Asante sana kaka Masoud kwa kunitafuta na kufanya naye mazungumzo huyo Shkhe Mohammed Said ana nondo balaa! Natamani kukutana naye naamini nitaandika kitabu.
@lukullikiwamba64943 жыл бұрын
Kaka masudi anakili sana mungu akuweke
@AhmedAdan-po5ps9 ай бұрын
Wallah mohamed said Mashallah katufungua macho sisi waislam hii nchi ya tanzania ni ya waislamu
@NoelChambo2 ай бұрын
Sema Dar es salaam ni ya wa Islamu siyo Tanganyika
@Ally-z1m29 күн бұрын
kaka masudi kp naomba kwa niaba ya wapenda istoria habari hii muiweke kwenye vitabu na viuzwe bei rahisi ili sisi wa mbagala tuweze kununua ikiwejana kila jina kubwa la enzi izo kama alivyo kuwa akiwataja mzee moh... saidi basi nao muandae vitabu vyao ili tupate istoria halisi kwa faida ya vizazi vyetu na taifa kwa ujumla.
@jeanmusamba84483 жыл бұрын
Dr Mohamed,wazee wanasema chama kilichoanzishwa na Kina mzee Sykes hakikuwa cha siasa ila cha kijamii,ujio wa mwalimu ulikifanya cha siasa,ukweli ni upi hapa/
@king3-q1s Жыл бұрын
waongo, hizo ni propaganda maana katika harakati hizo hata babu yangu alikuwa anaitwa Mzee Iddi Tulio alikuwepo kwenye harakati za uhuru
@MackameHassani Жыл бұрын
Aiseeeeeee!!!!!!!! Kweli usilolijua sawa na usiku wa giza jmn
@BigZhumbe4 ай бұрын
Hizi ndio story zinafaa kutengenezewa movies sema Bongo Movie wamefocus na vitu vya kawaida sana
@jaafarwibonela740211 ай бұрын
Nimejifunza kitu! Kumbe Lucy Lameck ana nasaba na bibi Titi Mohammed 😮 Nimemuona Lucy Lameck katika uchaguzi wa 1975