Mungu awatunze watumishi wake Diana na mwal Mwakasege na watumishi wote wa huduma ya MANA 🙏
@azaransari73077 ай бұрын
Somo hili ni la kwangu napita katika jaribu kubwa la Mtoto miaka mitatu, nimeomba kila aina ya maombi sadaka kula mfungo lkn kila siku ni afadhali ya jana, Sijakata tamaa Mungu aliyewatoa miaka 400 na mimi atanitoa kupitia Damu ya YESU ya kunyunyiza. Mungu aendelee kukubariki Mwalimu. Salamu nyingi kutoka Germay
@judithmiyeye21097 ай бұрын
Nikutie moyo pia somo hili ni langu pia name napita pito hilo hilo sijakata tamaa amini Mungu atatutendea
@aksantimirindijohn34157 ай бұрын
Kama vile maika alimu towa Petro jelani, Yesu pasaka wetu ata kutoa
@Neema-wy4mh7 ай бұрын
Asante Bwana Yesu kwakutumia mtumishi wako kutulisha chakua hichi ulicho tuandalia. Damu yako ininenee mema ktk uchumi wangu❤❤❤❤Jesus
@Monicamruma7 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mwl kwa utumishi Mungu aliokupa tupate wapi mtu kama wewe Mungu akupe miaka mingiiiiiiiiiiii❤
@MeliethKaizile7 ай бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa ajili yenu, hakika Mungu ni mwaminifu sana nimebarikiwa sana na semina hii kwa siku zote tano Mungu ameliandaa hili somo kwa ajili yangu, nina amani na furaha kiasi ambacho nashindwa kueleza, sifa eshima na utukufu vimrudie Mungu
@AugusterJackson-eb6er7 ай бұрын
Asante mungu wangu kupitia watumishi wako nimehudulia semina nimeongezeka imani mbarikiwa Sanaa watumishi wa mungu
@eng.kivuyo127 ай бұрын
Naachilia damu ya Yesu, damu ya agano kwenye maisha yangu na kizazi changu chote
@Eliwanzita7 ай бұрын
Kwa kweli mtumishi wa Mungu somo hili Mungu amekutumia limenivusha
@julietemu37537 ай бұрын
Mungu kama uishivyo uwatunze watumishi wako Mwl Mwakasege na mama Diana eeh. YESU tutunzie watumishi wako
@muxajacob7733-op5ww8 ай бұрын
Asante YESU kwa semina hii siku 5 nmefuatilia kutoka katavi mpanda MUNGU kupitia upendo media na nmefunguliwa ktk majaribu yangu
@JemaLuseke7 ай бұрын
Mungu mwema sana kwa semina hiii imenibariki
@QUEENJoseph-kh6cb7 ай бұрын
Asante baba
@elizabethbukelebe1388 ай бұрын
Tuzidi kumushukuru mungu wetu
@fabiolajaphet66907 ай бұрын
Hakika mingu anawwza nam nim nipitia majarbu mwqka wakum sasa lakin naamin mungu atatenda sikat tamaa nakila nikiskiliza mahubil yahuyu mwalim mteule wa mungu nafarjika sana napata nguvu yakusonga mbele mungu akutunze mahubil haya yana gusa kwel kwel
@priscadavid69137 ай бұрын
Munguu wa mbinguni. Azid kuiinua na kubariki hudama hii nimeponaa maumivu nilioteseka nayo kwa miaka miwil aiuliwe Mungu wa isaka na Yakoboo Mungu azid kuwabariki mama mwakasege na mwalimu kwa huduma hii
@ArestidaKonyani7 ай бұрын
Asante yesu , watumze watumishi wako hawa , kumbuka na vizazi vyao vitunze 1:28:25
@eliudrushaka89328 ай бұрын
What a blessed day…
@evaristammassy63778 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen 🙏
@benadethamlay33958 ай бұрын
Nakushukru MUNGU leo ikiwa ni siku ya mwisho ya semina hapa Dodoma tuhudumie tena siku hii sema nasi Bwana kupitia mtumishi wako Mwl Mwakasege
@ElimrimaKimambo7 ай бұрын
Namshukuru Mungu Kwa watumishi Hawa WA MUNGU Kwa kutimiza kusudi la MUNGU alilokusudia Kwa MAIsha ya watu WA Dodoma. MUNGU awalinde SANA na kuwapa afya njema. Ameni.
@misstee1027 ай бұрын
🙏🙏
@LucyLwiva-h9l8 ай бұрын
Natamani sana kupata hicho kitabu nakipataje huku njombe
@jisraelel23347 ай бұрын
ROHO MTAKATIFU NIPE NEEMA YA KUKUBALIKA KATIKA SIKU YA BWANA
@ArestidaKonyani7 ай бұрын
Nimeguswa kutoka canada , neno limenibadilisha mimi niliyepotea
@stephanosospeter17097 ай бұрын
Ameen
@ArestidaKonyani7 ай бұрын
Asante yesu , watumze watumishi wako hawa , kumbuka na vizazi vyao vitunze