Mwanaume wa kisukuma kawashika papaya, ndiyo maana Mnaweweseka.
@ThomasNsato-q9b25 күн бұрын
Habar yako kaka mayai yapo
@adyaa89226 жыл бұрын
Tumetoka police sasa tupo kwa wana jeshi likitoka ilo sijui zamu ya nani hii ndo Tz bhana yani kila siku vituko
@tintz31576 жыл бұрын
Halafu uma ukijua wakusaidieje, we c unajifanyaga baunsa mbona hapo umekuwa mpole, endelea kuteka watu hizo salamu tu
@stanleymfikwa82376 жыл бұрын
MUNGU Yupo nawewe . Usikate tamaa nyie viongozi mnawakati mgum uvumilivu muwe nao. Mwenyezi MUNGU awatetee.
@mohammedsalim63986 жыл бұрын
Hao ni majambazi tu kiongozi, pili kiongozi mkubwa wewe Lazima ufunge ccctv câmera kwa ajili ya MATUKIO kama haya isiishi ki zamani boss pole Sana
@nkyaelia92516 жыл бұрын
Sasa taarifa ushatoa polisi si usubiri jeshi lifanye kazi yake vyombo vya habari ni vyanini mapema yote
@juliusmeshack65726 жыл бұрын
samahani watanzania wenzangu nyinyi ndugu zangu huwa mnasema police wetu huwa ni ccm sasa mrienda kufanya nini harafu huwa mnasema nyinyi makamanda kira kukicha mnalaumu asikari wetu kwamba wanatumika na ccm mnapopatwa na majanga mkae kimya mmekuwa hamuishi kuwatoa hakiri harafu kwanini unapenda kuwalaum serikari wacha malalamiko
@gracemwanyika73186 жыл бұрын
Serikali hapo mnasemaje,? Amani hakuna!!?????!?
@sundayguy7796 жыл бұрын
wote walio hucka hawatabaki salama mungu awape hukum kali na awalinde viongozi wetu wakae salama majumban mwao
@juliusmeshack65726 жыл бұрын
mahemba sikubishii inawezekana nikawa sina hakiri kabisa ila hawa mabwana hawajawahi kusema police wetu wamefanya jambo jema hata siku moja ndio maana nikashangaa kusikia alienda kutoa ripoti police hao hao police ndio hawawapendi kila kukicha
@bekasaimon35286 жыл бұрын
Bado mnawindwa Ilim
@bekasaimon35286 жыл бұрын
You know we'll that your enlisted to be assassinated still you cannot even CCTV cameras secretly at y0ur apartments, at your vehicles, at your meetings I'm afraid you take things happen in this state so simply Uganda during ndulis rule was known as a police state.
@stanleymfikwa82376 жыл бұрын
Duuh! Hii ni hatari tutakua tunaogopa wageni. Tunashukuru kwa kua wamewaacha salama.
@abelmirwatu5446 жыл бұрын
Nani ana husika na ulinzi na usalama ktk jiji la dar es salaam?
@lameckbalekele29016 жыл бұрын
Wewe mchochezi mkubwa
@milimomashini94326 жыл бұрын
Lameck Balekele kwa nn
@emanueljoshua9256 жыл бұрын
Uchochezi ni nn hapo. Amechochea nn
@anitakatawa91636 жыл бұрын
mchochezi wwwe
@hamisindoki8856 жыл бұрын
Lameck Balekele mchochezi Kivipi brother
@semisanashon71036 жыл бұрын
Acha unafiki kuwa mkwelii
@allyomary93186 жыл бұрын
Ulikuwepo wewe mwenyewe au umehadithiwa????
@simpeponestory76376 жыл бұрын
Taarifa za kichochezi za musiba zinaanza kufanya kazi.Tafadhali musiba adhibitiwe kauli zake zitaleta matatizo makubwa zidhibitiwe.
@jovinarybwoma73076 жыл бұрын
Tz hakuna amani bali utulivu
@jovinarybwoma73076 жыл бұрын
IPO siku watachukua chupi za watu kwenda kuzipiga pasi
@allykassa1776 жыл бұрын
Huyo atakua n yule yule anaetumaga watu wavamie
@lameckbalekele29016 жыл бұрын
Tatizo wewe unasiasa zakijinga munalipwa na Mabepali mnaanza kutusumbua
@jacobnghwali45315 жыл бұрын
Mpumbavu wewe Kwa hiyo Una maanisha nini mbwa wewe
@rasnchimbi6 жыл бұрын
Ilitakiwa wapewe ruhusa na wewe mwenye nyumba,ni kosa kisheria.
@pascalmwendakaz71786 жыл бұрын
Michozo michafu ya kipumbavu inaongezeka tu tz
@juliusmeshack65726 жыл бұрын
kwani hata wewe ungekuwepo ungefanya nini ndio wanye nchi yao na ndio wanakufanya urare kwenda zako hizo komedi zenu
@mahembajulius70366 жыл бұрын
Julius Meshack ht km una akil 0 huwez ropoka kiivyo, cy akil ndog ila unazo nying mpk zimezid