All the way from Saudi Arabia nimemuona Mungu akinihudumia tangu nijue hii familia ya mana🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦❤️
@mechuwa3951Ай бұрын
Nikiwa na mawazo yakuniumiza kichwa nakusikiliza mwalimu najukuta nasahau Kila kitu ghafla nafsi yangu inajawa AMANI Asante Yesu
@manyandatimoth7Ай бұрын
Tupo wengi
@JoyceNdunguru-lg1ugАй бұрын
Kweli kabisa ,,ATUKUZWE MUNGU MILELE YOTE.🙏🙏🙏
@joyceallan2758Ай бұрын
Mungu Asante kutupa huyu baba na mama Tanzania, uwalinde na kuwatunza
@elijahmwangombe9609Ай бұрын
Nabarikiwa na mafundisho ya mwalimu Christopher nikiwa Nyali Mombasa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
@gadasaSaidАй бұрын
Asante mwl Christopher mwakasege kwa mafundisho Yako mazuri unanifungua sana kiroho
@teddymhenga3006Ай бұрын
Asante sana ee Mungu Kwa upendo na huruma Yako kwetu. Kweli unatupenda sana nasi tupe mioyo ya kukupenda na kuwa wasikivu. Ibariki huduma ya MANA.
@gracy05fulАй бұрын
Asante YESU, ibilisi hakutaka nisikilize hili somo siku ya day 1, lakini Roho wako aliye mwaminifu ameniwezesha kulisikia leo, siku nne mbele. This was my portion! Sifa na utukufu zikurudie wewe peke yako Bwana. 🙏
@MariaElisante-w4xАй бұрын
Amen mungu na azidi kutukomboa kutoka katika mifumo ya nguvu za giza
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Yesu tusaidie 🙌 Tatizo sio neno ,ni rorho ipi imebeba hilo neno
@HellenDaudi-rt8olАй бұрын
Na ni Neno sio neno
@user98771Ай бұрын
Powerful asante Roho Mtakatifu...somo hili limefungua wengi
@JudithKibeleАй бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@SarahJilalaАй бұрын
Ameni baba MUNGU akutunze ❤❤❤❤❤ sana wewe na mama mungu amewaita kwa ajiri ya Tanzania 🇹🇿
@grolyjosephat8263Ай бұрын
Asante baba kwa mafundisho mazuriii Mumgu akulinde na kukupa afya njema
@RosemaryYohana-m8o12 күн бұрын
Eee Mungu wabariki watumishi wako
@OswardMsolaАй бұрын
Mungu akutiee nguvu mtumishi uzidi kutufunza tuzid kukua kiroho..
@JeniferMseleАй бұрын
Amen ubarikiwe sana baba Mungu akulinde
@esteredmund7053Ай бұрын
Mungu azidi kukujalia afya njema uzidi kuhubiri habari njema za Yesu kristo
@ndiwelamsanga6190Ай бұрын
Thank you Jesus we love you thank you for redemption ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ErnestSaileniАй бұрын
Yesu siku utakapo ludi kuja kuchukuwa wateule wako na mimi usiniache nakuomba...🙏🙏🙏
@harsonsindeu115625 күн бұрын
Niombee nifanye KAZI ya Mungu
@JeniferMseleАй бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@GelishomtvАй бұрын
Ameen God bless
@LucasGara-r5xАй бұрын
Baba mimi nipo boda ya zambia na kongo napitia maribu mpaka sielewi sasa iviwamenitumia pepo mauti nipo kwa watu nimekimbia hata ninapo kaa naomba maombi yko baba nakuomba
@godblesskaonekaАй бұрын
Mungu akubariki mwalimu
@funnymoments9611Ай бұрын
Nakupenda baba mungu akubariki sanaaa❤❤❤❤
@HerriOmariАй бұрын
Glory be to the God
@ANNAMBWANAKOO-nh9kiАй бұрын
Exactly God uabudue umwema
@mamsaramamassawe.4797Ай бұрын
YESU Wewe Waweza Bwana
@angelinajovine389028 күн бұрын
Asante❤
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
Mifumo wa ndoa😢🙌🙌Yesu nakushukuru Kwa kuyasikia haya na sijaolewa bado
@beatricesalvatory1100Ай бұрын
Asante. Mungu
@Maua-y2cАй бұрын
Ameeeen 🙏❤
@ernestbutagalalaАй бұрын
Amina baba kwa neno
@Wanduta-z6iАй бұрын
Barikiwa sana baba kwa mafundisho mazuri na Mungu wa mbinguni akubariki...
@meshackmahrina1492Ай бұрын
Roho Mtakatifu 🕊️🙏🏿
@Pearlarthur1Ай бұрын
Ahsante Yesu
@user98771Ай бұрын
Kumbe mapepo yanasmamia mifumo ya giza na kupata uhalali.Damu ya Yesu tunaimimina kwenye mifumo yooote ya familia afya matumbo ya uzazi elimu biashara ndoa nafsi zetu
@SELEMANJOHN-y5nАй бұрын
Mungu abariki Kaz yake
@EstaCharles-m3dАй бұрын
AMEN
@monizotunes2099Ай бұрын
🙏
@neemabakari9223Ай бұрын
🙌🙌🙌🙌
@laita8218Ай бұрын
Ameeen
@GiftNgodaАй бұрын
najiunganisha na myngu anae hudumia watu wake katika uwanja huu
@christinewomanoffaith5479Ай бұрын
😂😂😂nacheka km mazuri Ss SI tutakufa tumefungwa sn 🙌