanye kichwa
@glorymosi23
@glorymosi23 8 ай бұрын
Bwana Yesu naungana na mama huyu katika imani nikiomba umjibu hima, Amen
@rachelmasaju3434
@rachelmasaju3434 9 ай бұрын
Mungu ahsante kwa huu uamsho ulionipa mungu azidishe baraka kwny ujenzi
@magrethjoseph4610
@magrethjoseph4610 9 ай бұрын
Asante Yesu Neema Yako itembee nami !
@wemawestern1971
@wemawestern1971 9 ай бұрын
Neema ya Mungu naomba iniondolee Kila kitu kilichokwamisha maisha yangu kusonga mbele nataka Kila silaha itakayoinuka juu yangu kinyume changu isambaratike Leo sasaivi Kwa Damu ya Yesu kiristo Amen
@Neema-wy4mh
@Neema-wy4mh 9 ай бұрын
Babakatika jina la Yesu kristo. Nimekuja tena kwa upya nimeitika..nimekupa maisha yangu yote mda wangu wote. Ww ujuwaye mioyo ya watu soma moyo wangu sasa. Ni kwa neema tu
@ChristinaHaule-gg1rt
@ChristinaHaule-gg1rt 9 ай бұрын
Ili somo la neema toka mwanzo linaanza.. God is answering my questions
@neatnessmwanga8653
@neatnessmwanga8653 9 ай бұрын
Neema ya Munhu yatosha! Neema ya Mungu imenifunika!
@adkajisi4536
@adkajisi4536 8 ай бұрын
Mungu uliye hai fufuka nami kupitia pasaka hii, masomo Yangu yanapitia changamoto e Mungu ninyenyue mwanao
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 9 ай бұрын
Ee Mungu naomba neema yako katika Kaz yangu kwani imekuwa ngumu mmno mateso manyanyaso 😢😢BABA naomba nisaidie 🙏
@jemicit
@jemicit 9 ай бұрын
😢 Pole mpendwa
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 9 ай бұрын
USJALI 😢 my dear MUNGU hufanya njia pia huanzia tunapoona tumefika mwisho, na yeye anajua mawazo atuwaziayo AMINI NA UKIRI USHINDI BILA KUJALI HALU YASASA
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 9 ай бұрын
Ee Mungu naomba anitengenezee Tena fursa nyingine yenye mafanikio 🙏
@StephenBarasobian
@StephenBarasobian 9 ай бұрын
Eee Mungu katika jina la Yesu Kristo endelea kutunza huduma hii
@rachelmasaju3434
@rachelmasaju3434 9 ай бұрын
Nashukuru mungu kwa huu uamsho uliotoa kibali cha kuniruhusu niweze kuama kanipe viongoz wazur uko ninapoenda mungu amen
@evalinemchele6577
@evalinemchele6577 9 ай бұрын
Mungu awabariki sana baba na mama Mwakasege kwa semina hii nzuri tunamtukuza Mungu sana
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 9 ай бұрын
Mungu ATUSAIDIE kuukomboa wakati
@EliazeliAbely
@EliazeliAbely 9 ай бұрын
Mtumishi ubarkiwe sana , binafs nmeanza kukusikiliza seriously tangu 2016, na kupitia marifaa ya Mungu ndan yako nmemuona Mungu akinivusha mahali. Na kuna kpnd nilikuota ukinishka mkono na kuniambia nigeuke nikufuate , japo hiyo ndoto sikuilewa kwaundan zaid
@Kidsclothesforall
@Kidsclothesforall 9 ай бұрын
Fuatilia hiyo ndoto
@samwelrobeth7763
@samwelrobeth7763 8 ай бұрын
Weka jitihada kwenye maombi kuombea hiyo ndoto na Mungu atakufunulia kile alichokusudia ndani yako
@GwamakaAmosi
@GwamakaAmosi 9 ай бұрын
Neema ya Mungu iendelee kuwa nanyi watumishi wa ibada hii
@EgibertDamian
@EgibertDamian 9 ай бұрын
Asante yesu
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 9 ай бұрын
Amen God bless you and all your kids are so much ❤️🥰👏🏼🙌🏼🔥🔥🙏🏼🙌🏼🙌🏼🔥🔥 🤲🤲👏👏👏👏🙌🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🤲🏼👏🏼🙏🏼
@werasiakiwelu1840
@werasiakiwelu1840 9 ай бұрын
Asante Yesu. Kwa ufunuo huu kutambua Neema ya Mungu inavyoweza kutusaidia kuvuka ubarikiwe mwalimu kwa somo zuri
@lukundoshemu431
@lukundoshemu431 9 ай бұрын
MUNGU akubariki sana tunapata madini🙏🙏
@aksantimirindijohn3415
@aksantimirindijohn3415 9 ай бұрын
Asante sana mwalimu kwa mafundisho. Nime barikiya sana
@AntipasElisha
@AntipasElisha 9 ай бұрын
NEEMA ya Mungu unisaidiee
@tinnielmkongo8122
@tinnielmkongo8122 9 ай бұрын
Baba wa Mbinguni naomba amani ya moyo. Amina
@marystellakisanga7341
@marystellakisanga7341 9 ай бұрын
Mungu awabariki na awalinde Watumishi wa Mungu wetu aliye hai
@marianamrosso795
@marianamrosso795 9 ай бұрын
Mnaorekodi jamani tuongezeeni sauti huku wa mtandaoni sauti ndogo sana i wish isikike vizuri
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 9 ай бұрын
Mungu zaidi kuwatia nguvu.
@StephenBarasobian
@StephenBarasobian 9 ай бұрын
Mungu awape nguvu
@Neema-v4q
@Neema-v4q 9 ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 9 ай бұрын
Neema ya Mungu iende nasisi
@rachelpeter87
@rachelpeter87 9 ай бұрын
We Mungu asante kwa cha kula cha Uzi ma na maelekezo yako. Naomba neema yako inikwamue nilipokwama. Mungu akubariki Mwl
@janethEmmanuel-n8h
@janethEmmanuel-n8h 9 ай бұрын
NAKUITAJI YESU
@nicomalle4442
@nicomalle4442 9 ай бұрын
Neema ya Mungu yatosha..Mungu awabariki
@makhobiomondi4156
@makhobiomondi4156 9 ай бұрын
Yesu wa wastahili wewe pekee
@sarahbrasio6690
@sarahbrasio6690 9 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@fideamtenga212
@fideamtenga212 9 ай бұрын
Nilimpokea roho mtakatifu kupitia wewe.. Nikikufuatiia kwenye radio nyumbani😊
@ABELMULIBO
@ABELMULIBO 9 ай бұрын
Ameen Amen
@jacksonmmari2847
@jacksonmmari2847 9 ай бұрын
Mungu azidi kutunza huduma hii
@DeborahSamson-m7z
@DeborahSamson-m7z 9 ай бұрын
Haleluyaa glory to God
@fredyjohnson8384
@fredyjohnson8384 9 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 hallelujah
@ebenezatv765
@ebenezatv765 9 ай бұрын
MUNGU mwema asante kWA Neno
@sayunimnyone-gy1pu
@sayunimnyone-gy1pu 9 ай бұрын
MUNGU awatunze watumishi
@elishambise-qz1cx
@elishambise-qz1cx 9 ай бұрын
amen
@godfreylyimo4757
@godfreylyimo4757 9 ай бұрын
Thank you Jesus
@LucyLwiva-h9l
@LucyLwiva-h9l 9 ай бұрын
Amina mtumishi
@Jacklinemkanya
@Jacklinemkanya 9 ай бұрын
Ameeeen
@massabanestory1624
@massabanestory1624 9 ай бұрын
Sauti iko chini🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
@JoshuaHilgath
@JoshuaHilgath 9 ай бұрын
Amina
@HawaMwakatobe-y2w
@HawaMwakatobe-y2w 9 ай бұрын
ameen
@queenmollel5163
@queenmollel5163 9 ай бұрын
Thank you Holy spirit ❤
@witnessakubu5530
@witnessakubu5530 9 ай бұрын
Amen 🙏
@judyngowi391
@judyngowi391 8 ай бұрын
Fan ipo nadhani
@AgnesAgustine
@AgnesAgustine 9 ай бұрын
Ameni
@sekelabenard
@sekelabenard 9 ай бұрын
Ameen 41:31
@jc_cakes
@jc_cakes 9 ай бұрын
Sio sukali ni sukari
@alumelindamsigwa
@alumelindamsigwa 9 ай бұрын
🙏🙏🙏
@jastinnkya
@jastinnkya 9 ай бұрын
Amin sana 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MaryamMaryam-e1w
@MaryamMaryam-e1w 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana naomba nipatenamba yako ya wasap maana niko nje ya nchi izo namba ulizotaja sizioni wasap
@magetemu
@magetemu 9 ай бұрын
Amen and amen 🙏
@EgibertDamian
@EgibertDamian 9 ай бұрын
Mapenz Yako yatimize
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 9 ай бұрын
ANAYEKULA MAVUNO YAKO, ANAKULA MUDA WAKO
@MwaminUrio
@MwaminUrio 9 ай бұрын
Nikitokea ubungo nakujaje kwenye mahubiri
@emmanuelnyambuka951
@emmanuelnyambuka951 9 ай бұрын
MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA HUDUMA HII. HAKIKA UTUKUFU NI WA MUNGU
@theopistamwayeya1764
@theopistamwayeya1764 9 ай бұрын
Ee Yahweh ningekuwa wapi bila wewe.
@FrankjaphetAnan
@FrankjaphetAnan 7 ай бұрын
Amina
@joelkimario42
@joelkimario42 9 ай бұрын
Asante yesu
@barakamapasa2947
@barakamapasa2947 8 ай бұрын
Amen
@victoriaramadhan8133
@victoriaramadhan8133 9 ай бұрын
Amen Amen and Amen
@NeemaMachangem
@NeemaMachangem 8 ай бұрын
Amen Amen
@marymfoi9349
@marymfoi9349 9 ай бұрын
Asante Mungu
@NeemaMachangem
@NeemaMachangem 8 ай бұрын
Amen Amen Amen
2 - NEEMA YA MUNGU INAVYOKUJULISHA NA KUKUONDOLEA KILICHOKUKWAMISHA  || Mwl Christopher Mwakasege.
3:18:22
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 50 М.
4 -KUONDOA MAZUIO YA KIROHO YANAYOKWAMISA KIPATO CHAKO  || Mwl Christopher Mwakasege || Mwanaza 2023
1:28:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 71 М.
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 11 МЛН
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
Truc ly 3. Minh trang nhạc song
3:43
Minh trang nhạc sống
Рет қаралды 338
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 58 М.
Fahamu Kuhusu Vita Vya Kiroho|| PASTOR GEORGE MUKABWA || 27/10/2024
2:42:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 27 М.
MWL MWAKASEGE, APEWA ZAWADI YA HESHIMA NA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA.
21:31
The Bible Society of Tanzania
Рет қаралды 16 М.
ADUI WA NJIANI | BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA | 24.04.2022
2:24:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 81 М.
1. KUONDOA MAZUIO KATIKA MIFUMO YANAYOZUIA  KUFANIKIWA KWAKO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
2:35:11
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 48 М.
IJUE SAUTI YA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA 26/09/2024
1:38:12
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 40 М.
#UKIJUA SIRI HII OMBA LOLOTE |PR.DAVID MMBAGA|
1:21:18
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 62 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
1:21:14