MUNGU katika JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH mkumbuke sana Mtumishi wako Christopher Mwakasage na familia yake wamefanyika baraka kwetu sisi tunaokutazamia WEWE BABA kwa kutufundisha nakuchambuwa NENO LAKO ili sisi tusiokuwa na haki tuelewe tufahamu zaidi amen🙏🏿
@blessedtumaini5167 ай бұрын
Haleluya utukuzwe Mungu Baba milele kwa neema na nguvu ya msalaba wa Yesu Kristo naamini na ninakuwa mzima kwa kuutazama msalaba wa Yesu Kristo aliye hai nami ni hai. Barikiwa Mwalimu Christopher Mwakasege na timu yote ya MANA na wote watendao kazi nawe.
@mrwandamrwanda37517 ай бұрын
Ijue nguvu ya msalaba itendavyo kazi ili unufaike nayo Malengo 2 Ijue nguvu iliyomo ktk msalaba wa Yesu Ujue inachofanya iziilike kiutendaji ile ikunufaishe
@ElibatiKopwe5 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊
@upendoeliudi51962 ай бұрын
Glory to God Glory to Mungu akutunze mwalim Christopher Mwakasege pomoja na huduma yote ya Mana, kwa Msalaba wa Yesu Kristo ninapokea uzima wa milele. Amina
@salvinaclaud7 ай бұрын
Sifa na heshima ni zako ee Bwana Mungu wa majeshi, Asante kwa Neno lako ee Bwana, mtunze na mjalie mtumishi wako kuendelea kunena sawa sawa na mapenzi
@teddymhenga30067 ай бұрын
Asante Ee Yesu Kwa huduma inayoendelea pale Moro. Mtumishi, Mungu aendelee kuwa Mkuu ndani Yako kama alivyokusudia iki watu wake waokolewe.
@HappyKimaro-ck1fn7 ай бұрын
Bwana asifiwe mtumishi nashukuru Mungu nimejazwa nguvu za roho mtakatifu nilipokua na kusikiliza kwenye maombi pale mwishoni Mungu akubariki
@raphaelmwamakimbula96427 ай бұрын
Bwana Yesu atukuzwe sana! Hakika ndani ya msalaba wa Yesu IPO nguvu na fursa zinazotusaidi mno♥️💯🙏
@pamelachale89558 күн бұрын
Aminaaaa nipo na somo siku ya 4 sijalimaliza naomb leo YESU wangu nilimalize
@DenisMNandi-sm5dn7 ай бұрын
Yesu ni mwema Ni kweri ufalme wa MUNGU SI KATIKA MANENO BALI NI KATIKA NGUVU.
@jobthomas77756 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza Mwalimu, nimebarikiwa pia kumuoka kaka Paul Mwangosi
@TheresiaMyalla7 ай бұрын
Toka Mungu ajifunue kwangu nataman kujua Zaid kuhusu msalaba Asante mwalimu maana umefundisha kwaajili yangu🎉
Ameen. Ukuu wako Mungu ni wa ajabu. Utukuzwee.Naamini napata uraia na green card kwa kutazama nguvu ya msalaba wa Yesu kristo aliye Hai. Asante Yesu. Kupitia ibada hii na Maombi haya naomba familia yangu ikumbukwe Geofrey, frank, Angela, na Albert na Jack na mwanangu mpenzi Achilles.
@NaomiNgailo-k5l7 ай бұрын
Wao nlikuwa nasubiri kwa hamu sana mafundisho ya mwalimu you tube Mungu asante
@taturamadhan36217 ай бұрын
Amen mtumishi mkuu wa MUNGU
@joelkimario427 ай бұрын
Hakika Mungu ni muweza Kwa kujalia neema hii ya kusikia neno lake
@fredykifunge3157 ай бұрын
Atukuzwe Mungu kwa huduma iliyoachiliwa ndani yako Mwl, BWANA akulinde
@loycekimwaga84067 ай бұрын
Amen tunakutukuza Mungu mwaminifu
@CharlesLuhakika7 ай бұрын
Asante yesu angalia maisha yangu
@SherryEverest5 ай бұрын
Ameen Baba Mungu Azidi kukuinua kwa ajili ya utukufu wake
@AgnesMgina-ud6ho7 ай бұрын
Amina❤❤❤
@ElizaTete7 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa mafundisho ya msalaba
@sikujuamwambene68747 ай бұрын
Ameen! Mungu Aendelee kukutumia mtumishi wa Mungu
@NsabiyaremyeRomain6 ай бұрын
Balaka za Bwana Yesu Kristo zikufuate kilawati unapoishi kwa kumtumikia na moyo wako wote . Amen.
@loycekimwaga84067 ай бұрын
Mungu asiyeshwa tunakutukuza
@hisiazetu1457 ай бұрын
Ameen. Mbarikiwe sana
@AndreaMwinuka7 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu wetu utunzwe na bwana🧎♀️🧎♀️
@herielizakayonyari717 ай бұрын
Nakushukuru Mungu Kwa mafundisho. Mazuri
@MossesLukumay6 ай бұрын
Amen mwlm kwa neno 3:52 3:54 nzuri
@GerardMushy7 ай бұрын
Amen ubarikiw mtumishi wa mungu
@elijahsaro66116 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu mtumishi Hili neno limenitia moyo katika imani
@GloryMlita7 ай бұрын
Ashukuriwe Mungu kwaajili yako mtumishi
@MabelKaaya-hl2je6 ай бұрын
Amina Amina Amina
@MariamSenga-xn2dc7 ай бұрын
Amen🙏
@AnethSilayo7 ай бұрын
Mungu akubariki sanasana na akupe maisha marefu
@PCharlzy-rr2iv6 ай бұрын
Eeh Mungu wangu neno hili halijaanguka bure, ninaomba unikumbuke na mbegu hii ikakuzalie matunda mema Amen
@TERESIAYOHANA7 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen
@paulsibu57707 ай бұрын
Mungu akupe Maisha Marefu na yenye Baraka tele.
@claranessmboya49547 ай бұрын
Liiinuliwe jina lako milele na milele
@Richard-w5g6 ай бұрын
Amen nakuelewa Sana mwalim
@MaritaJackson-e8n7 ай бұрын
Yesu apewe Sifa.. Ila Mwalimu leo umenifurahisha sana na Oya Oya Oya hahhha, Nimepokea neno langu la siku Barikiwa Mwalimu wangu
@rahelgodfrey4387 ай бұрын
Yesu asikupungukie bb Yangu
@SamwerAsajile7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@TeddyKwiranga6 ай бұрын
Kupitia semina hii mungu nipokee uponyaji wa damu ya Yesu
@asianamlay82487 ай бұрын
Asante YESU Kristo
@SubiriKandonga7 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu kwa ufunuo huu nabarikiwa sana
@kinanantimi59017 ай бұрын
Asante Yesu!!
@marundimahugija81687 ай бұрын
Nimebarikiwa mnoo mama Lee Iringa,nimejifunza
@samtian61237 ай бұрын
Amen mtu wa Mungu 🙏
@rehemamwamundela27177 ай бұрын
Asante Yesu
@Richard-w5g6 ай бұрын
Barikiwa sana
@MabelKaaya-hl2je7 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah
@SALAMULAVIE6 ай бұрын
Amen
@magrethuronu71907 ай бұрын
AMEEEEN AMEEEEN AMEEEEN AMEEEEN
@GodfreyJosephkilima7 ай бұрын
Amina
@marymfoi93497 ай бұрын
Eeh Yesu unikumbuke
@AndreaMwinuka7 ай бұрын
Jesus❤
@evarisaernest21467 ай бұрын
AMEN
@mwamudaniel79126 ай бұрын
Ujumbe sahihi kwa wakati huu wa mwisho
@doreentemba78337 ай бұрын
😇✝️💟🙏🏿
@stephanosospeter17096 ай бұрын
Ameen
@Philipokumbu3 ай бұрын
Kuna somo la mzaliwa wa kwanza ni lango.nalitafuta sana kama mtu analo anisaidie
@TasajigweDavid7 ай бұрын
🙏🙏🙌
@rosebundala16777 ай бұрын
Haina sauti
@Richard-w5g6 ай бұрын
Richard mwalyos amen
@TERESIAYOHANA7 ай бұрын
Amma
@TeddyKwiranga6 ай бұрын
Wanavyopokea watu wa morogoro nipokee na mimi uponyaji wangu wa presha kuuma kichwA
@REHEMAISMAIL-y1i7 ай бұрын
Amen
@dorcaslaizer32697 ай бұрын
MUNGU atukuzwe,
@asianamlay82487 ай бұрын
Amen 🙏
@mkailivin40507 ай бұрын
Amen nani nimepona kupitia nguvu ya msalaba
@Toyota-b3e6 ай бұрын
Nipenambazako za wassap mtumishi mimi naishi congo
@noelmtumishi78957 ай бұрын
Hiii ni live nauliza watumishi wa Bwana
@kwisaclinic99227 ай бұрын
Ndiyo
@magrethjuma99067 ай бұрын
ASANTE BWANA YESU KWA NENO LA MSALABA WAKO SISI TUNAPOKEA UNZIMA
@jaquilinemihambo96026 ай бұрын
Fursa ya msalaba hata Kama Ni nukta tu ina msaada mkubwa Sana. ✓✓✓
@mgonjaelizabeth80637 ай бұрын
UNIKUMBUKE BWANA WANGU KATIKA UFALME WAKO. UNIOSHE KWA DAMU YAKO.