No video

FANYA HAYA UKIWA KWENYE AJIRA UFANIKIWE ZAIDI

  Рет қаралды 34,189

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
• FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
Mfumo wa elimu yetu umewafanya watu wengi kubweteka na suala zima la ajira. Watu wengi wanajikuta mpaka siku wanafukuzwa kazi au wanastaafu hawajafanya chochote cha maendeleo katika maisha yao na kuwa wamepoteza miaka yote waliyofanya kazi. Hii yote ni kutofahamu au kutokuwa makini na baadhi ya vitu pindi wanapokuwa waajiriwa.
.
Sasa fuatilia video hii na uniambie kwenye comments hapo chini ni jambo gani utaanza ambalo wewe unalifanya kati ya haya. Pia Usisahau ku-like na ku-subscribe.
.
APP ninayotumia kurekodi mapato na matumizi kila siku hii hapa. Just click the link
play.google.co...
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076

Пікірлер: 203
@kelvinjuma_comedian
@kelvinjuma_comedian 5 жыл бұрын
From 254,am thankful for your inspirational talk.Nice job bro💪💪💪💪💪
@silajimajidimussa8686
@silajimajidimussa8686 5 жыл бұрын
bloo dalsa zako ziko vizuli sana usichoke kutupatia dalisa kama hizo na allah akutangulie
@swimcoachabel1105
@swimcoachabel1105 5 жыл бұрын
Asante kwa 10% saving nzuri sana
@neemamjengi9913
@neemamjengi9913 5 жыл бұрын
Mafundisho ni mazuri sana,binafsi yamenifungua zaidi eneo la matumizi
@Chobingle
@Chobingle 5 жыл бұрын
Asante sana kaka tunajifunza mengi kupitia wewe... Ila kaka naomba uzungumzie tatizo la kutoridhika kuna mtu mwingine haridhiki hata akipata hiki ata tamani kile...
@mariamngarama3268
@mariamngarama3268 5 жыл бұрын
Aisee kaka unanifanya nibadilike wallahi. Mm Mariam kutoka ughaibuni najivunia kukusikiliza ahsante sana
@angeljustin9307
@angeljustin9307 5 жыл бұрын
Thank you bro nimejifunza kitu kikubwa San sasa naenda kuwa rich God bless you bro
@mwanaidimohamed6972
@mwanaidimohamed6972 5 жыл бұрын
Asante sana ezden... I will jifunza this mbinu asee
@beatricegilbert4334
@beatricegilbert4334 4 жыл бұрын
Pamoja kaka ezden. Nimepata kitu kikumbwa sana. Nacho ni serving.. Asante kwa somo.
@calvinevarist5493
@calvinevarist5493 5 жыл бұрын
Ahsante bro hata sisi ambao hatujasoma naona nafasi Ya kutoka bado ipo
@i.nsympa5815
@i.nsympa5815 5 жыл бұрын
Thx saana my best.hii ni comment from Burundi .i'm vert proud to listen to it
@shammoha5297
@shammoha5297 5 жыл бұрын
Duh! Yaani upo sawa kabisa. Ninapoenda dukani, nshajipanga cha kununua, ninapotoka hapo huwezi kuamini najipata nimenunua vitu 2 au 3 hazipo kwenye plan. Kabla ya mwezi kuisha nina 0 kwenye account loh! Lazima nijifunze saving money. Asante kaka Ezden 😘
@silasthiringi9552
@silasthiringi9552 5 жыл бұрын
Thanx..latatu muhimu kwangu,reverse increase of Speeding ed side hustle .
@kombowaziri5269
@kombowaziri5269 5 жыл бұрын
Sauti yako tu inanifanya nasikia raha kusikia ujumbe wako
@najlazezynaji117
@najlazezynaji117 5 жыл бұрын
Shukran#Ezden Nimejifunza Saana Mie nimtumiaji M baya Saana Wapesa Soo From Now Nitajitahidi Niwe Nakibubu Special Inshaa Allah, Shukran Broo#Ezden Jumanne
@godsongodson8973
@godsongodson8973 5 жыл бұрын
Nashukuru Sana Kaka Ezden Mungu akupe maisha marefu.
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 жыл бұрын
Mashallah Nimejifunza mengi kaka, Ezden kwa somo lako. Allah akupe maisha marefu inshaaAllah Shukran🙏
@fatmahaji8987
@fatmahaji8987 5 жыл бұрын
Asante sana kwa ukumbusho wa kuendelea kusave kiukweli hii ilinisaidia niliifanya nikiwa ktk ajila na sasa nimeanza kujiajili mwenyewe ila nilijisahau kuhusu usave nilikuwa kila kinachopatikana nakiingiza tena ktk biashara . kuanzia Leo nitajitahidi nianze kusave hata kidogo
@zaytoonabdallah1172
@zaytoonabdallah1172 5 жыл бұрын
Jazakallah khayr. Thanks a lot Ezden, nimeelewa sana. 1.Dhibiti matumizi ya pesa 2.Jaribu kuwa na vyanzo vyengine vya kipato 3. Tumia mshahara wako kuanzisha mradi. then 10% of every paycheck that you get is for you to save.. i like it. Namba 1 & 3 kwangu si shida ila namba 2 ndio tatizo kwangu. I do save but i dont know what to do with the money. Kindly help!
@jeffmauzo5483
@jeffmauzo5483 5 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie umenisaidia sana kaka
@susanahmbilinyi4387
@susanahmbilinyi4387 5 жыл бұрын
Kaka mimi najifuza vitu vingi Sana toka kwako kwakeli swez kuwa mnafiki kipato changu kwa mwez Ni sh100000tsh.lkn kila mwez nasave asilimia 70%.maana malengo yangu mpaka mwez 12ni kurudi kijijini nikajuajili kwenye kilimo.🙏🙏
@bilalyzaidy2976
@bilalyzaidy2976 5 жыл бұрын
Nimejifunzaa vitu vingi sana kakaa Nakubalii kazii yako ya kujitolea kwa jamii
@justinemwakasanga4553
@justinemwakasanga4553 5 жыл бұрын
Somo zuri sana bro limenigusa kwa kweli
@fanuelgobrey8452
@fanuelgobrey8452 5 жыл бұрын
Big up sana bro..! I learn a lots thanks.. this year lazima nitokee
@jacksondavid2142
@jacksondavid2142 5 жыл бұрын
Asante sana Mr Ezden kwa elimu nzuri uliyotupa...binafsi nimejifunza kuwa na staa ya fedha kwa kuweka akiba ya kila pesa nin ayoipata ya asilimia 10 ya pesa yeyote ninayopata.e.t.c
@fransiscochakola8644
@fransiscochakola8644 5 жыл бұрын
Shukran Sana kak,, ujue kuna mambo meng Sana najifunza toka kwako,, ubarikiwe kak
@kulthumsalim7070
@kulthumsalim7070 5 жыл бұрын
Dah mafunzo yako matamu Kabisa najifunza mengi mno kakaangu.Allah akubariki 😍😍😍
@barakaisaka7876
@barakaisaka7876 5 жыл бұрын
Asante sana Broo nmejfunza vtu vingi sana kwako naakika Leo naanza kuweka akiba
@mohamedmboger6740
@mohamedmboger6740 5 жыл бұрын
From since you begin to offered education I'm together with you, so go on to give me essential ideas such .........
@hamisilumona7163
@hamisilumona7163 3 жыл бұрын
Hapo nakubaliana na bro. Wakati unapokea malipo yako ya kwanza towa sehemu kwenye banki kwa hajili ya project ya future time. Chunga pesa zingine kwenye house banki(kikopo ao sanduku fulani) kwa mahitaji ya express. Usikubali kulipa deni kabwa wewe mwenyewe haujakua poa.
@mbwanaali4251
@mbwanaali4251 5 жыл бұрын
Jifunze kwenda straight kwenye point hatuna muda wa kuskiliza hadithi ndefu, itakua poa!
@jumamustapha921
@jumamustapha921 3 жыл бұрын
Respect brother unatufua sana vijana
@fulgencemuzambele2443
@fulgencemuzambele2443 5 жыл бұрын
Asante hizi Tabia tunazo kweli. Asante kwa ushauri.
@zubedakaluli6638
@zubedakaluli6638 5 жыл бұрын
Respect to u,Allah bless u
@mussadionizi9418
@mussadionizi9418 3 жыл бұрын
Ahsante kwa mfundisho mazuri Napenda sana bro unavyoelekeza
@emidahayoub8849
@emidahayoub8849 5 жыл бұрын
Santee saana nimejifunza jinsi ya kusave naanza wallah
@aminaibrahim3656
@aminaibrahim3656 5 жыл бұрын
Thanks bro I appreciate you alot stay bless
@williamelias7328
@williamelias7328 5 жыл бұрын
Thanx bro ,nmejifunza kuwekeza na sio kutegemea mshahara tu
@goodlucklema8861
@goodlucklema8861 5 жыл бұрын
Asante kwakunikumbusha kuwa na nidhamu ya hela whatever low salary I receive ...
@mrneysherin9109
@mrneysherin9109 2 жыл бұрын
Shukran mugu akuogeze palipo pugua darasa zuri sana
@zaitunikivelege5569
@zaitunikivelege5569 5 жыл бұрын
thanks bro ...ur the best
@niaanthony9588
@niaanthony9588 5 жыл бұрын
Thanks najifunza mengi kupitia ww god bless you maana tunajisahau sana
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 5 жыл бұрын
Dah asante sana Bro nimekua muathika mkubwa sana wa vipindi vyako Kwni najifunza kitu
@franknanyaro8143
@franknanyaro8143 5 жыл бұрын
Asante sana kwa mada zuri inayojenga
@devothasteve2900
@devothasteve2900 5 жыл бұрын
Asanteee kwa somo
@daudiombeni7996
@daudiombeni7996 2 жыл бұрын
Asante sana eziden jumann
@kajangetechnologies1418
@kajangetechnologies1418 5 жыл бұрын
Thanks allot brother, blessed!
@godiiurassa5400
@godiiurassa5400 5 жыл бұрын
asante sana bro nimejifunza kitu kikubwa mno blessing
@mhagama2557
@mhagama2557 2 жыл бұрын
Thanks you give us a minerals special for life mi naanza na hapo kwenye matumizi ya pesa
@BenjaminRajabu-xk7mc
@BenjaminRajabu-xk7mc 2 ай бұрын
Kaka asante sana kwaushauli wako mm ndowaga nafanya ivyo
@lauchungulau9255
@lauchungulau9255 5 жыл бұрын
Asente sana kwa mafundisho yako God bless you my brother
@lucypeter9999
@lucypeter9999 5 жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri. Nimekuelewa sana kaka.
@ramampemba2060
@ramampemba2060 5 жыл бұрын
mungu akubaliki brorher kwa kutufumbua macho acha nianze kufwata ushaul wako
@keyvogad1421
@keyvogad1421 5 жыл бұрын
Nataka kujua jinsi ya kuwa na rafiki Bora who force me to level up na kuwakataa marafiki wabaya wanaotaka mi nifuate njia zao
@maubarak9831
@maubarak9831 5 жыл бұрын
hili nifunzo muhimu sana kwangu umenipa madini almasi
@albertosanga7744
@albertosanga7744 5 жыл бұрын
uko vizuri sana somo zuri sana nimegain kitu Thnx
@edwardalfred1172
@edwardalfred1172 5 жыл бұрын
Nitaifanyia kazi hiyo lakini pia kuna kanuni ya 50, 30, 20. hii nayo imekaa poa sn kama watu watazingatia.
@luissisti9203
@luissisti9203 5 жыл бұрын
Ahsante sana bro umenibadilisha sana aise
@simontv5012
@simontv5012 5 жыл бұрын
safi sana kk
@esterlyaruu5057
@esterlyaruu5057 5 жыл бұрын
This is very helpful
@NiyohappyPro
@NiyohappyPro 4 жыл бұрын
umenisaidia sana
@shuabukhamis866
@shuabukhamis866 2 жыл бұрын
Brother Asante kwaa ii
@abdallahkinabo5148
@abdallahkinabo5148 5 жыл бұрын
shukrani kwa somo zuri sana
@rafaelharubu3533
@rafaelharubu3533 5 жыл бұрын
asante bro
@chamam5031
@chamam5031 5 жыл бұрын
Bro ahsante naanza leo saving i will back to you after 3month kukueleza
@daimavlog
@daimavlog 5 жыл бұрын
Dah hilo ndo shida zangu. Yaani natumia ela utadhani ugomvi. Nanunuaga kama nimetumwa lol. Asante kaka
@amisnsajigwa4357
@amisnsajigwa4357 5 жыл бұрын
10%nimeipenda sana.
@mcisunga3822
@mcisunga3822 5 жыл бұрын
Najuta kwanini sikukujua mapema nina miaka kibao ugaibuni ila pesa hazikai unafikili za mashetani ila kuanzia leo ntajitahidi mpaka mwaka kuisha ntatoa ushuhuda asante sana nimejifunza ntaendelea kujifunza
@safiunamugen6947
@safiunamugen6947 5 жыл бұрын
Asante sana nmekuelewa
@elizabethevodius4261
@elizabethevodius4261 5 жыл бұрын
Asnt Ezden nimejifunza zaid kbs kusave be blessed kaka
@ashaiass4462
@ashaiass4462 5 жыл бұрын
asante sana kwa hilo nimekuelewa
@jumaali7355
@jumaali7355 5 жыл бұрын
yes mr.ezden bn Kwel hilo swala mpk mm inanisumbuwa juu ya uwekaji wa hela, sbr nikuelezee kdg mm mshara nnao pata kwa mwez unaweza kufikia laki tatu lkn inakuwa napokea kwa siku elf kumi, na nina mda wa mwaka naa sasaivi sijalifikia lengo ata moja na hili tatizo nainalo mda mrefu mpk sasa apa nnapo kwa nataka niowe nashindwa na mahari. Nakuomba unisaidiae mawazo nifanyeje hasa kuhimili hali hii
@elikarimugayewi3105
@elikarimugayewi3105 5 жыл бұрын
Asante kwa elimu hii nzuri
@annachales9623
@annachales9623 5 жыл бұрын
Yaani bro umegusa palipo kabisaa nimeajiriwa lakini natamani nijiajiri .Nilikata tamaa na uoga kunitawala Ila umenipa moyo tena nitaendeleza wazo langu.
@sundaymwakamisa491
@sundaymwakamisa491 5 жыл бұрын
Nashukuru Sana bro
@gabrieljoseph4857
@gabrieljoseph4857 5 жыл бұрын
Blessed bro vitu vya muhimu sanaa
@furahamakunga4156
@furahamakunga4156 5 жыл бұрын
hello brother asante sana yatupasa daima walioajiriwa kutafakari kesho yao au baadae yao zaidi kuliko Leo nimepata ujuzi mpya
@matabikasuccessline2068
@matabikasuccessline2068 5 жыл бұрын
asante kaka nimekuelewa
@ramampemba2060
@ramampemba2060 5 жыл бұрын
mungu akubarki brother
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
You are the best bro
@godisgood3590
@godisgood3590 2 жыл бұрын
Tnx brother
@majiminze4135
@majiminze4135 5 жыл бұрын
Hakika brother. Naitaji nikupate zaidi kaka.
@brownjumbe9
@brownjumbe9 5 жыл бұрын
Yap shukran bro
@heavenlight5084
@heavenlight5084 Жыл бұрын
Kakangu kwanza asante sana kwa masomo yako,yanatufundisha mno,ila kwa upande wangu mm nipo kwenye ajira, ila napenda sana kujiajiri .kila nikiangalia masomo yako yananifundisha mno,tatizo capital
@pricillaromanus435
@pricillaromanus435 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana bro! BT naomba uniunge kwenye group lko km hutajal
@jannejoshua6905
@jannejoshua6905 5 жыл бұрын
Asante sana . Nitaitendea kz
@mireillenihimbazwe9868
@mireillenihimbazwe9868 5 жыл бұрын
Asante
@mbwanamtops4936
@mbwanamtops4936 5 жыл бұрын
Ahsante sana#ila hiyo App yakurecord kila matumizi ungetupa ,ungetusaidia sana Boss!
@maundumwingizi8027
@maundumwingizi8027 5 жыл бұрын
Ahsante kwa hamasa.
@stvonlineke
@stvonlineke 5 жыл бұрын
Thanks Bro 🙏
@frankkavishe2705
@frankkavishe2705 5 жыл бұрын
Shukran kaka nimekuelew sana ase
@yasinikateula6605
@yasinikateula6605 5 жыл бұрын
Ni kwel kabsa
@mohamedothman9769
@mohamedothman9769 5 жыл бұрын
Bro Ezden hapo kwny kutunza kumbukumbu ya pesa unayoitumia kila siku ndo ambapo pamenihusu sana kabisa, hiyo ninaanza kuitumia mapema naamini itanisaidia.
@emanueljosephat1605
@emanueljosephat1605 5 жыл бұрын
Thanx br nimeokota ki2 2save% Mda sana na matunda yake nmeyaona Lazima nikue sitodumaa
@kasmirisambala3196
@kasmirisambala3196 5 жыл бұрын
Asante nimekuelewa kaka. Naomba uniunge kwenye kundi kwako tafadhari.
@almandroo8258
@almandroo8258 5 жыл бұрын
Nice kaka
@yiasseanabdullahaman9718
@yiasseanabdullahaman9718 5 жыл бұрын
Daaah nmejfunza k2 kikubwa sana leo n kuish na asilimia 90 ya kipato kutenga kwanza izo asilimia 10 kacpo kufanya chochote kwanza, Thnkx bro
@kigodacomp9912
@kigodacomp9912 5 жыл бұрын
Sawa kk apo safi sana kk nimekuelewa
@giftwandi178
@giftwandi178 5 жыл бұрын
Asante Sana kaka
@safiakhamiss1528
@safiakhamiss1528 5 жыл бұрын
Asante sana
@allykiba1542
@allykiba1542 5 жыл бұрын
yes nimepata kitu
@sarahchuma1008
@sarahchuma1008 5 жыл бұрын
nimepokea kile ulichonifunza.mimi ni mzito kwenye swala la kulist matumizi yangu na ni mzito pia kwa swala la kuweka akiba nashukuru nitafwata ushauri wako.
NDOTO ZAKO MAFANIKIO YAKO
9:54
Success Path Network
Рет қаралды 50 М.
7 LESSONS People Learn Too Late In Life
21:22
Success Path Network
Рет қаралды 38 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,6 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
FAIDA 10 ZA KUSOMA VITABU
11:26
Success Path Network
Рет қаралды 16 М.
Njia Rahisi Zaidi Ya Kupanga Bajeti Yako
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 260 М.
JINSI YA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA MPYA
13:35
Success Path Network
Рет қаралды 123 М.
MASWALI 25 UNAYOTAKIWA KUJIULIZA LEO
13:14
Success Path Network
Рет қаралды 62 М.
MAKE PEOPLE RESPECT YOU IMMEDIATELY
10:52
Success Path Network
Рет қаралды 57 М.
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
Matumizi Sahihi Ya Muda - Joel Nanauka
7:11
Joel Nanauka
Рет қаралды 88 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН