Prince Nyakurungwi; Alikuwa ni mkuu wa moja ya jela za Z'bar, lakini alikuwa ana asili ya bara kama wakina Kilozi.
@princenyakurungwi69254 жыл бұрын
@@ussikhamisussi4882 watanganyika kumbe wameishika Zanzibar tokea waondoke waarabu na wazungu mpaka Leo Hatar kweli kweli
@ussikhamisussi48824 жыл бұрын
Prince Nyakurungwi; Yeah, Serikali ya kweli iliyoshikwa na Wazanzibari wenyewe ni ile iliyodumu miezi kadhaa tu ambayo kutoka mwaka 1963 wao(Malmalaka ya Bara) wakadanganya dunia; kwa kuita ni uhuru wa bendera. Ndio ikawa nchi huru ya Z'bar, hapo ndipo Watanganyika wakaiona hiyo ni fursa sasa ya kuinyang'anya madaraka nchi ya Z'bar na kuitawala kabisa baada ya kuona haina nguvu kama Bara ila iliwashinda maendeleo Afrika mashariki yote na kati, hakuna anayekataa hilo. So, wanaume wa Tanganyika wakaingia kazini mwaka 1964 wakishirikiana na wale wengine waliokwisha kuwepo na wengine kutumwa kwa makusudi kuja Z'bar kwa dhamira hiyohiyo ya kuipundua na walifanikiwa kwa kweli na ndio mpaka sasa Z'bar ni koloni la Tanzania bara, hakuna asiyejua.
@princenyakurungwi69254 жыл бұрын
@@ussikhamisussi4882 kweli kabisa uliyo yasema,ila jee hawa vuongozi wa Zanzibar hawalijuwi hili au
@ussikhamisussi48824 жыл бұрын
Prince Nyakurungwi; Wanalijua vzuri sana ila wapo kwa ajili ya maslahi binafsi, ni vibaraka tu