Hapo hakuna police mtu Moja police kumi jee wangekuwa wakina jakcob wapo kumi
@bishopmosesmagadula7572Ай бұрын
KELELE na hizo purukushani ndio zimemuokoa la sivyo angepotezwa na baadae ingesemekana ni watu wasio julikana MUNGU TUOKOE NA HALI HII
@MohamedFundikilaАй бұрын
Acha jeshi la polisi lifanye kazi kwa ajili ya wachochezi mnataka mbembelezwe nyie nani?
@BraytonMwakitalimaАй бұрын
Toka uko nchiii hiii niyenu hakuna mchochezi chiziiii wewe
@HamdanAmliАй бұрын
Et watu9 nasiraha mnakuja kumkamata mtu mmoja yaani hii nchi dah mungu tusimamie
@godwinshoo5032Ай бұрын
Ulitaka wawe wangapi? ulitaka wawe walegevu na wasiwe na sila
@TumosafariniАй бұрын
@@godwinshoo5032Uwingi na siraha pia ni ishara ya kukosa kujiamini hasa unapojua kuwa hauaminiki au haukubaliki.
@rajabukipara3008Ай бұрын
Ulitaka Akamkamate MAMAAKO 😂
@EliaHilukaАй бұрын
Ninachokiona ni ubabe kwa raia wasio na hatia ni jambo linalopaswa kukemewa na vyombo vyote vya wapenda haki
@AliAhmed-m1o2uАй бұрын
Mnadhani mtafanya mambo yenu ya kutaka kumhujumu rais na serikali msijulikane si mnajidanganya???
@hopefully7090Ай бұрын
Anahujukiwaje?ifike mahali watanzania tuone uchungu na damu za watanzania wenzetu bila ushabiki.@@AliAhmed-m1o2u
@lothanathanael2286Ай бұрын
God bless lema alisema yeye na Boniface wamepokea ujumbe wa ukibaonism siku ya mazishi ya Ally m kibao KUWA haipiti wiki bila kufanyiwa ukibaonism SI ndio HIYO Sasa kama sio kelele ingisha iyo.
@wilisonmikate1652Ай бұрын
Kwa sasa hata kama amevaa sale polis sio wakuamini.
@upendoeliya9329Ай бұрын
Boniface amefanya kosa gani mbona kazi yake ni kuwatangaza wanaotoweka ghafla, mauwaji na utekaji jamani!! Boni MUNGU akutangulie.
@VoiceofpeopleotzАй бұрын
Lakini polisi wanabidi wamkamate mtu kwa kumtajia kosa lake si kiholela tu mtu anakamatwa why hii nchi inakuwa na uongozi wa uonevu kama huu ila wananchi ni waelewa nawanaonq...
@kolumanialoyce4623Ай бұрын
nchi yetu inaongozwa. na Bsheria sasa tuiache.sheria
@faustinemasaweАй бұрын
Hawa watu wa ajabu sana iv hawa askari wa bongo wanatumia kifungu gani kukamata raia wakati akishakubali mwenyewe hakuna shida tena ya kuanza kutumia nguvu unyanyasaji tu huu nchi yako unaishi kama upo vitani
@abdallahakida7908Ай бұрын
Mnajua huu ujinga mnao uwendelexa nyinyi watanzania utakuja kuwaweka mahali pabaya cause watakuja watu ambao sio waxuri na watanxa kuteka watu kwa njia za ujambazi ,unatekwa na unambiwa uende nyumbani ukatoe ulichonacho,ningeomba serikali itafute njia mbadala
@joshuakobe6619Ай бұрын
Aibu nyingine
@EmanuerKaloriАй бұрын
Kwani msajili wa vyama uko wapi, kama chadema haitakiwi kuongea chochote wala kusikilizwa so ifutwe tu, tubaki na chama kimoja ccm maana ndo yenye haki, maana hatuelewi sijawahi kusikia mwana ccm kakamatwa hata kama atukane na kutoa vitisho vp,ivi ni kwa nn
@DaviMaikoАй бұрын
Faidayamama ndotuje baba nibora kuriko mama mama udaote nimusaidizitu