Vijana wa kiswawafiqah hawataki kabs kuskia kuwa Sheikh Wao alimdhulum Sheikh Abuuu Muawiyyah ,Na kudai ati hizi clip zisiletwe Jmaani Tunaomba Hizi Clip Ziletwe Man hawa Jmaa ni Sio watu Wa haaki ,Walimdhulum Abuu Muawiiyah ,Allah atawafedhehi hawa ,
@Dawah99Ай бұрын
Mche Allah ewe ndugu yangu, kwanza kuwaita watu swawafiqah unaonesha fikra yako ulionayo juu ya masalafi, pili ni kama unaashiria kuwa abuu muawwiya ndio haqi yenyewe, kwamaana kwenye khilaf anangaliwa abuu muawwiyah na sio haq kama haq. Maana Shaykh Rabee حفظه الله amewabaanisha na kuwaradi mashekhe ambao abuu muawwiyah anawatetea je Shaykh Rabee, Shaykh U’baiyd, Shaykh abdullah al bukhary na wengineo ni masawafiqah pia? Hemu acha ta’asub ndugu yangu mtukufu. Allāh akuongoze wewe na mimi. Allāh amrehemu ustadh abuu Muawwiyah na amsamehe makosa yake رحمه الله. Na Allāh awaunganishe masalafi katika saf moja.
@Ibnsalim3Ай бұрын
@@Dawah99amin
@AbAlhuraasАй бұрын
@@Dawah99 sehemu gani nimeashiria Kuwa Sheikh Abuu Muawaiyya ndio Haki Yenyewe ? Halaf Naomba Nitajie Hao Masheikh Ambao Sheikh Rabee ,na wengine Wmawatahadhrisha Na sheikh Abuu Muawaiyya yeye anawatetea Hao Masheikh Waliotadharishwa ?
Allaahu mustaanu,, hua napata wakati mgumu sana kuona watu wa Sunnah Tena wenye ilmu,, wanagombana na wanakila dalili zaa kitabu na Sunnah,, bila shaka kibri,, majivuno na kujitweza ndio shetwani ametuweza nacho,, Talbiis Ibliis katika mlango wa watu wa ilmu
@AbuIbrahim-v8h19 күн бұрын
Waliotangulia mbele za Haki ALLAH awarahamu na awasamehe madhambi YAO Nawewe uliobaki mpaka Sasa tubia Kwa ALLAH na tujiepushe na fitna aliolala
@HajiDibwa-n2f28 күн бұрын
Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema
@pavillioncry5241Ай бұрын
الله يرحمك يا أبا معاوية
@allywaziry6419Ай бұрын
Chanel hii inaonyesha inapenda sana fitna hii iendelee kufukuta baina ya swafu za masalafy kuliko kuisha kwake..
@AbdulIssa-o7eАй бұрын
Daah nilipenda sana ndugu hawa wawili abulfadhili na Abuu Muawiya waungane katika dawa kumaliza tofauti zao lakini bhasi tena, Allah amechukua Amana yake, ni kumuombea duwa ndugu huyu upo alipo katika ulimwengu wa barzakhaa Allah amsamee alipokosea
@ABUUBAAZNYUNGU-j4xАй бұрын
Allahumma Aamiyn!
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Amyn
@Ibnsalim3Ай бұрын
@HanifaOman-oo4pl amni
@AliAhmed-b5z8l17 күн бұрын
Hivi usalafi mnaujua au mnafuata matamanio yenu? Rejeeni nyuma muangalie amali zenu wote including Kasim Mafuta, Allah atunusuru
@SheikhYussuf-iv6loАй бұрын
اللهم غفر له وارحمه
@ABUU_SAAD-ut4fdАй бұрын
Huyo muhammad mafuta ndo miskiin kiupande wa elimu wala asimparamie Abuu Muawiyya
@tibaasiligreatmoment8850Ай бұрын
Watu Wanasomesha Nyie Kazi Yenu Porojo Tuh
@HamadNur-uz5puАй бұрын
Ww waeza kuwa ni msufi khurafi
@mashaurimvungi2232Ай бұрын
Hizi zilipendwa ziacheni mnajizalilisha Sasa Hali ikoje nusura ikowapi Sasa wacheni kiweka hizi clip
@HajiDibwa-n2f28 күн бұрын
Nampenda sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu kwa ajili ya Allah
@MB-yq3tyАй бұрын
Mwenye hii chanel simwelewagi kabisa ni mtu wa fitina kila kukicha NILIJUA NIKIFUNGUA NITASIKIA MAONGEZI YA SIMU BAINA YAO sasa mbona hamna na kichwa cha habari kinanadi kitu gani.
@KiagoBakariАй бұрын
Halafu acha kuongopea watu kichwa chahabari kingine ukifingua jambo jengine unatofautigani na mitandao ya hovyo kichwa cha habari chengine ukiingia ndani unakuta kitu kingine
@ibrahimramadhan607625 күн бұрын
Wapuuzi msitushuulishe mihizibiiiiiiiiiiiiiiii
@ibnsuleyman414024 күн бұрын
Wanaojiita masalafi wote sio wazima
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Mtu ashatangulia mbele ya haki. Kwanini muemnaweka uchuonganishitu siyovizuri ebu zitoeni mtoe mawaidha mengine muacheni mwezenu. Intakillah
@AbAlhuraasАй бұрын
Hapa ni kubainishiwa Haki na Wla sio uchonganishi kma unavodai wee ,Allah Amrehemu Abaa Muawaiyya Amiin
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
@AbAlhuraas mbona nimuda mlefu.nduyo kushaanza kupoa yy abayaibua tena
@NurdiniMkuyuАй бұрын
Ewe jaahili mbona humchi Allah hichi unacho kifanya kitakughalimu
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Muombeeni Dua mwenzinu. Acheni makundi ya kugombana utazani hamjasoma vile ebu vumilianeni sababu hakunamkamilifu ebu yamalizeni. Ss tynakusikilizeni nyuemlosoma mkiweka utafauti na maneno je ss tufanyeje tusiosoma. Rudini kwa Allah nyie maahehe zetu
@OmarySalehe-u3yАй бұрын
Hakuna haja ya kuzungumza habari ya shekh kasim mafuta na abuu Muawiya ambae kashatangulia mbele ya haki يقول الله تلك امة قد خلت لها ما كسبت ولكم ما كسبتم kwa hiyo sisi tuangalie ya kwetu tuliokuwa hai
@khamisali5942Ай бұрын
Lazma ibainishwe ili watu wajue kama abuu muawiya hakua na shida. Na watu wajue shida ilikua wapi
@nasibuathmani7015Ай бұрын
Lazima umma ujue sheikh abuu muawiya hakua na shidda,
@islaminmyheart9348Ай бұрын
@@khamisali5942hata kama sisi tunalichukia hilo la kujua?
@OmarySalehe-u3yАй бұрын
@nasibuathmani7015 sisi tukijua ndio kweni abuu Muawiya ndio dini mpaka tumfuate Kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake acheni taasubi
@nasibuathmani7015Ай бұрын
@OmarySalehe-u3y Wewe ndio mwenye taasub, ukiambiwa kosa la abuu muaawiya nini wewe pia wallahi hujui, una taasub kwa kua shikh wako alimtahadharisha, wewe umebeba kama yalivo bila kupma kwa mizaan kwa kuzingatia quraana na sunna kwakua sheikh wako kisha sema, yawezekana huijui taasub iko vpi,
@islaminmyheart9348Ай бұрын
Sisi twajua bilaa Shakka kuwa hii ni channel ya kihizbi. Na kama Allaah hatawahurumia basi kwa hakika huenda mauti zikawakuta huko huko kwenye hizbiyyah pasi nakurudi Katika haqq na sisi hatuliombei hilo. Tunamuomba Allaah kwetu sisi na kwenu nyinyi ulinzi na salama.
@ibrahimjumaa538Ай бұрын
Naona una Assurance ya Asiye jinasibisha na huu ugrupu wa usalafia!! Ni moja kwa moja Motoni😂😂😂
@islaminmyheart9348Ай бұрын
@ibrahimjumaa538 je una ilimu yoyote ili ututolee? au ni maneno matupu tu?
@ibrahimjumaa538Ай бұрын
@@islaminmyheart9348Elimu ya Nini??
@ibrahimjumaa538Ай бұрын
@@islaminmyheart9348 Badala mfuate Haqq na Ilmu, mapenzi kwa Masheikh zenu yamewatawala kiasi Cha yeyote hata aseme Nini kwenu ni Jahil Kabisa!! Jinga sana😂!! Hii dini na Sunnah haijabebwa na Jamaa fulani wa pale Pongwe..
@pavillioncry5241Ай бұрын
Hizbi maana yake ni jitu lenye taasisi Hizbi la kwanza kasim mafuta Na taasisi lake la kisafirisha wake za watu pasi na maharimu zao
@AbuuSaad-e3iАй бұрын
sas mbn hamkueka iyo sauti Uhizbiya t mliokua nao nyinyi
@ManhajSalafZanzibarАй бұрын
@@AbuuSaad-e3i itawekwa inshaallahu
@jumanneissa8226Ай бұрын
hizbiya unahangaika nanini kaa chini usomeshe wanafunzi wa kihizbi
@AbAlhuraasАй бұрын
@@jumanneissa8226 Hizbi ni Masjidi Omar Walioshiriki Siaas za Democrasia Ambayo ni Ukafiri, alianza Abuu Jarab Kada kisha akafuata Muhammad Mafuta Sisiemu ,kuna Uhizbi Zaid ya Huo
@jumanneissa8226Ай бұрын
@AbAlhuraas ulikuepo wakati yanafanyika hayo? naje kabla ya huo uongouliswambazwa wewe ulikua unaiwaita msalafi umar? hii ndo nguzo za mahizb uongo hebu toa ushahid kisheria kwamba umar walishirki democrats hapo tajua wewe kwel ni saraf sio hizbi nakusubil inshallah ushahid wa kisheria
@ABUUBAAZNYUNGU-j4xАй бұрын
Ndugu Abuu Muawiyah kashatangulia mbele za Haqqi... The remaining one ni kumuombea dua huko aliko! These clips are somehow functionless kwa sasa Coz ndugu yetu hayupo tena... KIKUBWA NI KUMUOMBEA MAGHFIRA HUKO ALIKO, ALLAH AMSAMEHE NA SIO KUZIDI KUCHOCHEA FITNAH...!!! Hunaga Clips Zingine eeeh? Kwanza hamjajibu bado kwann mpo na Maanswar Like Bachu ambaye yupo na Barahiyani....!!! Halafu Kwann hamtoagi ruduud kwa mahizbi wa kianswar like Barahiyani? Au mnaogopa kugombana na Bachu?! Nyie muda wote mpo dhini ya masalafy! MTACHOKA TU WENYEWE.... 😂😂😂
@khaalidcheo5383Ай бұрын
Kwani uyu shekhe amefaliki?
@AlmasAbdallah-r3gАй бұрын
@@khaalidcheo5383 Naam mwezi wa6
@AlmasAbdallah-r3gАй бұрын
Halafu yasemekana kwamba kushawahi kufanyika sulhu kati ya Abuu Muawiyah na Salafy naona ingekua vizuri salafy wakatoka hadharani na kusema lillah kwamba washawahi fanya Sulhu then msimamo ukawa huu sio twaambiwa2 kulikua na Sulhu lakini Abuu Muawiyah akakataa kubadili msimamo wake na Salafy wakakataa kubadili msimamo wao maana tunaaikia2 kwamba Salafy walikataa Sulhu na Abuu Muawiyah kawahi kuapa kwa Allah kwamba hajawah kataa sulhu.Waseme hadharani ili isionekane kwa watu kama walimdhulumu kweli maana yaonekana kuna baadhi ya Salafy hili suala hawataki na wanaogopa kabisa kuligusa.
@ABUUBAAZNYUNGU-j4xАй бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g Mimi kama sijasahau nshawahi kumsikia Abuu Muawiyah akisema kuwa ashawahi kukaa na Abul Fadhwil, Mujaahid na Dr Khamis Imaam! Alipokuwa akiambiwa atarajaa, I don't know if ni kuhusu Muhammad Al imaam au la, ila alivyaambiwa atarajaa akawa hayuko tayari Coz alijiona hana makosa na akataka mujadala na masalafy katika hzo qadhwaaya ili ajue kama ana makosa au la! Masalafy nao wakamkalia kimya! Kwo akawa anaongea weee bila kujibiwa, mpaka umauti ukamfika (Rahmahullah)