Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076 ADA : 2,000 TZS kwa wiki. Karibu!
@mrmoney40823 жыл бұрын
Habari ya kazi Bro! Samahani bro kuingizia comment ambayo iko tofauti kidogo! napataje mwongozo na/au utaratibu wa 'Mentorship program' Ahsante!
@freddyngabonziza58643 жыл бұрын
asante
@freddyngabonziza58643 жыл бұрын
walioko Burundi tunaomba number ya m pesa kaka ezden
@josephkipimo53232 жыл бұрын
Mkm
@naimamuturi34753 жыл бұрын
MashaAllah, shukran nme jifundisha sana its like u have seen what am going through. SubhanaAllah. InshaAllah i will work on those 10 points i believe i will make it.
@LowasaNgai5 ай бұрын
Asante Kwa masomo yako yananifariji Sana my god bless you 🙏
Asante sana Mr. Ezden .Each one teach one kwa fundisho zuri la kutokimbia matatizo
@minanicharles30813 жыл бұрын
Brother I really learn big things in ur lesson much respect brother big up bro
@SaumaBakari-ld2dy Жыл бұрын
Sawa kaka nakukubari sana
@aishaabdallah45603 жыл бұрын
Shukran kaka nimelipenda mno hili somo ...ntajitahidi kulifanyia kazi
@calvinjoseph3 жыл бұрын
Not everybody will understand your journey and that's just fine. You focus on your path and let others focus on their own. Don't you ever feel guilty for going after what you want in life. This is your life and you need to live it fully while you've the chance. I'd rather be hated for who I'm than loved for who I am not. You can't be lonely if you like the person you're alone with. Everyone comes to your life for a reason. It may be blessing or a lesson Cutting people out of my life doesn't mean I don't like them. It means I respect myself Insanity: Holding on to things you cannot change. Let it go Create a life that feels good on the inside. Not just one that looks good on the outside
@fredpetter94573 жыл бұрын
kaka EZDEN JUMANNE am proud of what u teach
@CalistarsMungala2 ай бұрын
Asente Sana kaka lingoku langu nikuzama hiva mtu mwanya hakufai wajana na wewe 🙏
@prospartyexavery63692 жыл бұрын
Toka nimeanza kukufutilia hakika nimefunguka mambo mengi thank you brother 🙏🙏🙏🙏🙏
@frankbwahema323 жыл бұрын
Much respect
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Pamoja sana...
@aderiderkihupi724010 ай бұрын
BARIKIWA SANA
@mussadismass93063 жыл бұрын
Asante sana kwasomo zur imenipa nguvu ubalikiwe mungu akutunze
@dorahmatitu255410 ай бұрын
Assalaam Alaykum my kaka!!!! Pole na kazi. Nashukuru sana, Allah akuzdshie kila la kher kaka kuna vtu nmejfunza
@veronicanyokanyoka11872 жыл бұрын
Mungu, akubariki kwa mafundisho
@daudigidabayda73152 жыл бұрын
🙏🙏 thanks brother
@bonita329 Жыл бұрын
Ninawakati mbaya sana kwasasa but hii video imenipa moyo sana I have watched it 4 times kuna kitu natakiwa nikiache behind of my life but it's so painful but i have too for the mercy of my life😢 Kaka much respect thank you🙌🏼❤
@successpathnetwork Жыл бұрын
Pole sana Bella kwa lolote unalopitia kwasasa, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi uweze pita salama mapito hayo. Kuwa na imani.
@GwantwaOsyana3 ай бұрын
Thank u so much my brother.
@Muka_262 жыл бұрын
U changed my life kwa kunielimisha
@noahefelemu93953 жыл бұрын
Unaniponya saaaana kaka, be blessed, ulizaliwa kusaidia jamii kwa namna hii, sijui niseme Nini kk, you're the best, I mostly appreciate your mind set
@twahaally19693 жыл бұрын
shukran sana. MR FROM ZANZIBAR
@mycotv20202 жыл бұрын
Duh we brother sizan kama unaweza ukagombana na na mtu mana saikorijia yako iko good sana
@jannethimartin10663 жыл бұрын
Asante sana kaka nimejifunza sanaa
@blackwarrior-animations5933 жыл бұрын
EZDEN .........I APPRECIATE
@macksemuyango61082 жыл бұрын
Bro kiukweli umenifundisha mambo mazuri hususaniiiii wakati kama huu nilionao kwa sasa!!! Mungu akubariki sana bro!
@abdullykapole96173 жыл бұрын
Kaka wew ni zaidi ya mwalimu allah aendelee kukubariki kila hatua upigayo insha-allah🙏.
@saadaalmamary83973 жыл бұрын
Thanks brother big up
@veronicanyokanyoka11872 жыл бұрын
Upo,vizuri mwarimu
@aminamoha7240 Жыл бұрын
Uko Sawa bro
@neemamponezya37513 жыл бұрын
Shukrani kaka ezden somo limenigusa sana
@johansenjackson9603 жыл бұрын
Asante Sana brother
@عنيزهالبروندي3 жыл бұрын
Nashukur sana kwasomo
@macksemuyango61082 жыл бұрын
Be blessed my BROTHER EZDEN JUMANNE
@ismailhussein53923 жыл бұрын
Kaka shukurani sana kwaujumbe wako mzuri Allah adhidi kuwalinda inshaaLlah
@gracekileo122 жыл бұрын
Thank you Ezden be blesed....
@shukranally11793 жыл бұрын
jazaka llahu khair kwa somo zuri kaka ezden, huwa napenda sana masomo yako coZ huwa yananilenga na kunibadilisha, pia yananipa faraja coz kuna wakati nakuwa disappointed for tragedy and drama happened in my laif ,,,enxx brother,,
@judithsalvatory28923 жыл бұрын
Barikiwa sana kuna watu Mungu aliwaumba kwa kusudi
Asante ndugu yangu umenitoa sehemu 1 nakunipeleka sehem nyingine
@adamchambo33213 жыл бұрын
.nice study
@AlfaMbisa7 ай бұрын
Respect to you brother
@kamaratsalimsafari88383 жыл бұрын
Thanks Each One Teach One 👍
@evansfwoti43213 жыл бұрын
Uko poa bro, nakuwelewa sana nashkuru kw mawazo yko ,barikiwa washangae
@twalibuchaye76873 жыл бұрын
Keep it up ndg yangu Allah akuzidishie elim Zaidi, somo lako limeeleweka sana
@martinawagine8753 жыл бұрын
Thanks bro
@asilazahor8953 жыл бұрын
Thanks
@nellykebene53843 жыл бұрын
Keep it up
@felisteravija19013 жыл бұрын
Kaka mungu akubariki,ndowakat niliopo mdogoako,ni nitanyanyuka tena,ila sitapenda tena
@amranikigolo59742 жыл бұрын
Waooo nimejifunza kitu,
@saidesalimo14972 жыл бұрын
Uko vzr Sana my brother
@stephansimkoko11932 жыл бұрын
Bro elimu nzuri sana mungu akubaliki sana!
@ncennsnomdkmcekwcm62586 ай бұрын
Asante san kaka
@chrismassawe3263 жыл бұрын
Elimu nzuri inambadilisha kila anaeskiliza na kuchukua hatua.🙏🙏🙏🙏
@successpathnetwork3 жыл бұрын
bila shaka kaka
@catherinegabriel93793 жыл бұрын
Kuna baadhi ya vitu namilikii kwa ajili yako Kaka nataka tu ujivunie Mimi. Mimi Ni mwanafunzi wako Bora Sanaa ✌️
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Waow...Safi sana nafarijika sana kusikia hayo. Karibu sana
@samymdundu3 жыл бұрын
Safi iyoo
@habibismael49373 жыл бұрын
Mmh great Kaka mkubwa pamoja till the end from Burundi
@Sumairatz3 жыл бұрын
Kazi nzuri, ubarikiwe
@francengosha71573 жыл бұрын
Conglatulation more bro...you can
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Thank you
@liduvaliduva50412 жыл бұрын
Blaza nakubali xana kazi zako na kujihisi nimechelewa kusikiliza vipindi vyako nipo nje ya nchi sasa ndo nimeanza kuandika moja lakini mpaka Sasa Nina miaka 28 je kutoka na umri wangu je nitakua ndani ya mda kuukimbilia utajiri maana ninandoto ya kua zaidi ya mo deuji
@ezekielpanga75993 жыл бұрын
Thank you kaka yangu umenitoa mahali umenipeleka palipo bora! !!!!
@saadaalmamary83973 жыл бұрын
Thanks u give me power to do my own
@mrpath.69922 жыл бұрын
You deserve respect ✊🏿
@kombemizinga41583 жыл бұрын
Wow nimejifunza kitu👏👏👏
@ibrahimfrance15763 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri nakukubali xan brooo tupo pamoja
@twaybachellah9142 жыл бұрын
Asante sana
@verenapastory91182 жыл бұрын
Haise nashukuru kwa somo lako zuri Sana ni mama mjane nimejifunza vitu vingi kuacha nakuambatana na vitu au watu sahii kujipenda kuacha msongo nk barikiwa Sana 🙏🙏🙏💃💃
@sarahabdi61753 жыл бұрын
Asante kaka J4 number 7 nimeielewa sana na najiahidi kuifanyia kazi. #Each one teach one.
@saadaalmamary83973 жыл бұрын
Mashaa Allah
@amanigoah5148 Жыл бұрын
Cool bro
@SUMANEWS Жыл бұрын
😊😊😊somo zuri kaka
@successpathnetwork Жыл бұрын
shukrani
@salhaaa49963 жыл бұрын
Kwel kabisa 😍😍😍
@rodricksilvester15673 жыл бұрын
Good
@happysamwel67933 жыл бұрын
Asante
@ShonyangaAbdoulrashid8 ай бұрын
Kaka mm nina tatizo la kigugumizi kilinishika ghafla hua nashindwa kujieleza
@edwardkimori88533 жыл бұрын
safi sanabro thask somo limesomeka shukuran .
@michaelcosmas10412 жыл бұрын
Aaaa
@emmanuelmwizarubi92522 жыл бұрын
Umekuwa n masaada mkubwa sana kwangu nnakuelewa sana kiongoz
@bizimunguflorien28203 жыл бұрын
A good jobb big brother Thanks a lot 🙏 ❤️
@samymdundu3 жыл бұрын
Habari kaka unafanya kaz nzuri sna na ni mmoja wa kijana wa kukubali kubadilika Niko nakuelewa sana yaan na nimenadilika kwa mengi .. Ila nilikuwa ninawazo siku embu fafanua lugha ambayo unatumia ili watu wakuelewe zaid maana watu tumetofautiana .. Lugha unayo tumia ni kiswahili kizur ila kuna kahali flan ivi cha unavyo ongea watu hawakuelew ..so nahis umenielewa embu siku weka Ilo somo ..maana kuna rafiki yangu anapata shida kukuelewa .. Ila mim nakielewa sana tuuu Ila binafsi naamin bado ajajitambua kwenye upande wa kubadilika ndio maana watu kama hao hawajelewii asante
@albertlunda26763 жыл бұрын
Ongera kaka kwa somo lako nzuri. Mimi ni mkongomani,naishi hapa Lubumbashi. Napenda sana mafundisho yako , Yani yananipa sana faraja.
@charlesmyamba85313 жыл бұрын
somo zur bro
@saadaalmamary83973 жыл бұрын
Piga kelele kwa kaka yake wewe wee big up brother
@djnaffblast58992 жыл бұрын
La 10
@amemeabdulrazak13973 жыл бұрын
Nikwelii kabisaa
@kizazijeur75182 жыл бұрын
Mambo yote yamenitengeneza bro Ezden
@rahimaaziz89703 жыл бұрын
Nkupta sana kk Ezden
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Pamoja sana...
@amemeabdulrazak13973 жыл бұрын
Asalam alykum Allah akupe umri uzidi kutueimisha ww n grop lako
@noahefelemu93953 жыл бұрын
Unaniponya saaaana kaka, be blessed, ulizaliwa kusaidia jamii kwa namna hii, sijui niseme Nini kk, you're the best, I mostly appreciate your mind set
@elishamgasa23433 жыл бұрын
Aisee hii nimeipenda sana...... Naomba utuletee somo ambalo linahusu kijana mwenye njozi kubwa katika maisha yake na anapomshilikisha mzazi wake anamkataza, je kijana kama huyu afanyaje? Na nini ambacho kinakuwa kimefichika kinachomfanya mzazi kumzuia mwanae kufikia ndoto zake?
@salumsamesame17413 жыл бұрын
Kaka iko smart sana , naona kabisa unanilenga mimi kwa kweli😥
@jamilayusuph23753 жыл бұрын
Ahsant pmj sana
@butoyiamadi12663 жыл бұрын
asante kaka
@iddychanongo40953 жыл бұрын
Blessed👑
@kikotikikoki25603 жыл бұрын
Mala nyingi huwa skosi darasa lako unatusaidia sana asante