Mungu akubariki Rais wangu mpendwa, unafanya kazi kubwa sana. Mungu wa mbinguni atakulipa kwa hili. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@mussamkanga674 жыл бұрын
Hakika tusimcheke huyu bwana ispokuwa tumombe mungu ampe sahla Kama kuna ubaya ulio wekwa kwa huyu naibu mungu tunakuomba mwinue kiumbe wako.
@ruqayaruqaya42834 жыл бұрын
Amiin😢😢😢
@geturdablatch97064 жыл бұрын
Amiin na hilo ndio linataliwa
@tatukachingwe74514 жыл бұрын
Amiina
@emmanuelbonifase11144 жыл бұрын
Inshallah tumuombee
@saimonijonas43564 жыл бұрын
Sio mchezo,kunakitu kimetokea kwahuyu Baba.Hata wanafunzi huwa kinawatokea kwenye mitiani yao.Wanajikuta wanaona vitu vya ajabu kwenye karatasi zao.Nimeumia sana nahisi kutokwa machozi kabisa.Nimeumia sana.Pole Baba.
@richardkisoka42344 жыл бұрын
Duuuu inauma ila c kwel ajui kusema jmn uchaw upoooo
@AhmedAli-hk1il4 жыл бұрын
Daaaaaah leo nimeamini uchaw upooooo
@amamlen37314 жыл бұрын
Nmejkuta nacheka kwa comemment yako
@AhmedAli-hk1il4 жыл бұрын
Ww mwenyewe huoniiii mheshimiw anovyohangaikaaa hao kituuuu hapo anaona kiza tuuuuu wakulungwa washafanya yao hehehhehehhe
@josephkisaro13774 жыл бұрын
Jamaa kila akiangalia hio karatasi haoni maandishi kabisa, baada ya kugundua hilo akajaribu sana kukariri lakini kila anapoambiwa arudie anajikuta kapangilia tofautitofauti, imenikumbusha kipindi kile vandame alipopigwa upofu na mpinzani wake, hivyo akawa anapigana kwa kutumia hisia. Kiukweli inauma sana Mungu amtie nguvu
@annamashiri39214 жыл бұрын
pole baba. m we mna kumbuka mungu kwakkra jambo mungu anaweza.
@esterkileo34864 жыл бұрын
Duuh Rais tunaomba mpe nafasi nyingine kiukweli kama sio uchawi amepata hofu jamani
@andulilemwakihabha20484 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hashakatv4 жыл бұрын
Kweli kabisa @Ester Kileo
@mathayowilson15254 жыл бұрын
Hofuuuuuuuu...ilikuwa hofu tu na kuchanganikiwa mbele ya rais...tungekuwa na HOFU hiyo KWA BWANA MUNGU WETU MFALME...
@abelkessy62494 жыл бұрын
Sio kawaida. Inauma Sana jamani.
@khatwabisadathil34234 жыл бұрын
Abel kweli inauma.c bure huenda kapigwa changa LA macho.au kapanic.
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
Subhaanallah jamani huyu baba sio buleee jmn 😭😭😭😭
@teddyndungurusabnu47924 жыл бұрын
Jamaniiiiiii😭😭😭😭😭uchawi upoooooo hakika c kiwewe Wala c hofu hapa kipo kitu mungu tusaidie🙏🙏
@nightnursenightnurse73964 жыл бұрын
It's soo sad....maybe ana Problem na macho yake haoni vizuri.Just saying i'm not sure.
@judithkatabaro32944 жыл бұрын
Usikute aoni kitu jamani bina damu
@deviskimwaga26724 жыл бұрын
Ss tutawaombea tu
@ramadhanikibenga63174 жыл бұрын
Mmmh pole sana
@fatumamohamed10784 жыл бұрын
Imeniuma jamani kama kimemkuta mzazi wangu
@georgemadinda85144 жыл бұрын
Naibu waziri shukuru kwa hili limekuokoa na mabaya mengi ambayo ungekumbana nayo kwenye hiyo nafasi
@batromeolazaro75434 жыл бұрын
Shikamoo uchawiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣
@danielymwamwezi61854 жыл бұрын
Nimefurahi sana mheshimiwa rais aliyo yazungumza dodoma hayo yapo Kwahii nchi yetu
@abelubamba74094 жыл бұрын
Pole kaka
@emmanuelnimbasa17544 жыл бұрын
Una mtanguliza Mungu ktk maisha yako jukwaani, ni kweli unamkubali?
Daah nimeumia Jaman😭😭😭cjui amepatwa na nini huyu baba wa watu
@faza40234 жыл бұрын
Yan sio poa
@princessgracpius35734 жыл бұрын
Dah 😂😂😂 s cheki kwa mazurii ila malipo n hapa hapa dunian Mungu atamlipia m na Amin hvo
@vivianikiria1434 жыл бұрын
WACHAWI SHIKAMOO
@liverpoolfootballclub9985 Жыл бұрын
Kwetu kenya naibu wetu warais Rigathi Gachagua aka riggy G. Alikosea siku ya kuapishwa
@missmoona44974 жыл бұрын
Mzee bb kama ulifoji vyeti bb karibu mtaani tuuze mahindi, maskin vijana wenye vyet vyao master's nzur lkn wanauza mishkaki kitaaa waliofoji vyet wako serkalin mwisho wa siku mambo yalikuwa kama hivyo.pole sana mzee baba
@isaackilamlya59954 жыл бұрын
Pole yake Mungu ndiye mweza wa yote, Naamini Rais ni mtu wa Mungu ataoneshwa nini kilimsibu mimi namwombea arudi nafasi yake
@mustafarashid24844 жыл бұрын
Huyo hajasomo kama huyo magufuli,Tz viongozi ni mapimbi imedhihirisha wazi.njooni KE,tuwasomesheni shenzi sna.
@oliviamasao83944 жыл бұрын
Hakuna cha uchawi, yeye ni mkristu angemtanguliza roho mtakatifu hakuna ambacho kingeshindikana..
@batridapaul924 жыл бұрын
Usiseme hivyo my dia uchawi upo
@tumainjackson41224 жыл бұрын
Hakuna mkamilifu duniani Mungu angehesabu makosa yetu nani angesimama ungemsamehe tuu mkuu
@geturdablatch97064 жыл бұрын
Angepewa nafasi akae k8dogo arudie kuna shida yeye amefungwa macho
@zawadichalale40474 жыл бұрын
Hakuvaa miwani hivyo haoni vizuri ana shida ya macho
@olluoddiossa98634 жыл бұрын
Alikuwa hataki hyo nyadhifa ya unaibu haiwezekani.
@lazboylazboy61884 жыл бұрын
Dah
@mussalameck48974 жыл бұрын
Huyo mama anaetikisa kichwa ni mchawi 100🌹
@zachariamtoamaww58414 жыл бұрын
Mmmh broo aya mambo yaache kama yalivyo. Usije ukajiingiza matatizon
@princessgracpius35734 жыл бұрын
Wew ulimuona wapi ndgu au ndo unajitaftia kesi
@kudraahmad56704 жыл бұрын
Mh rais wetu mpendwa mpe nafas ya pili ya kuapa huyu mheshimiwa
@rehemayustice44144 жыл бұрын
😭😭 Ee Mungu msaidie huyu😥😥😥😥
@Rogue6024 жыл бұрын
Huyo kusoma anajua lakini naona ame panic. Mie pia inanitokea sometimes
@muniradaudi4404 жыл бұрын
So Kweli Abdulkadir inakutokea wapi eti😀
@amamlen37314 жыл бұрын
Mimi shule nlkuwa muoga kujibu maswal darasan but nlkuwa naelewa sana na mitihan nlkuwa nafauru vzur kwaiyi nkajifunza mtu anaweza asiape vzur lakn akawa mtendaj mzur sanaa kuliko alieapa vzur cz Mungu almchagua Musa alienda kigugumizi asiweza kuongea na akamuacha aruni anajua kuongea lakn akamchukua musa alie na mzigo ndan
@josephmichael59454 жыл бұрын
Mr PRESIDENT 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@mackeymwamzandijr16964 жыл бұрын
Haki ya mungu😂😂😂😂😂😂 wanavijiji washakutambua utasumbua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@batridapaul924 жыл бұрын
Daaa kapigwa jujuu uyu mijitu michawi
@christophermhanze27884 жыл бұрын
Ccm mbelee kwa mbelee!!!
@haido.994 жыл бұрын
Subhannnah Allah ! 😭😭😭😭😭binaadam tuacheni ubaya
@yoenimngulwi85234 жыл бұрын
Tatizo hilo lakuwachagua watu wenye pesa na wala sio elimu hapo tu kuapa ngoj sas tuone mbele
@josephatmathias82764 жыл бұрын
Kapgwa kipapai huyo haiwezekan ikawa ivo anakua kama haon duuh so kwel
@mafurudonald42174 жыл бұрын
Shikamooo magu
@geturdablatch97064 жыл бұрын
Huyu kafanywa kama.yule mjumbe wakati wa kura za maoni.
@dicksonchambo18964 жыл бұрын
Mambo ya hivi yapo sana,huyu amelogwa/uchawi,swala hili liangaliwe vizuri/kwaundani,huyu MTU anashida.
@gisellebusime24784 жыл бұрын
Kweli siyo kawaidi
@puritygerald66924 жыл бұрын
Mchawi hapaswi kuishi
@caslidajosephat89124 жыл бұрын
Pole amepaniki mmwelewe tu nikitu ambacho hakukitegemea mmwelewe tu
@tanzaniaone24 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅watu wakigoma wameanza na yeye sasa😅😅😅😅😅
@jamesamushi21764 жыл бұрын
Kweli imeniuma sana km n mtu ndo kamua kufanya ivo ata fika mbali
@msabahabdallah94614 жыл бұрын
Kwa kwel Allah ni mkubwa huy sio rixik yake
@muniradaudi4404 жыл бұрын
Kabisa
@kennedyngusa88904 жыл бұрын
Mwanzo aliingiaje mjue baaati mbaya
@Danny-yl8xi4 жыл бұрын
😃😃mama mnoko anatikisa kichwa tu
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
Njaa mkuu imewazidi na walisha fanya mengi zaidi ya hayo ulioona.
@basilisamsaka84694 жыл бұрын
Kuna jambo kwa huyu jamaa sio bure,haiwezekani mtu aliyemaliza hata chekechea anasoma vizuri,hapa sio kawaida.
@kamalissabig24294 жыл бұрын
Kama una akili timamu unawea elewa huyo jamaa anajua kusoma vizur tatzo alikuwa na pesha tuu na kuto kujiamin
@patrickrobison70914 жыл бұрын
Uchaguz kwenye jimbo lake jlikwendaje jaman?
@amanyadolph78094 жыл бұрын
Off course
@issaahmad12644 жыл бұрын
Huyu bwana sio bure kunamchezo umefanyika ilitakiwa afanye uchunguzi ili ajiimarishe laa sivyo atafanyiwa mengi sana mungu atamsaidia tu atapata nafasi zaydi ya hiyo!!
@shaloboy38614 жыл бұрын
Lazima ajilaumu maisha yake yote waziri umemtoka kwa kushindwa kusoma mistari mi tatu
@khatwabisadathil34234 жыл бұрын
Usiseme hvy.mtu mwenye degree zk ashindwe kusoma kiswahili.noooooo.dunia ina mambo.