Рет қаралды 3,135
Hii ndio sehemu ya mwisho ya mahojiano kati yetu na Afande Sele. Ameendelea kutiririka mambo mengi sana humu. Usikose
#afandesele #bongoproject #bongofleva #tanzania #morogoro
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-10256641...
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org