(2017)SDA vs Full Gospel Denominations

  Рет қаралды 26,604

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 10 ай бұрын
Kazi ya waislamu walahi ni kupinga ukweli sasa imebidi niokoke kirahisi hivi, Asante Ndacha na Hakina Onyango sasa nimejua ukweli wa mlango wa MBINGUNI. Na kanisa sio jengo Wala msikitini 🤔
@financialloan9818
@financialloan9818 6 жыл бұрын
Daaah Asante kwa kua mkiristo💋💋
@eutyquan9091
@eutyquan9091 5 жыл бұрын
first of all i thank whoever take his time to post these useful videos, many of you take this for granted but what should come in your minds is that we are all going to die. since we are all going to die we need to find a right path to rich Our creater, as a human seeking for the truth i always listen to both sides regardless to their religion. a question came and it was asked by that muslim guy that where in the bible did Jesus enter The church as a building ? if it is not there then dont argue accept and we shall choose.
@dawebuno7433
@dawebuno7433 5 жыл бұрын
indeed truth will free
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@dawebuno7433 Thank you so much for your response but am sorry for not replying sooner it's because I didn't see it
@mirukadauglas-thegospelwor4158
@mirukadauglas-thegospelwor4158 2 жыл бұрын
I want to reply humbly to your questions, read mathew 24:1-6, After he was done from the temple he stood outside the temple. If you didnt ask to criticize the religion, there is a plain answer to the questions
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 2 жыл бұрын
@@mirukadauglas-thegospelwor4158 paramount comrade 🙌
@mirukadauglas-thegospelwor4158
@mirukadauglas-thegospelwor4158 2 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 To be honest Islam and whatever they call their Koran is a tale and any message cannot save a soul. Muslims have gone ahead to twist or invert bible truths to suit their demands to convert many into their darkness.
@allymbaruku6930
@allymbaruku6930 5 жыл бұрын
uislamu raha sana ss shekh huyo ni mmoja tuu tungekuja hapo ingekuaje
@everlynewanyama
@everlynewanyama 3 ай бұрын
Nn kimekuzuia uje tukubatiza ukichoka kuangalia sanamu lenu njoo
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
Following from Santa Monica California American people never learn till they drop dead Greetings Brethrens No human ix limited. .
@danielelnestngimba5516
@danielelnestngimba5516 6 жыл бұрын
WAISLAM WANAMASWALI YA KIJINGA
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 5 жыл бұрын
wafunguliwa akili ww usiejielwa maan wachungaji wenu wanaficha ukweli
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 10 ай бұрын
They are always beating around the bush akijibiwa tena anarudi pale pale but pia kitabu Chao aliyeleta pia hakusoma....wah
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 7 жыл бұрын
SDA INA MAJIPU KWA WATU WOTE
@andrewmosiere5032
@andrewmosiere5032 7 жыл бұрын
Only an SDA's can take muslims head on, Catholics and other sundays churches will struggle miserably
@natifasmith3468
@natifasmith3468 6 жыл бұрын
Amina
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 4 жыл бұрын
Ukristo ni ujanja tuu... Kujificha katika kivuli cha Yesu
@abcdg1995
@abcdg1995 4 жыл бұрын
Who else watching this moment
@lewiskimathi9615
@lewiskimathi9615 4 жыл бұрын
Uyu anaulija ajue ama apinge?
@DavisWangodi
@DavisWangodi 6 жыл бұрын
Huyu muislam anargue ati kanisa Ni jenga...kanisa Ni umati. Ingesema watu wamekutana ndani ya kanisa...then kanisa lingekua jengo...ndani ya kanisa. Huyu mtu wazimu kweli...mshindani sana
@mussajoshua1261
@mussajoshua1261 5 жыл бұрын
Furaha yangu ni kua msabato
@johnissango2357
@johnissango2357 3 жыл бұрын
wakristo wanmhubiri yesu anayeoka,waislamu wanahubiri dini,dini haimpeleki mtu mbinguni.
@josephbonday8510
@josephbonday8510 5 жыл бұрын
UKIWA MUISLAMU NI MTIHANI KWEL KWEL..... 😂😂😂😂😁😁😁😁😁
@cynthianawambugha7663
@cynthianawambugha7663 3 жыл бұрын
Ni lini hawa waisalamu watajua ya kwamba bibilia si story book🤔
@mohammedzyenhassan1401
@mohammedzyenhassan1401 6 жыл бұрын
Pastor Onyango hana Andiko anakuipa maswali ya kujibiwa kwa one minute Waislamu ni wasomi si kutafuta Sadakah! ! Waende wadanganye watu Kanisani! !
@DavisWangodi
@DavisWangodi 6 жыл бұрын
Stupid stupid ....waislam washindani hawana Ata akili ya kufikiria
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 5 жыл бұрын
ww ndo uko na akili ya kifikiria unae fundisha mstari mmoja asubui mpaka jion na kuimba kwa wingi ukitoka waseme natoka kanisani bure kabisa hamjielewi
@naimaabdallah9491
@naimaabdallah9491 5 жыл бұрын
@@ashamasudi9441 🤣🤣🤣✍ukweli unauma ee nyie mnamacho lkn hamuoni nn faida
@mbularose1525
@mbularose1525 6 жыл бұрын
Huyu muislamu hawezi elewa.Mapingamizi ndio mengi
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 жыл бұрын
patisha huyo mtu ako na jini sharifa imutoke kwa jina la yesu
@mathiasngomango2570
@mathiasngomango2570 3 жыл бұрын
Waisilamu hatasiku moja hawana hoja zilizo nyooka .kwanza wamefundishwa kukata maandiko hawamaliz
@qerysir4410
@qerysir4410 3 жыл бұрын
kanisani wala sio ndani ya jengo; kama vile mkutanoni sio ndani ya jengo! Mtu anapoenda mkutanoni au kanisani sio eti aingia kwenye jengo Bali aingia kwenye umati/mkusanyiko!!!
@lewiskimathi9615
@lewiskimathi9615 4 жыл бұрын
MTU kama uyu mpishi tegemeo lake mini?
@janek9103
@janek9103 6 жыл бұрын
Next time kuweni na mjandala wa maswali basi. Bona kupoteza wakati na hoja moja yenye jibu ni wasi but harithiki.much boring kushinda hapo kitu moja
@rahayirwacelestin1768
@rahayirwacelestin1768 3 жыл бұрын
Anwal asante
@selemanjuma3310
@selemanjuma3310 5 жыл бұрын
Kweli uislamu taaabu sana
@DavisWangodi
@DavisWangodi 6 жыл бұрын
Ona vile ustadh mzima anaargue?...stupid indeed😂
@paschalkisimba9222
@paschalkisimba9222 4 жыл бұрын
Huyu muislam mbabaishaji sana,Hajui kitu chochote
@kimanimuikamba4714
@kimanimuikamba4714 4 жыл бұрын
huyu ni mwalimu wa msikiti???? Kwisha
@janek9103
@janek9103 6 жыл бұрын
Soma bible utapata waliyo na masikiyo lakini yamezimbwa hawewezi sikiya pia macho yao iko tu ivo.kusinda ikibishana na mtu ako na umwili na mtu ako na roho wa bwana ndani yake.ni vingumu mkuwe sawa
@maryrosa4995
@maryrosa4995 6 жыл бұрын
Hii debate ina boo juu ya huyu muislamu anapinga ukweli
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 3 жыл бұрын
Mzee mzima maswali ya utoto
@johnissango2357
@johnissango2357 3 жыл бұрын
huyu mwislamu anabisha tu bila hoja,wewe umeambiwa kanisa sio jengo,mfano gest house,haifai kuita jengo la kanisa,kanisa.
@leadyl5757
@leadyl5757 3 жыл бұрын
Mpe ndacha ajbu
@janetkahada5206
@janetkahada5206 5 жыл бұрын
Na Muhammad aliingiya musikitini.
@shirikaniyonkuru6560
@shirikaniyonkuru6560 5 жыл бұрын
Alakini hawa watu wana fia bure bahapa! Kwanza None Dini ni nini?
@mirukadauglas-thegospelwor4158
@mirukadauglas-thegospelwor4158 2 жыл бұрын
A christian or a muslim asked dini ni nini?, Dini ni njia, hii nimeitoa kwa korohani tafsiri ya neno dini kama njia
@paschalkisimba9222
@paschalkisimba9222 4 жыл бұрын
Huyu muislam amekuja kupoteza mda tu
@kimanimuikamba4714
@kimanimuikamba4714 4 жыл бұрын
Huyu muislamu anataka tu ubishi
@thxzbst49cnh80
@thxzbst49cnh80 6 жыл бұрын
Huyo muislam anapotezea watu mda na swali lenye anajua jibu lake wachaneni naye
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 5 жыл бұрын
Muisilamu huyu mjinga kweli
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 жыл бұрын
mwalimu hawa ni wanjinga tu hwana roho mtakatifu wanaongoswa na manjini!
@jaredonyancha40200
@jaredonyancha40200 4 жыл бұрын
Niko na furaha Kuwa msabato mbinguni Kwangu
@wanjerijoseph6223
@wanjerijoseph6223 5 жыл бұрын
wakristo ni wafumilivu kama kristo waislamu ni pingamishi tu
VTS 01 3
45:34
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 34 М.
SABATO NI JUMAMOSI HAKUNA KUPINGA
22:51
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 59 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Zelensky Announces Talks with Russia / End of Martial Law?
13:55
NEXTA Live
Рет қаралды 1,1 МЛН
VTS 01 2
42:37
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 103 М.
PROPHET AWOUR VS  SDA NAKURU
38:29
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 48 М.
JE YESU  NI MWOKOZI WA ULIMWENGU
1:13:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 23 М.
UPI MUNGU WA KWELI KATI YA ALLAH NA BWANA YESU . NEXT PART WITH QUESTIONS
1:02:45
Jesus is God? AI debates Christian vs. Muslim
23:18
Jon Oleksiuk
Рет қаралды 1 МЛН
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 833 М.
Never Call Out a Narcissist - God Says Do This Instead | C.S Lewis Sermons
26:16
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН