YA ALLAH TUNAKUOMBA UTAJALIE TUPATE UHURU WETU TUMECHOKA
@yusufmohamed88742 күн бұрын
Ni aibu kabisa kutukuza familia ya karume
@charlesbibombe23013 күн бұрын
Nimekuwa nikirudia rudia sana simulizi hizi za mzee wetu. Ukweli inasikitisha sana, japo mm niko bara sikuwahi kusoma historia ya kusikitisha kama hii.
@mwinyihamisi33696 күн бұрын
Yupo hakim wa mahakim,atawalipia.
@jumahamad541312 күн бұрын
Allah Atawalipia dhulma hii kubwa waliyofanyiwa
@benjaminmichael81126 күн бұрын
Naelewa mzee Aman Than akisema ardhi ya shaba...kule kwetu ikiitwa "Libambasi" mfinyanzi ulokomaa haswa
@imraniqbal00765Ай бұрын
Kwa hakika dhulma imepita lkn hisabu ipo kwa Allah s w
@abdallahdullah8642Ай бұрын
Allah amlipe kheri kilonzi
@charlesbibombe23012 ай бұрын
Kila Mara napenda kusikiliza simulizi hizi mbaya za mzee wetu huyo. Kwa hakika Mambo hayo anasimulia yamenitafakarisha sana. Kuhusu viongozi wetu. Mm Niko bara, lakini nimesoma vitabu kuhusu mapinduzi lakini Ni Kama tulidanganywa
@machintangachibwena59222 ай бұрын
Abdallah Mamba alianza kuoza viuongo kabla hajafa mwili umeanza kuoza kiongo kimoja baada ya kimoja
@machintangachibwena59222 ай бұрын
Karume si mtu ni jini wapemba walisha sema zamani
@alishaksi46392 ай бұрын
Subhana Allah mambo hayo mpaka leo yapo
@OmarMohamed-zf8dp2 ай бұрын
Mm naomba kukuuliza. Uhuru na zanzibar 63 na 64 upi uhuru halali. Na jengine saa jojimoreni alikuwa nani hapa visiwani pamoja na tanganyika na Kenya alikuwa kama nani huyo joji moreni
@jumambazi71732 ай бұрын
Vipi Kama utawala wa kisultani ungerudi Mara baada ya mapinduzi,ungesema Nini?
@salyali78072 ай бұрын
Hasbiyallah waneemal wakeel
@LovelyBubbleTea-vz4ol2 ай бұрын
Mateso makubwa alla atawalipia
@ahmedgulam21943 ай бұрын
Mmh
@ommymsangi91823 ай бұрын
Serikali ya mapinduzi ilikuwa ya kinyama sana.
@masoudmasoud81383 ай бұрын
HALAFUU WEE MWENZANGU UNAYAKUBALI MAPINDUZI DAHHH
@MusabashiruMusa4 ай бұрын
Daah
@mbwanarashidi17744 ай бұрын
Huyu hanga yuko wapi sasa na historia yake ikoje
@AmraniRamadhani4 ай бұрын
ALLAH AKUREHEMU AMANI THANI, KWA KUSEMA UKWELI
@LovelyBubbleTea-vz4ol5 ай бұрын
Makame fidia ana hostoria mbaya sana
@LovelyBubbleTea-vz4ol5 ай бұрын
YOTE NIKWELI YAYQ ANAYO SEMA
@charlesbibombe23016 ай бұрын
Duuh, tumedanganywa Sana kuhusu mapinduzi ya Zanzibar. Nipo bara natetemeka mzee anavosimulia haya
@charlesbibombe23017 ай бұрын
Sawa, lakini wangepelekwa mahakamani na kesi ikasikilizwa kwa haki. Hakika hiyo Ni dhuluma mbaya waliyofanyiwa
Nafuatilia darasa la mzee huyu, alitakiwa apewe tuzo
@charlesbibombe23017 ай бұрын
Matatizo Kama hayo kwenye jamii huisha kwa kufanya maridhiano na kuombana msamaha. Viongozi wenu wajiandae kwa Hilo.
@HassaniMzee6 ай бұрын
Wengi waliotendewa uovu huo wameshatangulia mbele ya haki msamaha aombwe nani
@lenniefei67104 ай бұрын
Haya ni Mungu pekee atahukumu, maridhiano hayawezekani !
@charlesbibombe23017 ай бұрын
Hongera Sana mzee kwa kuongea unachokikumbuka. Hakika Maovu hutendeka gizani, lakini mwisho hujulikana kwenye Nuru
@charlesbibombe23017 ай бұрын
Kuna haha ya utawala Zanzibar kuwaomba radhi wahanga wa mateso. Huyo mzee anakumbuka kila kitu, na hii Ni imeandikwa
@hassansugha59357 ай бұрын
Yaani ukisikilza kma sio zanzibar hii duugh
@hassansugha59357 ай бұрын
Naziftitilia hz clps za mapinduzi ya Zanzibar Dah kumbe tulidanganywa sana
@abdallasheha41737 ай бұрын
Ndio mpaka Leo wanasema uwongo ndani ya mskiti
@user133757 ай бұрын
Pua refu ,mwarab ww
@MuzneOthman-l7i8 ай бұрын
UNAPOSEMA WAARABU WAMEKUJA MIAKA ZAIDI YA ELFU . WALIPOKUJA WALIKUTA HII UNGUJA HAMNA MTU. KISIWA KITUPU AU WALIKUTA WATU. UNAPOSEMA WAAFRIKA WA KIBANTU SIO WAARIKA WA WAKATI HUO UNAMAANA GANI. UNALIHASIMISHA VIPI KUKU NA YAI. WACHA UNAFIKI
@NassorOmarDadi5 ай бұрын
We mtwana unasemaje ww
@MuzneOthman-l7i8 ай бұрын
hana lolote mnafiki huyu. tunamjua mtwana mkubwa kusema hayo na mengine na huo umri anaosema ni muongo. aje nimuoneshe kipande/kibali cha kupatachakula 1918 cha baba yangu kipo. mwafrika anapata chakula dona ratili 3,sukari ratili 1. mchele ratili 2 kwa mwezi , waarabu hakuna kitu kama chakula na kidogo afadhali uwe mngazija.
@mwanaidialiame3188 ай бұрын
Subhanallah 😢😢
@AllyHamran9 ай бұрын
Nchiii kisha isidamirike.
@AllyHamran9 ай бұрын
Na kizuri walifanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe.
@AllyHamran9 ай бұрын
Genge la tupendane lilokuwa miembeni lililokuwa lilokuwa likizaminiwa na Karume na chama chake cha ASP ndio walofanza hale.
@AllyHamran9 ай бұрын
Diria aliishia wapi na vpi?
@AllyHamran9 ай бұрын
Mungu akulaze pema mzee wetu
@alialamoudi97299 ай бұрын
Baada ya kupata uhuru kulikuwa NA serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari
@alialamoudi97299 ай бұрын
Huyo mzee ni mzanzibari kuhusu waarbu ni tarahe miyaka mia tisa 900 iliyo pita wakazaliyana humo humo zanzibari NA kuona kuhusu oman NA zanzibari ilishagawanyka toka kitambo zanzibari peke yake NA oman peke yake zanzibari ikawa chini ya ukoloni ya ungereza pamoja NA tanganika nchi mbili hizo zilipata uhuru tanganika NA zanzibar kutoka kwa mwengerza baada ya uhuru wa zanzibari ilifanwa uchaguzi NA wazanzibari wenyewe kwa hiyari yao matokeo kundi la wazanzibari wenye asili ya waarabu ilishinda hao ni wazaliwa pemba ni wanainchi wakapendwa ile mbaya NA wazanzibari kwa uwema wao uadilifu uaminifu wao sasa ubaya gani kuwa wanaasili ya kiyarabu raisi wa malaziya alikuwa mwarabu raisi wa amerka alikua mkenya yani zanzibari elikua dola peke yake ina kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua NA amani hana thulma uhakika ni kwamba vibaraka kutoka zanzibari ndio wameharibu nchi kwa msaada ya ungereza NA tanganika nchi ikavamiwa usiku wa manane NA majeshi kutoka bara NA kiongozi wao alikuwa jhon okeli wakati siku ile karume alikuwa dar eslaam kwa nyerere wakingojea matokeo ya uvamizi inayo sikitisha ni kwamba walivyo uliwa watu wasio NA hatia raia wa kawaida waliwatoa manyumbani usiku NA kuwapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma watoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi NA serekali ya zanzibari ikapotea ikaja utawala wa namna nyingine au ukoloni mpya wakaita mapinduzi NA tena matakatifu itakuaje kuwaua waslam mwenzio NA kiuta mapinduzi matakatifu ajabu sana