Tukiwa tunaelekea maadhimisho ya kifo cha baba wa taifa hayati mwalimu Julius Nyerere, tuanze kutazama hotuba zake mbalimbali alizowahi kuzitoa enzi za uhai wake
Пікірлер: 19
@mosesmulambia65786 жыл бұрын
Greatest African President and one of the world's greatest Mwalimu you gave us hope, you made us proud,
@brucemutuma4 жыл бұрын
Mwalimu alikuwa mwenye busara sana. Mungu aendelee kumpa pumziko la milele.
@machoyangu81056 жыл бұрын
nilimpenda sana mwl nyerere mpaka shule niliitwa nyerere, mungu akuweke mahari pema
@mohamedothman97694 жыл бұрын
Halaf sio MAHARI ni MAHALI
@welmanadam57276 жыл бұрын
greatest ever Tanzanian President
@olaislukumay22084 жыл бұрын
Kiongozi mwenye hekima na uwezo wa juu sana wa kuongoza
@lawsofsucces57847 жыл бұрын
Thank you Mwalimu Nyerere
@greatiq78353 жыл бұрын
I can see the late Hon. Aboud Jumbe Mwinyi. R. Zanzibar President. May Almighty Allah(God) put his soul in an Eternal Peace! Ameen!
@edsonmwijarubi61716 жыл бұрын
it's good and we have to live peacefully
@user-kr9hi7wy1o3 ай бұрын
Good
@conasmalale10733 жыл бұрын
Askari anacheka
@papafikiri7 жыл бұрын
tisha sana
@samwelkilale11813 жыл бұрын
Rest isy fazer
@amihogatai84323 жыл бұрын
hotuba gani dakika 2 na nusu? amesema dada kasema "moja ya hotuba..."
@emmamateso7306 Жыл бұрын
Sikia laiss nyelele
@mwanaishamghwai518111 ай бұрын
Nilijuwa mtamtenga nikampKa matope ili achafukwe kabisa
@robertmaginga61322 жыл бұрын
kiongozi wa Aina yako hajawahi kutokea na sirahisi kutokea walikuwepo nchi nyingine Kama Nelson Mandela afrika kusini, KwameNkurumah Ghana n.k Tanzania hajatokea mwingine bado.
@juliuswantere68642 ай бұрын
Ni kweli kabisa;huyu mzee alikuwa kiongozi;hakuwa mtawala,maana ni tofauti kubwa kiongozi na mtawala👏👏👏👏