KAKA WA DADA ALIYE UAWA KINYAMA KWA KUKABWA KOO TABATA NA MUMEWE ASIMULIWA CHANZO CHA KIFO

  Рет қаралды 16,714

Lokoma Tv

Lokoma Tv

Күн бұрын

KWA HABARI , SIASA, MICHEZO NA BURUDANI USISAHAU KU SUBSCRIBE KZbin CHANNEL YETU YA LOKOMATV HAPA
Follow Us On:
INSTAGRAM: shorturl.at/wFP67/ || shorturl.at/jwQSU
TWITTER: shorturl.at/luzLZ
FACEBOOK: shorturl.at/rCL12
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Empire Lokoma Limited . 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#yanga #simba #yangasc #simbasc #simbavsyanga #tff #nbcpremeireleague #mwakinyo #samatta #zuchu #wizkid #Davido #nandy #wasafi #diamondplatnumz #alikiba #harmonize #instalive #youtubelive #mboso #lavalava #beyonce #Mariacare #mwijaku #babalevo #hbaba #kondeboy #afrima #notjustok #exclusive #lokomatv #trending #tanzania #marioo #mrpimbi #rickmedia #millardayo #ayotv #simulizinasauti #utamu #mpenjatv #globaltv #bonatv

Пікірлер: 68
@FelistaIbrahim
@FelistaIbrahim 5 күн бұрын
Poleni sana wanafamilia kwa msiba huu mzito mnooo...Davies pole sn
@BlandinaKahuru-ur5el
@BlandinaKahuru-ur5el 5 күн бұрын
Daaaaah. Mwenyezi Mungu amjalie pumziko la milele. Amina
@lucyburetta5831
@lucyburetta5831 Күн бұрын
Pole sana wanafamilia. Mungu awatie nguvu.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Күн бұрын
Mungu wape faraja hii familia. Ee Mungu ingilia kati mfalme
@MONICAKONGA-p4h
@MONICAKONGA-p4h Күн бұрын
Yan poleni sana tena zaidiya sana
@josephatilunde9329
@josephatilunde9329 4 күн бұрын
Ni hasara kubwa kwa wazazi waliomlea na kumsomesha, amekatishwa maisha na mpumbavu mmoja aside na utu.
@SAFIAFOMAR
@SAFIAFOMAR 4 күн бұрын
Jamaa amefiwa na dada ake lakini bado anamuongelea vizuri sana Shemeji yake. Dah poleni sana
@fatumayusuph-z7i
@fatumayusuph-z7i 4 күн бұрын
Sana Hana maneno mabaya na Inaonesha alikuwa mtu wake sana pia kikubwa hapa naona ni pombe sio kila mtu anaweza kuhimili pombe
@bosco1045
@bosco1045 4 күн бұрын
@@fatumayusuph-z7i nacho kiona pombe na Kama ilishamwadhiri no hater Mimi nandugu yangu akinywa anakuwa kichaa kabisa
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 5 күн бұрын
Polee sana family mungu atawatia nguvu
@PendoMatemba
@PendoMatemba 5 күн бұрын
Poleni sana familia, poleni sana sana.
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 5 күн бұрын
Jamani wanawake mkiona dalili kimbieni kabla ya hamjauwawa mimi niliondoka mapema kabla sijauuwawa saizi mimi ni mzima namshukuru MUNGU
@RehemaMtono
@RehemaMtono 5 күн бұрын
Nikweli ndugu yangu
@ibrahimshabani5918
@ibrahimshabani5918 5 күн бұрын
Tatizo la wanawake wanaangalia eti watu watanionaje nikitoka kwenye ndoa.
@petermanala6138
@petermanala6138 4 күн бұрын
​@@ibrahimshabani5918kweli kabisa matokeo yake yanakuwa hasi Mungu atulinde
@soplisjoachim5884
@soplisjoachim5884 4 күн бұрын
Kaa kimya we kiumbe, acha kutafuta uchochoro wa Kutokea
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 5 күн бұрын
So sad! Uuwi machozi yamenitoka ! Mungu atusaidie wanaume tuwaheshimu wake zetu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 күн бұрын
Na siku hz watu wanakunywa pombe kishambaaaa sanaaa Wanaona kama ndy starehe kubwaaaa
@PamelaKasambala
@PamelaKasambala 4 күн бұрын
Poleni sana
@Feithshirima
@Feithshirima 4 күн бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu familia
@agnessinga8222
@agnessinga8222 4 күн бұрын
Mungu wasaidie wanandoa ktk changamoto zao
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 5 күн бұрын
Nawachukia sana wanaume wenye tabia zakikatilii nawachukia mnooo
@SheilaOmar2007
@SheilaOmar2007 5 күн бұрын
Tulaan ndugu akikujia huwezi kumjuwa tena mple kama maji ya mtungi
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 4 күн бұрын
Kweli kabisa.​@@SheilaOmar2007
@AnthonyShirima-z6v
@AnthonyShirima-z6v 3 күн бұрын
Umetoa ushauri mzur sana kaka kuhusu ndoa lkn changamoto iko kwa watoto mkitengana huduma za watoto anaachiwa mwanamke tuu yaan wanaume wengi wanakuaga hvyo ndo kitu kinachotutesa sisi wanawake
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 3 күн бұрын
Poleni sana familia,
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 5 күн бұрын
Daaaah hakika imeniuma sana wllah pumzika kwa Aman D kwann usingekimbia jaman diana wangu jmn jaman meme nimelia sanaa,😭
@happysanga4902
@happysanga4902 2 күн бұрын
Mhuu polen wafiwa
@SheilaOmar2007
@SheilaOmar2007 5 күн бұрын
Yaan tumuombe Mungu atuepushie na kupata mwenza mlevi
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 4 күн бұрын
Poleni sana,Mungu ampumzishe kwa Aman
@missroblez7254
@missroblez7254 4 күн бұрын
Poleni sanaa akina Deo
@PatrickDavid-l3p
@PatrickDavid-l3p 15 сағат бұрын
Wansume ndo wanaongoza kunyonga wanawake bora iwekwe sheria atakaye uwawe tu wanamaliza wanawake.
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 4 күн бұрын
Hivi watu wanapataga wapi pesa ya kunywea kiasi hicho
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 5 күн бұрын
Pole kaka😢😢😢Mungu awatie nguvu😢
@victoriamchaina2918
@victoriamchaina2918 2 күн бұрын
Rip diana wetu
@kadilamore802
@kadilamore802 4 күн бұрын
Pole sana!
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 3 күн бұрын
Jamanii unamnyongaje mwenzio hivo mume jamanii kweli roho zimeteketea na chai
@lightkaalesorensen3837
@lightkaalesorensen3837 3 күн бұрын
Mungu wangu ni vitu gani hivi tunasikia duh😮
@annethowden1888
@annethowden1888 5 күн бұрын
Yani huyo dada ni clasmet wangu ..so sad alikuwa dada mpole Dara zima
@sara-os9dn
@sara-os9dn 5 күн бұрын
Mi naona ukimchoka mtu au akikupa hasira mpeane space......pombe ni mbaya sana pombe ni dhambi pombe ni chanzo cha maovu...sasa mpk hapo hanywi pombe tena na mtoto hamuoni tena anaishia jela....wapendwa tumtafute Mungu kwa bidii
@HappyShirima-k9t
@HappyShirima-k9t 5 күн бұрын
Hakika
@AlexHubert-c1h
@AlexHubert-c1h 4 күн бұрын
Lukoma tv niwape credit zenu Kwa kuandaa maswali kabla ya mahojiano,wengi wa waandishi wa habari hawaandai maswali ndio maana wanaishia kuuliza maswali ya ajabu kwenye mahojiano
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 4 күн бұрын
Nakumbuka kuna shughuli moja ya marehemu hawa pacha wali trend
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 күн бұрын
Ila wanaume jamniiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 5 күн бұрын
Mapenzi haya .waraah siolewi tena .ndoa ya kwanza nilinusuruka mimi ni nani tena niingie taabuni tena
@CashMoney-zf4qr
@CashMoney-zf4qr 5 күн бұрын
Usiseme hivyo, ndoa au maradhi sio sababu ya kifo, kifo cku ikifika utaondoka tu haijalishi Kwa njia gan 😢
@RosemaryKimario-q3n
@RosemaryKimario-q3n 4 күн бұрын
Jamani huyu Dominic ni mtumishi wa jijj la.dar ni kweli alikuwa mlevi jamani poleni
@fatumayusuph-z7i
@fatumayusuph-z7i 4 күн бұрын
Kamuuwa dada ila anamzungumzia kwa upole na mazuri jmn sio kila mtu anaweza pombe tumuepuke shetani
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 күн бұрын
Pombe mbaya sana na kama ukiwa na ukichaa lzm kipande mkipishana kauli
@juditholotu7249
@juditholotu7249 4 күн бұрын
Unampigia tuu Simu mama wa mtu unamwambia nishamuua mwanao jamani hii Dunia inaenda wapi😢
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 5 күн бұрын
Sasa mtu alishaonesha dalili zote lkn bado tu aliishi nae ona sasa kilichotokea
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 күн бұрын
Kataeni ndoaaaaa ndoaaa ni majangaaaa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 күн бұрын
Kataeni ndoaaa jamani ndoaa ni majangaaa
@SantielyDecorations
@SantielyDecorations 5 күн бұрын
Pole
@neemakoka599
@neemakoka599 4 күн бұрын
Wanawake tuna uvumilivu jamani mtu mlevi hivyo si uachane nae tuu
@gracemil9714
@gracemil9714 5 күн бұрын
Uwii
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 күн бұрын
Unaona ss huyo mwanaume alikuwa nanuchizi
@godloveemanuel1417
@godloveemanuel1417 4 күн бұрын
😢😢Dah
@rerisamba
@rerisamba 5 күн бұрын
Ati nishamua mtoto wako
@faridanurdin9635
@faridanurdin9635 5 күн бұрын
Yaan simple hivyo
@sophiaselemani2474
@sophiaselemani2474 5 күн бұрын
Wadada wa Bank hatari mno Mume wake yko sawa kumkaba
@lailatmalik7515
@lailatmalik7515 5 күн бұрын
Mwenyezi mungu akupe hatma njema,Lkn Madhali bado unaishi usinene ukamaliza
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 5 күн бұрын
😳😳Alijakufika na sio ndugu yako una haki ya kusema hivoo..
@hawaalawi272
@hawaalawi272 4 күн бұрын
Haya maneno yakurudie mwenyewe na kizazi chako chote
@sophiaselemani2474
@sophiaselemani2474 4 күн бұрын
@@hawaalawi272 sifanyi kazi NMB Bank 🤣🤣🤣🤣
@vevo3130
@vevo3130 2 күн бұрын
Mshenzi kabisa wewe! Mdomo wako na ukakurudie mwenyewe, unajibu ila unajua kabisa kuwa unachofanya sio sahihi! na una maneno machafu..Umewaza ndugu yake akisoma upuuzi wako hapo! Shame on you pumbavu kabisa....na sijui kinakuchekesha nini hapo...psychopath kabisa wewe ni psychopath mmoja hv lione.
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 5 күн бұрын
Poleni sana
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
ALICHOANDIKA P DIDDY KWA MARA YA KWANZA TOKA AKAMATWE
1:48
Millard Ayo
Рет қаралды 96 М.