#AfyaYako

  Рет қаралды 57,959

Daily News Digital

Daily News Digital

5 жыл бұрын

Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu ni miongoni mwa magonjwa yanayoisumbua jirani kwa kiasi kikuwa. Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete (JKCI) kupitia kwa mkurugenzi wake, Profesa Mohamed Janabi inakuletea baadhi ya dalili za ugonjwa wa moyo.

Пікірлер: 67
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Shukran sn dr
@suzanejeremiah3463
@suzanejeremiah3463 3 жыл бұрын
Loh, Mwenyezi Mungu tutie nguvu, kumbe. ..
@fitinaelias421
@fitinaelias421 5 жыл бұрын
Somo zuri hongera sana doctor
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Naombeni namba ya huyu doctar nina mgonjwa ana hali mbaya 😢
@asmamohamed1422
@asmamohamed1422 2 жыл бұрын
Dr kukakamaa kwa mishipa ya dam
@histonyezekiel4214
@histonyezekiel4214 4 жыл бұрын
Mm dalili zingne sijaziona tofaut na upande wa moyo kuwa mzito kila kukicha Kuna kipnd kunaumwa asa kifua upande wa kushoto na kunawakat nikilala miguu inakuwa Kama imeisha nguvu kabisa swala la kifua upande wa kushoto kuuma la siku nying Sana Sasa cjui inaashiria nn na nipo kijijin
@mubirupeter2153
@mubirupeter2153 3 жыл бұрын
Asante sana doctor kwa somo lako ila Nina maumivu makali chini ya titi upande wa kushoto sijui inatokana na nini
@mercyhealthcare5695
@mercyhealthcare5695 3 жыл бұрын
WhatsApp +255 625 780 510
@mackrinakelvin3997
@mackrinakelvin3997 Жыл бұрын
Napata maumivu pia chini ya ziwa upande wa lushoto
@ashaakbar5667
@ashaakbar5667 4 ай бұрын
Wahanga tupo wengi
@user-mg8ij6np8p
@user-mg8ij6np8p 2 ай бұрын
Ata mimi jmn​@@mackrinakelvin3997
@histonyezekiel4214
@histonyezekiel4214 4 жыл бұрын
Docta plz tupe namba tunatembea tunaumwa tusije anguka
@mariyamushi9251
@mariyamushi9251 3 жыл бұрын
Dokta je kama una volvu iliyajikunja unatibika ? naomba unijibu tafadhali
@mercyhealthcare5695
@mercyhealthcare5695 3 жыл бұрын
WhatsApp +255 625 780 510
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Janabi ulinisaidia Sana Mungu alikuwa mbele yng,lkn nawe ulipigania maisha yng.
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Nawe uliumwa moyo?
@zakayozakayo3697
@zakayozakayo3697 Жыл бұрын
Mim na matatizo san sijajua nitapta msaada kwel mim ,nasumbuliwa nauvimbe shingon lakin nimeaza doz toka mwezi wa7 lakn dawa nikinywa naumwa San sijajua shida nin navimba nimepima ini liko Safi figo pia liko Safi sjajua sasa nashida gan
@happykundael7706
@happykundael7706 Жыл бұрын
Asant sana Doctor lakin mim nina swali je kuhc kam kichom kinakuchom kila mahal kinawez kikachom juu ya bega au mgongon au mguun au kifuani tatizo linakua nin
@christinamichael5815
@christinamichael5815 3 ай бұрын
Iyo Ni dalili ya vidonda vya tumbo
@happynessmakoyehappynessma6611
@happynessmakoyehappynessma6611 5 жыл бұрын
Jmn me mapigo ya moyo yanaenda mbio sanaaaa kila sk uck cjui tatizo nini
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 4 жыл бұрын
Km mie
@kiponzaramos3492
@kiponzaramos3492 4 жыл бұрын
Ushapata tiba
@farhatyakuob5953
@farhatyakuob5953 3 жыл бұрын
Jamani na mm pia umepata au
@mwingotv9161
@mwingotv9161 3 жыл бұрын
Moyo wangu unashituka
@felixwillson3525
@felixwillson3525 Жыл бұрын
Namba tafadhali mwenye namba ake huyu docta anipe jamani
@happynessmakoyehappynessma6611
@happynessmakoyehappynessma6611 5 жыл бұрын
Doctors no please
@goodluckmuyabi4194
@goodluckmuyabi4194 5 жыл бұрын
Moyo kuuma ukipita kwenye sehemu ya bamsi ni ugonjwa?
@julianasimalenga2065
@julianasimalenga2065 4 жыл бұрын
Ushapata suluhisho?maana hii kama mimi
@mercyhealthcare5695
@mercyhealthcare5695 3 жыл бұрын
WhatsApp +255 625 780 510
@happymlwilo
@happymlwilo Жыл бұрын
Naomba namba yako ya cm inashida ya moyo natumia dawa lakini hakuna unafuu nisaizie Doctor
@user-fx6hp5wt4r
@user-fx6hp5wt4r 4 ай бұрын
Pole mwaya
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Nenda muhimbili
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 10 ай бұрын
ACHENI KUTISHA WATU TOETI TOENI MATIBABU WATU WAFANYEJE ILI WAJITIBU SIO KUWATISHA MKAISHIA HAPO
@ivyrehema3246
@ivyrehema3246 2 жыл бұрын
Samahani navipi kuhusu kufura chini ya ziwa la kushoto nakuuma
@chimwemwefoden4630
@chimwemwefoden4630 5 жыл бұрын
Hiyo hsptl ya moyo iko wap
@dismasswai5838
@dismasswai5838 3 жыл бұрын
IPO muhimbili dar
@fatmamkongo4337
@fatmamkongo4337 2 жыл бұрын
Doctor upande wa kushoto juu ya ziwa Kuna muda nahisi maumivu makali Sana,,mpaka mkono nahisi unaganzi,,
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 2 жыл бұрын
Kama mimi yaani.
@happymlwilo
@happymlwilo Жыл бұрын
Nashida ya moyo
@MohamedTsavwa-xh1xl
@MohamedTsavwa-xh1xl Жыл бұрын
Vp Docta wakenya wanaruhusika kutibiwa uko
@omarypongwa9246
@omarypongwa9246 10 ай бұрын
Wanaruhusiwa mbona watu wanatoka Kongo Sudan Zambia nk wako JKCI
@happynessmakoyehappynessma6611
@happynessmakoyehappynessma6611 5 жыл бұрын
Doctor tunaomb no plz
@loycemgonja2634
@loycemgonja2634 4 жыл бұрын
Hongera Doctor
@user-us3zl5hc4r
@user-us3zl5hc4r 9 ай бұрын
Inaambukiza au
@danielKitomary
@danielKitomary 2 ай бұрын
.
@davismandari4091
@davismandari4091 2 жыл бұрын
Pigeymasc
@aishaahmed2878
@aishaahmed2878 2 жыл бұрын
Dr.naomba msaada mtoto wangu wa miaka sita Kuna wakati moyo unaenda mbio Sana na kuna wakati anasema anahisi maumivu, Je anaweza akawa na shida ya moto?
@aishaahmed2878
@aishaahmed2878 2 жыл бұрын
Samahani sio moto namaanisha moyo
@eliuslaurent312
@eliuslaurent312 8 ай бұрын
Nenda muhimbil my atapata huduma
@lovederyare6756
@lovederyare6756 4 жыл бұрын
Docta me nna swali inakuaje mtu nimenene sana kam mm lakini nikipima presha iko normal hii ni kwasababu gani
@mercyhealthcare5695
@mercyhealthcare5695 3 жыл бұрын
WhatsApp +255 625 780 510
@makuyunitvshow2529
@makuyunitvshow2529 3 жыл бұрын
Doctor moyo wangu unaenda mbio mpaka Kuna mda nashindwa kuhema naomba unisaidie mnapatikana wapi Mimi nipo Arusha,halafu nikila vitu vya nafuta najiskia vibay sana
@HidayaHamis
@HidayaHamis Ай бұрын
Mutusaidie nnamba🙏🙏🙏
@thobiaspaul8247
@thobiaspaul8247 5 жыл бұрын
Hivi kuna dawa kwa mtu mwenye tatizo la moyo kupanuka na kamaipo garama kuhusu matibabu ni kias gani
@mercyhealthcare5695
@mercyhealthcare5695 3 жыл бұрын
WhatsApp +255 625 780 510
@mohdikra7154
@mohdikra7154 3 жыл бұрын
Munapatikana wpi
@mohdikra7154
@mohdikra7154 3 жыл бұрын
Na mm nipo na dalili izo nataka kuangalia afiya yangu zaidi
@mercyhealthcare5695
@mercyhealthcare5695 3 жыл бұрын
@@mohdikra7154 WhatsApp +255 625 780 510
@aminasultan8735
@aminasultan8735 2 жыл бұрын
@Tinner healthcare docta unapatikana wap
@salamasabuni3785
@salamasabuni3785 2 жыл бұрын
mm moyo unalipuka afu naishiwa nguvu
@jessica-ni2ei
@jessica-ni2ei 2 жыл бұрын
shoga angu kama mom sijuwi tufanyenn
@user-nv3gh7pi3r
@user-nv3gh7pi3r 4 ай бұрын
Yaaan
@happynessmakoyehappynessma6611
@happynessmakoyehappynessma6611 5 жыл бұрын
Doctors no please
@user-yc3fi8kg8y
@user-yc3fi8kg8y 5 жыл бұрын
mwenye namba yadokta anisaidie nashida sana
@user-yc3fi8kg8y
@user-yc3fi8kg8y 5 жыл бұрын
dokta tupe nambayako tunataka kukuuliza kabla hatujafunga safari yakujahuko
Mambo yanayostahili kuzingatiwa ili kujiepusha na ugonjwa wa moyo
5:08
BBC News Swahili
Рет қаралды 42 М.
Ufahamu ugonjwa wa shinikizo la damu
19:11
Taasisi ya Moyo TV
Рет қаралды 4,3 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 67 МЛН
Shambulio la moyo ni hatari kwa maisha yako wahi hospitali
11:19
Taasisi ya Moyo TV
Рет қаралды 3,7 М.
Presha ya kupanda (High blood pressure/Hypertension)
10:04
Dr. Alamin Suleiman
Рет қаралды 18 М.
MEDICOUNTER | Ugonjwa wa moyo na matibabu yake
27:42
Azam TV
Рет қаралды 11 М.
ZIFAHAMU DALILI ZA MAGONJWA YA MOYO
3:21
ELIMU YA AFYA ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 279 М.