Hakika hapo ni ukweli ambao unathibitishwa na Rais wetu wa kwanza mwenyewe.
@SalumKanju-ik1bk21 күн бұрын
kabisa yani dah roho inauma sana tulifichwa mengi nakumbuka nilipokuwa fom six 2009 nilijikaririsha zaidi history 2 kila topic utasikia the rise of........in europe kumbe ili usijue nyumbani yaliopo mmh