Mtumishi Mungu akubariki kwa kazi njema ya kupambana na wanaopoteza watu wa Yesu AMEN
@abcdg19954 жыл бұрын
This is what I can support with all my body and Organ keep telling them the truth painful gospel of Jesus Christ You never know who you are inspiring Nothing comes easy in life SIR. .am following this Episode from Santa Monica California American people never learn till they drop dead Greetings Brethrens
@mulwasimon Жыл бұрын
Ebrew 4 the rael Sabbath io igine shadow
@joelmwirigi17413 жыл бұрын
Sweet sana, ningepeda kuwatch part two ya hii .
@AlexShamola-h3o16 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi ndacha
@asnethsimba37024 жыл бұрын
Yaani nimetoka kuabudu Sunday kabisa in Jesus name God forgive us
@stephen-S7n Жыл бұрын
Na ulisema hapa ukweli nimeona comment yako kwa makambi ya meru, Mungu akubariki
@cyrusmutsami11959 ай бұрын
Atii Sun-Day😂😂
@AlexShamola-h3o16 күн бұрын
Amen
@olengonelson74532 жыл бұрын
Ev. Ndacha ubarikiwe sana, nimetamani sana kumchambua sana nabii huyu mkora. Kongole sana umeshamaliza kazi 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@donaldmwahalende48415 жыл бұрын
Huyu jamaa hatari mhubir shujaa
@melchizarn Жыл бұрын
This is very fantastic! For sure, it is The Third Angel's Message - "Come out of her, my people, that ye be not partakers of her sins, and that ye receive not of her plagues."
@davisrotich1165 жыл бұрын
I love the channel
@shaddymutaistarthebig1791 Жыл бұрын
I think you are a God sent to open the eyes of Christian.
@Mejaclub Жыл бұрын
Hongera kwa kusema ukweli mwalimu Ndacha👏👏
@biblianabibliapekee81135 жыл бұрын
Amen pasta ndacha
@bck81636 жыл бұрын
KWA SABATO NAKUBALIANA NA WEWE HATA MIMI NILIKUWA NAABUDU SUNDAY NIKABADILISHA SAI NAABUDU SABATO
@gospelmissionarytv12125 жыл бұрын
Usha nena wazi kwamba unabudu siku sio Yesu.
@elijahmarube70735 жыл бұрын
@@gospelmissionarytv1212 elewa statement
@ericosoro76174 жыл бұрын
Amen
@hamadinyawe18164 жыл бұрын
SAA sabato ni mapumziko na sio siku ya ibada
@faithfultoyeshua45762 жыл бұрын
@@hamadinyawe1816 soma bibilia vizuri
@thxzbst49cnh806 жыл бұрын
Amen,Mungu awabariki watumishi kwa kazi njema
@albertmokori29053 жыл бұрын
Wambie ukweli mr.Ndacha.
@rashidgona1808 Жыл бұрын
Mm ni mshiriki wa Sunday na kadri ya kuangalia midahalo yako ndacha najiona mkosefu mbele za Mungu na Niko taar kubadilika na kufuata amri yake ya 4
@desmusotieno615 жыл бұрын
Hapa hakuna maneno ya ukabila hii ni ukweli kabisa. Ndacha tuko nawewe sema ukweli yote ASANTE kwa mahubiri.
@kingibrahim28034 жыл бұрын
That a wordeful message
@mercywangui6393 жыл бұрын
Tafadhali si upange ulete ujumbe nairobi
@Dagreattimz Жыл бұрын
Ukweli huuma..pastor ndacha fundisha
@judithmoturi34022 жыл бұрын
On point blessed
@raelmsafiri3 ай бұрын
Ndacha unaweza lakini kuna ambao bado hawatasikia
@stephenodhiambo78604 жыл бұрын
Hehehe haki nyinyi ni wachokozi munaenda kuhubiri kwa mlango ya kanisa ya owuor
@gracekwamboka47133 жыл бұрын
Hahaaa, waja kieleweke
@gekongachacha5 ай бұрын
😂
@financialloan98185 жыл бұрын
Ukweli unauma siku zotee Ndasha waambie aho manabii fake wanao sambaza nguvu za giza
@gekongachacha5 ай бұрын
Uko Sawa Ndacha Mimi nakuelewa
@DeoDeomax7 ай бұрын
Gonga musumali kabisa 😂😂❤
@benedictomogioyange9196 Жыл бұрын
Hapo wafuasi wa nabii wa uongo Helen G white, mnajiaibisha!!! Mmekosa la mañana!
@carolmulwa46472 жыл бұрын
Pastor ndacha,,kama unaeza fundisha kuhusu mavazi kanisani
@bck81636 жыл бұрын
UKO SAWA
@myself41286 жыл бұрын
Jamani msigombane...wote wakristo msilumbane!!!!!! Ufalme ukipigana ndani utaanguka.....tumuite kanisani tuongee nae tumalizane nae sio kushambuliana hadharani tunampa nguvu adui yetu(waislamu)
@elijahmarube70735 жыл бұрын
who told you adui shetani n waislamu??????????
@presenttruthpioneersministry4 жыл бұрын
Ummah ujue ukweli, maadam tuhubiri Habari za Kristo bila uoga. Ata Eliya aliwashambulia manabii wa baali na mwishowe kuwachinja wote. Well done Ndacha
@evanskering13734 жыл бұрын
We don't care about awour, but we are busy concern about the lost souls that awour has lost.
@kennedydiouf62885 жыл бұрын
am an Adventist, lakini hapa mlikuwa mnahubiri prophesy or Awour
@kennedydiouf62885 жыл бұрын
i mean Owour
@elijahmarube70735 жыл бұрын
@@kennedydiouf6288 teach them the truth, kila kitu kieleweke wasi kutoka bibilia. i like it
@kingibrahim28034 жыл бұрын
Kwa prophecy Owour anahusika kwasababu ajiita nabii wa Mungu
@evanskering13734 жыл бұрын
That was a perfect example to use.
@robartsaid18585 жыл бұрын
Waislamu washa chemka mda tu kwandacha hawamuwezi huwashinda sku zote
@muzaliwajean85144 жыл бұрын
zasaizi ndugu yangu mm naitwa bosco nyumbani congo ila kwa sasa mm naishi afrika kusini,niulize ndapata number za mwalimu ndacha aje?
@stephenkaranja6129 Жыл бұрын
ndacha ciaku ngaria ukuruini😂
@soenikmoitanyon6 жыл бұрын
I agree on this,Owour is a con
@anthonykariuki24386 жыл бұрын
mkiwa na mdahalo na waislamu mnahubiri kuwa yesu ni mungu,sasa mnatoa ushahidi kuwa owour si nabii mkifananisha na yesu mungu ama nabii.
@naimaabdallah94915 жыл бұрын
🤣🤣🤣ili mjue Mungu wa kweli
@saitotisapiyo59974 жыл бұрын
Anthony Kariuki wewe yesu ni yote katika yote wewe wa wapi.
@yesunialamayakiama.90134 жыл бұрын
Waislam kuuelewa uungu wa YESU mpaka kiama. Nashangaa majini wanajua lakini ninyi sijui mnakwama wapi!!?
@williamkabogo41466 жыл бұрын
bythe way asanteni dasha kwa kwasi mnayo ifanya pia mm nlipigwa fita nawafuazi wake nkiwa Nakuru nlihuthulia mikutano yenu
@DavisWangodi6 жыл бұрын
Kama uko na swali... Pia unaeza comment hapa😝😝😝
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Mi ninakuuliza, Helen G white, ni nabil wa ukweli?!? SDA Ilianza mwaka gani
@mosespartimo21785 жыл бұрын
Sawa mm nawakuli sa wasabato kwa kufuata neno
@isabellanyamusi1209 Жыл бұрын
Ellen G white is a true because she qualifies to be one. If you compare her writings with they go hand in hand. Jesus is the center of her writings and her messages are pointing and preparing us to his Jesus' second advent
@isabellanyamusi1209 Жыл бұрын
@@jamilshisia5929 God himself is the author and the finisher of our faith which is founded on Christ, the sabbath & the prophecy. In short SDA started in the garden of Eden Adam and Eve themselves were seventh day adventist
@sirjore_111 ай бұрын
Your biblical understanding is very canal. Yes you have memorized scriptures but lack understanding of the same.
@janek91036 жыл бұрын
Heri utafute uso wa bwana kabla wakati umenyonyoma.
@joshuamogire30176 жыл бұрын
Je Huyo Nabii wa uongo, Owour ,akikufa, wafuasi wake wataenda wapi?Ni heri wamfuate Mungu kuliko Awour,mwanadamu.
@janenjenga56395 жыл бұрын
@@joshuamogire3017 watu huchanganywa na kukubali
@ellyouma32566 жыл бұрын
umegonga ndipo maandiko yathibitishe!
@wilfredkimani4388 Жыл бұрын
huu ni ukweli ambao uko wasi nao hukatakata kama upanga ukàtao kuwili,huwaacha wengi wàkiwa na majeraha miyoni mwao.,.
@SamsonKihika8 ай бұрын
Meals mu dacha umetuekimisha kabisa ,mpaka tukapata ufahamu,ilivyo sawasawa
@bakarikalama60996 жыл бұрын
Hahaaaaaa. Ni vile ni mjaluo na nyinyi ni wakikuyu. Mbona wako kina lai ni nabii pia na hamumjadili?
@thegospelmessage50394 жыл бұрын
wewe akili uliwachia nani
@1bosscow22 жыл бұрын
Mimi ni mjaluo na nasema huyu ni nabii wa uongo. Hakuna ukabila hapa. The entire preaching was based on the bible. Not on tribal lines. Acha uongo. Pinga kibibilia sio kikabila. The guy reading the bible is not a Kikuyu.
@isabellanyamusi1209 Жыл бұрын
Kwani wakati kina kanyari na ng'anga ni wakisii ama ukusikia ukiwataja
@Smilemaker_KE Жыл бұрын
Rudia kisikiliza in case you were a sleep hii n njili bila kupendelea
@mmulandammulanda23715 жыл бұрын
Kiendelezo tafadhali
@albertmokori29053 жыл бұрын
Mbwembwe
@isabellanyamusi1209 Жыл бұрын
Read the bible my friend stop hardening your heart
@gaboonviper97055 жыл бұрын
Awori ni nabii fake
@bakarikalama60996 жыл бұрын
Ndacha unampigia debe Hellen G white
@yesunialamayakiama.90134 жыл бұрын
Umesikia anataja hilo jina? Au ulifikiri atawapigia debe majini kama waislam?
@isabellanyamusi1209 Жыл бұрын
NDIO she is a true prophet
@mohammedzyenhassan14016 жыл бұрын
Umeshindwa na Waislamu acha kujipiga kifua ukiwa pekee ako Hakuna mdahalo mulienda na Waislamu UKASHINDA!!!!
@ngugimungai85105 жыл бұрын
Uislamu ni giza na uchawi ndugu yangu.
@elijahmarube70735 жыл бұрын
i think you never know, but fuatilia ujue
@yesunialamayakiama.90134 жыл бұрын
@@ngugimungai8510 Kwani hawa waislamu wa chini wanajua basi? Hawaambiwi ukweli ili wasijewakatoboa siri za uislam maana wao huwa hawanyweshwi mafuta ya alhamzam na damu ya majini kama masheikh wao.
@ngugimungai85104 жыл бұрын
Ni uchawi tu hakuna lingine
@murathimecaptain40173 жыл бұрын
Just share video waisilamu akishida mdahalo
@timeisoverrepentandreturnt34393 жыл бұрын
May God forgive you for condemning his prophet
@obedorora67892 жыл бұрын
Awori is a false prophet, true prophets love Jesus and whoever loves Jesus keeps his commandments including keeping the Sabbath day holy.